marekani waliivamia iraqi kwa kudai saddam alikuwa na silaha za maangamizi! matokeo yake wamepeleka makampuni yao ya mafuta ili wanufaike na mafuta ya iraqi! baada ya kumnyonga saddam wamegawa silaha kwa makundi ya kidini leo wairaqi wanachinjana wenyewe kwa wenyewe!
Kilicho wafanya wamarekani wavamie Iraq ni hicho cha mafuta na wewe mwenyewe umejijibu. hawaku wavamia kwasababu ni waislamu, au wanataka kuupinga uislamu, ingekuwa hivyo wangevamia indonesia basi au Bangladesh.
Wairaq walikuwa wanuana wenyewe kwa wenyewe before hata wamerkani hawajwavamia. sadam aliwaua wakurdish kama ana aliki nzuri.. wote hawa waislamu wenzake..
baada ya hapo wameivamia libya kwa kusaidia uasi ili wanufaike na mafuta yao na baada ya gaddafi kuuwawa leo libya haina usalama kwa sababu ya uvamizi wa nchi za kikristo!
Libya walianza revort wenyewe ndani ya nchi, Gadaffi was killed by Fellow Libyani, tena kama kuku.
hata useme kama Americans walichochoea kujipa moyo but those that carried the act walikuwa waislamu wenzie na walibya wenziwe, na walikuwa wana celebrate baada ya kumuua. do you think walikuwa na chuki nao kwasababu si muislamu safi au????
Mbona huzungumzii wamarekani kushirikiana kwenye Intelligence na Libya, kupeleka watu kuteswa tena waislamu wenzao. Abdel Hakim Belhaj, leader of the Libyan Islamic Fighting Group alikamatwa na wamarekani na akapelekwa Libya na kuwa tortured for six Years, juzi tu hapa kashinda kesi kwa settlement ya Pound 3B...
Unazungumzua vuguvugu la mapinduzi na nchi zenye waislamu wengi, ambapo wamarekani wapo pale for their own interest. not because wanuchukia uislamu.
mbona hauzungumzii Syria, ambapo Falme za kiarabu wanaongoza katika kuchangia waaasi na kuwatambua. ila
wangefanya wamarekani ungesema wanawadhulumu waislamu. au Huzungumzii Bharain uprising pia..??
Like i told you Kadogoo,
Ninasema wewe ni mdini kwasababu kila kitu no matter how small or big it is, unakiangalia kidini.. kimefanyika kwasababu mimi au wewe ni dini nyingine... not any other reason. Hutaki hata kujaribu kuumiza akili na kujaribu kufikiria any other scenario, kiasi kwamba inapotokea Mtu wa dini yako anafanya jambo usilopenda na linakinzana na madai yako, utalifumbia macho au utatoka mapovu kulijustify.
Yani wewe hata leo hii, hata ukiwa unapita bara barani kwa bahati mbaya ukagongana na mtu kibega alaf ukagundua yule mtu ni Mkristo au dini si ya kwako, utasema amekugonga kwasababu wewe ni Muislamu.
Wahindu wanagombana kila siku na waislamu wao, waislamu wengi wanapatikana Gujirati, wanapata shida na wahindu mbona you dont acuse them?