Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Winama,
Yericko hana alichoandika.

Huo si uandishi ni vichekesho.

Msome Mohamed Said na tatizo la ugaidi kama alivyoeleza katika mkutano we maudhui hiyo Chuo Kikuu Cha Ibadan mwaka 2006:

The United States is more concerned with international terrorism while Africa is obsessed with domestic terrorism.

The question which the United States should reflect upon is that why is it that the United States is considered a legitimate target for attackby terrorists?

In the answer probably lies the key to solving the problem.
It is a pity that terrorism as a field of inquiry is yet to be taken up by actual victims of terrorism.

The inquiry has been monopolised by scholars from societies which at most have suffered one or two bomb attacks.

This erodes the realities of the subject as would beperceived by the actual victims of terrorism whose lives have seen nothing but sufferings.

Selective sampling will always as a rule provide wrong premise.

Today the world knows what took place in Auschwitz from the victims who went through the extermination camps during the Holocaust.
[1]

We are yet to get first hand experience of terrorism from those who had lived andexperienced it in Vietnam, Afghanistan, Iraq, Nicaragua etc. documented with the same intensity as the world had documented the holocaust.

Why do Muslims’ eyes fill with tears when they watch on TV fighter bombers of the United States Army raining bombs on Iraq and Afghanistan; or Israel American made fighter bombers raining bombs on refugee camps in Gaza.

Why do some Muslims rejoice sometimes with chants of ‘Takbir Allahu Akbar’ when a suicide bomber strikes?

Why some Muslims do not show remorse when asuicide bomber kills?

Why is it that we now have ‘refuseniks’ - soldiers in theIsrael Defence Force (IDF) who refuse to kill for unjustified cause?

This belief is also encroaching into the United States forces in Iraq.

Why a suicide bomber is romanticised in certainparts of the world and is rejoiced as a hero while an American soldier is seen as a villain?

The United States should reflect on these sentiments.
Reasons for the reign of terror in Kenya,Uganda and Zanzibar, Rwanda and other places are known.

The United States with its array of social scientists and research centres should be able to come up with conclusive findings on the root cause of terrorism and why America has become a terrorist target.

Post-independence Kenya has experienced bomb attacks when in 1975 a bus stand was bombed in Nairobi followed by another bomb attack on Norfolk Hotel in 1980.
[2]

Mtwara a small town in southern Tanzania was bombed several times by Portuguese war planes during the struggle for liberation of Mozambique.

Neither Kenya nor Tanzania internationalised the bombing of its territory because both countries knew why they were under attack.

Tanzania was being attacked by the Portuguese with the cognisance of the United States because it was the spring board forguerrillas fighting White supremacy and foreign domination in Mozambique, Angola Namibia and South Africa.

Is it really difficult for the United States to know why it is now being targeted?

[1] See‘The Last Days of Auschwitz 50 Years Later: Untold Stories From the Death Camp,’ Newsweek,January 16, 1995.
[2]Norfolk Hotel was bombed on New Year's Eve 1980. 15 people werekilled, including 2 Americans, 85 were injured, and half the hotel wasdestroyed. The owners are members of a Kenyan Jewish family. It seemed the attack was motivated by revenge against Kenya by Palestinians for aiding the Israeli commando team that rescued hostages hijacked by Palestinians at Entebbe airport in Uganda in July1976.

Sheikh Said, hapo unanikwaza, unajisifia mwenyewe na kumponda mwenzako!

Ngoja tusubiri andiko la Yericko Nyerere, liletwe jamvini na tulijadili kama linakidhi haja.
 
Yericko Nyerere,

Njoo tupashane habari kuhusu Al-Qaida network wapi ilianza nani muanzilishi na dhumuni lao ni nini.

Kitabu chako unatakiwa ukiite Vita dhidi ya Uislam.
 
Last edited by a moderator:
Nani wa kukuulizia wewe kwa lipi lamaana uliloliweka hapa brother uwe na adabu wala hakuna mtu alikuwa anataka kujua ulikuwa wapi hayo mambo ya kikazi ni kwa faida yako na familia yako ,ohh mzee MS mpumbavu,mchochezi,mjinga baba humuwezi mzee MS umegonga ukuta:frusty: hakuna mtu anayefurahia unayoyafanya kwenye huu mnakasha :nono::nono: nakueleza kwa mara nyingine unapopiga kichwa ukuta sikitikia kichwa chako usisikitikie ukuta!!!!!!!!!!
Boko, narudia tena, mzee Mohamed Said ni mtu hatari sana kwa amani ya nchi hii! angalia alivyofanikiwa kuusambaratisha ubongo wako kiasi kwamba huna uwezo wa kufikiri tena zaidi ya kuimba nyimbo za kipumbavu za kutukuza mawazo mufilisi yaa huyo babu. Sasa hivi upo tayari kuchukua jambia na kuingia mutaani pale huyo mchochezi akikuamuru ufanye hivyo!
 
Sheikh Said, hapo unanikwaza, unajisifia mwenyewe na kumponda mwenzako!

Ngoja tusubiri andiko la Yericko Nyerere, liletwe jamvini na tulijadili kama linakidhi haja.

Winama,
Bado sijajisifia.

Nikijisifia utanisikia.
Hapo nimesema kweli tupu.
 
Wanajamvi, baada ya mapumziko ya wiki sasa nimerejea kwenye mnakasha wetu oliomurua mithiri ya mitalawanda,
 
Yericko Nyerere,

Njoo tupashane habari kuhusu Al-Qaida network wapi ilianza nani muanzilishi na dhumuni lao ni nini.

Kitabu chako unatakiwa ukiite Vita dhidi ya

Uislam.

Hapana sio litany cha vita dhidi ya uislamu,

Kwabahati mbaya nimekumegea kwakifupi tu

Inshalah nitaendelea kuwapeni kwakifupi koala mislead
 
Last edited by a moderator:
Mr Barubaru, nashukuru sana kwa mchango wako. Nakukumbusha kuwa uislamu uliutangulia ukiristo katika nchi hizi kwa miaka karibu mia 600 au zaidi. Kama Waislamu wa huko bara ulikoenda hawakuwa na ari ya dini yao usirukie elimu yao, kwanini? wewe kama ulikuwa unaenda msikitini ulikuwa pia una questionnaire ya kujaza kazi na elimu za wanaoswali. Uliendea swala au udadisi wa hadhi ya wanaoswali? Hapa bwana huna point. Kama kuna udhaifu katika jamii za kiislamu kufuatilia dini yao wewe anzia chanzo. Uislamu ulianza 600 years kabla sasa iweje udhaifu huu. Jibu ni kuwa Barubaru uislamu ulienea through wafanya biashara (motive ilikuwa biashara ndugu yangu, uislamu ilikuwa ni by-product) ndio maana ya uislamu kuenea zaidi kwenye trading centres hapa nchini. Nani aliwazuia maustadh wa Pemba/Unguja for 500 years kufika Tarime/Njombe kueneza uislamu? Mbona pembe za ndovu walizifata? Mbona dhahabu ya zimbabwe waliifuata huko huko? Barubaru, usidhani watu wa bara ni wapungufu wa imani. Wala sio kweli kuwa mbora kidini yule mwenye idadi kubwa ya kuingia na kutoka msikitini. Lazima tupate na ushahidi kuwa matendo yako pia yanafuata subira, haki na yana nia njema. Na sidhani kwa kigezo kidogo kama hiki ninachokiona hapa Tanga na huu mwambao wote tokea LAMU hadi Mtwara jinsi mabinti wadogo wanavyoolewa na kutalakiwa kiholela na akina hamsa-salawat wakati mwingine ndio kwanza wametoka kujifungua, eti kuna mtu atajiita Mwuungwana hapa. Kama wewe umezaliwa kwenye familia na jamii yenye chanzo na malezi ya kiislamu mshukuru Mungu na wazazi wako lakini haina maana mwislamu msukuma wa kwimba ni mzembe kutokuwa kama wewe. Kwanza shukuru hajabadili dini!!!!! Wewe laumu maulamaa na maustadh waliopiga mizizi zenj (mara nyingi imejiita kitovu cha uislamu hapa afrika mashariki) na kuendekeza biashara za pembe za ndovu for 600 hundred years bila kujipanga kueneza dini ya kiislamu mpaka wakaja wamishionari na kukuta mteremko huku bara. Hakuna Lawama Barubaru, TOA SOLUTION.

naona umeandika mengi sana japo ukuweka mpangilia wa mawazo yako. lakin nitakujibu kwa ufupi.

Kama ulivyonena na mimi napenda kukupa kidogo kuwa Uislam sio tu ni Dini lakin ni mfumo wa maisha ya mtu ya kila siku na kila nyanja ya matendo yake ya kila siku hususan ustaharabu. Pitia sehemu zote unazozijua wewe huko \tanganyika kama Bagamoyo, Ujiji, Dar, nzega n.k utaligundua hilo. Lakin jiulize sehemu hizo kulikuwa na mbumbu wasiojua kusoma (jiulize je Znz ambayo ina waislam more than 99% je kulikuwa na watu wasiojua kusoma na kuandika) au enzi za nyerere kulikuwa na elimu ya ngumbaru huko visiwani.

Kuhusu ndoa na za mabinti nafikiri zunguka vizuri huko Bara utaliona hilo. Mimi nimepitia Tarime na kuona wazee wanavyooa mabinti wadogo na ungepita kule Arusha kwa wamasai utaona mengi. jaribu kufanya research kidogo uone. lakin hilo la talaka ni bora sana kuliko kama ungepita sehemu hizo nilizobainisha utakavyowaona akina mama wanatumikishwa kama punda na kupigwa kwa mijeredi kama vile sio watu. hakika huko mwanamke hana thamani kabisa au hilo nalo ujaliona. je Pwani umeshasikia mwanamke anapigwa kwa mijeredi? au kutumikisha kama punda kilongwe? Fanya utafiti kidogo.

Sitaongea mengi lakin suala la tohara kwa wanawake na wanaume kutembea na magovi ni taabu kubwa huko . je sehemu zenye waislam umewahi kuyaona haya?

mengine sipendi kuyaeleza lakin ungefanya jitihada za kuitembea Tanzania kama mimi nilivyofanya wakti naishi huko basi ungefunguka kwa mengi sana na kuona wanaume wanashinda kwenye vilabu vya pombe wakti wanawake wanalima mashamba makubwa ya kahawa na mahindi kule litembo, mbinga, kitai mpaka liuli na mbambabay, nyoni mpaka maguu.

Nilicho bainisha wakti huo nafikiri wakti wa utawala wa JKN ilikuwa ni aibu kwa mwislam aliyekuwa amesoma na kupata madaraka serikalini kuonekana anahudhuria vipindi vyote vya swala msikitini BALI tuliokuwa tunathubutu kufanya hivyo ni sisi watu wachache kutoka Znz. hilo ni kweli na wala halina ubishi

pole sana

Winama na Yericko, mnaweza kudhani Mohamed amejibu hoja ya Yericko kuhusu bandiko lake.
Mohamed anayesema watu waandike vitabu kuhusu wanachojua, huyo huyo anasema alichoandika Yericko ni vichekesho.

Mada hii ameileta makusudi kama sehemu ya kushangalia Boston Bombing.Huyu ndiye Mohamed Said! mpenda amani
The question which the United States should reflect upon is that why is it that the United States is considered a legitimate target for attack by terrorists
Mohamed,Kumekuwa na matukio ya namna hiyo India (Mumbai attack), Russia, Spain(Madrid Bombing), London 7/7,Saudia Arabia, Nigeria, Algeria, Zanzibar, na majaribio kule Ujeruman, Ufaransa na kwingineko.Kusema US ni legitimate target ni jitihada za kupuuza ugaidi mwingine duniani kwasababu tu anataka kujenga hoja dhidi ya Marekani.Usitufanye wajinga kwa kudhani tutameza tu. No sir!

Mohamed Marekani ni taifa kubwa kwa kila hali. Lina interest zake kila kona ya dunia na hivyo kushambuliwa kwake ni rahisi zaidi kuliko mataifa mengine na pengine ni makosa sana kulinganisha na Kenya au Tanzania ambazo hazina interest yoyote nje ya mipaka yao kama usemavyo hapa
Mohamed: Neither Kenya nor Tanzania internationalised the bombing of its territory because both countries knew why they were under attack
Mohamed: Why do some Muslims rejoice sometimes with chants of ‘Takbir Allahu Akbar' when a suicide bomber strikes?
Jibu ni kuwa kuna ignorance kubwa sana katika kuifahamu dini ya kiislam.

Islam hai- advocate violence in any condition, ironically Islam promotes peace, understanding, co-existence and mutual respect.

Gaidi anapolipua ubalozi wa Dar wakafa waislam na wasiokuwa waislam wasiojua lolote kuhusu Marekani kuna nini cha kushangilia hapo?

Boston amekufa mtoto wa miaka 8, kuna nini cha kushangilia hapo?
Amekufa Mchina asiye raia wa Marekani, kuna nini cha kushangilia hapo?
Kuna connection gani kati ya dini na mauaji ya mtoto kiasi cha watu kushangilia!

Narudia Uislam hausemi hivyo isipokuwa baadhi ya waislam hawana ufahamu kuhusu dini ya mwenyezi mungu.
Kushangilia si tatizo la Marekani ni tatizo la baadhi ya watu kutoifahamu dini inasemaje.
Wale wanaoshangilia senseless killing ndio tatizo. Mauaji ni mauaji tu hakuna mauaji mazuri au mabaya yote ni kinyume cha deen.
Mohamed; Why do Muslims' eyes fill with tears when they watch on TV fighter bombers of the United States Army raining bombs on Iraq and Afghanistan; or Israel American made fighter bombers raining bombs on refugee camps in Gaza
Kwanza ni makosa kusema waislam generally.
Mohamed angesema some. Some kwasababu hao ndio wasio na ufahamu au weledi wa dini ya Kiislam.

Huwezi kutoka machozi kwa kuangalia Afghanistan huku ukishindwa kutokwa machozi kwa Somalia ambako Alshabaab wanapita mitaani wakifanya uhalifu usiwolezeka kwa jina lile lile la dini ya kiislam.
Wanafanya hivyo kwakuwa wanapata ‘crazy' support, I mean flimsy excuse kama hizi tuonazo.
Mamilioni yanafisadiwa serikalini ,wanachi wakiwa hawana dawa, mtu anatokwa machozi na Iraq wala si Muhimbili!!!
Why some Muslims do not show remorse when a suicide bomber kills?
Wrong Mohamed, some muslims not all Muslims. Who're you to speak on behalf of the entire society.

There're millions of well educated and civilized muslims who denounce your position.
If you speak on behalf of Uamsho, Alshabaab and Ilunga, then you ought not to generalize.
You have to ask them why they do not show remorse when committing the heinous act.

Mohamed, unapoandika kitu angalia maana yake kwa jamii nzima. Huwezi kuwa na sentiment zako ukazifanya za jamii.
Wala usitumie sababu za kisiasa au ziwazo kuingiza dini katika mambo maovu kama haya.
Dini haisemi hivyo unafahamu, lakini unapindisha ukweli. Usiichafue dini, andika kama wewe na wala si waislam.

Sijui kama unafahamu kuwa katika miaka ya nyuma kuna watu waliwahi kufanya ugaidi ndani ya msikiti mtukufu wa Maka.
Sasa hawa nao walikuwa na chuki dhidi ya Marekani. Narudia maana vijana wako hawajui kuwa ilitokea, ndani ya msikiti wa Maka.

**waambie vijana wasisahau spinning na phrase au spelling**
 
Mfumo Kiristo unavyofanya kazi juzi bungeni tumemsikia mbunge wa Chadema Mh Joseph Selasini akitoa shutuma nzito kuwa Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM kuwa kuna udini.

Tuhuma hizo ninatokana itikadi za watendaji wakuu wa chuo hicho Prof. Idris Kikula na Prof Shaban Mlacha.

Hakuna hata Mkiristo humu jamvini ambaye amepingana na Selasini hata hawa ambao wanasema Mohamed Said ni mchochezi.

Ritz,

Mimi mara zote huwa najiuliza kwanini waislam ndio waitwe wadini peke yao ina maana wakristo sio wadini?

Mfano Al marhum prof Kighoma malima aliwahi kuitwa mdini na kufikia hata kusema alijenga msikiti ofisini.
College mate wangu Dr Ramadhwan Dau kila siku anasakamwa?

Dr kawambwa ndio hatulali kuhusu kusakamwa?
Nilipenda sana Jibu aliolitoa Juma Nkamia kuhusu UDOM.

Mimi nafikiri wenzenu huko nao wawe na subra na kukubali kuwa nchi ni ya wote sio yao peke yao kama walivyokuwa wanadekezwa hapo awali kiasi cha kujiona kuwa wao wana hati miliki ya kila kitu na nyie ni kwa ihsani tu

Je kulikoni huko tanzania siku hizi.

Na huu mfumo kristo kwanini usishinikize wanachama wa cdm wapiga kelele wasipewe vyeo mbalimbali ili watulie? huu mfumo au hauna nguvu?
Mbona walamba vyeo ni wale wajipendekezao kwa ccm tu? nitafutie mwanachama wa cdm ambae ni mkuu wa mkoa mkuu wa wilaya mkurungezi wa mashilika mbalimbali.
Wote hao nilokutajia bila kujali dini zao ni lazima wawe wanachama watiifu kwa ccm ndo wachaguliwe.
Ila punguza chuki na ukristo.
 
Hii ya TANU kaunda Abdu inafanana na ile ya CHADEMA kaunda Mtei! Angalau wewe sio mtu wa kufikiri kwa ufupi namna hiyo. Usimpende Abdu kwa kumdunisha Mwalimu. Unaujua vizuri uwezo mkubwa wa Mwalimu katika SIASA na UONGOZI. Mwalimu hakuwa mtu kusubiri Abdu aunde TANU. Kwamba Abdu hakuutaka URAIS wa chama alichokiunda yeye, halafu akawa mgombea, hilo tuwaachie wenye akili walitafakari.

WildCard;

Kumbe sio Mtei alieunda Chadema? nani basi muasisi wake? kwasababu kuna mtu mmoja mbishi sana ati anasema muasisi wa Chadema alikuwa Bob Makani na Brown Ngwilulupi! anadai Mtei alikaribishwa Chamani kama alivyokaribishwa Nyerere ktk Tanu!
Hembu tupe darsa!
 
Ritz,

Mimi mara zote huwa najiuliza kwanini waislam ndio waitwe wadini peke yao ina maana wakristo sio wadini?

Mfano Al marhum prof Kighoma malima aliwahi kuitwa mdini na kufikia hata kusema alijenga msikiti ofisini.
College mate wangu Dr Ramadhwan Dau kila siku anasakamwa?

Dr kawambwa ndio hatulali kuhusu kusakamwa?
Nilipenda sana Jibu aliolitoa Juma Nkamia kuhusu UDOM.

Mimi nafikiri wenzenu huko nao wawe na subra na kukubali kuwa nchi ni ya wote sio yao peke yao kama walivyokuwa wanadekezwa hapo awali kiasi cha kujiona kuwa wao wana hati miliki ya kila kitu na nyie ni kwa ihsani tu

Je kulikoni huko tanzania siku hizi.

Barubaru,

Tatizo kubwa la ndugu zetu chuki dhidi ya Uislam ndiyo maana huoni Mkirsto yeyote kwenye hawa ambao tupo nayo humu jamvini wakisema chochote sababu kasema mwenzao.

Hapo UDOM viongozi wa juu ni hao wawili tu Prof. Idris Kikula na Prof. Shabani Mlacha, ukiangalia uwiano wa utawala bado Wakirsto wengi.

Hebu angalia huu mtiririko wa wakuu wa vyuo halafu wanajamvi watatuambia udini upo wapi kati ya Waislam na Wakirsto.

1) Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Prof. Rwekaza Mkandala Mkirsto.

2) Chuo Kikuu cha Sokoine Prof. Gerald Monela.

3) Chuo Kikuu cha Mzumbe Prof. Joseph Kuzaliwa.

4) Chuo Kikuu cha Teknolojia Mbeya Prof. Joseph Msambichaka.

5) Chuo cha Elimu Mkwawa (MUCE) Prof Amandina Liahamba.

6) Chuo cha Moshi MUCCOBS Prof. Faustine Bee.

7) Chuo cha Elimu (DUCE) Prof. Mfinanga.

8) Chuo cha IFM Prof. Godwin Mjema.

9) Chuo cha Mwalimu Nyerere Dr Magoti.

10) Chuo cha Biashara (CBE) Prof. Mjema.

11) Chuo cha Uhasibu Arusha Prof. Johannes Monyo.

12) Chuo cha (DIT) Prof. Kandoro.

13) Chuo Huria Prof. Tolly Mbwete.

15) Chuo cha Mandela Prof. Burton Mwamila.

Hawa wote ni Wakirsto lakini hawasemi wadini.

Huu ndiyo mfumo kirsto.
 
Wanajamvi tunaomba majibu yenu kupitia huu mnakasha.

Chadema wanasema Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kuna udini mkubwa.

Ni kweli tunaomba michango yenu.

RITZ,
Habari kubwa hii! na hiyo (UDINI) wameitaja ni Dini Ipi??
 
Na huu mfumo kristo kwanini usishinikize wanachama wa cdm wapiga kelele wasipewe vyeo mbalimbali ili watulie? huu mfumo au hauna nguvu?
Mbona walamba vyeo ni wale wajipendekezao kwa ccm tu? nitafutie mwanachama wa cdm ambae ni mkuu wa mkoa mkuu wa wilaya mkurungezi wa mashilika mbalimbali.
Wote hao nilokutajia bila kujali dini zao ni lazima wawe wanachama watiifu kwa ccm ndo wachaguliwe.
Ila punguza chuki na ukristo.

Na wewe nitafutie udini wa UDOM ambayo umetajwa bungeni na viongozi wa Chadema.
 
RITZ,
Habari kubwa hii! na hiyo (UDINI) wameitaja ni Dini Ipi??

Kadogoo,

Mbunge wa Chadema Joseph Roman Selasini Shayo kutoka Rombo ametetoa shutuma nzito bungeni kuwa UDOM kuna udini.

Kauli hiyo inawalenga Prof Idris Kikula na Prof Shaban Mlacha kwa sababu wao ni Waislam.

Nilipenda majibu ya Juma Nkamia alimwambia mkuu wa chuo angekuwa Liymo wala usingesema hayo maneno ya mambo ya udini.

Halafu kuna watu wanasema Waislama hawabaguliwi Ebo!!

Wanafiki wote kimya.
 
Last edited by a moderator:
Barubaru,

Tatizo kubwa la ndugu zetu chuki dhidi ya Uislam ndiyo maana huoni Mkirsto yeyote kwenye hawa ambao tupo nayo humu jamvini wakisema chochote sababu kasema mwenzao.

Hapo UDOM viongozi wa juu ni hao wawili tu Prof. Idris Kikula na Prof. Shabani Mlacha, ukiangalia uwiano wa utawala bado Wakirsto wengi.

Hebu angalia huu mtiririko wa wakuu wa vyuo halafu wanajamvi watatuambia udini upo wapi kati ya Waislam na Wakirsto.

1) Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Prof. Rwekaza Mkandala Mkirsto.

2) Chuo Kikuu cha Sokoine Prof. Gerald Monela.

3) Chuo Kikuu cha Mzumbe Prof. Joseph Kuzaliwa.

4) Chuo Kikuu cha Teknolojia Mbeya Prof. Joseph Msambichaka.

5) Chuo cha Elimu Mkwawa (MUCE) Prof Amandina Liahamba.

6) Chuo cha Moshi MUCCOBS Prof. Faustine Bee.

7) Chuo cha Elimu (DUCE) Prof. Mfinanga.

8) Chuo cha IFM Prof. Godwin Mjema.

9) Chuo cha Mwalimu Nyerere Dr Magoti.

10) Chuo cha Biashara (CBE) Prof. Mjema.

11) Chuo cha Uhasibu Arusha Prof. Johannes Monyo.

12) Chuo cha (DIT) Prof. Kandoro.

13) Chuo Huria Prof. Tolly Mbwete.

15) Chuo cha Mandela Prof. Burton Mwamila.

Hawa wote ni Wakirsto lakini hawasemi wadini.

Huu ndiyo mfumo kirsto.

Ritz
Kwani kuwepo kwa majina ya kikiristo ndio inaashiria udini!
Kama ni hivyo basi taja viongozi wa juu wa serikali kwanzia Rais, makamu wake, IGP, jaji mkuu, Mkrugenzi wa TISS n.k halafu tuseme huo ni udini pia.

Kiongozi katika kitengo fulani anaweza kuwa muislam, mkristo, mpagani, mhindu n.k lakini asiwe mdini. Na mwingine anaweza kuwa muislam au mkristo au dini nyingine katika kitengo kingine akawa mdini, ni matendo yao katika utekelezaji wa majukumu yao ndio yanayoonesha kuwa huyu ni mdini na yule sio.

Jambo lingine ni kuwa hakuna haja ya kushupalia issue ya udini wa UDOM wakati hatuna data zozote mbali na maelezo yaliyotolewa bungeni. Tuendelee na maudhui yaliyomo kwenye hii thread ya Yericko.
 
RITZ;
Watakuja na kauli za kudai Waislamu wengine hutumia majina ya Kikristo na Wakristo hutumia ya Kiislamu! wakatihuo huo humtaja JK, Bilali, Said Mwema, Jaji Mkuu na wengine kuwa wamehodhi nyadhifa kubwa nchini na huo ni udini!
 
Ritz
Kwani kuwepo kwa majina ya kikiristo ndio inaashiria udini!
Kama ni hivyo basi taja viongozi wa juu wa serikali kwanzia Rais, makamu wake, IGP, jaji mkuu, Mkrugenzi wa TISS n.k halafu tuseme huo ni udini pia.

Kiongozi katika kitengo fulani anaweza kuwa muislam, mkristo, mpagani, mhindu n.k lakini asiwe mdini. Na mwingine anaweza kuwa muislam au mkristo au dini nyingine katika kitengo kingine akawa mdini, ni matendo yao katika utekelezaji wa majukumu yao ndio yanayoonesha kuwa huyu ni mdini na yule sio.

Jambo lingine ni kuwa hakuna haja ya kushupalia issue ya udini wa UDOM wakati hatuna data zozote mbali na maelezo yaliyotolewa bungeni. Tuendelee na maudhui yaliyomo kwenye hii thread ya Yericko.

Nanren,

Kwa hiyo unataka kuwafunga watu midomo sababu kasema Mkiristo mwenzako ili suala Chadema kusema UDOM kuna udini aliwezi kuachwa lipite linaitaji majibu kama wewe huna data mimi ninazo.

Huwezi kusema UDOM kuna udini wakati 92% ni Wakirsto hao Waislam %8 ndiyo wanaleta udini.
 
Last edited by a moderator:
naona umeandika mengi sana japo ukuweka mpangilia wa mawazo yako. lakin nitakujibu kwa ufupi.

Kama ulivyonena na mimi napenda kukupa kidogo kuwa Uislam sio tu ni Dini lakin ni mfumo wa maisha ya mtu ya kila siku na kila nyanja ya matendo yake ya kila siku hususan ustaharabu. Pitia sehemu zote unazozijua wewe huko \tanganyika kama Bagamoyo, Ujiji, Dar, nzega n.k utaligundua hilo. Lakin jiulize sehemu hizo kulikuwa na mbumbu wasiojua kusoma (jiulize je Znz ambayo ina waislam more than 99% je kulikuwa na watu wasiojua kusoma na kuandika) au enzi za nyerere kulikuwa na elimu ya ngumbaru huko visiwani.

Kuhusu ndoa na za mabinti nafikiri zunguka vizuri huko Bara utaliona hilo. Mimi nimepitia Tarime na kuona wazee wanavyooa mabinti wadogo na ungepita kule Arusha kwa wamasai utaona mengi. jaribu kufanya research kidogo uone. lakin hilo la talaka ni bora sana kuliko kama ungepita sehemu hizo nilizobainisha utakavyowaona akina mama wanatumikishwa kama punda na kupigwa kwa mijeredi kama vile sio watu. hakika huko mwanamke hana thamani kabisa au hilo nalo ujaliona. je Pwani umeshasikia mwanamke anapigwa kwa mijeredi? au kutumikisha kama punda kilongwe? Fanya utafiti kidogo.

Sitaongea mengi lakin suala la tohara kwa wanawake na wanaume kutembea na magovi ni taabu kubwa huko . je sehemu zenye waislam umewahi kuyaona haya?

mengine sipendi kuyaeleza lakin ungefanya jitihada za kuitembea Tanzania kama mimi nilivyofanya wakti naishi huko basi ungefunguka kwa mengi sana na kuona wanaume wanashinda kwenye vilabu vya pombe wakti wanawake wanalima mashamba makubwa ya kahawa na mahindi kule litembo, mbinga, kitai mpaka liuli na mbambabay, nyoni mpaka maguu.

Nilicho bainisha wakti huo nafikiri wakti wa utawala wa JKN ilikuwa ni aibu kwa mwislam aliyekuwa amesoma na kupata madaraka serikalini kuonekana anahudhuria vipindi vyote vya swala msikitini BALI tuliokuwa tunathubutu kufanya hivyo ni sisi watu wachache kutoka Znz. hilo ni kweli na wala halina ubishi

pole sana

Shukran sana Barubaru. Nimependa sana ulivyokuwa mkweli wa fikra zako. Nilichosema awali labda sikukiweka vizuri. Nilimaanisha, kwa head start ya 600 years (islam against christianity huku kwetu), wamishionari wasingekuta watu wa kubatiza. Lakini waalimu waligota zenj. Huku unakoita kwenye "magovi" walifuata meno ya tembo na kurudi. Ila yapo makabila yanayofanya tohara tena mengine ni yale ambayo majority kwa sasa ni wakiristo. Sijui nikujibu nini juu ya tohara ya wakinamama. Lakini Sheikh wangu usiwabeze Tarime juu ya desturi hii, hebu google female circumsion in Egypt (ya leo, sio enzi za Pharaoh jionee matokeo) au west africa. Ama Somalia, ndio usiseme. La kuoa vimwana wadogo Sheikh, sasa wataka tuoe wazee peke yao? kisha MS na wenzie watupore (wakina mission educated) vimwana? Bwana wee, hayo anzia kwa kina Suleiman (as). Mijeledi, hapa i need proof ( na-suspect ume over react). Kutumikishwa wakina mama (upo right, sio vyema. Ila bwana wee, usilikuze, sio kama punda. Kwani mama wa Kigunya anayeuza ice-cream tanga kutwa hapo kwake na mmatengo wa mbinga anayepanda maharage kwenye ngoro watachekana??).

Uko sawa kuwa wajerumani walipofika walikuta mwambao huu wote toka Lamu wanatumia arabic leters kuwasiliana kwa kiswahili. Katika mambo mabaya waliyofanya mabwana hawa ni kubadili mfumo huu kwa vile immediately population ya kama Usambara mts iligeuka kuwa illiterate. Ndio tayari yameshakuwa Ustadh sasa twafanyaje?. Jawabu ni kuwa HAYA ni maisha TUSONGE mbele.

Kuhusu waislamu kutohudhuria swala wakati wa JKN. Sio kosa la JKN. Utastuka nikikwambia wengi sana walikuwa na misingi mbaya. Bahati mbaya tu hawakupata malezi ya kimadrassa na kuhimizana kama ilivyo Tanga na sehemu zingine za pwani. Nani atasema wakati wa JKN, Tanga waislamu (hata watumishi) walisita kuswali? Issue ni msingi. Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la waalimu, vitabu vya jinsi ya kuswali (vya kiswahili) vyote vina saidia watu kufuatilia. Sio kama zamani. Tembelea tena Ustadh.

Tarime ndiko nimekulia, waislamu almaarufu pale mjini hata baadhi majina nawafahamu. Wengi wao walikuwa wametembelea pwani kama Mombasa (udereva nk) ndio waliorudi na dini ya kiislamu lakini sio efforts za hao wapwani kuuleta uislamu Tarime. Nimefurahi sana na uchambuzi wako. Shukran.
 
Back
Top Bottom