Ha ha ha ha! unaanza kutisha watu. Sisi wengine tupo kila mahali hata huko baharini.Nguruvi,
Buko na definition.Definition si ushapewa na Ami?
Au huridhiki hadi itoke kwangu?Angalia hatari ya kuzungumza usichokijua...Hadith na Sunna...Hiyo ni bahari nyingine kabisa.
Ulivyo mpumbavu, unadhani watu wote ni wafuasi wa imani yako! nenda kwenye mihadhara yenu sio hapa JF, ukitaka kuyaleta hapa JF basi peleka kwenye jukwaa la Dini!Mag3 nimekubali maneno ya Ritz kwamba wewe ni ignorant au hujui kwamba uislamu ni dini yenye kutaka hoja na dalili Mwanakijiji kabisha yesu hakuwa muislamu mimi nimemthibitishia kwamba yesu alikuwa muislamu na kiarabu ni lugha iliyoteremshiwa Quran sasa kunakosa gani? au wewe umeona kithungu ni lugha ya maana sana , Baba usivamie fani anza kwanza na mwanakijiji aliyebisha kabla ya mimi niliye jibu au ndio mambo ya mfumo K mpaka JF.
Huna lolote mzee mchimvi wewe, baada ya kushindwa hoja unataka kujitoa kijanja! muoga mkubwa! dalili za kushindwa na kutaka kukimbia zilianza na makele yako ya kila siku... mara oh.. anzisheni uzi wa utumwa muone... oh mimi ndie mbabe hapa... mara oh... wenzetu wamehamaki.... matusi yameanza. Mohamedi wewe umeshindwa kabisa hoja, huna hata tafsiri sahihi ya "Concept" mfumo kristo uliyoiasisi katika kuendeleza chuki na fitna zako kwa watanzania. You are doomed embicile old man.Rapheri,
Kama unabisha tupinge.
Mimi naondoka hapa jamvini kwa siku saba
tuone wasikilizaji kama watafungua stesheni
hii.
Sema su nitangaze likizo nikuache na Nguruvi
tuone.
Hahaha hapa hachomoki mtu mpaka ukweli ubaki huru, hawa wachochezi na wazushi kama Mohame tuwaambi
Sikweli rafiki, hivi unajiaminishaje kuwa bila wewe mjadala huu utapoa? Kwani unahoja gani ambayo ni mujarabu sasa?Rapheri,Kama unabisha tupinge.Mimi naondoka hapa jamvini kwa siku sabaWtuone wasikilizaji kama watafungua steshenihii.Sema su nitangaze likizo nikuache na Nguruvituone.
Mohamed, watu wanafaham ukitaka kuua hoja huwa unafanya nini. Nayambala keshasema.Nguruvi,
Ikiwa unastareheshwa na kubaki hapo hapo umegota sawa.
Ila mimi nishakwambia silazimishwi jambo.
Kawaida yangu kwenda mbele.
Pokea zawadi hii kutoka kwangu ushushe joto.
Kazi na dawa:
Ukivuka Livingstone ndiyo unafika sasa katika nyumba ya Bi Mluguru bint Mussa mama yake Abdulwahid Sykes.
Kuna kisa kimoja, kilitokea hapa wakati wa kudai uhuru, viko vingi lakini kwa ajili ya muda ntaeleza hiki kimoja.
Hii nyumba mkasa huu ulipotokea ndiyo ilikuwa ''retrreat'' ya Nyerere na Abdu wakiwa na jambo zito la kufanyiwa uamuzi katika chama.
Nyumba hii ipo hadi leo ingawa imebadilishwa kidogo na kuchukua sura nyingine.
Nikifumba macho namuona Bi. Mluguru anapanga chupa zake za togwa barazani na mimi na rafiki yangu Ebby Sykes tunanyemelea kupewa chupa moja kubwa ya mapenzi maana huyu ni mke wetu lazima tumuonjee togwa lake.
Ah! Wakati umekwenda wapi?
Siku moja Nyerere alikuwa pale Kirk Street pamoja na Abdulwahid Sykes na Mama Maria na mama yake Nyerere Bi Mugaya pia alikuwapo.
Ghafla Nyerere alipindukwa na tumbo baada ya kula chakula cha mchana na akawa katika maumivi makali sana.
Hali ilipozidi kuwa mbaya, Mama Maria akamwita pembeni Bi Mwamvua maarufu akijulikana kama Mama Daisy, mke wa Abdulwahid na kumwambia kuwa mama yake Nyerere Bi Mugaya ana wasiwasi kuwa mwanae anakufa kapewa sumu.
Mama Maria hofu ilikuwa imempata na akawa na wahka mkubwa.
Mama Mugaya akamnongoneza Bi Mluguru kuwa ana wasiwasi kuwa aliyempa sumu mwanae si mtu wa mbali.
Nyerere hakuwa amelishwa sumu.
Habari hii ilienea mji mzima na ikaleta hofu kubwa kwa wana TANU.
Lakini ukweli ni kuwa Nyerere alikuwa amepindukwa tu natumbo.
Ukitoka nyumba ya Bi Mluguru sasa kabla hujakatiza Sikukuu Street mkono wa kulikuwa na kinyozi aliyekuwa maarufu akiwanyoa watu wote wa Gerezani na kwengineko akijulikana kwa jina moja tu la Muingereza.
Muingereza alikuwa akinyoa chini ya mti wa Mkwaju na umuhimu wa mahali pale ilikuwa ni barza wakikutana watu kwa mazungumzo hasa nyakati za alasiri.
Hapa katika miaka ya 1950 mazungumzo yalikuwa siasa tu.
Leo Gavana Twining kasema hili, leo Nyerere kajibu vile, B Titi kawashambulia wakoloni, Mtemvu kafanya hiki na habari zote zilikuwa zikifika pale na kuwekwa uwanjani kwa mjadala.
Wakati gumzo likiendelea sauti ya mkasi wa Muingereza ulikuwa ikisikika ikila nywele katika kichwa kat, kat, kat...na yeye mwenyewe Muingereza alikuwa mtu wa vichekesho sana hakuwa nyuma katika kutupa neno hapana pale kama vile, Sikiiza bwana huyu Twining Nyerere keshamtafutia mbeleko yake, atabebwa tu hana ujanja.
Hapo pembeni anaweza kuwa amekaa Abdulwahid,Dossa na jamaa wengine tena wamekalia gogo (maana kwa Mwingereza kulikuwahakuna viti) lakini wote wakiunganishwa na mapenzi yao kwa TANU.
Baadae ilipokuja Congress kama chama cha upinzani wanachama wa Congress hawakukosa pale na barza sasa ikiwa imestawi hasa.
Hii ilikuwa barza ya baba yangu.
Mijadala kati ya TANU na Congress wenyewe wakiisifia wakiita ''Mwamba Usiovunjika'' kwa kawaida ilikuwa mikali hata kushinda ya Sunderland na Yanga.
Mazungumzo yatabadilika siku Sunderland wako uwanjani Ilala Stadium wakicheza na Yanga.
Hapo tena siasa inawekwa pembeni mazungumzo yanahamia kwenye mpira na washabiki wa timu zote walikuwa wanabaraza wa Kinyozi Muingereza.
Wakati ule Yanga walikuwa na mchezaji wao maarufu bingwa wa kupiga kona Hamisi Mtoto tena yeye mwenyewe alikuwa mkazi wa Gerezani, Mtaa wa Somali Street kona na Sikukuu.
Sunderland wakijuvunia Harold Mgone walompachika jina Wamisalaba, Mashaka Abdallah maarufu kwa jina la Mashaka Prince, Salum Kheri Kilanga, Salum Ali maarufu kwa jina la Jini na wengineo, (kisa cha Salum Ali kuitwa jini ni kuwa alikuwa akitumia mguu mmoja tu katika uchezaji wake. Salum Ali alicheza mpira hadi katika miaka ya 1960 katikati) huyu Kilanga alikuwa Yanga kisha akahamia Sunderland.
Wakati huo huo Mambo Mzinga aliyekuwa Yanga nae akatoka akaenda Sunderland.
Mambo Mzinga alikuwa mwalimu wa madras iliyoanzishwa na baba yake Sheikh Mzinga.
Watoto wengi wa Dar es Salaam pamoja na baba yangu wamesoma chuo hiki ambacho kipo hadi leo Mtaa wa Mafia kona na Chura.
Yanga walikuwa na wachezaji wengine wakali kama Stumai Mzee, Juma Mbimbi, Hamisi Fotini, Badr Malande, Mwenda Mushi na wengineo.
Baadhi ya wachezaji hawa ndiyo walichukua kombe la Gossage mwaka 1949.
Nguruvi,
Kuzaliwa mjini dawa.
Hawa watu nimewaona katika udogo wangu na khabari zao ndiyo kama hivi sasa nakupa na wewe na wasikizaji mpate kustarehe.
Hivi ndivyo ilivyokua historia hii na ndiyo ikashangaza Nyerere kutoa medali Abdu hakumpa.
Historia ya TANU imeandikwa Abdu hayumo.
Ukipenda niweke visa vya uhuru ninavyo vingi sana.
Insha Allah nitakuwekea movie hapa uburudike at zero cost.
Hivyo ndivyo ilivyokuwa.
Hayo maneno ya mwisho nimemuibia Walter Conkrite.
Kama wameshakula yamini kutoamin basi hata ueleze nini hawawez tuh kuamini,
Kikubwa ukweli unazungumzwa na wenye akili zao timamu wenye kupima na kudadavua mambo wanajua Moh Said,
Labda wao wameona njia ya kujitafutia umaarufu ni kum-challange na kumkejeli Moh Said,sio mbaya sana..
Wamejaribu,Tumeona,,ila sasa wameshindwa moja kwa moja kutetea hoja zao kuhusu uchochezi wako na farki unayoijenga..
Sisi tunastareheka na hoja zao za kiabunuasi..
Sikweli rafiki, hivi unajiaminishaje kuwa bila wewe mjadala huu utapoa? Kwani unahoja gani ambayo ni mujarabu sasa?
Tabia yenu hii ya kuamini bila kuhoji kila kitu anachosema Mohamed Said naweza kuifananisha na wale mbwa waliokuwa wakifanyiwa majaribio na Pavlov. Yeye aliwazoeza wale mbwa kabla ya kuwapa chakula kuwapigia kengele. Baada ya kurudia mara nyingi kile kitendo mwishowe wale mbwa wakazoeawakisikia kengele tu wanaanza kutoa udenda wakijua kuna chakula.
Na nyinyi mmekuwa conditioned kuamini matatizo yenu yote yanasababishwa na wakristu. Kupitia misikiti/mihadhara/dvd/madrasa/radio nk mmekuwa kila uchao mkilishwa hizi sumu za akina Mohamed Said na wenzake kama akina Ilunga mpaka mmefikia hatua ya kuamini kila kitu kibaya mnachokisikia kinachowahusisha wakristu kuwatendea waislam. Hamtumii akili zenu tenahata uwongo wa mchana kweupe mnaaminimmekuwa kama wale mbwa wa Pavlov waliokuwa wakisia kengele tu wanaanza kutoa udenda hata kama chakula hakipo.
Mkiambiwa Nyerere aliwachukia waislam na uislammnaamini
Necta kuna wakristu wanafelisha waislam...ni kweli
Bwana mmoja huko nyuma kasema Bugando na kcmc wanatoboa mashehe macho...ah hiii nayo itakuwa ni kweli tu...hakuna kuhoji.
Mungu awape afya njema na maisha marefu akina Nguruvi3,Mag3,mwanakijiji,jasusi na wengine wengi wanaojitahidi bila kuchoka kuwanasua watu kama nyinyi mliofungwa kwenye minyonyoro ya kifikra na watu waovu wasiolitakia mema taifa letu.
Mohamed, watu wanafaham ukitaka kuua hoja huwa unafanya nini. Nayambala keshasema.
Hili la akina Muingereza, Badri Malande, Hamis Fotini, Bi Daisy, Bi Mluguru, Tatu Said na Mwanameka mashallah elezea hadi asubuhi inayofuata wala hutanisikia. Mtu anaelezea kuhusu bibi au nyanya yake utahoji nini.mtu anaeleza utamu wa togwa kwanini uhoji hilo.
Unatualika ukishavuka mstari na kuingia kule tunakofahamu, hapo hatutakuacha.
Ahsante kwa habari hii nzuri sana kuhusu watu wa gerezani zama zenu, sasa kuna viporo vya hoja vinakusubiri
Tafadhali rejea katika viporo maana watu wamechanganyikiwa ati!
Ilikuwaje Warioba akatoka Kyabakari kupitia Ikizu moja kwa moja na kuwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais!
Eti kile walichoandika wengine kuhusu Warioba na nyadhifa zake ni kweli au watu wabaki kuamini kuwa Warioba aliota kama Uyoga kutokana na christian lobby na Nyerere. That's the core issue.
Yericko,
Nami nakuuliza kwani kwenu hujafunzwa kuwaweka watu katika nafasi zao?
Rapheri,
Kama unabisha tupinge.
Mimi naondoka hapa jamvini kwa siku saba
tuone wasikilizaji kama watafungua stesheni
hii.
Sema su nitangaze likizo nikuache na Nguruvi
tuone.
Ha ha ha ha! unaanza kutisha watu. Sisi wengine tupo kila mahali hata huko baharini.
Narudia hadithi na sunna. Unataka uchukue hata umiliki wa maandiko matakatifu.!!please
Wacha vilio vya kitoto hivyo, mtu mzima hovyooo!Mohamed Said,
Naona hawa ndugu zetu sasa wanakosa UTU wanatufananisha na MBWA tuwaombee dua Allah hawajalie busara na hekima.
Mohamed Said,
Naona hawa ndugu zetu sasa wanakosa UTU wanatufananisha na MBWA tuwaombee dua Allah hawajalie busara na hekima.
Ha ha ha ha! unaanza kutisha watu. Sisi wengine tupo kila mahali hata huko baharini.
Narudia hadithi na sunna. Unataka uchukue hata umiliki wa maandiko matakatifu.!!please
Yeah; thats what I thought you would say. Yesu hakuwa Muislamu kama angekuwa Muislamu basi Wayahudi wote bado ni Waislamu! Na kila mtu asiye Muislamu ni Muislamu!
Wiki mbili zilziopita uliondoka na mnakasha uliendelea tu. Nadhani tukikuacha na akina Ami inaweza kuwa kweli. Mohamed, kitabu kipo miaka 15 kwanini hujiulizi wasomaji 117K wanafuatilia nini? Nadhani hawa walishakisoma sasa kama ndivyo wanafuatilia nini hasa, hilo ndilo la kujiuliza.Rapheri,
Kama unabisha tupinge.
Mimi naondoka hapa jamvini kwa siku saba
tuone wasikilizaji kama watafungua stesheni
hii.
Sema su nitangaze likizo nikuache na Nguruvi
tuone.
Rapheri,
Kama unabisha tupinge.
Mimi naondoka hapa jamvini kwa siku saba
tuone wasikilizaji kama watafungua stesheni
hii.
Sema su nitangaze likizo nikuache na Nguruvi
tuone.