Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Ritz,

kwa nyongeza mwambie asome na post hii ya wimbi la mbele #11
 

Thubutu!!!

Hawawezi hawawezi thumma hawawezi. Wanachoweza ni kupinga lolote la waislamu. Hawa ni watu wa ajabu sana, wakiambiwa uamsho ni magaidi wanakubali haraka haraka bila ushahidi, wakiambiwa padri mushi kauliwa na uamsho wanakubali bila ushahidi, wakiambiwa kikwete mdini wanakubali bila ushahidi, wakiambiwa watu wanatekwa na kuteswa na ccm wanakubali bila ushahidi, wakiambiwa radio imani ni wachochezi wanakubali bila ushahidi, wakiambiwa..... wakiambiwa..............wakiambiwa.....mambo yote ya waislamu ni mabaya kwao. Lakini ona upande wa pili sasa wakiambiwa nyerere alikuwa mdini mkubwa akiwapendelea wakristo hasa wakatoliki na akiwabagua waislamu hawaamini na hata wakipewa ushahidi, wakiambiwa nchi ina mfumo kristo hawaamini na hata wakipewa ushahidi na mkatoliki mwenzao (sivalon). wakiambiwa BAKWATA ni zao la kanisa hawaamini hata wakipewa ushahidi. Wakiambiwa NECTA ni machinjio ya waislamu hawaamini hata kama ushahidi upo wa wazi kabisa (jinsi somo la islamic knowledge lilivyochakachuliwa karibuni wakaumbuka) . Hawa watu wanaonekana ni wanufaika wakubwa wa mfumo kristo.

Nakupa mfano mdogo wa ubaguzi, juzi tu kama miaka 2 iliyopita, Dr. mmoja UDOM(nahifadhi jina lake) ni head wa department fulani ya master aliwajazia wanafunzi wa kiislamu maksi/alama kidogo ukilinganisha na zile walizopata. Ilikuwa hivi, Mwalimu wa somo alitoa maksi za wanafunzi wake. Mwalimu yule akapeleka maksi zile kwa head wa department. Maksi zilipokujatolewa na head ikaonekana zina kasoro kwa wanafunzi wa kiislamu. Wanafunzi wakaenda kwa mwalimu wa somo kulalamika. Mwalimu wa somo na wanafunzi wakaenda kwa head, kilichotokea ni mfadhaiko mkubwa kwa yule Dr. baada kupokea yale malalamiko mpaka aliiangusha chini computer yake. Ilikuwa ni aibu.
 
Reactions: Ami

Katika kujenga hoja zako jaribu kufanya tafiti kwanza kabla ujaandika.

Umeipata wapi kuwa Palestina ni taifa la Waislam watupu hivi unajua kama Palestina kuna Wapelestina Orthodox, Jehovah Witnesses, Baptists, Anglicans. jewish, Catholics.

Unajua historia ya Bethlehem?

Soma historia ya Palestina kuna Mameya wengi tu Wakiristo kuna mabalozi wengi tu Wakirsto kuna balozi wa Palestine nchini Urusi alikuwa Mkirsto, meya wa Bethlehem Mkisto.

Turudi kwenye munakasha wetu. Unatoa mfano wa Zanzibari kwa hiyo Tanganyika Wakirsto walikuwa wengi kuzidi Waislam ndiyo maana Ratio inaonyesha Wakirsto ni wengi kwenye wizara za serikali na mashirika ya umma.
 
Mohamed kuna ngano/jambo yawezekana hulijui linaloendelea leo katika utawala wa jk,

Alipoingia madarakani alianza mkakati wakuuweka udini serikalini, na katika kufanikisha hilo alimteua Mama Hawa Ghasia mmoja ya waislam wanaotajwa kuwa ni wenye msimamo mkali kuwa waziri wa UTUMISHI.


Hali iliyoendelea huko kila aliyeajiliwa chini yake analijua fika kuwa bila kuwa na elementi za dini yake kulikuwa na ugumu kwake kukupa kazi ama vyeo.

Hili halipendezi kwa nchi inayoamini siasa ya udugu na isiyo na udini kama tanzania,

Lakini hakuna upande uliolalamika juu ya hujuma za Mama huyu, watu wamemuacha na amefanya awezavyo kisha maisha yanasonga huku walalamikaji ni walewale waliopo madarakani ama wenye nafasi na ajira serikalini,

Mohamed Said walijua hilo?
 

Another interesting story from apparently one ofe Nyerere son/ family member.

Nilikuwa sijui kumbe kuwekwa Hawa Ghasia ilikuwa ni ghasia kwako mpaka kudhani kama JK alifanya udini. Kumbe ile Wizara ilikuwa ni hati miliki ya Wakristo. This is another developing story.

No wonder wanaodai kama NECTA ni kigango cha Kanisa hawakosei. Tangia uhuru CEO's wote walikuwa ni Wakristo na mpaka Wachungaji walishawahi kuhudumu katika taasisi ile nyeti. Siku Kikwete akibadilisha status quo pale sijui itakuwaje.
 
Mimi kitu kibaya zaidi nilichogundua ni kwamba hapa TZ kuna grievances miongoni mwa waislam wenyewe kwa wenyewe, ikidaiwa kwamba waislam wa bara (maborbo) wanapendelewa na kupewa nafasi/vyeo huku wa pwani wakisahauliwa (pamoja na kwamba waislaam wa pwani wanadhani wao ni waislam zaidi kuliko waislam wa bara). Ukichunguza kwa undani utaona kama kuna ka kweli vile. Mohamed Said unaonaje kuhusu hili? Kweli? Naona hukulichambua ktk kitabu chako.
 
Last edited by a moderator:

Wewe jamaa uwa una PhD ya uongo hebu tufahamishe wakati wa Mkapa Hawa Ghasia alikuwa na cheo gani.
 

Unafikiri nini kitendeke?
 
Hii thread nadhani ndio maarufu tangu mwaka huu uanze, nimejifunza mengi na ninaendelea kujifunza,


Sidhani kama hii itaisha leo au kesho, huenda mpaka 2015
 
No wonder wanaodai kama NECTA ni kigango cha Kanisa hawakosei. Tangia uhuru CEO's wote walikuwa ni Wakristo na mpaka Wachungaji walishawahi kuhudumu katika taasisi ile nyeti. Siku Kikwete akibadilisha status quo pale sijui itakuwaje.
Ni padre yupi aliwahi kuhudumu NECTA? Hebu tuweke rekodi sawa sawa kwanza.
 

Maswali uliyouliza kweli inaonesha bado hujavisoma hivi vitabu vyote.Nimefurahi umeahidi kuvitafuta naamini ukivisoma utaelewa madai ya waislamu.
Kwa sasa usiwatukane waislamu na malalamiko yao kwani wao yamewakuta wanaelewa zaidi.
 
Maswali uliyouliza kweli inaonesha bado hujavisoma hivi vitabu vyote.Nimefurahi umeahidi kuvitafuta naamini ukivisoma utaelewa madai ya waislamu.
Kwa sasa usiwatukane waislamu na malalamiko yao kwani wao yamewakuta wanaelewa zaidi.

Ami,

Jamaa anasema haoni kama Waislam wanafanyiwa dhulma kaenda mbali zaidi katoa mfano wa Zanzibar.
 
No chance of haya mambo under Nyerere lakini present leadership haya mambo yanapeta



Anne Makinda labda alitakiwa kurudi darasani na akapigwe brash kuhusu umuhimu wa Kariakoo na watu waliowahi kuishi kariakoo na Makinda should know better than most kuwa hicho chama kilichomweka kwenye hicho kiti alichokalia kilizaliwa Kariakoo na na kusema ukweli ni kuwa dharau aliyoitoa Anna Makinda kwa kariakoo itakuwa si kwa wafanya bishara ndogo ndogo walipo pale bali ni pamoja na waswahili wengine kama akina Mwinjuma Mwinyikambi, Kiyate Mshume, Jumbe Tambaza, Sheikh Hassan bin Amir and Sheikh Suleiman Takadir ambao walikuwa ni wakaazi wa Kariakoo.
 
Mohamed Said,

Umeeleza kisa cha Ally Kleist Sykes kuhusu mkutano wa Pan African Congress wa Rhodesia ya Kaskazini 1953 wote mmepigwa na butwaa.

Ally Skyes alipokea barua toka kwa Kenneth Kaunda akimwalika kuhudhuria mkutano mnamo tarehe 12 Novemba Ally Sykes alimuandikia barua Kaunda akimthibitishia kushiki kwa TAGSA na TAA kwenye mkutano huo.

Denis Phombeah na Bhoke Munanka Katibu wa TAA Jimbo la kanda ya Ziwa walikuwa ndiyo wawakilishi wa TAA.

Tarehe 1 Desemba, Alexander Tobias alimwandikia barua Kamishina wa Kazi Bennet, akimuombea ruhusu Ally Sykes na kaka yake Abdulwahid Sykes ahudhurie mkutano huo wa Lusaka.

Munanka alinyimwa pasi ya kusafiria na serikali hivyo hakuweza kusafiri.

Ally na Phombeah walipewa ruhusa na serikali kuhudhuria mkutano huo waliondoka kwa ndege aina ya Dakota ya Central African Airways.

Barua hizo zipo kama kuna mtu anataka anaweza kwenda ofisini kwa Ally Sykes atawaonyesha za kuandikwa kwa mkono Mzee Ally muungwana hata ukitaka kuzipiga copy atakuruhusu.

Mohamed Said, nakuombea kwa Allah akupe neema zake.
 
tumepigwa butwaa la nini?mkutano mdogo huo-shuguli ingekuwa nzito elites wangewakilisha


"Umeeleza kisa cha Ally Kleist Sykes kuhusu mkutano wa Pan African Congress wa Rhodesia ya Kaskazini 1953 wote mmepigwa na butwaa."
 
Ritz, Waislamu wanafanyiwa dhulma gani? Na wanafanyiwa na nani?

Mzee Mwanakijiji,

Tupo post ya #492 unauliza Waislam wanafanyiwa dhulma na nani.

Takuambia maneno machache tu.

The bearevead begins the wailing latter others join.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…