Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,301
Kama kawaida yako na mzee wako umeamua kuikimbia hoja ya msingi. Ni kukumbushe hoja ni kwamba neno la kiingereza "gentlemanly" ambalo ni "adjective" ulilitumia kimakosa na hivyo kuharibu maana uliyokusudia! upo hapo?Mimi na wewe nani anatokwa na povu.
Nyambala,
Arrogance is not gentlemanly.[/QUOTE]
Mie napita tu hapa.Nilikuwa naangalia kama Nyambala ametoka machimboni na yale majawabu ya sensa,naona bado.Wimana,
Ili la hotuba ya Nyerere bahati nzuri Yericko Nyerere alijitolea kuwa atakwenda TBC na ataileta humu jamvini.
Alivyokwenda akaja kutufahamisha kuwa amekwenda TBC bahati mbaya wamesema hiyo hotuba ya Nyerere inauzwa basi waungwana wa JF wakajitolea kuinunua. Mpaka leo mwezi wa 4 bado ajasema kiasi gani inauzwa waungwana watoe pesa.
Nyambala,
Arrogance is not gentlemanly.
Nyambala,
Kama umechukulia hiyo ni kutamba basi si mwisho wa kutamba.
Nifahamishe kama kitabu cha kaka yangu Hammie Rajab, Shigongo nk. kama
vimepata review katika majarida ya kisomi.
Kitabu changu kina review mbili ndani ya Cambridge Journal of African History.
Moja ya John Iliffe na nyingine ya Jonathan Glassman.
Nadhani unawatambua mabingwa hawa wa historia ya Afrika.
Zipo nyingine...
Kutokana na kitabu hicho nimealikwa Chuo Kikuu cha Ohio na Chuo Kikuu Cha
Northwestern, Chicago ambako kote nimefanya mihadhara.
Au unataka nikuwekea hapa chini na vyuo vingine hapa Afrika ambavyo nimepata
kualikwa na kuzungumza?
Nilipata kuwa member wa Library of Congress zaidi ya miaka 25 iliyopita na katika
nchi nzima hatukuzidi watu watano.
Walimu walionisomesha hawakupata kupewa heshima hiyo.
Aliyekuwa akitoa hiyo alikuwa Mkurugenzi wa USIS.
Alipata kunisoma na ndiyo akanitunuku uanachama huo.
Bado unataka ''tambo'' zaidi au niishie hapa?
Ati mimi sijui hadhira ya JF...
Hivi wewe Nyambala kutia timu yako katika kiwanja hiki unaona ndiyo umefika?
Hapa si mdadi wako tu unaandika?
Uwanja huu si ''free for all?''
Hii si Hyde Park?
Wewe unajua timu yangu ishacheza viwanja gani duniani?
Fanya staha lau kidogo hata kama jina langu ni Mohamed.
Nyambala,
Nami nikudokeze?
Mimi maritime.
Huu uwanja wangu ulonipa mkate wangu wa kila siku.
Nyambala,
Kama umechukulia hiyo ni kutamba basi si mwisho wa kutamba.
Nifahamishe kama kitabu cha kaka yangu Hammie Rajab, Shigongo nk. kama
vimepata review katika majarida ya kisomi.
Kitabu changu kina review mbili ndani ya Cambridge Journal of African History.
Moja ya John Iliffe na nyingine ya Jonathan Glassman.
Nadhani unawatambua mabingwa hawa wa historia ya Afrika.
Zipo nyingine...
Kutokana na kitabu hicho nimealikwa Chuo Kikuu cha Ohio na Chuo Kikuu Cha
Northwestern, Chicago ambako kote nimefanya mihadhara.
Au unataka nikuwekea hapa chini na vyuo vingine hapa Afrika ambavyo nimepata
kualikwa na kuzungumza?
Nilipata kuwa member wa Library of Congress zaidi ya miaka 25 iliyopita na katika
nchi nzima hatukuzidi watu watano.
Walimu walionisomesha hawakupata kupewa heshima hiyo.
Aliyekuwa akitoa hiyo alikuwa Mkurugenzi wa USIS.
Alipata kunisoma na ndiyo akanitunuku uanachama huo.
Bado unataka ''tambo'' zaidi au niishie hapa?
Ati mimi sijui hadhira ya JF...
Hivi wewe Nyambala kutia timu yako katika kiwanja hiki unaona ndiyo umefika?
Hapa si mdadi wako tu unaandika?
Uwanja huu si ''free for all?''
Hii si Hyde Park?
Wewe unajua timu yangu ishacheza viwanja gani duniani?
Fanya staha lau kidogo hata kama jina langu ni Mohamed.
Mie napita tu hapa.Nilikuwa naangalia kama Nyambala ametoka machimboni na yale majawabu ya sensa,naona bado.
Baada ya kumsoma Gombesugu narudi kwenye baraza yangu ya haluwa na kashata.
Baadae InshaAllah nitafungua kontena la futi 20 tu(sio kama lile la Dr.Slaa) niangalie kama ile kanzu yako size 62 itakuwemo.
@Kadogoo,
..nimekuwekea bandiko toka gazeti la serikali Daily News kukuthibitishia kuwa Prof.Malima ndiye waziri wa mwisho wa fedha wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere.
..kama hujaridhika na ushahidi huu, nieleze kwasababu ninao mwingine.
Nguruvi,
Kwani tatizo khasa liko wapi?
Mie nina historia ya TANU niijuayo.
Ikiwa wewe huitaki hapana neno.
Nina darsa hapa la labour politics kama Abdu
alivyoshiriki 1947 - 1948.
Hapo ndipo niliposimama mimi katika uzoefu wake.
Sasa ikiwa wewe hiyo hutaki hapana ugomvi.
Joka Kuu kama ushapata darsa la Prof. Malima basi wewe hulihitaji.
Insha Allah nitatoa kwa wengine ambao hawajapata kusikia habari zake.
Kuhusu medali kwa Abbas Sykes najua aliwahi kupewa medali ila sikumbuki lini.
Hamza Aziz sina taarifa zake za medali.
Asante sana mzee w hekima,Historia haiwi historia kwa vile wewe unaijua hivyo; historia inakuwa historia kama ndivyo ilivyotukia. Kinachobishaniwa hapa siyo kile unachokijua au hukijui ni kile unachodai kilitukia. Sasa ukidai hivyo watu wana haki ya kukuuliza kama kweli kilitokea na tafsir ya maana yake. Utaona wengine hatubishani kabisa mambo ya mtaani kwenu, na wazee wako na nani alikuwa anapika na kuuza vitumbua au nini. Tunabishania yale ambayo unadai yalitokea na kujitokeza kwenye historia yetu..
Eti,Inspector General wa police, Hamza Aziz amekataa kutii amri ya Rais Nyerere ya kumkamata Sheikh Hassan bin Amir.
Nyerere huyu tunaemjua au mwingine?? Hizi porojo nyingine!!!! ndio maana nilikuuliza nana hasa mlengwa wa vitabu vyako???
Basi na liandikwe katika historia!Nimekueleza kuwa sina taarifa ya ugomvi kuhusu ofisi za African Association.
Sasa wewe kama una taarifa Kleist alidhulumu hiyo ofisi eleza hakuna wa kukuzuia.
Ikiwa udhalim umepita hilo ni jambo ovu.
Kadogoo,
Kuwa na huruma kaka...
Yaani unanitamanisha kiasi hiki nasikia ubao.
Duuuu nyama lainiiiii.
Hiyo ni baun siyo pound Waarabu kwa kuwa hawana ''p''
''b'' inawacheza kweli kweli.
Ila siku moja nimepanda Gulf nasikia wale wasichana
wahudumu wanazungumza Kiingereza na accent ya London
tena kwetu Finsbury Park...
Nkawauliza kulikoni?
Wakanambia wamesoma huko kwa Malkia Elizabeth.
Mzee Saidi kwa taarifa yako mimi si mwanahistoria wala mwanasiasa mimi ni mtaalamu wa uhandisi migodi nnayepractice in the first world arena and that is my area. Kama unataka tucheze huko kwenye timu yako tujaribu na huku kwangu. I am ready any time sir. Kwa hoja zenu pumba kama hizi,mtamweza wapi mohamed said? Mtahangaika sana,
Mzee Saidi kwa taarifa yako mimi si mwanahistoria wala mwanasiasa mimi ni mtaalamu wa uhandisi migodi nnayepractice in the first world arena and that is my area. Kama unataka tucheze huko kwenye timu yako tujaribu na huku kwangu. I am ready any time sir. Kwa hoja zenu pumba kama hizi,mtamweza wapi mohamed said? Mtahangaika sana,
THE BIG SHOW,wewe zungumzia gesi mtwara ndio mjadala size yako-hapa baki msomaji kama mimi tupate ilm ya kusahishwa kwa Mohamed Said
. Halafu soma hii hapa.Mohamed Said In 1952 Julius Kambarage Nyerere came to Dar es Salaam to teach at St. Francis' College, Pugu. Nyerere had been with Mwapachu at Tabora in 1945, and at Makerere College and later in Britain pursuing further studies. It is possible that Nyerere, who closely followed TAA activities, heard about Abdulwahid through Mwapachu while he was still in Britain
Nyerere alikuwa katibu wa tawi la Tabora. Ukishasema HQ ina maana ilikuwa inajua nani anaongoza chama na eneo gani. Unless HQ ilikuwa ndio nchi nzima sentensi hii ina mashaka makubwa. Hata hivyo Nyerere alipokutana na Dosa hakuna shaka waliongelea kuhusu chama na hasa HQ. Kwa mantiki hiyo Dosa atakuwa amemweleza nani anafanya nini HQ na hapo jina la Abdul lazima litokeo. Sijui kama kuna ukweli kuwa Nyerere aliksikia habari za Sykes akiwa Uingereza kupitia Mwapachu.Apart from Dossa Aziz who had met Nyerere briefly at TAA's general conference in April, 1946, Kasella Bantu himself and Denis Phombeah, nobody at the TAA headquarters had ever heard of Nyerere
Hapa anaonyesha jinsi Nyerere alivyokuwa dhalili mbele ya Abdul. Lakini anajichanganya kwasababu experience ya siasa alikuwa nayo kuanzia Tabora alipokuwa katibu wa Tawi, Makerere alipotaka kuanzisha TAWA na Uingereza alipokuwa exposed katika world politics. Kulinganisha watu hawa wawili ni kutafuta udhalili wa mmoja wapo. Tuwaheshimu kama historia ilivyo na si kutumbukiza chuki, fitna na husada katika historia iliyojikamilisha bila chumvi, hamira au magadisodaIn Abdulwahid, Mwalimu Nyerere found a person of high intellect, selflessness and a likeable character. In Julius Nyerere, Abdulwahid found a highly educated person with admirable debating skills. Nyerere was exposed to the world and sharpened by the politics of the Fabian Society during his student days in Britain. Very constructive debates evolved in the Sunday discussions when Abdulwahid's intellect and political experience were pitted against Nyerere's legendary debating skills. Nyerere did not have any political experience worth mentioning at that time to compare with Abdulwahid. When the African Association in Tabora took part in the 1947 General Strike Nyerere did not involve himself with this working-class movement, although he was the Association's secretary
Hapa tunaona uwepo wa Nyerere ndio uliozaa neno Nationalist na si Uislam. Hili ni jambo jemaAfter the introduction Abdulwahid, Nyerere, Ally, Dossa Aziz, Mhando, Rupia, Dunstan Omari and others used to meet every Sunday for a baraza (palaver) either at Dossa's home at Congo Street or at Abdulwahid's house at Stanley Street. These were two venues where the nationalists met to discuss the future of Tanganyika
Ahaa kumbe hawa watu walikaa kama nationalist kwa ajili ya kumkomboa mwafrika. Jambo jema kwasababu inaonyesha hawakukaa kama waislam bali nationalist. ). Political debates among the young nationalists now shifted from topics of internal discontent to leftist international issues concerning government and self-determination for the African people
Hapa Mohamed ameshabadili historia kwa utashi wake. Amesema Nyerere aliongea na kundi pekee la waislam. Ukweli ni kuwa aliongea na wazee wa Dar es Salaam kama alivyokuwa anaongea nao wakati akaitaka kulihutubia taifa. Hakuna mahali popote panapoonyesha Nyerere alifanya hivyo kwa ajili ya waislam. Mohamed ameondoa neon Nationalist kama tulivyoona hapo juu na kuja na kitu ambacho hakikuwepo katika historia au ukweli.In an emotional farewell speech which Nyerere delivered on 5 th November, 1985, to Dar es Salaam Elders, an exclusive group of Muslim townsmen who had supported him since the founding of TANU, Nyerere told his audience that it was Kasella Bantu who had introduced him to Abdul Sykes.
Nadhani hata Tabora ilikuwa ni hivyo na Nyerere aliweza kutia mguu na kuwa katibu wa tawi. Aliokwenda kuonana na Abdul Nyerere ahakufanya hivyo bila makusudio. Hata hivyo inaonekana wazi kuwa elimu yake ilikuwa msaada kwa TAA na hivyo bila kujali imani yake uwezo wa kuwa na political base ulikuwepo, lilikuwa suala la muda tu.As a Christian, Nyerere knew that he could never hope to build a political base in the Dar es Salaam environment of the 1950s where politics assumed strong Muslim characteristics. At first Nyerere was reluctant to accept the offer
The TAA leadership was clever enough to realise the value of Nyerere's education and its potential to the future
. Si kweli, Nyerere alianza siasa kabla ya kuonana na Abdul Sykes. Mwaka 1947 alipokutana na Dosa hakukutana naye kama mwakilishi wa wanafunzi au wakulima. Alikuwa katibu wa tawi na hata Makerere alishakuwa na political ambition.Mtu aliyewahi kuhudhuria mkutano mkuu wa TAA haiwezekani awe ameanza siasa baada ya kukutana na Abdul.The contest between the incumbent president, Abdulwahid, and an unknown schoolteacher, Julius Nyerere, took place at the Arnatouglo Hall on 17 April, 1953. Outside the circle of the TAA leadership which had proposed him to stand, Nyerere was a complete stranger to the electorate he was facing to ask for their votes. Nyerere's political career began from that day
After Abdulwahid and Nyerere had gone out, voting began.The election was by a show of hands. Phombeah who was in charge of the Arnatouglo Hall was the returning officer. Phombeah asked both Abdulwahid and Nyerere to go out of the hall for voting to begin. The whole week before voting Phombeah was making rounds campaigning for Nyerere. But there was no need of doing that; the TAA inner circle of Abdulwahid, Ally, Dossa Aziz and Rupia had already decided to make Nyerere president of the Association and the election was a mere formality.
Anajichanganya hapaAbdulwahid ‘lost' the election-the first loss in his whole political career-and Nyerere won by a very small margin Hapa Mohamed anaonyesha kuwa Nyerere alishachagulia na TAA inner circle na uchaguzi ulikuwa kuhitimisha tu yaliyofikiwa nje ya mkutano
.Kama matokeo yalishapangwa kwanini kuwe na utata huu. Kura zinaonyesha zilipigwa kwa mikono sasa ni kweli kuwa hakukuwa na ukweli kwa watu wengine ambao ulijulikana baada ya uchaguzi hadi watu wawili au watatu tu watuambie kilichotokea. Na matokeo ya kupangwa kwanini kura zirudiwe mara tatu.Then Mo anaweka historia yake mwenyewe kutoka chumbaniSome reports have it that Abdulwahid won the election, others say Nyerere won by a single vote; yet others say that TAA members had to vote thrice to get the winner since the votes were tying. Dossa Aziz reports that Abdulwahid did not lose that election, and went on to say that
There was no way Nyerere could defeat Abdulwahid in Dar es Salaam of 1950s. Abdulwahid was not defeated in that election. Very few Muslims had confidence in mission-educated Christians
THE BIG SHOW,wewe zungumzia gesi mtwara ndio mjadala size yako-hapa baki msomaji kama mimi tupate ilm ya kusahishwa kwa Mohamed Said
Kuna habari ngeni mnooo nazisoma katika huu mjadala! Wasifu wapo na mbwembwe zao,hoja za kutambiana lakni Nachoomba ni mambo yawe ya kweli maana Historia hii hii ya mashujaa wa hapa kwetu imekamatwa mnooo na Kutu za udini,mabaki ya kupotoshana bado yako pale pale na ndo maana adi leo wengi wetu tunaamini IDDI AMIN alikua ivyo kama wanavyomsema adi leo na ipo katika historia yetu,Nakushkuru sana Muhamed Said!! Japo nlikua sikufahamu na leo nimekutambua tu kwa machache uliyoyasema na nkayaelewa,ningependa kuvisoma vitabu vyako kwa upembuzi zaidi juu ya maswala yeyote kwangu ambayo ni ukakasi ningestaili kuyatambua
Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums
Mkuu The Big Show, Mohamed tushamzima,
Ameleta uzushi kuwa Mwalimu alisema hakumbuki cheo cha Abdul Sykes,
Sisi tumemwambia ni uongo, Mwalimu alitamka wazi kuwa Abdul alikuwa katibu wa Taa mwaka 1952 wati Nyerere anajiunga na TAA,
Akaja na uzushi mwingine kuwa nauli ya Mwalimu kwenda UNO kwa mara ya kwanza alizichanga Dosa Azizi na Idd Faiz Mafingo kupitia TANU,
Lakini sisi tukamwambia ni UONGO, nauli ya tiketi ya kwenda na kurudi ilikatwa/ilitolewa na kanisa katoliki kupitia shirika lake la USA la Maryknoll Sisters chini ya padre Art Will akishirikiana na makasisi kadhaa akiwemo Maranta, Warsh, Bobs nk
Je mpaka hapo unaamini tu kuwq Mohamed Said anachakutetea hapa?
Mzee Saidi kwa taarifa yako mimi si mwanahistoria wala mwanasiasa mimi ni mtaalamu wa uhandisi migodi nnayepractice in the first world arena and that is my area. Kama unataka tucheze huko kwenye timu yako tujaribu na huku kwangu. I am ready any time sir. Kwa hoja zenu pumba kama hizi,mtamweza wapi mohamed said? Mtahangaika sana,
Kwa taarifa yako Nyambala hapo kwenye red sio kilicho tuleta kwenye huu uzi hayo ni mambo yako binafsi na familia yako na wala hayatuhusu usitutoe nje ya mada kama unaona vipi nenda kwenye jukwaa la mambo mchanganyiko sio huku upo hapo broooooo.