Dah! Wala haujasoma mahali alipoandika: "Abdu mimi nasema kaunda TANU kwa sababu historia yakeWildCard,
Hakuna mahala popote Mohamed Said amesema kuwa TANU ni mali ya Abdul na Ally Sykes wala AA mali ya Kleist.
Mohamed Said kaeleza kwingi kuhusu waasisi wa AA, TAA, TANU, ametaja majina mengi ya wazee ambao walikuwa waasisi.
Ritz,
Waalayka Salaam Al Akhiy. Niwie radhi kiduchu,nimepata ile bayana yako lakini tangu siku chache zilizopita nimepata uzito kiduchu maana nina ugeni wa Khaloo yangu na Aunt yangu wapo hapa toka huko Unguja kwa matibabu na mapumziko kiduchu.
Wallahi nina furaha iso mfano kuona umerejea. Ni wajibu wetu kila mmoja baina yetu kipatwa na madhila basi soote tuwe na simanzi.
I noted what you said,always remember that;not every person is going to understand you and that's ok. They have a right to their opinion and the so called facts and you have every right to ignore it.
Insha Allah,tuendelee na hii shughuli.
Ahsanta.
gombesungu,
Poleni sana Allah ataafu Inshaa'Allah.
Maradhwi na mitihani ni yetu sote tumeumbiwa sisi binadamu.
Karibu sana mie napata chai ya maziwa ya ngamia na mkate wa chila na vipopoo!
gombesugu, jaribu kupoa kidogo usije ukachemka. Baada ya hii post yako, sasa naweza kukiri kwa mbali kwamba naanza kukuelewa. Hata hivyo nina ombi kwako, tulia uipitie hii post yako na ikiwezekana uifanyie "editing" pale itakapobidi, hii post inakuangusha...ama na wewe umeamua kuoga dimbwini na watoto? Ombi la pili, kama hutaudhika, jaribu kutumia kiswahili, hizi lugha za watu mtu akizidandia bila tahadhari, anaweza akapoteza kabisa maana ya ujumbe aliotaka kuufikisha. Mwisho natoa tu ushauri kuwa kabla ya ku"post reply" jaribu kubonyeza "preview post" usome uliyoyaandika na ukisharidhika kwamba hayana makosa yanayotokana na ama kwa kutokujua au kwa kukusudia, bonyeza "submit". Ukifanya hivyo nitajitahidi nijibu mada kama ulivyoitoa hapo juu, asante...tuendelee.
Kama upo upo tu, na kama haupo hautakuwepo.Na wewe nitafutie udini wa UDOM ambayo umetajwa bungeni na viongozi wa Chadema.
Mkate wa chillah nimeula sana jana,,
Mie nibakishie Vipopoo,wape leso naona jamaa wamehamaki tena..
Nanren,
Wewe unasema huna data kuhusu UDOM nakupata unasema una wasiwasi nazo.
Chukua na hii pale UDOM wafanyakazi-Wanataaluma Wakirsto 96% Waislam 4%.
Wafanyakazi waendeshaji Wakiristo 86% Waislam 14%.
Lau kama unaona Ritz, muongo mnywa gahawa na kashata na ana akili za madrasa hauwezi kuwa mkweli basi ukipata wasaa chukuwa source hii utazipata ( UDOM Website, announcements of admission) nikipata wasaa tashusha orodha nzima ya viongozi wa Chuo Kikuu UDOM.
Nanren, ndugu yangu umenitaja mie kama mdini unaweza kuniambia udini wangu ni upi halafu kwa nini kwenu huwa hakuna Mkiristo mdini.
Kama upo upo tu, na kama haupo hautakuwepo.
Yule mbunge alosema kuna udini ana haki ya kusema kama ambavyo ww na wenzako msemavyo inchi hii ni ya mfumo kiristo.
Sema vigezo uvitumiavyo ww kuelezea huo mfumo huwa ni nadhalia zaidi.
Inchi hii hakuna mfumo zaidi ya maslahi ya ccm. Ndoo maana wapiga kelele wengi ni kina mwigulu, nape, wasila, lusinde, sitela manyanya nk...
Au hawa hawawaheshimu maasikofu? Si wangeilinda cdm ambacho msevyo ni chama cha kanisa.
Punguza udini mkuu,
Hivi ili upate ajira hapo u dom huwa wanapeleka vyeti vya ubatizo? Au pengo ndo huwa muajili mkuu?
Hii dhambi ya udini wako itakutafuna mpaka unaingia kabulini.
Udini wa mtu hauitaji muwe wengi sehemu ndo muwe wadini hapana.
Kama ww ukipewa kitengo wasiokuwa wa imani yako lazima watakoma punguza udini na kuwachukia wakristo.
Mag3; just leave the guy alone. looks like he had already prepared an exit essay. No wonder he kept asking if the mnakasha was ending. You will notice his last section is already contradicting his first and second. Imagine, here is Nyerere in his speech praising the Tanganyikan wazee for having led the struggle because they knew the value of being independent. Now, here are some guys reducing all that to some religious debate.
Wickama,
I've just read your waste. You sound like you blundered into someone else nightmare. People like you and Mag3 can never truly make any compelling arguments at this "mnakasha". Most of your comments/posts make me cringe.
Brain dead Wickama,all you can see is just around the corner from your little street/village and pretend you know Muslims that well. So this is what people meant by the Zombie apocalypse,some become Zombies. After all Zombies don't have brain tissue that have electric neurons to make it function.
Damn Dummy! Who gave you the authority to speak on behalf of Muslims or Kadogoo? Wake up and get some sense in you head. There is no love or respect for Muslims in you,and I know it.
Muslims need an aggressive and intelligent response to the reality and issues they are facing right there in their own country.
Try to explain your anger,don't express it and you will immediately open the door to positive engagement and gradually we find solution/s together; instead of personal attack on me,being sarcastic to Muslims or create silly arguments.
Take care.
Salaam ndugu yangu Wickama na wengine mnaoshiriki mnakasha huu.Nimekuwanikifuatilia muendelezo wa mnakasha toka ulipo anza mpaka hii leo lengo langu kuu likiwa ni kufyonza ilm tu.Hakika nimejifunza mengi kwa ukimya wangu lakini kwa hili ulilofafanua ndugu yangu Wickama nimesukumwa name nitoe yangu machache.Wickama sikumbuki ni lini waislamu wa Tanzania waliachiwa fursa ya kujenga taasisi zao zenye nguvu na mipango thabiti kwa ajili ya kusimamia miradi yao ya maendeleo.kumekuwa na hofu kubwa miongoni mwa watawala kuwaachia huru waislam kupanga na kusimamia mikakati yao ya maendeleo.Hivi anapokuja mtu na kusema waislamu hawapendi shule anasahau kwamba ni haohao waislamu waliokuwa na wazo la kwanza la kujenga chuo kikuu na shule kila wilaya kupitia EAMWS.Kuna mtu anaikumbuka taasisi ya African Muslim Relief Agency wakati wa Awamu ya tatu walipokuja na mikakati mikubwa ya kujenga mashule yanayoeleweka pamoja na kuajiri walimu waliobobea kutoka sehemu mbalimbali kwa ajili ya kufundisha shule zao,nini kiliwakuta.Serikali ya Raisi Mkapa ilizuia source of funds zote kwa taasisi hiyo na kumtimua mlezi wake wa IRINGA kwamba ni gaidi.Wakati African Muslim wanapigwa vita upande mwingine mama Rwakatare alipewa all support. Naomba ndugu zangu wa imani nyingine tuelewe kwamba waislam hawaitaji msaada wala kuonewa huruma bali wanachotaka ni kupewa fursa sawa ili waendeshe mambo yao kama ndugu zetu wakristo mlivyo huru. Ahsante na mchana mwema
Nanren,
.....nitakujibu.
Hakika nimesema, ''Alhammdulilah hakuna Mmanyema Mkristo.''.....
Maana yake, ''Shukurani zote zinamstahiki Allah.''
Waislam wa Tanzania ni tofauti na wale wa Somalia, Afghanistan, Syria, Libya, Mombasa Republic, Iraq, Pakistan, Boznia, Chechnya,....?Salaam ndugu yangu Wickama na wengine mnaoshiriki mnakasha huu.Nimekuwanikifuatilia muendelezo wa mnakasha toka ulipo anza mpaka hii leo lengo langu kuu likiwa ni kufyonza ilm tu.Hakika nimejifunza mengi kwa ukimya wangu lakini kwa hili ulilofafanua ndugu yangu Wickama nimesukumwa name nitoe yangu machache.Wickama sikumbuki ni lini waislamu wa Tanzania waliachiwa fursa ya kujenga taasisi zao zenye nguvu na mipango thabiti kwa ajili ya kusimamia miradi yao ya maendeleo.kumekuwa na hofu kubwa miongoni mwa watawala kuwaachia huru waislam kupanga na kusimamia mikakati yao ya maendeleo.Hivi anapokuja mtu na kusema waislamu hawapendi shule anasahau kwamba ni haohao waislamu waliokuwa na wazo la kwanza la kujenga chuo kikuu na shule kila wilaya kupitia EAMWS.Kuna mtu anaikumbuka taasisi ya African Muslim Relief Agency wakati wa Awamu ya tatu walipokuja na mikakati mikubwa ya kujenga mashule yanayoeleweka pamoja na kuajiri walimu waliobobea kutoka sehemu mbalimbali kwa ajili ya kufundisha shule zao,nini kiliwakuta.Serikali ya Raisi Mkapa ilizuia source of funds zote kwa taasisi hiyo na kumtimua mlezi wake wa IRINGA kwamba ni gaidi.Wakati African Muslim wanapigwa vita upande mwingine mama Rwakatare alipewa all support. Naomba ndugu zangu wa imani nyingine tuelewe kwamba waislam hawaitaji msaada wala kuonewa huruma bali wanachotaka ni kupewa fursa sawa ili waendeshe mambo yao kama ndugu zetu wakristo mlivyo huru. Ahsante na mchana mwema
Nanren,
Ulikuwa unazungumza na Ritz lakini nami umenitaja.
Kwa kuwa umenitaja nami nitakujibu.
Hakika nimesema, ''Alhammdulilah hakuna Mmanyema Mkristo.''
Kwa ufupi nimeshukuru kwa hilo.
Kwa nini nimeshukuru?
Naam nimeshukuru kwa kuwa Uislam ni nema na ni kitu ambacho
nakutamania hata wewe uwe Muislam.
Kushukuru kwangu si kuwa siwapendi Wakristo wala huo si udini.
Ikiwa wewe ni Muislam na ukawa mdini kwa maana ya kuwabagua
wasio Waislam hapo umekwenda kinyume na mafunzo ya Allah.
Utakuwa umedhulumu na Allah ameharamisha dhulma kama
alivyoharamisha kukubali kudhulumiwa.
Kumtamania mtu kuwa angekuwa Muislam ni kumtakia mafanikio hapa
duniani na kesho akhera.
Ingeliikuwa sisi Waislam tumeshika madaraka ya serikali ya Tanzania na kisha
Wakristo wakawa wanalalamika kuwa tunawabagua kwa udini wetu kama hivi
leo Waislam tunavyolalamika basi sie Waislam wote wa Tanzania tungekuwa
masuul mbele ya Allah.
Kwa ufupi tungekuwa na kesi ya kujibu kwani Allah hapendi dhulma.
Nimejitahidi kukueleza haya ili uelewe kwa nini nashukuru kuhusu Uislam.
Na ikiwa itakuja siku Insha Allah Nanren ukanambia, ''Mzee Mohamed mimi
nimesilimu sasa ni Muislam, neno nitakalosema kwako ni, ''Alhamdulilah.''
Maana yake, ''Shukurani zote zinamstahiki Allah.''
Waislam wa Tanzania ni tofauti na wale wa Somalia, Afghanistan, Syria, Libya, Mombasa Republic, Iraq, Pakistan, Boznia, Chechnya,....?
Hayo maneno ungemwambia Joseph Selasini Mbunge wa Rombo Chadema.
Wapi mie nimewachukia Wakiristo acha kuniwekea maneno mdomoni dini yangu inanikataza kuwachukuia watu wa dini zingine kwani sikuwaumba mimi.
Mimi kuelezea dhulma tulizofanyiwa wewe tafsiri yako ni kuuchukia Wakiristo.