Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,301
Ujumbe mtamu sana huu umfikie rafiki yetu kipenzi Barubaru!Wewe ndio uko chakani.Mohammed yuko nyumbani bukheri wa afya.
Ujanja wenu hauwezi kufanya kazi enzi hizi.
Eti sisi tuende Arabuni tukale tende na halua tuwaache nyinyi mle keki ya uhuru peke yenu?.
Tutaendelea kula kashata na kahawa hapa kwetu huku tukidai keki yetu mliyotuibia.
Wezi wakubwa nyiee!.
Wezi wa fadhila na keki ya uhuru.
Kwasasa tupo na vijana waktz ambao ndio waathirika wa ngano zako, mda utaturuhusu kuhudumu katika kitabuYericko, Mag3,
Hamuwezi kupambana na mimi katika medani ya usomi kwa kuwa
nyinyi mna maneno mimi nina vitabu na papers.
Mimi nimeandika vitabu na mada nimewasilisha katika vyuo ndani
na nje ya nchi yetu.
Hapa JF hapatoshi andikeni mtambulike ndipo mtaweza kusema
kitu mkasikilizwa na dunia vinginevyo mtakuwa mnamwaga vumbi
bure.
Hamna kitu.
Aminini maneno yangu.
Kama hicho kitabu kweli mnaandika ni mwanzo mzuri.
Kwa hali hii mie nimeingia uvivu kujadiliana na nyinyi.
Tunajadili nini baada ya miaka 15 kitabu kinasomeshwa?
Itabakia mwimbo maarufu wa uchochezi, uchochezi,
uchochezi...
Jasusi,
Huyajui ninayojua mimi.
Wakati mwingine hujisemea, ''Ah! ya nini?''
Daisy hakuwahi kuandika kuhusu baba yake.
John Illife alimwambia somo hilo alipe muda.
Mimi ndiyo mtu wa kwanza kumweleza Abdu
Sykes ukimtoa Brendon Grimshaw mhariri wa
Tanganyika Standard aliyeandika taazia yake
baada ya kifo chake 1968 katika Sunday News.
Na miaka 20 baadae nilipomwandika Abdu Sykes
1988 katika Africa Events (London) magazeti yote
yakakusanywa na kutiwa kibiriti.
Hili nishalieleza hapa JF.
Uchochezi acheniNa tumuombee kwa mola inshallah ampe nguvu mwanazuoni na mwanahistoria huyu ili aweze kutujuza historia ya kweli kuhusu inchi yetu hii ya tanzania.
Wapi kasema hivyo?
Huo ni uchochezi wa Mohammed Said au ni uongo wako?

What about Nyerere?Swali likaja...Jibu langu: About what?Ukumbi mzima ukaangua kicheko.Hawa ni wajuzi ukiwafumbia fumbo wanategua hapo hapo.Nikawapa na pp nilotoa Chuo Kikuu Zanzibar kuhusu Sheikh Hassan bin Amir."...and Mohamed you knew all these people who made history?"Baru mie nimesimama mbele yao nacheka tu na kumshukuru Allah.Ati anasimama mtu hapa free for all anataka kunitisha mimi na kitabucha kufikirika...
Mh! Mwaka 1948-1950 haukuwepo duniani. Hata mimba yako haikuwepo. Wazungu gani hao ulikwenda kuwazuga kwa simulizi hizi nao wakakukubali? Mzee Mohamed Said unatisha.
Anawakubali sana Wazungu ambao wanauchukia wazi Uislam. Wazungu ambao waliwanyang'anya akina Abdu na wazee wake nchi wakamkabidhi Mwalimu anawatukuza na kuwakubali kwelikweli!Ni bingwa wa ngano za masika
Mohamed kwanza nikuambie kuwa acha kudanganya watoto na vijana.
Hili la African event unalisema sana. Umesahau kuwa kulikuwa na Africa Now na magazeti mengine.
Magazeti hayo yalikuwa yanazuiliwa si kwasababu ya Habari zako muongo mkubwa wewe!
Yalikuwa na habari nyingi za kuusakama ujamaa na pengine kuelezea hali ya mambo ambayo by then ingewatia hasira sana wananchi. Nakumbuka katika moja ya makala ni ile ya ambayo iliielezea kwanini serikali ijenge uwanja mkubwa wa ndege ambazo ni za kigeni badala ya kuendeleza bonde la ruvu ili kujitosheleza kwa chakula.
Lakini unaposema yalikusanywa, yalikusanywa kutoka wapi wakati kuna nakala majumbani kwa watu.
Unachotaka kusema hapa ni kuwa Polisi waliingia kila nyumba kukusanya na kuchoma moto.
Mzee Said, hivi huwa unapata tija gani unapokuwa muongo! Muogope mwenyezi mungu.
Narudia Mohamed, stop this cheap popularity!
You erode the little respect as story teller of our times
Mwalimu aagize magazeti yakusanywe halafu Mzee wetu huyu aachwe tu! Mzee Mohamed hakumfahamu Mwalimu au kwa kweli ni muongo sana. Ingekuwa kuna watu kufufuka, Mwalimu afufuke, arudi madarakani,wala asingehangaika na dagaa akina Ponda!Punguza jazba kunywa maji kidogo pumzika sehemu au jitulize kwanza kisha rudi kwenye mnakasha.
Anadai gazeti lilikusanya na dola kisha likachomwa moto, chini ya amri ya nyerere, ukweli nikuwa mwaka 1988 huo rais alikuwa ni Mwinyi, Nyerere hakuwa na cheo chochote nchini zaidi ya cheo cha familia yake tu.Mohamed kwanza nikuambie kuwa acha kudanganya watoto na vijana.
Hili la African event unalisema sana. Umesahau kuwa kulikuwa na Africa Now na magazeti mengine.
Magazeti hayo yalikuwa yanazuiliwa si kwasababu ya Habari zako muongo mkubwa wewe!
Yalikuwa na habari nyingi za kuusakama ujamaa na pengine kuelezea hali ya mambo ambayo by then ingewatia hasira sana wananchi. Nakumbuka katika moja ya makala ni ile ya ambayo iliielezea kwanini serikali ijenge uwanja mkubwa wa ndege ambazo ni za kigeni badala ya kuendeleza bonde la ruvu ili kujitosheleza kwa chakula.
Lakini unaposema yalikusanywa, yalikusanywa kutoka wapi wakati kuna nakala majumbani kwa watu.
Unachotaka kusema hapa ni kuwa Polisi waliingia kila nyumba kukusanya na kuchoma moto.
Mzee Said, hivi huwa unapata tija gani unapokuwa muongo! Muogope mwenyezi mungu.
Narudia Mohamed, stop this cheap popularity!
You erode the little respect as story teller of our times
Mwalimu aagize magazeti yakusanywe halafu Mzee wetu huyu aachwe tu! Mzee Mohamed hakumfahamu Mwalimu au kwa kweli ni muongo sana. Ingekuwa kuna watu kufufuka, Mwalimu afufuke, arudi madarakani,wala asingehangaika na dagaa akina Ponda!
Mzee Mohamed anajua kilichowafika Masheikh na wazee wake waliojaribu kuleta chokochoko za kidini miaka ile.
Mohamed kwanza nikuambie kuwa acha kudanganya watoto na vijana.
Hili la African event unalisema sana. Umesahau kuwa kulikuwa na Africa Now na magazeti mengine.
Magazeti hayo yalikuwa yanazuiliwa si kwasababu ya Habari zako muongo mkubwa wewe!
Yalikuwa na habari nyingi za kuusakama ujamaa na pengine kuelezea hali ya mambo ambayo by then ingewatia hasira sana wananchi. Nakumbuka katika moja ya makala ni ile ya ambayo iliielezea kwanini serikali ijenge uwanja mkubwa wa ndege ambazo ni za kigeni badala ya kuendeleza bonde la ruvu ili kujitosheleza kwa chakula.
Lakini unaposema yalikusanywa, yalikusanywa kutoka wapi wakati kuna nakala majumbani kwa watu.
Unachotaka kusema hapa ni kuwa Polisi waliingia kila nyumba kukusanya na kuchoma moto.
Mzee Said, hivi huwa unapata tija gani unapokuwa muongo! Muogope mwenyezi mungu.
Narudia Mohamed, stop this cheap popularity!
You erode the little respect as story teller of our times
Nguruvi,
Umehamaki.
Mimi sitafuti umaarufu kwa yoyote kwa kuwa sina shida ya umaarufu.
Umeandika Africa Now la Peter Enahoro.
Hili letu lilikuwa Africa Events la Mohamed Mlamali Adam.
Uhariri wa Enahoro si wa Mlamali.
Sera za magazeti yao zilikuwa tofauti kama mbingu na ardhi.
Ngoja nikuongezee kingine kikuudhi zaidi.
Mimi na Mlamali tuliondolewa katika gazeti hilo kwa shinikizo...
Vinginevyo gazeti lisingefunguliwa fedha zake kutoka BOT kwenda
Uingereza.
Ni kisa kizuri.
Ahmed Yahya akashika nafasi ya Mlamali lakini hakuacha kunipa kazi
ambazo AE walichapa bila ya jina langu nikawa ''Special Correspondent.''
Kisha nikenda pale ofisini kwao Banner Street London tunacheka sana.
Ukisoma habari zangu kila siku utaghadhibika na kila siku utaniita ''muongo
mkubwa.''
Watazamaji ndiyo waamuzi kama mie nawavunga ama nawapa khabari za kweli.
Ilimradi useme tu.Mohamed kwanza nikuambie kuwa acha kudanganya watoto na vijana.
Hili la African event unalisema sana. Umesahau kuwa kulikuwa na Africa Now na magazeti mengine.
Magazeti hayo yalikuwa yanazuiliwa si kwasababu ya Habari zako muongo mkubwa wewe!
Yalikuwa na habari nyingi za kuusakama ujamaa na pengine kuelezea hali ya mambo ambayo by then ingewatia hasira sana wananchi. Nakumbuka katika moja ya makala ni ile ya ambayo iliielezea kwanini serikali ijenge uwanja mkubwa wa ndege ambazo ni za kigeni badala ya kuendeleza bonde la ruvu ili kujitosheleza kwa chakula.
Lakini unaposema yalikusanywa, yalikusanywa kutoka wapi wakati kuna nakala majumbani kwa watu.
Unachotaka kusema hapa ni kuwa Polisi waliingia kila nyumba kukusanya na kuchoma moto.
Mzee Said, hivi huwa unapata tija gani unapokuwa muongo! Muogope mwenyezi mungu.
Narudia Mohamed, stop this cheap popularity!
You erode the little respect as story teller of our times
Punguza jazba kunywa maji kidogo pumzika sehemu au jitulize kwanza kisha rudi kwenye mnakasha.
Mohamed,
Mlamali Adam kapotelea wapi?
Ritz,
Umesahau kitu.
Umesahau kumwelekeza namna ya kunywa maji.
Kwanza akae kitako.
Kisha anywe maji funda tatu.