Yericko Nyerere, hivi hiko kitabu chako kitapata wateja tanzania kweli, mbona kimekaa kama hadithi za sinema za kina Rambo na Jack Chain. Nimesoma huo ukurasa wako naona unazunguka tu na Osama mwanzo mwisho huelezi ugaidi ni nini.
Wild Card,
Mifano hiyo haifanani kabisa.
Ila nitakudokeza kitu wewe na jamvi.
Mfano wako usiishie kwa Rostam na Kikwete.
Tamithlia haitanoga.
Kuna "actors" watatu lazima waingie kwenye
"scene."
Hawa ni Julius Nyerere, Benjamin Mkapa na Prof. Malima.
Hapo "movie" itakamilika.
Sasa tuje kwenye "location."
Tutakuwa Dar kisha Chimwaga Insha Allah.
Ukiyataka haya fungua uzi Insha Allah ntakuja kutoa darsa.
Nchi yetu ina historia na "intrigues" zake zinatisha.
Kumbe Abdu ndie aliyemtangaza Mwalimu hapa Dar! Unaweza kuwa sahihi Mzee Mohamed. Tuliyaona mambo yanayofanana na haya kati ya Rostam Aziz na Jakaya wetu. Kumbuka tu jambo moja, kitu chema hujiuza chenyewe, kibaya lazima kijitembeze. Kuna kitu Abdu alikiona ndani ya Mwalimu hadi akaamua kuwa karibu naye kiasi hiki. Wengi tunamshukuru kwa hilo.
Wild Card,
Abdu alikuwa binadamu.
Ile nafasi ya urais wa TANU hakukitaka kwa kuwa alijua nini kiwepo pale
ili kipatikane chama chenye nguvu na umoja.
Ndiyo maana Abdu kabla ya kufahamiana na Nyerere 1953 yeye alimtaka
Chief David Kidaha Makwaia aje awe rais wa TAA kisha waunde TANU na
Chief Kidaha awe rais wa TANU.
Ndipo ninaposema kila wakati TANU kaunda Abdu.
Ndiyo maana unaona kadi ya kwanza ya TANU Nyerere, kadi ya pili Ally
Sykes na kadi ya tatu ya TANU Abdu Sykes.
Hivi si vitu vilivyokuja kwa bahati mbaya.
Vina hostoria yake.
Wild Card,
Historia hii ndiyo inayojaza jamvi sasa tunakimbilia watazamaji 150,000.
Uliza maswali ya maana nikupe majibu ya maana.
Hii ya TANU kaunda Abdu inafanana na ile ya CHADEMA kaunda Mtei! Angalau wewe sio mtu wa kufikiri kwa ufupi namna hiyo. Usimpende Abdu kwa kumdunisha Mwalimu. Unaujua vizuri uwezo mkubwa wa Mwalimu katika SIASA na UONGOZI. Mwalimu hakuwa mtu kusubiri Abdu aunde TANU. Kwamba Abdu hakuutaka URAIS wa chama alichokiunda yeye, halafu akawa mgombea, hilo tuwaachie wenye akili walitafakari.Wild Card,Abdu alikuwa binadamu.Ile nafasi ya urais wa TANU hakukitaka kwa kuwa alijua nini kiwepo paleili kipatikane chama chenye nguvu na umoja.Ndiyo maana Abdu kabla ya kufahamiana na Nyerere 1953 yeye alimtakaChief David Kidaha Makwaia aje awe rais wa TAA kisha waunde TANU naChief Kidaha awe rais wa TANU.Ndipo ninaposema kila wakati TANU kaunda Abdu.Ndiyo maana unaona kadi ya kwanza ya TANU Nyerere, kadi ya pili AllySykes na kadi ya tatu ya TANU Abdu Sykes.Hivi si vitu vilivyokuja kwa bahati mbaya.Vina hostoria yake.Wild Card,Historia hii ndiyo inayojaza jamvi sasa tunakimbilia watazamaji 150,000.Uliza maswali ya maana nikupe majibu ya maana.
Gombesugu,
Yericko.
Hapana mchezo huyu ni mwamba.
Anasema "Desert One" hapo kakusudia "Desert Storm."
Hilo ndilo buku lake linalosimamiwa na Ubalozi wa Marekani.
Anaandika "Cliton" badala ya "Clinton."
Anatamba anasema mimi si chochote najua habari za Kariakoo.
Masikini hajui kuwa mimi nimesoma historia ya Marekani kisha
nikashindilia na Politics of Industrial States.
Nikisoma hiyo riwaya hata sijui kama namsoma yeye au tafasiri
ya riwaya za Kimarekani.
The BIG SHOW umesahau leo ni weekend GWALIHENZI ikishafika weekend akili zote anaacha nyumbani ili asizisahau kule kwenye kiti kirefu moja moto moja baridi msamehe burevipi tena leo umeamkaje,mbona matusi na pumba zako tulishapumzika nazo jamvini humu?
Moh said kakuweka kwenye 'lists',hata mimi nilikuweka ngoja nikutoe kidogo kisha nitakurudisha unapostahili..
Akili zako kama mkokoteni ulioubeba,hazichangui cha kubeba,ziwe taka taka,uchafu n,k n,k,nakuwia radhwi,,
nachokujibu ni kwamba Moh Said hahitaji utetezi wa mtu,sembuse utetezi wangu?
Moh Said ni mwalimu wangu,me nalamba buti zake tuh,utetezi wangu haumwongezei chochote,kwaiyo tafuta lingine la kuongea tuzid kukudharau,au ongeza kipimo cha matusi hapo utaeleweka..
Wewe sisi tunakufanya kama kikaragosi,ama sanamu la michelini,yan sehemu ya kujipumzishia na kujistarehesha,
kama punching box,we si ni kanjanja?
Umekuwa mtu wa kusubiri watu waandike wewe uje utukane,sisi tunakuwia radhwi kwa hilo,tunadokoa dokoa kisha tunakuacha ukale viroba vyako,um-zima wa afya lakini?
Nakusalim sana..
Wild Card,
Abdu alikuwa binadamu.
Ile nafasi ya urais wa TANU hakukitaka kwa kuwa alijua nini kiwepo pale
ili kipatikane chama chenye nguvu na umoja.
Ndiyo maana Abdu kabla ya kufahamiana na Nyerere 1953 yeye alimtaka
Chief David Kidaha Makwaia aje awe rais wa TAA kisha waunde TANU na
Chief Kidaha awe rais wa TANU.
Ndipo ninaposema kila wakati TANU kaunda Abdu.
Ndiyo maana unaona kadi ya kwanza ya TANU Nyerere, kadi ya pili Ally
Sykes na kadi ya tatu ya TANU Abdu Sykes.
Hivi si vitu vilivyokuja kwa bahati mbaya.
Vina hostoria yake.
Wild Card,
Historia hii ndiyo inayojaza jamvi sasa tunakimbilia watazamaji 150,000.
Uliza maswali ya maana nikupe majibu ya maana.
Rits,
Mimi nimekipata hicho kitab0kwa kweli huyo Mzee akili zake zitakuwa zina hitilafu kidogo,
Hata jeuri ya kuvaa viatu vya shigongo hana,atawezea vipi kumwingia Moh Said?
Ati anasema maheruhi wa mapenzi,,anahubiri mapenzi?
Katika nchi maskini?inashika nafasi za mikiani duniani,then jitu lije kuhubiri mapenz kweli?
Ukiona mtu mzima kama huyo kaamua kuyanadi mapenzi wazi wazi na kuacha mambo ya msingi ya nchi hii,inabid ujiulize mara mbili mbili sana,.
Amekosa haya huyo mzee..
Non sense..!
Ridiculousness,,
I will associate your blah blah with fourth escape route..
fourth escape route,inasema,,
hii nairudia tena kwako,
inasema...
The fourth escape route is to blame muslims,that muslims they hate secular education..!,they prefer maulid and madrasa rather than secular education,,..!
The imbalances persists because,muslims especially along the coast such as lindi,mtwara,tanga,bagamoyo and pwani and etc dislike schoooling.
Those who follow this line of thinking convict themselves of inconstisency.It is the muslims who are demanding proportional representation in education.They can not be accused of disliking education.At an rate,that does not tell us why,a century a go,the germans built schools along the coast and the vast majority of their eager students were muslims.
Answer this question..
WHY SHOULD OUR INDPENDENT GOVERMENTS FAIL WHERE THE COLONIAL ADMINSTRATION SUCCEEDED??..
Our Madras or maulids..?
WimanaSheikh, hapo umemsaidia proof reading ingawa kwa kumbeua. Hata hivyo, hadi hapo andiko halijapoteza wala kupotosha kimantiki kama ilivyo andiko lako kumtaja Marmo kama Mbunge wa Monduli!
Sitetei makosa yake, lakini nashangazwa na jinsi unavyobeua kazi ya mwenzako wakati yako ina upotishaji wenye kupumbaza kielimu.
Ningekuheshimu zaidi kama ungekosoa kwa nia ya kumsaidia kuja na andishi bora zaidi.
p
WimanaBig Show, hapa wewe na Ritz mnafanya personal attack, mmeiweka hoja ya mnakasha kando na kuanza kumvamia mtu.
Big Show, ni ukosefu wa maarifa kuvilinganisha vitabu hivi viwili vyenye maudhui tofauti.
Sioni busara kuijadili Riwaya ya Mapenzi katika Jukwaa la Siasa, ni kuchichea ghadhabu na kupotosha kwa makusudi hoja iliyopo mezani. Ni sawa na kuleta sarakasi za Bungeni kwa kupotosha hoja mahsusi kwa manufaa ya kiitikadi.
THE BIG SHOW, acha kutoka mapovu, vumilia uchungu mtoto wa kiislam! unajinasibu kuwa na malezi mema kumbe huna tofauti na watoto wa mitaani yaani machokoraa! kwa ujinga wako na wafuasi wako unadhani wewe ndio mwenye haki ya kuwakashifu na kuwadharau watu wengine hapa jamvini huku hilo zee lako pumbavu kama wewe likusifie eti unamawazo ya maana! pole sana,hivi ulipo mumwagia matusi Yericko Nyerere ati hana adabu kwa kutangaza kuandika kitabu chake ulitaka tukusifu? Wewe na hilo zee lako hamna maana yoyote ni wapuuzi tu. Kaa pembeni na ujinga wako waachie wenye akili waandike vitu vyao, wewe na upumbavu wako kaa ukiandika lugha zako za kifedhuri " ati watu watu wana valia suruari kwenye makalio" ulitaka wavalie kichwani? Au kwakuwa unaliabudu hilo zee lako jongo ulitaka na sie tukubaliane na ----- wake? hatujakosa akili kama wewe mpuuzi ebo!vipi tena leo umeamkaje,mbona matusi na pumba zako tulishapumzika nazo jamvini humu?
Moh said kakuweka kwenye 'lists',hata mimi nilikuweka ngoja nikutoe kidogo kisha nitakurudisha unapostahili..
Akili zako kama mkokoteni ulioubeba,hazichangui cha kubeba,ziwe taka taka,uchafu n,k n,k,nakuwia radhwi,,
nachokujibu ni kwamba Moh Said hahitaji utetezi wa mtu,sembuse utetezi wangu?
Moh Said ni mwalimu wangu,me nalamba buti zake tuh,utetezi wangu haumwongezei chochote,kwaiyo tafuta lingine la kuongea tuzid kukudharau,au ongeza kipimo cha matusi hapo utaeleweka..
Wewe sisi tunakufanya kama kikaragosi,ama sanamu la michelini,yan sehemu ya kujipumzishia na kujistarehesha,
kama punching box,we si ni kanjanja?
Umekuwa mtu wa kusubiri watu waandike wewe uje utukane,sisi tunakuwia radhwi kwa hilo,tunadokoa dokoa kisha tunakuacha ukale viroba vyako,um-zima wa afya lakini?
Nakusalim sana..
Wild Card,
Abdu alikuwa binadamu.
Ile nafasi ya urais wa TANU hakukitaka kwa kuwa alijua nini kiwepo pale
ili kipatikane chama chenye nguvu na umoja.
Ndiyo maana Abdu kabla ya kufahamiana na Nyerere 1953 yeye alimtaka
Chief David Kidaha Makwaia aje awe rais wa TAA kisha waunde TANU na
Chief Kidaha awe rais wa TANU.
Ndipo ninaposema kila wakati TANU kaunda Abdu.
Ndiyo maana unaona kadi ya kwanza ya TANU Nyerere, kadi ya pili Ally
Sykes na kadi ya tatu ya TANU Abdu Sykes.
.
Hii ya TANU kaunda Abdu inafanana na ile ya CHADEMA kaunda Mtei! Angalau wewe sio mtu wa kufikiri kwa ufupi namna hiyo. Usimpende Abdu kwa kumdunisha Mwalimu. Unaujua vizuri uwezo mkubwa wa Mwalimu katika SIASA na UONGOZI. Mwalimu hakuwa mtu kusubiri Abdu aunde TANU. Kwamba Abdu hakuutaka URAIS wa chama alichokiunda yeye, halafu akawa mgombea, hilo tuwaachie wenye akili walitafakari.
Sheikh, hapo umemsaidia proof reading ingawa kwa kumbeua. Hata hivyo, hadi hapo andiko halijapoteza wala kupotosha kimantiki kama ilivyo andiko lako kumtaja Marmo kama Mbunge wa Monduli!
Sitetei makosa yake, lakini nashangazwa na jinsi unavyobeua kazi ya mwenzako wakati yako ina upotishaji wenye kupumbaza kielimu.
Ningekuheshimu zaidi kama ungekosoa kwa nia ya kumsaidia kuja na andishi bora zaidi.
p
Wild Card,
Inawezekana ni ujuvi.
Inawezekana pia ni kutojua historia ya Tanganyika.
Halikadhalika inawezekana na hasad na mengine mengi
kwako wewe kufananisha siasa za kikoloni na siasa hizi
za wakati huu tulionao.
Hakika mimi nakubaliana na wewe Nyerere si mtu wa
kusubiri Abdu Sykes aunde TANU Nyerere unavyoona
wewe ni mtu wa kuunda chama chake.
Tatizo liko hapa inawezekana kweli Nyerere alikuwa na
fikra ya kuunda TANU toka Butiama.
Na ikiwa utakuja ushahidi wa hilo labda alipata fikra hizi
kwa baba yake Chief Burito au kwa namna yoyote ile nani
atapinga?
Abdu mimi nasema kaunda TANU kwa sababu historia yake
yote kuanzia kwa baba yake ndiyo hiyo za siasa za mapambano
na ukoloni.
Huo mfano wa yeye na Chief Kidaha ni mmoja wa mifano hiyo.
Ukitaka mingene na iko mingi utarudi nyuma kwa baba yake na
yeye mweyewe katika maisha yake hadi TANU ikaaundwa 1954.
Ikiwa Nyerere aliunda TANU uwanja ndiyo huu uletwe ushahidi.
Isiwe Nyerere kuunda kwake TANU unafungamanishwa na historia
yake na Abdu Sykes na TAA pale New Street.
Lameck Bugohe mmoja wa waasisi wa TANU alipata kuandika makala
katika Raia Mwema akasema yeye alikuwa na fikra ya kuunda TANU
Mwanza katika miaka ya awali ya 1954.
Mimi niliandika makala ya kumuunga mkono.
Katika makala ile alilaumu wana historia kujikita kwa Nyerere bila ya
kufanya utafiti kwa wanasiasa wengine wa wakati ule yeye akiwa
mmojawapo.
Kuasisi TANU si milki ya Abdu Sykes peke yake yawezekana wako wengi
walikuwa na fikra kama zake.
Huu ni wakati muafaka kwa sisi kusikia habari za wazalendo hawa pamoja
na historia ya Nyerere katika juhudi zake za kuasisi TANU ama iwe Butiama,
Makerere au Tabora.
Hivi wewe mpumbavu kwanini usijitoe kwenye huu mnakasha na ukabaki msomaji wa hoja za wenzio? Hivi huu upumbavu unao uandika hapa unadhani nani anaufurahia zaidi ya huyo mzee wako mpuuzi na mchochezi MOHAMED!Acha zako za uchakubimbi wa hoja hapa,
Mwaka huu mbona mtajuta?mmechokoza nyuki msikimbie,mmetaka chai kwanin mlalamike mnaungua?
Msikmbie nje ya mada,na umwambie jamaa yako yapo mengi ya kusema kuisadia nchi hii lakini si mapenzi,mungu hataki mambo hayo..
Boko, sijawahi kuonja pombe katika maisha yangu, nakushangaa sana kukosa akili na kuwa shabiki mjinga unayeamini kila kitu cha hovyo cha mchochezi Mohamed na kumuhukumu ulevi kila anayepingana naye hapa. Kwa maelezo yake mlevi wa kutupwa ni huyo jamaa yako wa gesi haitoki Mtwara, yeye ndiye husimulia yanayotokea kwenye mikao ya pombe kila mara hapa jamvini.The BIG SHOW umesahau leo ni weekend GWALIHENZI ikishafika weekend akili zote anaacha nyumbani ili asizisahau kule kwenye kiti kirefu moja moto moja baridi msamehe bure