Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Je,kwenye hiko kitabu Chake Mwanakijiji umeona shemu alipohalalisha matumizi ya Salama au alipokharamisha?
Nataka kujua kama ametolea fatua'ah ya kuhalalisha wazi wazi basi nami nimnase kibao cha uso niondoe Munkari kwa mkono wangu kama alivyokanaswa Aljah Alli Hassan Mwinyi..!
Bado nami naendelea kukipitia pitia,ole wake nikifume hicho kipengele,ama zangu ama zake,
watu wazima na akili zao wanapingana na Aids yeye anachochea,,,ebo..!

something is wrong with you; nashukuru kwa kuunga mkono. Enjoy jiandae na simulizi jipya soon.
 
Sheikh Mohammed Said,

Asalaam Alaykum. Nakufuatilia kwa utuvu mwingi kama nilivyokuahidi. Japo nashindwa mpaka sasa kufahamu kule twendako, maana pamengia "mada juu ya mada". Tafadhali Al Akhiy nijuza kama hii shughuli ishikwisha!? Nimejaribu kumuuliza "Kinara wa mada" lakini naona nae kimya.
Taarifa zilizopo ni kuwa hata Muheshimiwa Mwanakijiji nae amechukua sabbatical leave ili akadurusu "mambo kadhaa" ambayo kumbe alikua hayajui!? Lakini nafikiri pia amefanya ustaarabu mkubwa kutujuza vile,japo hatujajua mpaka sasa kama ile delivery ya vile vitabu aloagiza imefikia wapi!? Nakumbuka awali alidai ameagiza vitabu 14 na tayari alishapokea viwili tu! Nilicheka kiduchu kwa ile suggestion alotoa Muheshimiwa Mwanakijiji ati tukitaka kujua ukweli na ukhalisi wa historia ya TA,TAA,TANU/Tanganyika inatulazim turejee nyuma kwa Bwana Aggrey na labda mpaka Ghana!? Nahisi huu mnakasha utachukua milele. Ndo yale yale niloyasema kwenye ile bayana yangu ya awali nilokuletea.
Ahsanta na bado nimo hapa kukusikiza.

Insha Allah nakutakia Al Jummaa Kareem.

Vitabu vyote nilivyoagiza vimefika; ninacho vya John Iliffe (vyote vitatu); ninavyo na vingine. Ninapitia si kwa sababu sikuwa najua lakini nilitaka nisome kama alivyosoma Mohammed Said na kuona kama nafikia hitimisho lile lile. NInachokiona alichofanya Mohammed Said ni kupotosha historia ya harakati za Uhuru wa Tanganyika. Ameipotosha mno kiasi kwamba kweli inawezekana inabidi mtu aandike kusahihisha upotofu huo.
 
That Sheikh Mohammed Said, "mchochezi,analeta dhihaka kwa Historia ya Kivukoni na ni hatari kwa amani na usalama wa nchi",mumbo jambo is for the birds. So far we have not see anything to suggest that ridiculous claim.

We've witness The Escape Route,meticulously delivered by The Big Show a.k.a The King Of kings tracing some core issues facing Muslims in this country today. Popular knowledge of this has been prevented by Politicians and the Government lies for too long. The situation and reality on the ground is a mess,a mere pack of cards on wobbly ground,teetering over an abyss of "artificial created peace and harmony" at the expense of many among Muslim population. The Government and Politicians from all political spectrum know this situation is unsustainable.
Surely,it is very convinient for the Politicians,the Government and others in here to be selective of historical facts and memories.
Colonists
constructed barriers on social and economic development,education and many other stuff against and mainly on Muslims or Muslim populated/dominated areas for their own nasty selfish white supremacy reasons. And now everyone must bear the consequence.
The Government in this country have been against others but mainly Muslim population for years,and in many ways still is,if you know any better.

Again, how is Sheikh Mohammed Said is putting hate on hate!? Muslims/Sheikh Mohammed Said didn't create the conditions of hate in Tanzania,he is just the product of them and just reacting to them responsibly.
Majority of Muslims were put through a process of allienation and marginalized from social and economic mainstream for decades.The process has never been reversed effectively.

Although,some people like to think that was a long time ago,lets sweep it under the rug and move on. It is not that simple. In most Muslim dominated/populated areas; almost zero social and economic mobility, systematic depravation of quality education ,blockage of strategic position in many key Government Institutes and many other issues as discussed here,it doesn't solve anything.
It is an insidious,yet very sophisticated method of control that conditions majority of Muslim population in this country to accept others dominance over their lives by misleading them to believe that they are now themselves their own worst enemies.

This is similar kind of method Colonists used against Wazee wetu. To the detriment of many Muslims in Tanzania,this method has been an extremely effective.

It would be a catastrophe of Biblical proportion and distortion of historical facts if one is to try and write any "other history" with regard to Tanganyika independence struggle without recognise and acknowledge the importance of Mzizizma and that vital role its people/Wazee wetu played and sacrificed during that vicious colonial struggle(ofcourse majority of them were "Waswahili").

Naona kuna baadhi ya jamaa hapa wanajaribu kwa hali na mali na ujasiri uso mfano,kuonyesha kuwa madai ya wananchi wenzao/ Wailsam aidha ni dhaifu,hayana ufumbuzi au ni yao "wenyewe kwa wenyewe" na ati suluhu iwe baina yao. Kuna wengine nao ndo kabisa hawakubali kuwa hata kuwa kuna tatizo lolote au karaha hapo nchini dhidi ya Waislam,na kuwa Wailsam/wananchi wenzao inalazim japo wasikilizwe na wana haki hiyo. Nafikiri hawa ndio wapo kinyume hata na Rais wao Bw. W. Mkapa na Serikali yake. Ambaye alikubali japo kwa shingo upande kuwa kuna tatizo/dhiki hapo nchini dhidi ya Waislam. Infact, their hidden agenda and motives outweigh sense of objectivity and naturally diminish their entire credibility.
Katika moja ya bayana zangu hapo awali naliwahi uliza; "wawajuaje kunguni wa kitanda sichokilala"!?

I know for fact,some of us don't need to rely entirely on corrupt minded patronising Politicians to educate us about our history.
Naona hapa quotations nyingi saana na "researches" takriban zoote zimetokea kwa "wataalam" wa kizungu!? Inasikitisha mpaka leo karne ya 21 bado tuna tegemezi kubwa pita kiasi kwa hawa jamaa,na yaelekea bado tunaamini mno kila wasemalo. Wallahi staajabu inakuja pale wanapojaribu kutufunda na kutujuza "wenzetu" tunawadhararu na kuwakatisha tamaa pasi kiasi! Hawa wazungu si ndo haohao walokuja na Bible mikononi na kutuambia tufumbe macho tusali kwa pamoja;kutahamaki wakasafisha Afrika yoote mpaka na watu!?

As for Sheikh Mohammed Said and others keep mentioning of Mzizima,Kariakoo na Wazee wetu,on and on and on. I can imagine it must be pretty tiring and boring! I'm sorry, but it's an undeniable historical fact that Mzizima/Kariakoo,for many historical factors happened to be a vital political hub during that era. It's an unescapable predicament. And would be social and political illiterate for anyone to deny or acknowledge fully this historical link/connection between Mzizizima,Wazee wetu,Kariakoo with the either formation of TA,TAA,TANU or either colonial struggle.
Why most of them appeared to be Muslims!?I f it were me I wouldn't loose sleep over it. As it never cross my mind before,unless if you are mdini/mfia dini!

Lakini hii haimaanishi ati huko mikoani/vijijini hakukuwa na Wazee wetu wengine walojishughulisha na kujitoa muhanga mkubwa na hizo harakati za madhalimu wa kikoloni;tena wake kwa waume toka tamaduni,rangi,matabaka na dini mbalimbali. Naona hata Sheikh Mohammed Said kajitahidi saana kuwataja kitabuni mwake.

Ahsantani.

Ps: I'm only responsible for what I say/write. I'm not responsible for what you understand.

Gombesugu acheni utani jamani; hivi Wakristu wa Mtwara na Lindi wana maisha ya tofauti kiasi gani na Waislam wa huko? Je Wakristu wa Usafwa MBeya wana maisha gani tofauti na Waislamu wa Gerezani? Wakristu wa Kigoma wana maisha gani mazuri kulinganisha na Waislamu wa Kigoma? Au nenda Tabora kule Undali uone maisha ya Wakristu. Kweli unaamini katika Tanzania wenye maisha magumu ambayo mfumo umeyasababisha ni Waislamu tu? Unaelezea vipi umaskini wa kutupwa na ukosefu wa elimu katika maeneo yenye Wakristu wengi?
 
MM, unadhani kuwa hawajui, basi tu kwamba lazima iwe hivyo kwasababu kwenda kinyume na maandiko ya mzee ni kuutaka ukafir. Nimewahi kumuuliza Mohamed Said mzawa na Mkazi wa Kariakoo kuwa hapo sokoni bidhaa zinauzwa kwa imani, madhehbu au dini?

Je, kuna duka lolote nchini ambalo unatakiwa kwanza ueleze wewe ni imani gani kabla ya kuuziwa bidhaa!
Hakuna aliyejibu.

Nikauliza tena hivi masikini wa Peramiho anayeishi kwa unga wa msaada kwa kwa mwezi na yule wa Ikwiriri anayeishi kwa ming'oko wanatafouati gani? Hakuna aliyenijibu.

Nashangaa baada a ukimya wa kutokuwa na majibu mzee na vijana wanakuja kwa mlango wa uani na hoja ile ile walioshindwa kuitetea au kuikosoa.

Kuna mahali (sikumbuki ni paper au kitabu) kilichosema kuwa ukitaka kumshinda mtu kwanza mfanye ajisikie dhaifu na mnyonge. Hapo hatakuwa na nguvu ya kutumia ile silaha kali aliyo nayo.
Ndicho kinachotkea kutokana na maandiko ya Mohamed na wale wanaomeza kitu nzima nzima kuifanya jamii kujisikia ni dhalili, dhaifu na inahitaji msaada.

Badala ya kuangalia tatizo katika ''core'' watu wanatafuta sababu za kuji-please.
Hakuna kitu kinaitwa proportional representation katika elimu.
Elimu ni taaluma hata mtu akipendelewa vipi the time will come hataweza kujisaidia.
Jibu ni kuanza kujisaidia kwanza kwa kutambua wapi tatizo lilipo.

Mfano, darasa la kwanza wataanza wanafunzi 150. Kwenda sekondari watukuwa 75. Highschool watafikia 50. Chuo kikuu watakwenda 25, degree ya kwanza watakuwa 20. Kwenda masters watakuwa 15, na kumaliza Phd pengine 5.
Ndivyo ilivyo duniani kote. Watu wajiulize kwanini trend inakuwa hivyo?

Lakini basi tukiacha umasikini kuna hoja inajengwa kuwa katika elimu kuna uonevu kwa baadhi ya maeneo kuwa nyuma.
Wasichokiona kama ni uonevu ni baadhi ya shule kufungwa kwa kukosa wanafunzi katika maeneo hayo hayo yanayosemwa yapo nyuma. Sasa hapa tunaanzia wapi?

Hypothetically tuamue kuanza na upendeleo katika maeneo hayo kwamba kila mwanafunzi aliyeandikishwa bila kujali uwezo wake aende sekondari, chuo au vyuoni tena bila mtihani.

Hapa watu watakwama kwasababu hao wanafunzi wapo wapi wakati shule imefungwa?
Kwanini watu wasianze kwanza kuhakikisha shule haifungwi!!!

Wananchi wa Ngamiani wakisema ''usiangalie ulipoangukia angalia ulipojikwaa''.
 
Na sasa anamsingizia Malima. Mohamed wapi bandiko lako ambalo jamvi halikujibu?
Najiuliza hivi watu wangepuuza na kukaa kimya kuhusu mada Mohamed leo angesema nini!!!

Mohamed, lete bandiko kama hatuna hoja jamvi litakaa kimya. Umeleta mabandiko mengi ya Malima lipi hasa unalo dhani ndilo ''alijibu kutoka kaburini'' ambalo halijaguswa

Nguruvi,
Sijapata kupuuzwa katika anga hizi.

Kila abstract niliyopeleka kokote duniani ilikubaliwa na kuitwa.
Ungeuliza tu ni ipi pamekuwa kimya hapakuwa na haja ya wewe kusema maneno mengi:

Prof. Malima had enough of the president.

He handed him his letter of resignation and copy of the Press statement.

President Mwinyi refused his letter of resignation and would only accept it minus the Press statement.

President Mwinyi was shocked in what he found Prof. Malima’s statement to the press.

Prof. Malima was opening a new front.

If that information becomes public he would have to form a probe committee to investigate the facts.
 
MM, unadhani kuwa hawajui, basi tu kwamba lazima iwe hivyo kwasababu kwenda kinyume na maandiko ya mzee ni kuutaka ukafir. Nimewahi kumuuliza Mohamed Said mzawa na Mkazi wa Kariakoo kuwa hapo sokoni bidhaa zinauzwa kwa imani, madhehbu au dini?

Je, kuna duka lolote nchini ambalo unatakiwa kwanza ueleze wewe ni imani gani kabla ya kuuziwa bidhaa!
Hakuna aliyejibu.

Nikauliza tena hivi masikini wa Peramiho anayeishi kwa unga wa msaada kwa kwa mwezi na yule wa Ikwiriri anayeishi kwa ming'oko wanatafouati gani? Hakuna aliyenijibu.

Nashangaa baada a ukimya wa kutokuwa na majibu mzee na vijana wanakuja kwa mlango wa uani na hoja ile ile walioshindwa kuitetea au kuikosoa.

Kuna mahali (sikumbuki ni paper au kitabu) kilichosema kuwa ukitaka kumshinda mtu kwanza mfanye ajisikie dhaifu na mnyonge. Hapo hatakuwa na nguvu ya kutumia ile silaha kali aliyo nayo.
Ndicho kinachotkea kutokana na maandiko ya Mohamed na wale wanaomeza kitu nzima nzima kuifanya jamii kujisikia ni dhalili, dhaifu na inahitaji msaada.

Badala ya kuangalia tatizo katika ''core'' watu wanatafuta sababu za kuji-please.
Hakuna kitu kinaitwa proportional representation katika elimu.
Elimu ni taaluma hata mtu akipendelewa vipi the time will come hataweza kujisaidia.
Jibu ni kuanza kujisaidia kwanza kwa kutambua wapi tatizo lilipo.

Mfano, darasa la kwanza wataanza wanafunzi 150. Kwenda sekondari watukuwa 75. Highschool watafikia 50. Chuo kikuu watakwenda 25, degree ya kwanza watakuwa 20. Kwenda masters watakuwa 15, na kumaliza Phd pengine 5.
Ndivyo ilivyo duniani kote. Watu wajiulize kwanini trend inakuwa hivyo?

Lakini basi tukiacha umasikini kuna hoja inajengwa kuwa katika elimu kuna uonevu kwa baadhi ya maeneo kuwa nyuma.
Wasichokiona kama ni uonevu ni baadhi ya shule kufungwa kwa kukosa wanafunzi katika maeneo hayo hayo yanayosemwa yapo nyuma. Sasa hapa tunaanzia wapi?

Hypothetically tuamue kuanza na upendeleo katika maeneo hayo kwamba kila mwanafunzi aliyeandikishwa bila kujali uwezo wake aende sekondari, chuo au vyuoni tena bila mtihani.

Hapa watu watakwama kwasababu hao wanafunzi wapo wapi wakati shule imefungwa?
Kwanini watu wasianze kwanza kuhakikisha shule haifungwi!!!

Wananchi wa Ngamiani wakisema ''usiangalie ulipoangukia angalia ulipojikwaa''.

Acha zako za uchakubimbi wa hoja hapa,
ukileta misemo ya watu wa Ngamiamin,sisi tutakuletea misemo ya watu wa chumnageni,kisosora,raskazoni hata na ya majani mapana,ushindwe wewe tuh,
we si mtaalamu wa kumega hoja vipande vipande?
Mbona zile five escape routes umeziacha kuzigema na kuwalisha jamaa zako?
Vip za moto nini??
Eti hakuna proportional representation kwenye elimu,eti eeeh?
Sasa kumbe kuna kitu gani mbona husemi?
Sasa naona umelalia katika kutafuta sympathy,eti maskin ya mtwara,lindi ,tanga wakristo na waislam wanalandana,sasa kumbe nani kasema hawalandani,?ndio hoja za moh said hizo?ndio majibu na ushahid wa uchochezi huo?
Na hilo linafuta fitna na dhulma walizofanyiwa upande wa pili??
Kazi yetu ni kuwatandika bakora na kuwapa leso mjifute machozi,hatupo hapa kubembeleza na kuwapoza kwa tende na halua,mkitaka tutawapa kahawa zetu mnywe,mkiona chungu tutawapa na kashata zetu m-nutralize ukakasi vinywani mwenu..
Mwaka huu mbona mtajuta?mmechokoza nyuki msikimbie,mmetaka chai kwanin mlalamike mnaungua?
Msikmbie nje ya mada,na umwambie jamaa yako yapo mengi ya kusema kuisadia nchi hii lakini si mapenzi,mungu hataki mambo hayo..
 
Nguruvi3,Mzee Mohamed Said asingeingiza UISLAM kwenye kitabu kile, angepata taabu sana kukiuza. Angemuuzia nani? UUngwaji mkono alionao sasa humu JF na kwingineko ni kwa sababu ya UISLAM alioubambika mle. Angemwelezea Abdu peke yake angebaki nacho kitabu kile yeye mwenyewe. Abdu hakuwa na umaarufu mkubwa zaidi ya mdogo wake ambaye amepata kuwa balozi wetu huko Ulaya. Mzee Mohamed ni msanii wa kweli.

Wld Card,

Unazungumza kwa kuwa hapa ipo nafasi ya yeyote kusema atakacho.

Abbas huwezi kumfananisha na kaka yake Abdu.
Hebu soma hapa chini:

There is a very famous photograph of TANU founding members.

In that photograph three founder members are out of sight; Ally Sykes, Tewa Said Tewa and Kasella Bantu.

These were civil servants and in the British tradition of separation of politics from civil service government,
employees were not allowed to participate in politics.

Any African who contravened that sacred regulation was liable for summary dismissal.

Therefore when the photograph was taken the threeopted out.

The photograph was taken by Gomes, a very famous Goan photographer in those days.

Abdulwahid had arranged for Gomes to come to the TAA headquarters to take the historic photograph.
Gomes did not come on time.

Getting impatient with waiting, Abdulwahid asked his young brother Abbas to goand fetch Gomes from
his studio at Acacia Avenue (now Samora Avenue) in the town center.

The only means of transport for TAA was a beaten old bicycle.

While Abbas was paddling towards the town center to fetch Gomes, the photographer came and took the
group photograph.

And this is how Abbas Sykes missed the group photograph.

Wild Card,

Hapo juu nimekuonyesha kuwa Abbas alikuwa ni bwana mdogo tu mbele ya kaka yake kiasi alikuwa wa
kutumwa na baskeli katika mkutano ule wa kuasisi TANU.

Lakini picha kamili ni hii.

Nyerere alipojiuzulu ualimu na kuja kuishi na Abdu nyumbani kwake pale Mtaa wa Stanley, Abdu alimuhamisha
Abbas chumbani kwake ampishe Nyerere chumba kile.

Wild Card,
Nadhani unakumbuka mgogoro wa ''kabati la fedha'' la Abdu hata ikabidi nieleze fedha zile zikitoka wapi.

Fedha zile zilikuwa zikiletwa pale na Abbas ambae yeye ndiye alikuwa meneja wa Kituo kile cha mafuta,
kituo ambacho kilikuwa mali ya kaka yake.

Abdu alikuwa kati ya vijana maarufu wa Dar es Salaam ya wakati wake na hii ndiyo sababu kubwa haikuwa
tabu kumuuza Nyerere.
 
Mag3; just leave the guy alone. looks like he had already prepared an exit essay. No wonder he kept asking if the mnakasha was ending
The strategy is to end mnakasha;
1.to save the face after 15 years of the reign
2.to stop profusely bleeding,nursing the injuries and provide tranquilizer
3. To provide an ample time for the damage control

Exit is the best option on the table.
 
Waleykhum Salaam Warahmatullah..
Wape leso,wape leso.,
Me nazid kuwapandisha suruali zao juu wafia dini...
Bado una mawazo na akili za kitoto! na mzee wako mpuuzi Mohamed Saidi anakuamini kuwa wewe ni mtetezi wake mahiri!
 
something is wrong with you; nashukuru kwa kuunga mkono. Enjoy jiandae na simulizi jipya soon.

Nothing is wrong with me,
kama nilivyokuambia,nimetoa pesa yangu mfukoni kununua kitabu chako na nakipitia na kukirudia mara mbili mbili,nikiona sehemu uliposisitiza ngono na mapenz holela na kuhalalisha 'salama' mithili ya uhalalisho wa Alhaj Alli Hassan Mwinyi,NAKUZABA KIBAO CHA USO KAMA ALIVYOKAZABWA YEYE,kwani kuba ubaya?
Munkari dawa yake ni kuondoa kwa mkono,siwezi kuwa na iman dhaifu ya kuchukia na kuupuzia,navichoma moto na kukuzaba kibao cha uso..
Yote ya kusemwa na kulisaidia taifa hili hukuyaona hadi uje uyazungumzie mapenz,
shame on you..!
 
Well.. you enjoy na ukijisikia kuwa kimekuudhi sana naweza kukupa ushauri wa jambo la kufanya... hakutakuwa na kitabu cha kukuudhi tena...
 
.....Wild Card,Lakini picha kamili ni hii.Nyerere alipojiuzulu ualimu na kuja kuishi na Abdu nyumbani kwake pale Mtaa wa Stanley, Abdu alimuhamisha Abbas chumbani kwake ampishe Nyerere chumba kile.

Nadhani unakumbuka mgogoro wa ''kabati la fedha'' la Abdu hata ikabidi nieleze fedha zile zikitoka wapi. Abdu alikuwa kati ya vijana maarufu wa Dar es Salaam ya wakati wake na hii ndiyo sababu kubwa haikuwa tabu kumuuza Nyerere.
.......
 
Bado una mawazo na akili za kitoto! na mzee wako mpuuzi Mohamed Saidi anakuamini kuwa wewe ni mtetezi wake mahiri!

vipi tena leo umeamkaje,mbona matusi na pumba zako tulishapumzika nazo jamvini humu?
Moh said kakuweka kwenye 'lists',hata mimi nilikuweka ngoja nikutoe kidogo kisha nitakurudisha unapostahili..
Akili zako kama mkokoteni ulioubeba,hazichangui cha kubeba,ziwe taka taka,uchafu n,k n,k,nakuwia radhwi,,
nachokujibu ni kwamba Moh Said hahitaji utetezi wa mtu,sembuse utetezi wangu?
Moh Said ni mwalimu wangu,me nalamba buti zake tuh,utetezi wangu haumwongezei chochote,kwaiyo tafuta lingine la kuongea tuzid kukudharau,au ongeza kipimo cha matusi hapo utaeleweka..
Wewe sisi tunakufanya kama kikaragosi,ama sanamu la michelini,yan sehemu ya kujipumzishia na kujistarehesha,
kama punching box,we si ni kanjanja?
Umekuwa mtu wa kusubiri watu waandike wewe uje utukane,sisi tunakuwia radhwi kwa hilo,tunadokoa dokoa kisha tunakuacha ukale viroba vyako,um-zima wa afya lakini?
Nakusalim sana..
 
Prof. Malima had enough of the president. He handed him his letter of resignation and copy of the Press statement. President Mwinyi refused his letter of resignation and would only accept it minus the Press statement.
President Mwinyi was shocked in what he found Prof. Malima's statement to the press. Prof. Malima was opening a new front.
If that information becomes public he would have to form a probe committee to investigate the facts.
Kumbe ilikuwa ni hoja hii!!! vema umesikika. Sijui wanajamvi wajibu kitu gani wakati ni maoni yako.
Umalizie kabisa kuhusu Prof Malima na tuhuma kwa JK.
 
MM, unadhani kuwa hawajui, basi tu kwamba lazima iwe hivyo kwasababu kwenda kinyume na maandiko ya mzee ni kuutaka ukafir. Nimewahi kumuuliza Mohamed Said mzawa na Mkazi wa Kariakoo kuwa hapo sokoni bidhaa zinauzwa kwa imani, madhehbu au dini?

Je, kuna duka lolote nchini ambalo unatakiwa kwanza ueleze wewe ni imani gani kabla ya kuuziwa bidhaa!
Hakuna aliyejibu.

Nikauliza tena hivi masikini wa Peramiho anayeishi kwa unga wa msaada kwa kwa mwezi na yule wa Ikwiriri anayeishi kwa ming'oko wanatafouati gani? Hakuna aliyenijibu.

Nashangaa baada a ukimya wa kutokuwa na majibu mzee na vijana wanakuja kwa mlango wa uani na hoja ile ile walioshindwa kuitetea au kuikosoa.

Kuna mahali (sikumbuki ni paper au kitabu) kilichosema kuwa ukitaka kumshinda mtu kwanza mfanye ajisikie dhaifu na mnyonge. Hapo hatakuwa na nguvu ya kutumia ile silaha kali aliyo nayo.
Ndicho kinachotkea kutokana na maandiko ya Mohamed na wale wanaomeza kitu nzima nzima kuifanya jamii kujisikia ni dhalili, dhaifu na inahitaji msaada.

Badala ya kuangalia tatizo katika ''core'' watu wanatafuta sababu za kuji-please.
Hakuna kitu kinaitwa proportional representation katika elimu.
Elimu ni taaluma hata mtu akipendelewa vipi the time will come hataweza kujisaidia.
Jibu ni kuanza kujisaidia kwanza kwa kutambua wapi tatizo lilipo.

Mfano, darasa la kwanza wataanza wanafunzi 150. Kwenda sekondari watukuwa 75. Highschool watafikia 50. Chuo kikuu watakwenda 25, degree ya kwanza watakuwa 20. Kwenda masters watakuwa 15, na kumaliza Phd pengine 5.
Ndivyo ilivyo duniani kote. Watu wajiulize kwanini trend inakuwa hivyo?

Lakini basi tukiacha umasikini kuna hoja inajengwa kuwa katika elimu kuna uonevu kwa baadhi ya maeneo kuwa nyuma.
Wasichokiona kama ni uonevu ni baadhi ya shule kufungwa kwa kukosa wanafunzi katika maeneo hayo hayo yanayosemwa yapo nyuma. Sasa hapa tunaanzia wapi?

Hypothetically tuamue kuanza na upendeleo katika maeneo hayo kwamba kila mwanafunzi aliyeandikishwa bila kujali uwezo wake aende sekondari, chuo au vyuoni tena bila mtihani.

Hapa watu watakwama kwasababu hao wanafunzi wapo wapi wakati shule imefungwa?
Kwanini watu wasianze kwanza kuhakikisha shule haifungwi!!!

Wananchi wa Ngamiani wakisema ''usiangalie ulipoangukia angalia ulipojikwaa''.

Hizo habari zako tumezoea sana kuzisoma unakumbuka ulituambia humu jamvini kuwa matatizo ya elimu ya Kilwa yanafanana na ya Mombasa watoto hawataki shule tulikuomba ushahidi mpaka leo kimya.
 
Wakuu kadri mjadala unavyoendelea nadhani ni vema tungekuwa tuna-brainstorm solution kuhusu hii inayoitwa dhulma kama kweli ipo. Kusema ule ukweli na kihistoria ulimwenguni pote tatizo la dhulma ya kimfumo huwa inatatuliwa kwa Affirmative Action. Kwani inakuwa si rahisi kurekebisha hiyo the so called dhulma in a year or two na kuweka mambo sawa. Nikisoma between the lines maandishi ya mzee Saidi hiki ndicho anachotaka kifanyike (Sifanyi pre-emption na niko tayari kukosolewa na mzee Saidi mwenyewe)

Well as we speak there is an ongoing debate kuhusu affirmative action ndani ya gazeti la economist, katika kupanua mjadala na pengine kuandaa mazingira ya future of our discussion ni vema tukafahamu kiundani kuhusu affirmative action especially kama hiyo itaonekana ndiyo the right avenue kukabiliana na the so called dhulma ya wakristo dhidi ya wenzao waislamu.

To begin with:

Affirmative action (AA) is primarily a policy of desegregating the elite to make it more representative of the society as a whole. It takes different forms in different countries (in America, race-based preferential admissions into academically selective schools; in India, quotas for formerly untouchable castes and marginalized tribes in public-sector jobs, educational institutions and electoral constituencies; in Malaysia, increasing the share of business ownership by Malays; and so forth). The target groups and the exact sphere of intervention vary from country to country, but the basic idea underlying AA is to provide a mechanism for including members of groups that would otherwise be under-represented, relative to their share in the population, in elite positions.

Je hicho kilichokuwa quoted hapo juu ndiyo hali halisi ya Tanzania? I think that is what we've been debating.

Kuona huo mkanasha wa AA bofya Hapa
 
Wld Card,Unazungumza kwa kuwa hapa ipo nafasi ya yeyote kusema atakacho.Abbas huwezi kumfananisha na kaka yake Abdu.Hebu soma hapa chini:There is a very famous photograph of TANU founding members. In that photograph three founder members are out of sight; Ally Sykes, Tewa Said Tewa and Kasella Bantu.These were civil servants and in the British tradition of separation of politics from civil service government, employees were not allowed to participate in politics. Any African who contravened that sacred regulation was liable for summary dismissal. Therefore when the photograph was taken the threeopted out. The photograph was taken by Gomes, a very famous Goan photographer in those days. Abdulwahid had arranged for Gomes to come to the TAA headquarters to take the historic photograph. Gomes did not come on time.Getting impatient with waiting, Abdulwahid asked his young brother Abbas to goand fetch Gomes from his studio at Acacia Avenue (now Samora Avenue) in the town center. The only means of transport for TAA was a beaten old bicycle.While Abbas was paddling towards the town center to fetch Gomes, the photographer came and took the group photograph. And this is how Abbas Sykes missed the group photograph. Wild Card,Hapo juu nimekuonyesha kuwa Abbas alikuwa ni bwana mdogo tu mbele ya kaka yake kiasi alikuwa wa kutumwa na baskeli katika mkutano ule wa kuasisi TANU.Lakini picha kamili ni hii.Nyerere alipojiuzulu ualimu na kuja kuishi na Abdu nyumbani kwake pale Mtaa wa Stanley, Abdu alimuhamisha Abbas chumbani kwake ampishe Nyerere chumba kile.Wild Card,Nadhani unakumbuka mgogoro wa ''kabati la fedha'' la Abdu hata ikabidi nieleze fedha zile zikitoka wapi.Fedha zile zilikuwa zikiletwa pale na Abbas ambae yeye ndiye alikuwa meneja wa Kituo kile cha mafuta, kituo ambacho kilikuwa mali ya kaka yake.Abdu alikuwa kati ya vijana maarufu wa Dar es Salaam ya wakati wake na hii ndiyo sababu kubwa haikuwa tabu kumuuza Nyerere.
Kumbe Abdu ndie aliyemtangaza Mwalimu hapa Dar! Unaweza kuwa sahihi Mzee Mohamed. Tuliyaona mambo yanayofanana na haya kati ya Rostam Aziz na Jakaya wetu. Kumbuka tu jambo moja, kitu chema hujiuza chenyewe, kibaya lazima kijitembeze. Kuna kitu Abdu alikiona ndani ya Mwalimu hadi akaamua kuwa karibu naye kiasi hiki. Wengi tunamshukuru kwa hilo.
 
Mohamed, Nini World Muslim League ilikuwa inanfanya nchini?
Je, hilo ni shirika la waislam
Nini ushiriki wako katika harakati na sheikh Rukara mkiwa na WML huku tukijuaalikuwa ana harakati za kisiasa za nchi kwake na ndani ya nchi yetu!

Hili halijapitwa na wakati
Angalia kijana aliyepata pongezi nyingi za Invisible alivyopigwa mwereka
Nguruvi,

Mimi nimeingia kwa kuwa umenitaja.
Nakuambia tena sikupata kufahamiana na Rukara.

Mimi siogopi mtu wala sina la kuficha.
Sikumuogopa Nyerere aliyetetemesha wengi Tanzania hii.

Wewe binafsi ni shahidi.
Hapa JF nimekuwekeeni mengi ambayo yangewahofisha wengi.

Nachukia sana unaponing'ang'aniza jambo ambalo nishakueleza
ukweli wake.

Rukara sikupata kujuananae.

Nakusihi usirudie tena neno hili kwani kwa hakika linaniudhi kupita
kiasi
.
Baada ya kupata hiyo ya kichwa.Vimulimuli vimemfanya Nguruvi asijue kipi kianze mwanzo na kipi kije mwisho.Jee akubali kushindwa au aombe radhi kwanza.Badala yake ameropokwa lisilohusika.
Unaijuataasisi ya World muslim League?
Mohamed, si wewe umesema ndiye kiongozi wa waislam!

**hapo nilipo bold, neno hilo halitumiwi na muungwana. Pale kwetu Makorora hiloni tusi kumwambia mtu mzima.
Eti Makorora nako ukisema "Nakusihi usirudie tena neno hili" ni tusi pia.Kwa hivyo anaona tusi alilotoa kwa Mohammed kwa kumsingizia habari za Rukara ndio limejibiwa na maneno ya Makorora.
Hapa pamoja na kukoma kuendelea na habari za Rukara ulitakiwa uombe radhi pia na kuahidi kutorudia.
Anayojua Mohammed mengi ametuwekea wazi lakini kwa makusudi mnajaribu kuyapindisha.
 
Kumbe Abdu ndie aliyemtangaza Mwalimu hapa Dar! Unaweza kuwa sahihi Mzee Mohamed. Tuliyaona mambo yanayofanana na haya kati ya Rostam Aziz na Jakaya wetu. Kumbuka tu jambo moja, kitu chema hujiuza chenyewe, kibaya lazima kijitembeze. Kuna kitu Abdu alikiona ndani ya Mwalimu hadi akaamua kuwa karibu naye kiasi hiki. Wengi tunamshukuru kwa hilo.

Wild Card,
Mifano hiyo haifanani kabisa.

Ila nitakudokeza kitu wewe na jamvi.
Mfano wako usiishie kwa Rostam na Kikwete.

Tamithlia haitanoga.

Kuna "actors" watatu lazima waingie kwenye
"scene."

Hawa ni Julius Nyerere, Benjamin Mkapa na Prof. Malima.
Hapo "movie" itakamilika.

Sasa tuje kwenye "location."
Tutakuwa Dar kisha Chimwaga Insha Allah.

Ukiyataka haya fungua uzi Insha Allah ntakuja kutoa darsa.
Nchi yetu ina historia na "intrigues" zake zinatisha.
 
Back
Top Bottom