Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


something is wrong with you; nashukuru kwa kuunga mkono. Enjoy jiandae na simulizi jipya soon.
 

Vitabu vyote nilivyoagiza vimefika; ninacho vya John Iliffe (vyote vitatu); ninavyo na vingine. Ninapitia si kwa sababu sikuwa najua lakini nilitaka nisome kama alivyosoma Mohammed Said na kuona kama nafikia hitimisho lile lile. NInachokiona alichofanya Mohammed Said ni kupotosha historia ya harakati za Uhuru wa Tanganyika. Ameipotosha mno kiasi kwamba kweli inawezekana inabidi mtu aandike kusahihisha upotofu huo.
 

Gombesugu acheni utani jamani; hivi Wakristu wa Mtwara na Lindi wana maisha ya tofauti kiasi gani na Waislam wa huko? Je Wakristu wa Usafwa MBeya wana maisha gani tofauti na Waislamu wa Gerezani? Wakristu wa Kigoma wana maisha gani mazuri kulinganisha na Waislamu wa Kigoma? Au nenda Tabora kule Undali uone maisha ya Wakristu. Kweli unaamini katika Tanzania wenye maisha magumu ambayo mfumo umeyasababisha ni Waislamu tu? Unaelezea vipi umaskini wa kutupwa na ukosefu wa elimu katika maeneo yenye Wakristu wengi?
 
MM, unadhani kuwa hawajui, basi tu kwamba lazima iwe hivyo kwasababu kwenda kinyume na maandiko ya mzee ni kuutaka ukafir. Nimewahi kumuuliza Mohamed Said mzawa na Mkazi wa Kariakoo kuwa hapo sokoni bidhaa zinauzwa kwa imani, madhehbu au dini?

Je, kuna duka lolote nchini ambalo unatakiwa kwanza ueleze wewe ni imani gani kabla ya kuuziwa bidhaa!
Hakuna aliyejibu.

Nikauliza tena hivi masikini wa Peramiho anayeishi kwa unga wa msaada kwa kwa mwezi na yule wa Ikwiriri anayeishi kwa ming'oko wanatafouati gani? Hakuna aliyenijibu.

Nashangaa baada a ukimya wa kutokuwa na majibu mzee na vijana wanakuja kwa mlango wa uani na hoja ile ile walioshindwa kuitetea au kuikosoa.

Kuna mahali (sikumbuki ni paper au kitabu) kilichosema kuwa ukitaka kumshinda mtu kwanza mfanye ajisikie dhaifu na mnyonge. Hapo hatakuwa na nguvu ya kutumia ile silaha kali aliyo nayo.
Ndicho kinachotkea kutokana na maandiko ya Mohamed na wale wanaomeza kitu nzima nzima kuifanya jamii kujisikia ni dhalili, dhaifu na inahitaji msaada.

Badala ya kuangalia tatizo katika ''core'' watu wanatafuta sababu za kuji-please.
Hakuna kitu kinaitwa proportional representation katika elimu.
Elimu ni taaluma hata mtu akipendelewa vipi the time will come hataweza kujisaidia.
Jibu ni kuanza kujisaidia kwanza kwa kutambua wapi tatizo lilipo.

Mfano, darasa la kwanza wataanza wanafunzi 150. Kwenda sekondari watukuwa 75. Highschool watafikia 50. Chuo kikuu watakwenda 25, degree ya kwanza watakuwa 20. Kwenda masters watakuwa 15, na kumaliza Phd pengine 5.
Ndivyo ilivyo duniani kote. Watu wajiulize kwanini trend inakuwa hivyo?

Lakini basi tukiacha umasikini kuna hoja inajengwa kuwa katika elimu kuna uonevu kwa baadhi ya maeneo kuwa nyuma.
Wasichokiona kama ni uonevu ni baadhi ya shule kufungwa kwa kukosa wanafunzi katika maeneo hayo hayo yanayosemwa yapo nyuma. Sasa hapa tunaanzia wapi?

Hypothetically tuamue kuanza na upendeleo katika maeneo hayo kwamba kila mwanafunzi aliyeandikishwa bila kujali uwezo wake aende sekondari, chuo au vyuoni tena bila mtihani.

Hapa watu watakwama kwasababu hao wanafunzi wapo wapi wakati shule imefungwa?
Kwanini watu wasianze kwanza kuhakikisha shule haifungwi!!!

Wananchi wa Ngamiani wakisema ''usiangalie ulipoangukia angalia ulipojikwaa''.
 

Nguruvi,
Sijapata kupuuzwa katika anga hizi.

Kila abstract niliyopeleka kokote duniani ilikubaliwa na kuitwa.
Ungeuliza tu ni ipi pamekuwa kimya hapakuwa na haja ya wewe kusema maneno mengi:

Prof. Malima had enough of the president.

He handed him his letter of resignation and copy of the Press statement.

President Mwinyi refused his letter of resignation and would only accept it minus the Press statement.

President Mwinyi was shocked in what he found Prof. Malima’s statement to the press.

Prof. Malima was opening a new front.

If that information becomes public he would have to form a probe committee to investigate the facts.
 



Acha zako za uchakubimbi wa hoja hapa,
ukileta misemo ya watu wa Ngamiamin,sisi tutakuletea misemo ya watu wa chumnageni,kisosora,raskazoni hata na ya majani mapana,ushindwe wewe tuh,
we si mtaalamu wa kumega hoja vipande vipande?
Mbona zile five escape routes umeziacha kuzigema na kuwalisha jamaa zako?
Vip za moto nini??
Eti hakuna proportional representation kwenye elimu,eti eeeh?
Sasa kumbe kuna kitu gani mbona husemi?
Sasa naona umelalia katika kutafuta sympathy,eti maskin ya mtwara,lindi ,tanga wakristo na waislam wanalandana,sasa kumbe nani kasema hawalandani,?ndio hoja za moh said hizo?ndio majibu na ushahid wa uchochezi huo?
Na hilo linafuta fitna na dhulma walizofanyiwa upande wa pili??
Kazi yetu ni kuwatandika bakora na kuwapa leso mjifute machozi,hatupo hapa kubembeleza na kuwapoza kwa tende na halua,mkitaka tutawapa kahawa zetu mnywe,mkiona chungu tutawapa na kashata zetu m-nutralize ukakasi vinywani mwenu..
Mwaka huu mbona mtajuta?mmechokoza nyuki msikimbie,mmetaka chai kwanin mlalamike mnaungua?
Msikmbie nje ya mada,na umwambie jamaa yako yapo mengi ya kusema kuisadia nchi hii lakini si mapenzi,mungu hataki mambo hayo..
 

Wld Card,

Unazungumza kwa kuwa hapa ipo nafasi ya yeyote kusema atakacho.

Abbas huwezi kumfananisha na kaka yake Abdu.
Hebu soma hapa chini:

There is a very famous photograph of TANU founding members.

In that photograph three founder members are out of sight; Ally Sykes, Tewa Said Tewa and Kasella Bantu.

These were civil servants and in the British tradition of separation of politics from civil service government,
employees were not allowed to participate in politics.

Any African who contravened that sacred regulation was liable for summary dismissal.

Therefore when the photograph was taken the threeopted out.

The photograph was taken by Gomes, a very famous Goan photographer in those days.

Abdulwahid had arranged for Gomes to come to the TAA headquarters to take the historic photograph.
Gomes did not come on time.

Getting impatient with waiting, Abdulwahid asked his young brother Abbas to goand fetch Gomes from
his studio at Acacia Avenue (now Samora Avenue) in the town center.

The only means of transport for TAA was a beaten old bicycle.

While Abbas was paddling towards the town center to fetch Gomes, the photographer came and took the
group photograph.

And this is how Abbas Sykes missed the group photograph.


Wild Card,

Hapo juu nimekuonyesha kuwa Abbas alikuwa ni bwana mdogo tu mbele ya kaka yake kiasi alikuwa wa
kutumwa na baskeli katika mkutano ule wa kuasisi TANU.

Lakini picha kamili ni hii.

Nyerere alipojiuzulu ualimu na kuja kuishi na Abdu nyumbani kwake pale Mtaa wa Stanley, Abdu alimuhamisha
Abbas chumbani kwake ampishe Nyerere chumba kile.

Wild Card,
Nadhani unakumbuka mgogoro wa ''kabati la fedha'' la Abdu hata ikabidi nieleze fedha zile zikitoka wapi.

Fedha zile zilikuwa zikiletwa pale na Abbas ambae yeye ndiye alikuwa meneja wa Kituo kile cha mafuta,
kituo ambacho kilikuwa mali ya kaka yake.

Abdu alikuwa kati ya vijana maarufu wa Dar es Salaam ya wakati wake na hii ndiyo sababu kubwa haikuwa
tabu kumuuza Nyerere.
 
Mag3; just leave the guy alone. looks like he had already prepared an exit essay. No wonder he kept asking if the mnakasha was ending
The strategy is to end mnakasha;
1.to save the face after 15 years of the reign
2.to stop profusely bleeding,nursing the injuries and provide tranquilizer
3. To provide an ample time for the damage control

Exit is the best option on the table.
 
Waleykhum Salaam Warahmatullah..
Wape leso,wape leso.,
Me nazid kuwapandisha suruali zao juu wafia dini...
Bado una mawazo na akili za kitoto! na mzee wako mpuuzi Mohamed Saidi anakuamini kuwa wewe ni mtetezi wake mahiri!
 
something is wrong with you; nashukuru kwa kuunga mkono. Enjoy jiandae na simulizi jipya soon.


Nothing is wrong with me,
kama nilivyokuambia,nimetoa pesa yangu mfukoni kununua kitabu chako na nakipitia na kukirudia mara mbili mbili,nikiona sehemu uliposisitiza ngono na mapenz holela na kuhalalisha 'salama' mithili ya uhalalisho wa Alhaj Alli Hassan Mwinyi,NAKUZABA KIBAO CHA USO KAMA ALIVYOKAZABWA YEYE,kwani kuba ubaya?
Munkari dawa yake ni kuondoa kwa mkono,siwezi kuwa na iman dhaifu ya kuchukia na kuupuzia,navichoma moto na kukuzaba kibao cha uso..
Yote ya kusemwa na kulisaidia taifa hili hukuyaona hadi uje uyazungumzie mapenz,
shame on you..!
 

Well.. you enjoy na ukijisikia kuwa kimekuudhi sana naweza kukupa ushauri wa jambo la kufanya... hakutakuwa na kitabu cha kukuudhi tena...
 
.......
 
Bado una mawazo na akili za kitoto! na mzee wako mpuuzi Mohamed Saidi anakuamini kuwa wewe ni mtetezi wake mahiri!

vipi tena leo umeamkaje,mbona matusi na pumba zako tulishapumzika nazo jamvini humu?
Moh said kakuweka kwenye 'lists',hata mimi nilikuweka ngoja nikutoe kidogo kisha nitakurudisha unapostahili..
Akili zako kama mkokoteni ulioubeba,hazichangui cha kubeba,ziwe taka taka,uchafu n,k n,k,nakuwia radhwi,,
nachokujibu ni kwamba Moh Said hahitaji utetezi wa mtu,sembuse utetezi wangu?
Moh Said ni mwalimu wangu,me nalamba buti zake tuh,utetezi wangu haumwongezei chochote,kwaiyo tafuta lingine la kuongea tuzid kukudharau,au ongeza kipimo cha matusi hapo utaeleweka..
Wewe sisi tunakufanya kama kikaragosi,ama sanamu la michelini,yan sehemu ya kujipumzishia na kujistarehesha,
kama punching box,we si ni kanjanja?
Umekuwa mtu wa kusubiri watu waandike wewe uje utukane,sisi tunakuwia radhwi kwa hilo,tunadokoa dokoa kisha tunakuacha ukale viroba vyako,um-zima wa afya lakini?
Nakusalim sana..
 
Kumbe ilikuwa ni hoja hii!!! vema umesikika. Sijui wanajamvi wajibu kitu gani wakati ni maoni yako.
Umalizie kabisa kuhusu Prof Malima na tuhuma kwa JK.
 

Hizo habari zako tumezoea sana kuzisoma unakumbuka ulituambia humu jamvini kuwa matatizo ya elimu ya Kilwa yanafanana na ya Mombasa watoto hawataki shule tulikuomba ushahidi mpaka leo kimya.
 
Wakuu kadri mjadala unavyoendelea nadhani ni vema tungekuwa tuna-brainstorm solution kuhusu hii inayoitwa dhulma kama kweli ipo. Kusema ule ukweli na kihistoria ulimwenguni pote tatizo la dhulma ya kimfumo huwa inatatuliwa kwa Affirmative Action. Kwani inakuwa si rahisi kurekebisha hiyo the so called dhulma in a year or two na kuweka mambo sawa. Nikisoma between the lines maandishi ya mzee Saidi hiki ndicho anachotaka kifanyike (Sifanyi pre-emption na niko tayari kukosolewa na mzee Saidi mwenyewe)

Well as we speak there is an ongoing debate kuhusu affirmative action ndani ya gazeti la economist, katika kupanua mjadala na pengine kuandaa mazingira ya future of our discussion ni vema tukafahamu kiundani kuhusu affirmative action especially kama hiyo itaonekana ndiyo the right avenue kukabiliana na the so called dhulma ya wakristo dhidi ya wenzao waislamu.

To begin with:


Je hicho kilichokuwa quoted hapo juu ndiyo hali halisi ya Tanzania? I think that is what we've been debating.


Kuona huo mkanasha wa AA bofya Hapa
 
Kumbe Abdu ndie aliyemtangaza Mwalimu hapa Dar! Unaweza kuwa sahihi Mzee Mohamed. Tuliyaona mambo yanayofanana na haya kati ya Rostam Aziz na Jakaya wetu. Kumbuka tu jambo moja, kitu chema hujiuza chenyewe, kibaya lazima kijitembeze. Kuna kitu Abdu alikiona ndani ya Mwalimu hadi akaamua kuwa karibu naye kiasi hiki. Wengi tunamshukuru kwa hilo.
 
Angalia kijana aliyepata pongezi nyingi za Invisible alivyopigwa mwereka
Baada ya kupata hiyo ya kichwa.Vimulimuli vimemfanya Nguruvi asijue kipi kianze mwanzo na kipi kije mwisho.Jee akubali kushindwa au aombe radhi kwanza.Badala yake ameropokwa lisilohusika.
Unaijuataasisi ya World muslim League?
Mohamed, si wewe umesema ndiye kiongozi wa waislam!

**hapo nilipo bold, neno hilo halitumiwi na muungwana. Pale kwetu Makorora hiloni tusi kumwambia mtu mzima.
Eti Makorora nako ukisema "Nakusihi usirudie tena neno hili" ni tusi pia.Kwa hivyo anaona tusi alilotoa kwa Mohammed kwa kumsingizia habari za Rukara ndio limejibiwa na maneno ya Makorora.
Hapa pamoja na kukoma kuendelea na habari za Rukara ulitakiwa uombe radhi pia na kuahidi kutorudia.
Anayojua Mohammed mengi ametuwekea wazi lakini kwa makusudi mnajaribu kuyapindisha.
 

Wild Card,
Mifano hiyo haifanani kabisa.

Ila nitakudokeza kitu wewe na jamvi.
Mfano wako usiishie kwa Rostam na Kikwete.

Tamithlia haitanoga.

Kuna "actors" watatu lazima waingie kwenye
"scene."

Hawa ni Julius Nyerere, Benjamin Mkapa na Prof. Malima.
Hapo "movie" itakamilika.

Sasa tuje kwenye "location."
Tutakuwa Dar kisha Chimwaga Insha Allah.

Ukiyataka haya fungua uzi Insha Allah ntakuja kutoa darsa.
Nchi yetu ina historia na "intrigues" zake zinatisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…