Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

The Queen of England is the head of the Anglican Church. The Archbishop of Canterbury bows to the Queen.
Mwenzako amekanusha kama hivi.Na wewe lete kama hivi tuone kama kweli una hoja.
unaposema kama hapo chini ni vyema ukaonesha mistari kwenye biblia kwamba kwa imani yenu kiongozi akibow down kwa mwenzake basi yeye ndiye huwa mdogo kwake
The Archbishop of Canterbury bows to the Queen..
 
Mkuu wa Anglican church ni Malkia wa Uingereza. Ubalozi wa Uingereza upo Tanzania. Mkuu wa Vatican ni Pope. Ubalozi wa Pope upo Tanzania. Upo hapo?

Achana nao mie sio mroma ila kifupi tu 'all roads leads to Rome'. kabla viraisi vya nchi hizi unazoziita nchi havijaanza kutawazwa kulikua na pope na wanaojua hasa how the world goes around watakuambia Rome ndio wana mamlaka ya juu zaidi ktk finance, politics na hata social order ya mambo kuliko mtu au taifa lolote. Kuilinganisha Rome na kataifa kengine chochote si sahihi hawa ultimately wanawajibika kwa papa.
 
Mohamed, nimeacha vijana wako watukane kwasababu matusi si sehemu ya intellectual discourse na wewe unaona raha sana kuwa sehemu ya matusi bila kujali umri na kaufahamu kako kuhusu majina ya watu.

Mohamed, unanitaja sana kwasababu nimekuwa mwiba mchungu sana kwa ngano zako, by the way wewe ni kaka yangu tu wala si baba ndiyo maana huwa ni gut za kukuambia hapa kweli, hapa uongo, huu uzushi au huu ni upumbavu.

Unanitaja sana kwasababu unajua jinsi nilivyoifanyanga ngano yako. Mimi nipo kila mahali kwa taarifa yako.
Umeshtuka sana hasa kuona jinsi tunavyokubana hadi unapumua kwa njia mbadala.
Sihangaiki na dagaa nahangaika na wewe! jamvi linajua.

Kumbuka kuwa kuna hoja, maswali na mambo kadha wa kadha umekimbia na hujathubutu hata kutungia uongo.
Hebu rejea nyuma kwanza kabla hujanyanyua pua ujibu viporo vya hoja na maswali uliyokimbia hovyo.

Nimekuonyesha bila aibu jinsi ulivyoandika takwimu za kiwango cha form II hukuweza kutetea hata mstari mmoja na ulikiri narudia umekiri kuwa ni makosa hukujua. Hukujibu hata mstari mmoja. Hukuweza kunyanyua kalamu kujibu hata mstari, sasa nitegemee utaniona wa maana wakati watu 100k wanaona ukitembea umeshika msuli badala ya kuvaa!

Mohamed ni kweli mimi na wewe hatukai chungu kimoja kwasababu wewe ni Tandamti na Gerezani, mimi ni total package ha ha ha.
 
Kuna somo moja hapa ni pana sana, nitalisimulia huko tuendako na mnakasha huu,

Mwalimu Nyerere kabla ya kukabidhiwa mamlaka kamili ya kutawqla Tanganyika yaani miezi 18 kabla, alifika Roma, na miezi 18 baada ya mamlaka kamili tena alidhuru Roma,


Yapo mengi ngoja tusonge, lakini sio tiketi kwa wahafidhina wa nyimbo za mfumo kristu
 

Mohamed Said anajua nguvu uliyonayo katika uzi huu, usife moyo mkuu
 
Mohamed Said;5990389]
Jasusi,
Usinitie mimi chungu kimoja na akina Nguruvi hawa si makamu yangu...
Angalau wewe umefika kwetu na unatujua.
Mohamed unaona jinsi ulivyonajisi kizazi? Hao ndio unakaaa nao chungu kimoja kwasababu wameshiba ''takwimu'' zako na sasa wanazitumia kisomi na vema kabisa.
Hao ndio saizi unayoitaka katika chungu chako.

 

HAPA ndipo kukuamini inakuwa taabu,unatumia kiswahili kukimbilia moral high ground kwa vitu ambavyo vyiko obvious-kwa mkazi yoyote wa Dar mwenye "ear on the ground" which na assume wewe ni mmoja wao,Sheikh Kassim ana "dark side" katika historia yake.Hii ni open secret known by everybody,Wakati akiishi United nations road if i am not mistaken-goings in na goings out zilikuwa obvious.Leo hii unapinda historia kwa kumtetetea cause its a taboo. ITS time you call a spade,a spade- naamini hata zomba anaweza akaku furnish na detail zaidi
 

Son...
Kuna akida kuhusu ushahidi katika Uislam lakini najua wewe hutozikubali.

Ikiwa unataka kuamini hivyo utakavyo siwezi kukuzuia lakini jua nami sitokupa yangu niyajuayo.
 
Mohamed unaona jinsi ulivyonajisi kizazi? Hao ndio unakaaa nao chungu kimoja kwasababu wameshiba ''takwimu'' zako na sasa wanazitumia kisomi na vema kabisa.
Hao ndio saizi unayoitaka katika chungu chako.


Nguruvi,
Upendacho.
 
The Prime Minister is the head of government in England. But the Queen is the head of the British Kingdom. The QUEEN is the head of the Church of England.
 
Jasusi vipi mbona kimya?vipi huo msumari wa mdondoaji umekuchoma kumoyo eehh
Sijaona msumari wowote. Nilikuwa nimechukua time out kidogo kwenye huu mnakasha. Malkia wa Uingereza ndiye mkuu wa Kanisa la Uingereza. Na malkia wa Uingereza ndiye sovereign head wa serikali ya Uingereza. Waziri mkuu ni kiongozi wa serikali tu. Ndivyo ilivyo na mfumo wa kanisa la Uingereza waliojiwekea wao. Huo mfumo haumo katika Biblia.
 
Mohamed Said,

..Umetukumbusha kuhusu jarida la Africa Events.

..unajua wakati gazeti lile linatoka mimi ndiyo wakati najifunza kusoma kiingereza.

..kwa hiyo nilikuwa nasoma lakini sipati picha nzima ya nini kinaongelewa.

..sasa kuna toleo la Africa Events waliandika kuhusu Mohamed Naguib na ushiriki wake katika mapinduzi ya Egypt, na jinsi alivyokuja "kufanyiziwa" na Gamal Nasser.

..baadaye nilisoma makala ya mauaji yaliyotokea Zanzibar, ikiwataja watu kama Mdungi Ussi, Azizi Twala, etc etc.

..zaidi, kuna makala kuhusu waasisi wa TANU. Hii makala nadhani iliambatanisha na picha ya waasisi hao. nakumbuka kuiangalia mara kwa mara ile picha na sikumbuki kama nilikuwa naelewa haswa relation ya picha ile na makala nzima.

..swali langu ni hili: je, wewe ndiye mwandishi wa makala ile? Je, ilikuwa ni makala moja au ulitoa na nyingine tena ktk Africa Events? Mwisho, makala ya iliyowahusu kina Mdungi Ussi, Azizi Twala, ilitoka ktk toleo moja na makala yako kuhusu waasisi wa Tanu??

..Mwisho, naomba utueleze kidogo kuhusu mwandishi aliyeitwa Mlamali Hassan Mlamali. Je, huyu ndiye pia alikuwa akiandika makala za barua kutoka London? Wapi naweza kupata makala za barua kutoka London??
 
Last edited by a moderator:

Ami,
Ndugu yangu.

Hivi nikikuambia kuwa Abdu Sykes hakualikwa katika sherehe za uhuru wa Tanganyika utaniamini?

Siku ile ilipopandishwa bendera usiku wa manane alikuwa nyumbani kwa mama yake Lindi Street
akifuatilia matangazo yale kwenye radio.
 
Mohamed,
Ndiyo ile Mercedes ya Abdulwahid nikiifahamu. Sijawahi kumuuliza Kleist lakini nasikia eti baada ya kifo cha baba yake mmoja wa dada zake alikuja na kuondoka na hiyo Mercedes. Naomba pia ufunguke juu ya stori ya Nyerere kulishwa sumu.
Niliisikia mara ya kwanza wakizungumza vijana pale Aga Khan (Tambaza).
 
Son...
Kuna akida kuhusu ushahidi katika Uislam lakini najua wewe hutozikubali.

Ikiwa unataka kuamini hivyo utakavyo siwezi kukuzuia lakini jua nami sitokupa yangu niyajuayo.

YOU r pushing us to the limits,kuviokoa this lost generation under your spell- i was ready to start naming names-hili walimwengu waone how unavyopindisha history to suit your agenda-but hiyo tone yako juu naona umekubali albeit indirectly-hence forthwith hii topic naifunga
 
Ami,
Ndugu yangu.

Hivi nikikuambia kuwa Abdu Sykes hakualikwa katika sherehe za uhuru wa Tanganyika utaniamini?

Siku ile ilipopandishwa bendera usiku wa manane alikuwa nyumbani kwa mama yake Lindi Street
akifuatilia matangazo yale kwenye radio.

this is new-ina maana watu wote wale stadium walikuwa wamealikwa????
 
Ahsante sana..

Wao wangeyajulia wapi mambo kama haya?
kama shukrani wanashindwa kuitoa kwa elimu huu basi waache zao kejeli na dharau,
kuna watu zaid ya 10,000 wananufaika na uwepo wako hapa..
Hivi kusema Tanzania ni mwanachama wa commonwealth kwasababu ya mfumokristo hiyo ni eleimu kweli Mohamed!!
Mbona uandharau sana, yaani umetufannya sisi sote gogo vivu! please

Kwamba watu wakushangilie kwa hilo. Umri wako hakuruhusu kusema achilia mbali kuandika kitu kama hicho.
Tuishi na aibu hiyo kwasababu amesema Mohamed.
 


Nguruvi kutokumkubali Moh Said ni ishara tuh za kutokuukubali ukweli..

Kweli tena nakuambia..
 
JokaKuu,

Huyu ni wewe au mtu kaiba password yako?

Wewe unajifunza Kizungu?
 
Last edited by a moderator:
Nguruvi,

Siwezi kukunyima starehe yako. Hapo ndipo unapopaweza.

Kwa hakika nakutaja sana kwa sababu you make my mojo working.

Unaweza kunijibu kwa lugha yoyote ili muradi hunitukani.

Lakini nilikuuliza wewe nani akujuaye? Unaweza kujidhihirisha kama Mohamed?

Hukunijibu, Lakini si lazima unijibu.

Hata ukikaa kimya kwangu ni jibu tosha.

Ukitaka kuyafikia makamu yangu uandike. Nisingeandika ningekuwa mti kati ya miti porini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…