Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
- #12,181
Nguruvi,
Tujadili mambo yetu.
WML hawapo tz na huyo Rukara halikadhalika.
Mohamed, tunachotaka kujua ni namna WML ilivyofanya shughuli zake katika nchi ya mfumo kristu.
Hata kama WML na Rukara hawapo sasa lakini hatuzuiwi kuangazia uwepo wao nchini na utendaji kazi zao Katika nji ya mfumo kristu, tena unathibitisha kabisa kuwa serikali (yamfumo kristu) ilitoa baraka zake