RITZ;
Watakuja na kauli za kudai Waislamu wengine hutumia majina ya Kikristo na Wakristo hutumia ya Kiislamu! wakatihuo huo humtaja JK, Bilali, Said Mwema, Jaji Mkuu na wengine kuwa wamehodhi nyadhifa kubwa nchini na huo ni udini!
Ha ha haaa...mbavu zangu! Mbona unajidhalilisha? Mhasibu Mkuu na mweka hazina wapi na wapi! Kama kawaida unapewa "like" na wale walee! Kweli mgema akisifiwa tembo hulitia maji, napita tu...Wanabarza,
Yapo makosa kidogo katika simulizi za TANU zinazochapwa hivi sasa.
Mathalan Mzee Bogohe anasema kuwa Mhasibu Mkuu wa kwanza wa TANU alikuwa Julius Mwasanyangi.
Ukweli ni kuwa mweka hazina wa kwanza wa TANU alikuwa Iddi Faizi Mafongo aliyekuwa mhasibu vilevile wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika.
Mohamed,
Nina kaswali kamoja tu ka ziada kabla sijaaga mnakasha huu. Katika maandiko yako yoote sijaona mahali ambapo umechambua matokeo ya juhudi za Nyerere kutaifisha shule za misheni ili waislamu nao waweze kupata nafasi ya elimu.
Umekiri kuwa kulikuwepo imbalance ya elimu kati ya waislamu na wakristo na hili limezungumziwa sana na rafiki yangu Lawrence Mbogoni, ambaye kitabu chake The Cross versus the Crescent kinaanzia miaka ya 1880 hadi 1990. Ni kweli Waarabu/waislamu walikuja Tanganyika miaka 700 kabla ya hapo na wakakolonize maeneo kama vile Kilwa Mtwara na Bagamoyo, lakini hawa wamisheni wa kizungu walikuja miaka 600 baadaye na kuweza kufanikiwa katika muda mfupi tu, kujenga taasisi za maendeleo--hospitali na mashule--- kwa wafuasi wao. That being the case, and the fact that Julius Nyerere recognized the imbalance, do we give him any credit for taking steps, never taken before by colonialists, to rectify this imbalance? And taking Njozi's book, could not this be the reason Nyerere patted his regime for taking these steps , did these steps have positive results, or Nyerere was out of touch with reality? What is your comment?
Picha yake sina, lakini ninayo namba yake ya simu. Ukitaka nikuunganishe sema.Huyo rafiki yako ni Mtanzania? Kama una picha yake naomba unitumie.
Picha yake sina, lakini ninayo namba yake ya simu. Ukitaka nikuunganishe sema.
Omba msaada hapo ulipo kuna magwiji wa IT, tafadhali.nimemuandika barua pepe, akichelewa kujibu nitaomba hiyo namba asap
aisee ile ahadi nimeshindwa kuitimiza, mimi mvivu sana wa ku-scan vitu
Nanren,
Kwa hiyo unataka kuwafunga watu midomo sababu kasema Mkiristo mwenzako ili suala Chadema kusema UDOM kuna udini aliwezi kuachwa lipite linaitaji majibu kama wewe huna data mimi ninazo.
Huwezi kusema UDOM kuna udini wakati 92% ni Wakirsto hao Waislam %8 ndiyo wanaleta udini.
Ritz
Kwanza hizo percentages nina wasi wasi nazo. Huwa mna kawaida ya kupika na kuleta data from your own imaginations halafu mnazifanya ni factual data. Hivi umeisha andika hapa, baadaye data za 92% na 8% zitaanza kuonekana kwenye alnuur, na baadaye kwenye toleo la nne la Moh Said ilhali umezitengeneza wewe chumbani kwako.
Uchache au uwingi watu wa dini fulani hau-define udini.
Mzee Mwinyi, Rais Shein sio wadini
Lakini wewe na Moh said, mnaqualify kuitwa wadini japo nyie wanne wote ni waislam.
Statement kama "alhamdullilah, I have never seen a christian manyema" ya Moh Said, ni statement inayoashiria udini.
Haya lete data za maana zaidi tujadili.
Ritz
Kwanza hizo percentages nina wasi wasi nazo. Huwa mna kawaida ya kupika na kuleta data from your own imaginations halafu mnazifanya ni factual data. Hivi umeisha andika hapa, baadaye data za 92% na 8% zitaanza kuonekana kwenye alnuur, na baadaye kwenye toleo la nne la Moh Said ilhali umezitengeneza wewe chumbani kwako.
Uchache au uwingi watu wa dini fulani hau-define udini.
Mzee Mwinyi, Rais Shein sio wadini
Lakini wewe na Moh said, mnaqualify kuitwa wadini japo nyie wanne wote ni waislam.
Statement kama "alhamdullilah, I have never seen a christian manyema" ya Moh Said, ni statement inayoashiria udini.
Haya lete data za maana zaidi tujadili.
Barubaru, ulikuwa na sababu gani za kuukana utanzania wakati moyo wako bado unaihusudu Tanzania yetu?Ritz,
Mimi mara zote huwa najiuliza kwanini waislam ndio waitwe wadini peke yao ina maana wakristo sio wadini?
Mfano Al marhum prof Kighoma malima aliwahi kuitwa mdini na kufikia hata kusema alijenga msikiti ofisini.
College mate wangu Dr Ramadhwan Dau kila siku anasakamwa?
Dr kawambwa ndio hatulali kuhusu kusakamwa?
Nilipenda sana Jibu aliolitoa Juma Nkamia kuhusu UDOM.
Mimi nafikiri wenzenu huko nao wawe na subra na kukubali kuwa nchi ni ya wote sio yao peke yao kama walivyokuwa wanadekezwa hapo awali kiasi cha kujiona kuwa wao wana hati miliki ya kila kitu na nyie ni kwa ihsani tu
Je kulikoni huko tanzania siku hizi.
Ha ha haaa...mbavu zangu! Mbona unajidhalilisha? Mhasibu Mkuu na mweka hazina wapi na wapi! Kama kawaida unapewa "like" na wale walee! Kweli mgema akisifiwa tembo hulitia maji, napita tu...
...Bado natafakari ile ya "shit list", kwa mbali nimesikia inatumika tu huko Marekani! Mohamed Said, you do know exactly where to direct your messages and the "likes" from the ever faithful start streaming , hongera!
Omba msaada hapo ulipo kuna magwiji wa IT, tafadhali.
Hata na wao hawako salama.Pamoja na kwamba hata maneno wanayozungumza ya kutiliwa vinywani mwao lakini kila siku wanaelekezwa vidole kwa udini.Ritz
Kwani kuwepo kwa majina ya kikiristo ndio inaashiria udini!
Kama ni hivyo basi taja viongozi wa juu wa serikali kwanzia Rais, makamu wake, IGP, jaji mkuu, Mkrugenzi wa TISS n.k halafu tuseme huo ni udini pia.
Kiongozi katika kitengo fulani anaweza kuwa muislam, mkristo, mpagani, mhindu n.k lakini asiwe mdini. Na mwingine anaweza kuwa muislam au mkristo au dini nyingine katika kitengo kingine akawa mdini, ni matendo yao katika utekelezaji wa majukumu yao ndio yanayoonesha kuwa huyu ni mdini na yule sio.
Jambo lingine ni kuwa hakuna haja ya kushupalia issue ya udini wa UDOM wakati hatuna data zozote mbali na maelezo yaliyotolewa bungeni. Tuendelee na maudhui yaliyomo kwenye hii thread ya Yericko.
Mohamed Said,
Nakukumbusha darsa kuhusu kadi za TANU nani alikuwa anazigawa au kuziuza na rangi ya kadi za TANU ilikua rangi gani.
Mtu mmoja anaundaje chama? Anachotaka kutuaminisha Mzee Mohamed ni kuwa AA ni mali ya Sykes; TAA ni mali ya Kleist; TANU ni mali ya Abdu! Hakuna siku wala saa mzee Mohamed atakiri kuwa RAIS wa KWANZA na pekee wa TANU alikuwa Mwalimu. Hasad mbaya sana hii sijui inatokana na Umanyema au UDINI wake.WildCard;
Kumbe sio Mtei alieunda Chadema? nani basi muasisi wake? kwasababu kuna mtu mmoja mbishi sana ati anasema muasisi wa Chadema alikuwa Bob Makani na Brown Ngwilulupi! anadai Mtei alikaribishwa Chamani kama alivyokaribishwa Nyerere ktk Tanu!
Hembu tupe darsa!
Assalam Aleykum.
Attitude can take away your beauty no matter how good looking you are or it could enhance your beauty, making you adorable.
Cc.. gombesugu,
Mzee Mohamed,Wild Card,
Inawezekana ni ujuvi.
Inawezekana pia ni kutojua historia ya Tanganyika.
Halikadhalika inawezekana na hasad na mengine mengi
kwako wewe kufananisha siasa za kikoloni na siasa hizi
za wakati huu tulionao.
Hakika mimi nakubaliana na wewe Nyerere si mtu wa
kusubiri Abdu Sykes aunde TANU Nyerere unavyoona
wewe ni mtu wa kuunda chama chake.
Tatizo liko hapa inawezekana kweli Nyerere alikuwa na
fikra ya kuunda TANU toka Butiama.
Na ikiwa utakuja ushahidi wa hilo labda alipata fikra hizi
kwa baba yake Chief Burito au kwa namna yoyote ile nani
atapinga?
Abdu mimi nasema kaunda TANU kwa sababu historia yake
yote kuanzia kwa baba yake ndiyo hiyo za siasa za mapambano
na ukoloni.
Huo mfano wa yeye na Chief Kidaha ni mmoja wa mifano hiyo.
Ukitaka mingene na iko mingi utarudi nyuma kwa baba yake na
yeye mweyewe katika maisha yake hadi TANU ikaaundwa 1954.
Ikiwa Nyerere aliunda TANU uwanja ndiyo huu uletwe ushahidi.
Isiwe Nyerere kuunda kwake TANU unafungamanishwa na historia
yake na Abdu Sykes na TAA pale New Street.
Lameck Bugohe mmoja wa waasisi wa TANU alipata kuandika makala
katika Raia Mwema akasema yeye alikuwa na fikra ya kuunda TANU
Mwanza katika miaka ya awali ya 1954.
Mimi niliandika makala ya kumuunga mkono.
Katika makala ile alilaumu wana historia kujikita kwa Nyerere bila ya
kufanya utafiti kwa wanasiasa wengine wa wakati ule yeye akiwa
mmojawapo.
Kuasisi TANU si milki ya Abdu Sykes peke yake yawezekana wako wengi
walikuwa na fikra kama zake.
Huu ni wakati muafaka kwa sisi kusikia habari za wazalendo hawa pamoja
na historia ya Nyerere katika juhudi zake za kuasisi TANU ama iwe Butiama,
Makerere au Tabora.
Mtu mmoja anaundaje chama? Anachotaka kutuaminisha Mzee Mohamed ni kuwa AA ni mali ya Sykes; TAA ni mali ya Kleist; TANU ni mali ya Abdu! Hakuna siku wala saa mzee Mohamed atakiri kuwa RAIS wa KWANZA na pekee wa TANU alikuwa Mwalimu. Hasad mbaya sana hii sijui inatokana na Umanyema au UDINI wake.