Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Na zaidi ya hapo, kuandika maandishi ikiwa ni pamoja na takwimu ambazo leo tunajua hazina ukweli huku ukiwaaminisha watu kwa miaka 15 si bahati mbaya ni makusudi.

Siamini katika vyuo ulivyotoa mihadhara na wasomi uliokutana nao hakuna hata mmoja aliyewahi kukueleza kuhusu mapungufu ya takwimu za utafiti wako. Bahati mbaya inaweza kuwa miezi au mwaka siyo miaka 15.

Lakini pia Mohamed anasababu! mathalan kumsema Kawawa kama makamu wa kwanza wa rais ilikuwa kutia uzito wa hoja zake. Pengine angekuwa hakukusdia angelieweza kurudi maktaba na kujiridhirisha kuwa hicho alichokiandika au kusudia kukisema kina ukweli.

Kuwaambia watu kwa miaka 15 kwamba Nyerere alifundishwa siasa na Sykes huku ukijua kuwa alikuwa msomi na alianza harakati hizo siku nyingi si bahati mbaya ni makusudi ili kufikia lengo.

orodha ni ndefu but the bottom line is, Mohamed anachokifanya ni makusudi wala si mapungufu.
Huwezi kuniambia amejua leo kuwa Maryknoll walitoa ticket au Nyerere alikuwa katibu wa AA Tabora kabla ya kukutana na Sykes! no! ni makusudi ambayo leo anakiri ni mapungufu ya kibinadamu. No thank you Sir!

anachonikera ni pale anasema anaaandika kuhusu historia, halafu anakuja anasema ni mawazo yake. Hivi ni lini historia ya mtu au kitu iliwahi kuelezwa kwa hisia na mawazo ya mtu? nini maana ya historia? si kuandika au kuelezea kile kilichotokea? iweje yeye aandike hisia na mawazo yake tu?
 
Son of Alaska,
Niliwahi kusema toka mwanzo kuwa ni Gavana Cameron aliyeamua kuwa wafanyakazi waafrika nao wawe na association yao kama ilivyokuwa kwa Waasia na Wazungu na hivyo Afican Association ikazaliwa mwaka 1929, kiongozi wake mkuu akiwa Mwalimu Cecil Matola, kwa misingi iliyowekwa na serikali ya Kikoloni.

Mohamed Said akaja na hadithi yake ya kutoka Burma na kwamba African Association na baadaye TANU zilianzia huko huko Burma, wabunifu wake wakiwa carrier corps wazulu, wamanyema na wanubi kwenye jeshi la Wajerumani.

Niliwahi kusema kuwa baada ya AA kuzinduliwa na mkutano wake wa kwanza kufanyika nyumbani kwa Raisi wake Mwalimu Cecil Matola, Governor Cameron akawapa chumba ndani ya nyumba ndogo aliyoijenga mtaa wa New Street.

Mohamed Said akaja na hadithi kuwa hiyo nyumba ni ya wazee wake kama alivyosimuliwa na baba yake Addulwahid Sykes aliyeshuhudia kila mwisho wa juma ujenzi wake kila alipofuatana na baba yake.

Niliwahi kumuuliza Mohamed Said kama anajua kwa nini mtaa ule ulipewa jina la New Street na kama kawaida bado amekwepa kutoa jibu, anajua jibu lolote atakalotoa litazidi kumuumbua alivyo muongo mkubwa...

Huyo ndiye Mohamed Said, ambaye kwa muda wa miaka 15 amepata mteremko wa kuhubiri uongo kwa watu wasio na uelewa wowote na wao kumwamini lakini sasa kapotea stepu kweli kweli kwa kuingia kwenye anga za JF!

Mag,

Wapi nilisema African Association ilianzia Burma?
Hayo mengine wala sina haja ya kutia neno langu.
 
anachonikera ni pale anasema anaaandika kuhusu historia, halafu anakuja anasema ni mawazo yake. Hivi ni lini historia ya mtu au kitu iliwahi kuelezwa kwa hisia na mawazo ya mtu? nini maana ya historia? si kuandika au kuelezea kile kilichotokea? iweje yeye aandike hisia na mawazo yake tu?

Ntamahalo,

Nilipokuwa katika teens nikipenda kuimba nyimbo za wakati wangu.

Kulikuwa na nyimbo moja ''Have You Heard the News?''
Elvis Presley.

Unazo taarifa?
Tumegonga 100,000.

Wanafata nini hapa?
 
Son of Alaska,
Niliwahi kusema toka mwanzo kuwa ni Gavana Cameron aliyeamua kuwa wafanyakazi waafrika nao wawe na association yao kama ilivyokuwa kwa Waasia na Wazungu na hivyo Afican Association ikazaliwa mwaka 1929, kiongozi wake mkuu akiwa Mwalimu Cecil Matola, kwa misingi iliyowekwa na serikali ya Kikoloni.

Mohamed Said akaja na hadithi yake ya kutoka Burma na kwamba African Association na baadaye TANU zilianzia huko huko Burma, wabunifu wake wakiwa carrier corps wazulu, wamanyema na wanubi kwenye jeshi la Wajerumani.

Niliwahi kusema kuwa baada ya AA kuzinduliwa na mkutano wake wa kwanza kufanyika nyumbani kwa Raisi wake Mwalimu Cecil Matola, Governor Cameron akawapa chumba ndani ya nyumba ndogo aliyoijenga mtaa wa New Street.

Mohamed Said akaja na hadithi kuwa hiyo nyumba ni ya wazee wake kama alivyosimuliwa na baba yake Addulwahid Sykes aliyeshuhudia kila mwisho wa juma ujenzi wake kila alipofuatana na baba yake.

Niliwahi kumuuliza Mohamed Said kama anajua kwa nini mtaa ule ulipewa jina la New Street na kama kawaida bado amekwepa kutoa jibu, anajua jibu lolote atakalotoa litazidi kumuumbua alivyo muongo mkubwa...

Huyo ndiye Mohamed Said, ambaye kwa muda wa miaka 15 amepata mteremko wa kuhubiri uongo kwa watu wasio na uelewa wowote na wao kumwamini lakini sasa kapotea stepu kweli kweli kwa kuingia kwenye anga za JF!

Naona unamwanga ngano kama kawaida yako uliwahi kusema nini ngano. Endelea kuwalisha wenzako ngano za tui la nazi.

Magari mabovu yanafutana.
 
Acha maskhara.
Pana nini hapa.

Wewe una nini zaidi ya kuuliza maswali ya kibri.
Mimi ndiye ninayeandika historia hapa.

Mimi ndiye ninaeeleza yale ambayo hayakupata
kusomwa wala kusikika popote.

Ati nimepotea stepu kuja JF.
My foot.

Leo tumegonga 100,000.
Hawa wanakuja kukutazama wewe?

Kama unapinga sema mimi nitangaze kujitoa na
tuone kama wewe una ubavu wa kumwita mtu hapa.

Fanya heshima.
Nimekustahamilia kwa muda mrefu nikikupa kamba ndefu.

Ukaota pembe ''basking under my shadow.''

Nilitaka nifikishe 100,000 ili msinisahau.
 
Mohamed Said,

Huyu jamaa uwa anacheka anajipa mamlaka ya JF kama msemaje wa members wote.

Wakati mwingi ni kumbuuza tu hana anachojua zaidi ya matusi huyu si ndiye alisema kuwa ukiwataja Wazee wetu wazalendo kwake ni matusi makubwa.

Huyu si ndiyo alisema Wazee wa Kariakoo wajinga wana elimu za madrasa kazi ya kukaa vibarazani kunywa kahawa.

Leo analazimish kuwa Rais wa JF na kuwa msemaji wao JF hawawezi kuwa na msemaji kauzu kama huyu anayewatukana Wazee wetu. Labda awe msemaji wa kina Nguruvi3, Mwanakijiji.
 
Mag,
Leo tumegonga 100,000.
Hawa wanakuja kukutazama wewe?

Kama unapinga sema mimi nitangaze kujitoa na
tuone kama wewe una ubavu wa kumwita mtu hapa.
Nawe kwa kupindisha mambo!...kwa ufahamisho tu aliyeleta hii mada anaitwa Yericko Nyerere na ukumbi kaufungua yeye, mimi na wewe tunachangia tu. Ukitaka kukitoa hamna taabu usitafute visingizio.
 
Mag3,

JF siyo mali yako acha kutisha watu wewe ndiyo kama unataka kukitoa hakuna tabu.

Angalia kichwa cha habari cha huu uzi kuna jina lako au la Mohamed Said.
 
Naona unamwanga ngano kama kawaida yako uliwahi kusema nini ngano. Endelea kuwalisha wenzako ngano za tui la nazi.

Magari mabovu yanafutana.

Tuelekeze wapi pabovu baada ya kusoma. Mweledi hasemi hii mbovu, anachambua ubovu wenyewe.
Tueleze basi wewe, Cecil Matola hakuwa Rais wa AA?
Wazo la kuwa na AA halikutoka kwa gavana Cameroon?
Ofisi ya AA haikuwa mali ya Cameroon? Halafu baada ya hapo......

Ukimaliza kunipa hilo darsa itakuwa faida kubwa sana, tutajua nani anatoa ngano au siyo?
Ila tahadhari usiingie kwenye chaka la Mzee MS, kuna wakati alikana maandishi yake mwenyewe
alipowa-lable wengine makabila yao "superior" halafu akawaacha wengine. Jisimamie.
 
Mag,

Acha maskhara.
Pana nini hapa.

Wewe una nini zaidi ya kuuliza maswali ya kibri.
Mimi ndiye ninayeandika historia hapa.

Mimi ndiye ninaeeleza yale ambayo hayakupata
kusomwa wala kusikika popote.

Ati nimepotea stepu kuja JF.
My foot.

Leo tumegonga 100,000.
Hawa wanakuja kukutazama wewe?

Kama unapinga sema mimi nitangaze kujitoa na
tuone kama wewe una ubavu wa kumwita mtu hapa.

Fanya heshima.
Nimekustahamilia kwa muda mrefu nikikupa kamba ndefu.

Ukaota pembe ''basking under my shadow.''

Nilitaka nifikishe 100,000 ili msinisahau.

Hapo nilipoweka red, kweli umesema kweli. Bila wewe nisingeijua Warsha na "tafiti" zake.
Bila wewe nisingejua kumbe kuna njia ya mteremko kuwatia watu ujinga kwa miaka kadhaa.

Bila wewe Mzee wangu ningekuwa sitii tahadhari kwenye maandishi ya watu wa aina yako!
Kweli kwa hali hii tunaomba wanajamvi wapindukie milioni, ili wasije juta kwa jambo wasilolijua!
 
Tuelekeze wapi pabovu baada ya kusoma. Mweledi hasemi hii mbovu, anachambua ubovu wenyewe.
Tueleze basi wewe, Cecil Matola hakuwa Rais wa AA?
Wazo la kuwa na AA halikutoka kwa gavana Cameroon?
Ofisi ya AA haikuwa mali ya Cameroon? Halafu baada ya hapo......

Ukimaliza kunipa hilo darsa itakuwa faida kubwa sana, tutajua nani anatoa ngano au siyo?
Ila tahadhari usiingie kwenye chaka la Mzee MS, kuna wakati alikana maandishi yake mwenyewe
alipowa-lable wengine makabila yao "superior" halafu akawaacha wengine. Jisimamie.

Wewe wakumpa tahadhari Ritz.

Hujui hata ulichokiandika hayo yote unayosema mbona yapo kwenye kitabu cha Mohamed Said.

Wewe ndiyo endelea kulishwa ngano za Mag3 bendera fuata upepo
 
Naona umesahau nani anayelishwa kama kinda.
Nimekisoma kitabu. Umeona alipomtaja Cecil Matola akiwa na akina Sykes!
Sykes anatajwa kama Katibu, lakini Matola anawekwa kwenye fungu na wenzake, kama si hila ni nini?

Halafu vipi kuhusu nyumba ya Cameroon...!

Kweli akili ni nywele. Hivi ulikuwa unakisoma kama hadithi ya Sungura na fisi?!
 
platozoom, kwa sababu mimi ni mtu wa hesabu, nimepitia namba za post za watu mbalimbali katika uzi huu...

Tazama watu wanavyohangaika kutetea ngano!

  1. Mohamed Said...posti 1,817
  2. Ritz..................posti 1,066

Linganisha na wanaopinga ngano;

  1. Nguruvi3...........posti 222
  2. Mag3................posti 139

Kweli kutetea uongo si kazi ndogo! Kuna watu wamepiga kambi kabisaaa!
 
Leo tumegonga 100,000.
Hawa wanakuja kukutazama wewe?

Kama unapinga sema mimi nitangaze kujitoa na
tuone kama wewe una ubavu wa kumwita mtu hapa.

hhivi kweli unaamini wanakuja kukusoma wewe au wanakuja kusoma jinsi ulivyowafunga kamba kwa miaka kumi na tano? Watu wanafunguliwa hapa katika kamba hizo. Kwa kweli uamuzi wako wa kuendelea kujadiliana hapa umewapa watu nafasi kupima uwezo wako wa kujenga hoja, jinsi unavyotetea hoja hizo na jinsi unavyoweza kusahihisha. Watu hawa maelfu ambao wanasoma hapa sasa hivi wameelewa kabisa kuwa kile kinachoitwa "udini" ni mazao ya kazi zako, Njozi na kundi lenu la vijana wa MSAUD na WARSHA ambao mlitumia 'takwimu feki' kuwalaghai makundi ya Waislamu juu ya uwepo wa Dhulma dhidi ya Waislamu huku nyinyi wenyewe mkifanikiwa kila kukicha. Wenzako wote mliokuwa kwenye lile kundi lenu mwaka 1981 wote wamekuja kushika nafasi mbalimbali na kufanikiwa huku wakiwadanganya watu kuna dubwasha linaitwa "mfumo Kristu".. a boogeyman of sort lurking in the dark waiting to get and devour Muslim youths in the country. Unfortunately, some of our young people have fallen trap into this narrative of "oppressed Muslims". They now walk in fear and perpetual suspicion of their brothers and sisters - the Christians and secularists of the country.
 
platozoom, kwa sababu mimi ni mtu wa hesabu, nimepitia namba za post za watu mbalimbali katika uzi huu...

Tazama watu wanavyohangaika kutetea ngano!

  1. Mohamed Said...posti 1,817
  2. Ritz..................posti 1,066

Linganisha na wanaopinga ngano;

  1. Nguruvi3...........posti 222
  2. Mag3................posti 139

Kweli kutetea uongo si kazi ndogo! Kuna watu wamepiga kambi kabisaaa!

Na kutetea uongo kunahitaji moyo na roho.
Hawa jamaa wamejitoa ufahamu kabisa, ni kama faru aliyejeruhiwa. Tena yule kiongozi wao
MS kawakokota kweli. Ila la muhimu sasa watu wamemjua ni mtu hatari kiasi gani, hilo tu ni jambo jema.

Mwenzao anafaidika kwa kwa hizi tafrani za kidini kwenye hili Taifa, wao wanafunga tela.
"But hopeful, we shall never divided as a nation"
 
Jipe sifa yako bana wewe ni bingwa wa matusi JF.

Vipi leo ujachutama kuficha tupu zako? Au wazee wa karikaoo tukiwataja ni matusi makubwa kwako? wazee wote wa Kariakoo wanywa kahawa walikuwa wasaidizi wa Nyerere tu? Waislam hawapedi shule kazi yao madrasa? Umekuja Dar mwaka 1960 hawa wazee wa Mohamed Said ukuwahi kuwasikia Mohamed Said ni muongo, nchi zenye Waislam wengi wanaongoza kutokujua kusoma? Hizi ndiyo baadhi ya pumba zako unazoandika humu kwenye huu uzi.
 
hhivi kweli unaamini wanakuja kukusoma wewe au wanakuja kusoma jinsi ulivyowafunga kamba kwa miaka kumi na tano? Watu wanafunguliwa hapa katika kamba hizo. Kwa kweli uamuzi wako wa kuendelea kujadiliana hapa umewapa watu nafasi kupima uwezo wako wa kujenga hoja, jinsi unavyotetea hoja hizo na jinsi unavyoweza kusahihisha. Watu hawa maelfu ambao wanasoma hapa sasa hivi wameelewa kabisa kuwa kile kinachoitwa "udini" ni mazao ya kazi zako, Njozi na kundi lenu la vijana wa MSAUD na WARSHA ambao mlitumia 'takwimu feki' kuwalaghai makundi ya Waislamu juu ya uwepo wa Dhulma dhidi ya Waislamu huku nyinyi wenyewe mkifanikiwa kila kukicha. Wenzako wote mliokuwa kwenye lile kundi lenu mwaka 1981 wote wamekuja kushika nafasi mbalimbali na kufanikiwa huku wakiwadanganya watu kuna dubwasha linaitwa "mfumo Kristu".. a boogeyman of sort lurking in the dark waiting to get and devour Muslim youths in the country. Unfortunately, some of our young people have fallen trap into this narrative of "oppressed Muslims". They now walk in fear and perpetual suspicion of their brothers and sisters - the Christians and secularists of the country.

Vitabu vimeisha mikoani watu wanavitaka watu wanataka vitabu vya Mohamed Said huu uzi ni promo tosha wakumshukuru ni Yericko kuanzisha huu uzi.

Wewe endelea kujifariji na kujiliwaza unajua ni raha sana na inapendeza kumsoma mtu ambaye unamfahamu.

Bahati mbaya maandishi yenu hayana uzito wowote kutokana mnaondika mmejificha kwa majina ya bandia.
 
Na kutetea uongo kunahitaji moyo na roho.
Hawa jamaa wamejitoa ufahamu kabisa, ni kama faru aliyejeruhiwa. Tena yule kiongozi wao
MS kawakokota kweli. Ila la muhimu sasa watu wamemjua ni mtu hatari kiasi gani, hilo tu ni jambo jema.

Mwenzao anafaidika kwa kwa hizi tafrani za kidini kwenye hili Taifa, wao wanafunga tela.
"But hopeful, we shall never divided as a nation"

Hizo ni fikra zako hivi unafahamu kuwa saizi watu wanaomba kuwa mawakala wa kitabu cha Mohamed Said mikoani.

Huwezi kuzuia mvua...
 
Nkungu,

Mnakasha huu ulianza na kauli ya maaskofu kufuatia vurugu za kidini.
Alituwekea Yericko Nyerere.

Maaskofu wao wakisema neno serikali inatimiza.

Safari hii nikaona ngoja niingie niwakumbushe hawa maaskofu historia
ya uhuru wa Tanganyika.

Nia ni kuwaeleza kuwa uhuru wa Tanganyika ulipiganiwa kwa nafasi pana
sana na Waislam ambao hadi leo hawajanufaika na uhuru huo.

Mtanange ndipo ulipoanza hapo.

Nchi yetu ina matatizo Waislam tunabaguliwa na hii haikuanza leo ni historia
iliyoanza baada ya uhuru kupatikana1961 lakini serikali bado haijakubali hili.

Hapa ndipo tulipokwama.

Inachofanya serikali ni kukwepa na kutoa picha kuwa Waislam wana ugomvi
na Wakristo wakati si kweli.

Hivi sasa kuna makamati yanaundwa ya masheikh kukutana na Wakristo kudumisha
amani.

Kubwa ni kuwa hao masheikh wanaounda hizo kamati wengi wao ni kutoka BAKWATA.

Waislam hatuitambui BAKWATA na hao BAKWATA hawana yoyote anaewasikiza ila
serikali.

Umma mkubwa wa Waislam uko nje ya BAKWATA.
Hii ni kwa mukhtasari.
Kama Umma mkubwa wa waislam uko nje ya BAKWATA ambayo inakutana na wakrsito kusuluhisha mgogoro huu, basi tutegemee vurugu na baadaye vita nchini kwetu.
 
You can not compromise with a lie. A lie need to be exposed and defeated by the expounding of truth. Truth stand uncompromised. So far we have been able to establish unambiguously that Mr. Said's assertions and claims in various of his writings are pure fabrications of his mind. He uses historical settings, people, incidents and characters to recreate historical narrative using Islam as a binding glue. Unfortunately, this narrative has been shown to be without merit, prejudicial and in fact unhistorical.

Once, this truth is accessed by many (evidently not all have the same intellectual abilities and freedom to do so) then as a people we can sit down and decide what course we should take as a nation. We can not take a certain course of action under duress.
Therefore, there is absolutely no shred of truth in his assertions and claims?
 
Back
Top Bottom