Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

1.Hii kasoro ya kufanya sensa kwa watanganyika weusi tu ni kubwa sana.Tutajadili baadae.
2.Sensa imesema kuna sehemu haikufika,huo wingi wa makabila ulijulikanaje?.Naomba hiyo jedwali nayo ilete hapa.
3.Na pamoja na kwamba uwingi wao ni wa makisio wewe tayari unataka wawe ni kigezo cha waislamu kukaa kimya kudai haki zao.Mbali na hapo iwapo makabila hayo kutokana na sababu yoyote ile hawajaona sehemu waliyopunjwa au kunyimwa haki zao kuna umuhimu gani wa wao kudai chochote kutoka serikalini?


Mimi si msemaje wa Mohammed lakini nafikiri muda wa yeye kukiri hadharani bado mpaka wewe utakapoweza kujibu maswali mengi kuhusu sensa hayo hapo juu na yatakayofuatia.Binafsi nikiridhika na jawabu zako basi nitamshauri afanye hivyo.
Usichoke halafu ukajakusema umenipuuza
Hili jukumu ulilojipa ni zuri na nashauri fursa hiyo tusiiwachie kwa ustawi wa nchi.Binafsi nitakuwa mbele kuitumia fursa hii.
Kwa kuanzia naomba unijibu/utujibu yale maswali matatu ya kuanzia hapo juu kabisa.

 
Mkuu wangu gombesugu karibu jamvini ingawa nina kila sababu wewe si mgeni JF kila nikitazama mtiririko wa maandishi yako na hoja zako dhaifu nakufanananisha ........ ha ha ha ha ha ha hizi multiple ID za nini kwanini haujiamini yamkini unajua unachotetea hakina mashiko.

 
Last edited by a moderator:

So what...
 

Nguruvi,
Tusivutane katika hili.

Yako mengi muhimu mbele yetu.
Insha Allah tuhangaike na hayo tuisome historia yetu.
 

Nyambala,
Nami nikudokeze?

Mimi maritime.
Huu uwanja wangu ulonipa mkate wangu wa kila siku.
 
Na ndiye huyo huyo anayesemwa alikuwa na uzoefu wa siasa kuliko ''debate'' za shule za Nyerere! please Mo

Nguruvi,
Kwani tatizo khasa liko wapi?

Mie nina historia ya TANU niijuayo.
Ikiwa wewe huitaki hapana neno.

Nina darsa hapa la labour politics kama Abdu
alivyoshiriki 1947 - 1948.

Hapo ndipo niliposimama mimi katika uzoefu wake.
Sasa ikiwa wewe hiyo hutaki hapana ugomvi.
 
Tunasubiri kwa hamu tu ila usituletee uongo kama huu uliodhihirishwa wazi...

Mzito Kabwela,
Mimi ni mtu mzima nadhani wewe hunipati mimi kwa umri.

Nadhani umepata kusoma humu mtu mmoja akinituniza kwa
kuniita ''zee.''

Hakika umri umekwenda.
Sasa Mzito Kabwela unapozungumza na mimi fanya staha.

Usitie kejeli kwangu wala usiniite muongo.
Mathalan jambo nimesema na wewe hulikubali.

Kataa tu kwa adabu ukasema, ''Hapana hili Mzee Mohamed
mimi napinga kabisa haiwezi kuwa hivyo nk. nk.

Tuheshimiane.
Usinitie unyonge.

Watu wa matusi nawajua na nimewaweka katika orodha yangu.
Wewe si mmojawao.
 
Nyambala,

Arrogance is not gentlemanly.

Ritz tuendelee na darsa ya Abdu Sykes na mgomo wa badarini 1947 - 1948.
Labour politics hizo kabla ya mabadiliko katika uongozi wa TAA 1950:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]Abdulwahid Sykes and Dockworkers' Union, 1948
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]But there were indications that Hamilton was not an ordinary white colonial officer. His manners were too easy for a British officer and his views on world affairs were too radical for his African subordinates to comprehend. Barakat had one day received communist literature among his mail addressed to him by name from an unknown source. Hamilton, with whom they shared an office, took the pamphlet away from him without uttering a single word of reprimand. Barakat had once seen Hamilton reading communist literature in his office and he did not bother to hide it even when he knew that Barakat was watching him. In those days communist literature was considered seditious. The day following the communist literature incident, Hamilton invited Barakat for tea at his house and while there he engaged Barakat in a debate as to whether God existed or not. Hamilton gave his diatribe on Charles Darwin's Theory of Evolution to prove his point that God did not exist. To make the matter rest Barakat told him that as a Muslim he totally believed in the existence of God and of His Supremacy.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]At first Barakat thought that Hamilton was spying on them on their political leanings for which he informed Abdulwahid. But it turned out not to be so. It soon dawned to both Abdulwahid and Barakat that Hamilton was a very sinister character with very radical political leanings. In those days communism and its philosophy were considered by the West as betrayal to freedom and humanity. Africans who harboured such radical ideas were not tolerated. A Catholic newspaper Kiongozi had warned: ‘Human stupidness proves to be unlimited. Russia with her Communist regime is beyond any shade of doubt the unreconcilable enemy of mankind.' [1]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]It was therefore unthinkable for a white colonial officer to show sympathy for communism. But there was nothing the two could do about it. Africans did not go about throwing wild allegations against white colonial officers. The only thing that was possible for them to do was to remain on guard while dealing with him.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]Abdulwahid also came to learn that his former opponent for the union post and his father's political adversary of many years, Erika Fiah, was instigating the union leadership to overthrow ‘that South African son of Kleist'. Some of the dockworkers were, of course convinced that Abdulwahid should resign and pave the way for Fiah to take over leadership of the union. This created two factions within the union. One faction wanted Abdulwahid to continue leading the union and another called for his immediate resignation. Fiah was preferred because dockworkers thought Abdulwahid was too moderate and supported Fiah's radical stand. As the crisis continued and as there was no signs insight of resolving the dispute, Abdulwahid heeded his father's call and resigned his post in July 1948. Abdulwahid had led the Dockworkers' Union for barely six months.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]But when the reality of Abdulwahid's resignation became obvious, that is, he was actually leaving the union and members were to elect a new secretary, a faction of the membership retracted and asked him to stay on. Abdulwahid did not want to change his mind. He had other pressing problems at home. His father was bedridden with bronchitis and was insisting that Abdulwahid should resign his post immediately. In a show of solidarity the dockworkers carried young Abdulwahid shoulder-high from the Union's offices at Acacia Avenue (Samora Avenue) to Mnazi Mmoja grounds where the Union used to hold its meetings. Abdulwahid's resignation did not mean that he was out of touch with the movement. His resignation was necessitated by a multiplicity of reasons and a complex situation of intrigue and political machinations involving Hamilton, Fiah and some of the union members.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]Soon after Abdulwahid's resignation, Fiah, Kleist's arch-enemy was elected General Secretary of the Dockworkers' Union to replace him. But Fiah did not stay long in power; he was soon phased out by Union members and one Salum Mohamed took over the leadership from him.[2]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[1] Father Van Ostroom, Kiongozi Gazeti Katoliki, 1950, Vol.1No.11. p. 192.
[2] Iliffe, 'A History of Dockworkers...'op. cit. p. 137.
 
Sheikh Mohammed,
Bismi natakadam naishika kalamu,nazituma salaam ama leo mezizindua fahamu!ahahaa!! Nahisi utakuwa unapenda viburudisho japo kiduchu kama hivi!ahaha!!

I really admire your encyclopaedic memory,I mean your head is like a museum! I'm sure your brain is densely populated with loads of information and I'm glad that you are sharing with us. Above all I envy your undisputed historical connection.
The only people mad at you for speaking loud and clear are those living a lie. Keep speaking na sitie shaka maana tupo pamoja.

Facts do not cease to exists because they are ignored - A. Huxley

Salaam na Insha Allah ukae salama.
 
gombesugu,

Wewe ni Great Thinkers karibu sana jamvini.



Ritz,
Ahsanta saana kwa ukarimu wako na kunikaribisha vyema. Hicho cheo ulonipa mbona ni kikubwa mno kwangu,hizo ni anga za kina kina Sheikh Mohammed,but thanks for the compliment anyway. Mimi hapa ni mgeni mno lakini tajitahidi kila nipatapo wasaa. Naona pana pia viburudisho vingi japo mjadala ni mkali. Insha Allah weekend njema hapo!
 

gombesugu,

Wapi hiyo Mukarram, Sharjah, Al Khaneej, karibu sana JF Kadogoo na Ami, wanakuandalia Basmat ya ndama wa ngamia na Mohamed Said atakupa zawaidi ya juice ya tende.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…