Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kama Nyerere angefuata ushauri wa Basil Davidson haya yote yasingitokea.
 
Nguruvi,
Buko na definition.Definition si ushapewa na Ami?
Au huridhiki hadi itoke kwangu?Angalia hatari ya kuzungumza usichokijua...Hadith na Sunna...Hiyo ni bahari nyingine kabisa.
Ha ha ha ha! unaanza kutisha watu. Sisi wengine tupo kila mahali hata huko baharini.
Narudia hadithi na sunna. Unataka uchukue hata umiliki wa maandiko matakatifu.!!please
 
Mag3 nimekubali maneno ya Ritz kwamba wewe ni ignorant au hujui kwamba uislamu ni dini yenye kutaka hoja na dalili Mwanakijiji kabisha yesu hakuwa muislamu mimi nimemthibitishia kwamba yesu alikuwa muislamu na kiarabu ni lugha iliyoteremshiwa Quran sasa kunakosa gani? au wewe umeona kithungu ni lugha ya maana sana , Baba usivamie fani anza kwanza na mwanakijiji aliyebisha kabla ya mimi niliye jibu au ndio mambo ya mfumo K mpaka JF.
Ulivyo mpumbavu, unadhani watu wote ni wafuasi wa imani yako! nenda kwenye mihadhara yenu sio hapa JF, ukitaka kuyaleta hapa JF basi peleka kwenye jukwaa la Dini!
 
Rapheri,
Kama unabisha tupinge.

Mimi naondoka hapa jamvini kwa siku saba
tuone wasikilizaji kama watafungua stesheni
hii.

Sema su nitangaze likizo nikuache na Nguruvi
tuone.
Huna lolote mzee mchimvi wewe, baada ya kushindwa hoja unataka kujitoa kijanja! muoga mkubwa! dalili za kushindwa na kutaka kukimbia zilianza na makele yako ya kila siku... mara oh.. anzisheni uzi wa utumwa muone... oh mimi ndie mbabe hapa... mara oh... wenzetu wamehamaki.... matusi yameanza. Mohamedi wewe umeshindwa kabisa hoja, huna hata tafsiri sahihi ya "Concept" mfumo kristo uliyoiasisi katika kuendeleza chuki na fitna zako kwa watanzania. You are doomed embicile old man.
 
Basi mimi kila nikimuona Nguruvi3 humu ndani huwa najikuta tu naimba Nguruvi3 Bomaye!, Nguruvi3 Bomaye! As Congolese Chanted in Lingala when Mohamed Ali entered the ring during the Rumble in the Jungle fight against George Foreman in 1974Mkuu Nguruvi naona wapambe wanajipanga kurusha taulo kati
Hahaha hapa hachomoki mtu mpaka ukweli ubaki huru, hawa wachochezi na wazushi kama Mohame tuwaambi
 
Last edited by a moderator:
Rapheri,Kama unabisha tupinge.Mimi naondoka hapa jamvini kwa siku sabaWtuone wasikilizaji kama watafungua steshenihii.Sema su nitangaze likizo nikuache na Nguruvituone.
Sikweli rafiki, hivi unajiaminishaje kuwa bila wewe mjadala huu utapoa? Kwani unahoja gani ambayo ni mujarabu sasa?
 
Nguruvi,
Ikiwa unastareheshwa na kubaki hapo hapo umegota sawa.

Ila mimi nishakwambia silazimishwi jambo.
Kawaida yangu kwenda mbele.

Pokea zawadi hii kutoka kwangu ushushe joto.
Kazi na dawa:

Ukivuka Livingstone ndiyo unafika sasa katika nyumba ya Bi Mluguru bint Mussa mama yake Abdulwahid Sykes.

Kuna kisa kimoja, kilitokea hapa wakati wa kudai uhuru, viko vingi lakini kwa ajili ya muda ntaeleza hiki kimoja.

Hii nyumba mkasa huu ulipotokea ndiyo ilikuwa ''retrreat'' ya Nyerere na Abdu wakiwa na jambo zito la kufanyiwa uamuzi katika chama.

Nyumba hii ipo hadi leo ingawa imebadilishwa kidogo na kuchukua sura nyingine.

Nikifumba macho namuona Bi. Mluguru anapanga chupa zake za togwa barazani na mimi na rafiki yangu Ebby Sykes tunanyemelea kupewa chupa moja kubwa ya mapenzi maana huyu ni mke wetu lazima tumuonjee togwa lake.

Ah! Wakati umekwenda wapi?

Siku moja Nyerere alikuwa pale Kirk Street pamoja na Abdulwahid Sykes na Mama Maria na mama yake Nyerere Bi Mugaya pia alikuwapo.

Ghafla Nyerere alipindukwa na tumbo baada ya kula chakula cha mchana na akawa katika maumivi makali sana.

Hali ilipozidi kuwa mbaya, Mama Maria akamwita pembeni Bi Mwamvua maarufu akijulikana kama Mama Daisy, mke wa Abdulwahid na kumwambia kuwa mama yake Nyerere Bi Mugaya ana wasiwasi kuwa mwanae anakufa kapewa sumu.

Mama Maria hofu ilikuwa imempata na akawa na wahka mkubwa.

Mama Mugaya akamnong’oneza Bi Mluguru kuwa ana wasiwasi kuwa aliyempa sumu mwanae si mtu wa mbali.
Nyerere hakuwa amelishwa sumu.

Habari hii ilienea mji mzima na ikaleta hofu kubwa kwa wana TANU.
Lakini ukweli ni kuwa Nyerere alikuwa amepindukwa tu natumbo.

Ukitoka nyumba ya Bi Mluguru sasa kabla hujakatiza Sikukuu Street mkono wa kulikuwa na kinyozi aliyekuwa maarufu akiwanyoa watu wote wa Gerezani na kwengineko akijulikana kwa jina moja tu la Muingereza.

Muingereza alikuwa akinyoa chini ya mti wa Mkwaju na umuhimu wa mahali pale ilikuwa ni barza wakikutana watu kwa mazungumzo hasa nyakati za alasiri.

Hapa katika miaka ya 1950 mazungumzo yalikuwa siasa tu.

Leo Gavana Twining kasema hili, leo Nyerere kajibu vile, B Titi kawashambulia wakoloni, Mtemvu kafanya hiki na habari zote zilikuwa zikifika pale na kuwekwa uwanjani kwa mjadala.

Wakati gumzo likiendelea sauti ya mkasi wa Muingereza ulikuwa ikisikika ikila nywele katika kichwa kat, kat, kat...na yeye mwenyewe Muingereza alikuwa mtu wa vichekesho sana hakuwa nyuma katika kutupa neno hapana pale kama vile, “Sikiiza bwana huyu Twining Nyerere keshamtafutia mbeleko yake, atabebwa tu hana ujanja.”

Hapo pembeni anaweza kuwa amekaa Abdulwahid,Dossa na jamaa wengine tena wamekalia gogo (maana kwa Mwingereza kulikuwahakuna viti) lakini wote wakiunganishwa na mapenzi yao kwa TANU.

Baadae ilipokuja Congress kama chama cha upinzani wanachama wa Congress hawakukosa pale na barza sasa ikiwa imestawi hasa.

Hii ilikuwa barza ya baba yangu.

Mijadala kati ya TANU na Congress wenyewe wakiisifia wakiita ''Mwamba Usiovunjika'' kwa kawaida ilikuwa mikali hata kushinda ya Sunderland na Yanga.

Mazungumzo yatabadilika siku Sunderland wako uwanjani Ilala Stadium wakicheza na Yanga.

Hapo tena siasa inawekwa pembeni mazungumzo yanahamia kwenye mpira na washabiki wa timu zote walikuwa wanabaraza wa Kinyozi Muingereza.

Wakati ule Yanga walikuwa na mchezaji wao maarufu bingwa wa kupiga kona Hamisi Mtoto tena yeye mwenyewe alikuwa mkazi wa Gerezani, Mtaa wa Somali Street kona na Sikukuu.

Sunderland wakijuvunia Harold Mgone walompachika jina “Wamisalaba,” Mashaka Abdallah maarufu kwa jina la “Mashaka Prince,” Salum Kheri Kilanga, Salum Ali maarufu kwa jina la “Jini” na wengineo, (kisa cha Salum Ali kuitwa jini ni kuwa alikuwa akitumia mguu mmoja tu katika uchezaji wake. Salum Ali alicheza mpira hadi katika miaka ya 1960 katikati) huyu Kilanga alikuwa Yanga kisha akahamia Sunderland.

Wakati huo huo Mambo Mzinga aliyekuwa Yanga nae akatoka akaenda Sunderland.

Mambo Mzinga alikuwa mwalimu wa madras iliyoanzishwa na baba yake Sheikh Mzinga.

Watoto wengi wa Dar es Salaam pamoja na baba yangu wamesoma chuo hiki ambacho kipo hadi leo Mtaa wa Mafia kona na Chura.

Yanga walikuwa na wachezaji wengine wakali kama Stumai Mzee, Juma Mbimbi, Hamisi Fotini, Badr Malande, Mwenda Mushi na wengineo.

Baadhi ya wachezaji hawa ndiyo walichukua kombe la Gossage mwaka 1949.

Nguruvi,
Kuzaliwa mjini dawa.

Hawa watu nimewaona katika udogo wangu na khabari zao ndiyo kama hivi sasa nakupa na wewe na wasikizaji mpate kustarehe.

Hivi ndivyo ilivyokua historia hii na ndiyo ikashangaza Nyerere kutoa medali Abdu hakumpa.
Historia ya TANU imeandikwa Abdu hayumo.

Ukipenda niweke visa vya uhuru ninavyo vingi sana.

Insha Allah nitakuwekea movie hapa uburudike at zero cost.
Hivyo ndivyo ilivyokuwa.

Hayo maneno ya mwisho nimemuibia Walter Conkrite.
Mohamed, watu wanafaham ukitaka kuua hoja huwa unafanya nini. Nayambala keshasema.

Hili la akina Muingereza, Badri Malande, Hamis Fotini, Bi Daisy, Bi Mluguru, Tatu Said na Mwanameka mashallah elezea hadi asubuhi inayofuata wala hutanisikia. Mtu anaelezea kuhusu bibi au nyanya yake utahoji nini.mtu anaeleza utamu wa togwa kwanini uhoji hilo.

Unatualika ukishavuka mstari na kuingia kule tunakofahamu, hapo hatutakuacha.
Ahsante kwa habari hii nzuri sana kuhusu watu wa gerezani zama zenu, sasa kuna viporo vya hoja vinakusubiri

Tafadhali rejea katika viporo maana watu wamechanganyikiwa ati!
Ilikuwaje Warioba akatoka Kyabakari kupitia Ikizu moja kwa moja na kuwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais!

Eti kile walichoandika wengine kuhusu Warioba na nyadhifa zake ni kweli au watu wabaki kuamini kuwa Warioba aliota kama Uyoga kutokana na christian lobby na Nyerere. That's the core issue.
 
Kama wameshakula yamini kutoamin basi hata ueleze nini hawawez tuh kuamini,

Kikubwa ukweli unazungumzwa na wenye akili zao timamu wenye kupima na kudadavua mambo wanajua Moh Said,

Labda wao wameona njia ya kujitafutia umaarufu ni kum-challange na kumkejeli Moh Said,sio mbaya sana..

Wamejaribu,Tumeona,,ila sasa wameshindwa moja kwa moja kutetea hoja zao kuhusu uchochezi wako na farki unayoijenga..

Sisi tunastareheka na hoja zao za kiabunuasi..

Tabia yenu hii ya kuamini bila kuhoji kila kitu anachosema Mohamed Said naweza kuifananisha na wale mbwa waliokuwa wakifanyiwa majaribio na Pavlov. Yeye aliwazoeza wale mbwa kabla ya kuwapa chakula kuwapigia kengele. Baada ya kurudia mara nyingi kile kitendo mwishowe wale mbwa wakazoea…wakisikia kengele tu wanaanza kutoa udenda wakijua kuna chakula.
Na nyinyi mmekuwa conditioned kuamini matatizo yenu yote yanasababishwa na wakristu. Kupitia misikiti/mihadhara/dvd/madrasa/radio nk mmekuwa kila uchao mkilishwa hizi sumu za akina Mohamed Said na wenzake kama akina Ilunga mpaka mmefikia hatua ya kuamini kila kitu kibaya mnachokisikia kinachowahusisha wakristu kuwatendea waislam. Hamtumii akili zenu tena…hata uwongo wa mchana kweupe mnaamini…mmekuwa kama wale mbwa wa Pavlov waliokuwa wakisia kengele tu wanaanza kutoa udenda hata kama chakula hakipo.
Mkiambiwa Nyerere aliwachukia waislam na uislam…mnaamini
Necta kuna wakristu wanafelisha waislam...ni kweli
Bwana mmoja huko nyuma kasema Bugando na kcmc wanatoboa mashehe macho...ah hiii nayo itakuwa ni kweli tu...hakuna kuhoji.

Mungu awape afya njema na maisha marefu akina Nguruvi3,Mag3,mwanakijiji,jasusi na wengine wengi wanaojitahidi bila kuchoka kuwanasua watu kama nyinyi mliofungwa kwenye minyonyoro ya kifikra na watu waovu wasiolitakia mema taifa letu.
 
Tabia yenu hii ya kuamini bila kuhoji kila kitu anachosema Mohamed Said naweza kuifananisha na wale mbwa waliokuwa wakifanyiwa majaribio na Pavlov. Yeye aliwazoeza wale mbwa kabla ya kuwapa chakula kuwapigia kengele. Baada ya kurudia mara nyingi kile kitendo mwishowe wale mbwa wakazoeawakisikia kengele tu wanaanza kutoa udenda wakijua kuna chakula.
Na nyinyi mmekuwa conditioned kuamini matatizo yenu yote yanasababishwa na wakristu. Kupitia misikiti/mihadhara/dvd/madrasa/radio nk mmekuwa kila uchao mkilishwa hizi sumu za akina Mohamed Said na wenzake kama akina Ilunga mpaka mmefikia hatua ya kuamini kila kitu kibaya mnachokisikia kinachowahusisha wakristu kuwatendea waislam. Hamtumii akili zenu tenahata uwongo wa mchana kweupe mnaaminimmekuwa kama wale mbwa wa Pavlov waliokuwa wakisia kengele tu wanaanza kutoa udenda hata kama chakula hakipo.
Mkiambiwa Nyerere aliwachukia waislam na uislammnaamini
Necta kuna wakristu wanafelisha waislam...ni kweli
Bwana mmoja huko nyuma kasema Bugando na kcmc wanatoboa mashehe macho...ah hiii nayo itakuwa ni kweli tu...hakuna kuhoji.

Mungu awape afya njema na maisha marefu akina Nguruvi3,Mag3,mwanakijiji,jasusi na wengine wengi wanaojitahidi bila kuchoka kuwanasua watu kama nyinyi mliofungwa kwenye minyonyoro ya kifikra na watu waovu wasiolitakia mema taifa letu.

Sweke34,

Hata kama una chuki kiasi na Waislam na Uislam siyo jambo jema kwafananisha na MBWA.
 
Mohamed, watu wanafaham ukitaka kuua hoja huwa unafanya nini. Nayambala keshasema.

Hili la akina Muingereza, Badri Malande, Hamis Fotini, Bi Daisy, Bi Mluguru, Tatu Said na Mwanameka mashallah elezea hadi asubuhi inayofuata wala hutanisikia. Mtu anaelezea kuhusu bibi au nyanya yake utahoji nini.mtu anaeleza utamu wa togwa kwanini uhoji hilo.

Unatualika ukishavuka mstari na kuingia kule tunakofahamu, hapo hatutakuacha.
Ahsante kwa habari hii nzuri sana kuhusu watu wa gerezani zama zenu, sasa kuna viporo vya hoja vinakusubiri

Tafadhali rejea katika viporo maana watu wamechanganyikiwa ati!
Ilikuwaje Warioba akatoka Kyabakari kupitia Ikizu moja kwa moja na kuwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais!

Eti kile walichoandika wengine kuhusu Warioba na nyadhifa zake ni kweli au watu wabaki kuamini kuwa Warioba aliota kama Uyoga kutokana na christian lobby na Nyerere. That's the core issue.

Nguruvi,

Mstari huu hapa chini hukuuona?

''Hii nyumba mkasa huu ulipotokea ndiyo ilikuwa ''retrreat'' ya Nyerere na Abdu wakiwa na jambo zito la kufanyiwa uamuzi katika chama.''

We umemwona Mwanameka tu?
 
Yericko,
Nami nakuuliza kwani kwenu hujafunzwa kuwaweka watu katika nafasi zao?

Mohamed Said,

Naona hawa ndugu zetu sasa wanakosa UTU wanatufananisha na MBWA tuwaombee dua Allah hawajalie busara na hekima.
 
Rapheri,
Kama unabisha tupinge.

Mimi naondoka hapa jamvini kwa siku saba
tuone wasikilizaji kama watafungua stesheni
hii.

Sema su nitangaze likizo nikuache na Nguruvi
tuone.

tafadhali mzee MS usije fanya hivyo tupo kwa ajili yako kuchota elimu ya history
 
Ha ha ha ha! unaanza kutisha watu. Sisi wengine tupo kila mahali hata huko baharini.
Narudia hadithi na sunna. Unataka uchukue hata umiliki wa maandiko matakatifu.!!please

Nguruvi,
Mimi nimesema tu kwa kuwa najua uzito wa anga hizo za hadith na sunna.

Sina nguvu ya kukuzuia kufanya utakalo.
 
Mohamed Said,

Naona hawa ndugu zetu sasa wanakosa UTU wanatufananisha na MBWA tuwaombee dua Allah hawajalie busara na hekima.

Ritz,
Maalim wangu Sheikh Haruna alikuwa anasema ukiona sasa mtu anatoa matusi
jua ushamshinda.

Mwenye hoja hana muda wa kutukana.
Atapambana na wewe kwa hoja siyo matusi.
 
Ha ha ha ha! unaanza kutisha watu. Sisi wengine tupo kila mahali hata huko baharini.
Narudia hadithi na sunna. Unataka uchukue hata umiliki wa maandiko matakatifu.!!please

Hapo vipi Nguruvi kwenye Red na wewe nenda kwenye jukwaa la dini kuna watu huku kila unachosema wewe ni sawa yaani wana kuona kama malaika nimeshakwambia hadithi na sunna ni sawa na Giraffe na Twiga
 
Yeah; thats what I thought you would say. Yesu hakuwa Muislamu kama angekuwa Muislamu basi Wayahudi wote bado ni Waislamu! Na kila mtu asiye Muislamu ni Muislamu!

MM,
Vipi tena? si ulitaka kujua ubaguzi na dhuluma dhidi ya Waislamu TZ? sasa mbona unakuja na mapya tena? unaonaje kama ungekuja na maelezo kuhusu haya yafuatayo?
Tafadhali soma kipande hiki kutoka kitabu cha Prof. HM Njozi, "The Mwembechai Killings..."

"In 1987 the then Minister for Education and Culture the late Professor Kighoma Malima discovered that deserving Muslim candidates were deliberately being denied access to secondary education.(It is curious to note that throughout his 25 - year rule, Nyerere had always appointed a Christian to head the Ministry of Education and a Muslim to head the Ministry of Home Affairs.)

The trick used by the Christian dominated panel was to select the candidates after decoding their examination numbers. Professor Malima directed the panel to select and announce the results using examination numbers only. In that year the percentage of selected Muslim candidates rose by 40 per cent! He alerted the president about the matter and suggested a thorough investigation be carried out. He was branded “Mujahidina” and removed from that portfolio and the selection panel reverted to its old system. He repeated those charges at a public rally in Dar es Salaam in 1995. Any government which is “fiercely secular” would certainly wish to know the truth of the matter.

Apparently there was no need for the government to investigate the obvious. On July 7, 1999 Muslim leaders paid a courtesy call to President Mkapa at the State House in Dar es Salaam. In the course of their informal discussions Muslims raised the issue of decoding examination numbers. According to my informant the president was clearly surprised. When he asked his Minister for Education and Culture who also attended the talks, the minister confirmed the Muslims’ account. As a result one of the numerous but supposed “isolated” cases came to light in January 1999.

A Muslim candidate one Adam Ramadhani Kindenge of Gilman Rutihinda primary school was not selected. His father disputed the fairness of the selection process and demanded to be shown the scripts. It was an embarrassing case. Christian candidates with lower points were selected and Adam who had higher points was left out. No one in the ministry could hazard an explanation. The case was disconcerting in view of Kitwana Kondo’s question in Parliament. But it was a case which like others in the past the ministry managed to suppress. For details see Ramadhani Kindenge’s two letters to the Ministry of Education and Culture (1999).

Despite protests from Muslims, the same ministry had also successfully managed to hide from many unsuspecting Tanzanians another discomfiting letter bearing Ref. No. E10/MMC-1/183 of 9 June, 1998 from the Morogoro Municipal Education Officer directing all Headteachers to submit to that office the names of all Standard Seven Catholic students! When a weekly Muslim newspaper An-Nuur confronted the ministry with that letter the spokesperson was too embarrassed to comment. He promised however to investigate the matter. A time-tested device of dropping a hot potato!

Adam Kindenge’s case above is not an isolated one. Muslims have a long list of such cases. The name of a selected Muslim candidate, Kopa Abdallah of Kichangani primary school, in Kilosa was in 1983 unfairly cancelled out in favour of a Christian, Mr. Anthony Samirani who scored less points. Mr. Kopa is today employed as a driver. Was it merely a case of corruption? In his long career as a Secondary School Headmaster and later as a high ranking civil servant, Mr. Bori Lilla was twice confronted with incredible discoveries of religious discrimination in the country. Mr. Bori Lilla is today one of the highly respected Muslim elders in the country and is affectionately referred to as “Mzee Lilla”.

He told me and he has repeated this account to many others that he was once in the marking and selection committee and was mistaken for a Christian. After marking the scripts he decoded and recorded the names according to their pass marks, and there were as many Muslims as there were Christians. A fellow panelist who was a Christian saw the list and was very furious, he said in a loud voice, “Wewe huoni kama orodha yako ina Waislamu wengi sana, au wewe ni mgeni nini hapa?” (Don’t you see that your list has so many Muslims, or could it be that you are a new comer here?). Mzee Lilla says that he responded in an equally loud voice, “Mimi siyo mgeni, mimi ni Muislamu”. The room was gripped with an eerie silence.

Mzee Lilla witnessed the second revelation of deliberate religious discrimination when he was in the selection panel for allocating High School places for deserving Ordinary Level candidates. It was during the Islamic holy month of Ramadhan and they had almost finished their task when Christian panelists broke for lunch. The panel had only two Muslims who stayed behind. The other Muslim panelist, Mr. Abdulrahman Mwalongo, was writing something and needed a ruler which was in the Chairperson’s draw.

When he opened it he found along with the ruler, a list of 25 First class Muslim candidates who had not yet been allocated any place in High Schools while all their Christian counterparts had already been placed. And the panel’s chairperson who was also a Reverend had not even hinted that there was such a list. Mwalongo is from the Hehe ethnic group. And the Hehe are known in Tanzania as fierce warriors. When their colleagues returned, Mwalongo reminded the chairperson about the list in his draw. He brushed aside Mwalongo’s concern saying that those candidates would be taken care of later.

Quite unexpectedly,Mwalongo banged his table so forcefully that all members were taken aback. Shaking with rage Mwalongo told the chairperson no business would take place in that room before the allocation of the 25 Muslim students. The chairperson backed down and those students were placed. In July 1997 I cross-checked Mzee Lilla’s account with Mwalongo himself. He confirmed the story. As I am writing this book, both of them are still alive and can easily be contacted for further details."


Baada ya kuonekana ukweli huu katika kitabu serikali ya Benjamin Mkapa ilikipiga marufuku.

Mwanakijiji utaamini haya anayosema Profesa? au wewe huwa unaamini tu pale Kiongozi wa Chama anapodai kuna kontena la silaha limekamatwa Tunduma? au kuna dhuluma dhidi ya chama cha upinzani?
 
Rapheri,
Kama unabisha tupinge.

Mimi naondoka hapa jamvini kwa siku saba
tuone wasikilizaji kama watafungua stesheni
hii.

Sema su nitangaze likizo nikuache na Nguruvi
tuone.
Wiki mbili zilziopita uliondoka na mnakasha uliendelea tu. Nadhani tukikuacha na akina Ami inaweza kuwa kweli. Mohamed, kitabu kipo miaka 15 kwanini hujiulizi wasomaji 117K wanafuatilia nini? Nadhani hawa walishakisoma sasa kama ndivyo wanafuatilia nini hasa, hilo ndilo la kujiuliza.

Wewe unatafuta pa kutokea tu.
 
Rapheri,
Kama unabisha tupinge.

Mimi naondoka hapa jamvini kwa siku saba
tuone wasikilizaji kama watafungua stesheni
hii.

Sema su nitangaze likizo nikuache na Nguruvi
tuone.

Tunakuomba sana usithubutu kuondoka utatuacha wakiwa tufyonza wapi Ilm.
 
Back
Top Bottom