Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

gombesugu,

..hawa wazee wako wa Tanga wao walishiriki harakati za uhuru??

..je, Mohamed Said amewataja katika kitabu chake?

..Mohamed hakupaswa kurekebisha "historia ya Kivukoni" kwa kuandika "historia ya Kariakoo/Gerezani" halafu adai ndiyo historia ya Tanganyika.
 
Last edited by a moderator:
nafikiri kama utatumia busara kidogo na kutazama ni lini namba zilianza kutumika katika mitihani ya Tanzania na kuachana na kuandika majina na kutazama wakti huo nani alikuwa waziri wa Ilmu utaligundua hilo. Kwani Hata wizara ya ilmu ya Tanzania watakusaidia hilo wala haliitaji mjadala. Ila kwa mimi nakwambia ilikuwa kipindi Prof malima akiwa waziri wa Ilmu. Fanya uchunguzi utaligundua hilo.

Suala la Warioba naye yupo hai unaweza ukamuuliza tu kwani miongoni mwa aliosoma nao darasa moja Chuo kikuu (marhum Brigadia mang'enya ) mimi niliwahi kumuuliza kuhusu huyo hakuwa na jipya zaidi ya ukabila tu ulimbeba kama ilivyokuwa kwa akina Nyirabu na wengine kutoka mkoa huo enzi za JKN.

Barubaru; with due respect, Warioba hakuwa kabila moja na Nyerere. Mara ina makabila lukuki. Officers wengi kutoka mkoa huo wamehenyea walichonacho. Wewe hapo unafuatilia kama wamebebwa kwa sababu thats how you think walivyo-excel. You cant be more mistaken. Waulize watu wa Mara, Nyerere hawakumpenda kwa vile walimwona kama mkali zaidi kwao. Sisi tuna ndugu zetu kwa kosa la kunywa gongo tuu walitiwa kizuizini. Wengi hawayajui haya. Ukitafuta kumbukumbu utakuta miaka ya nyuma 1980-1990s mkoa huo ulikuwa kati ya mikoa bora kabisa kwa matokeo ya darasa la saba (pass marks). Lakini shule za sekondari hazikuwapo. Kama ulisoma UDSM lazima then unajua vijana wengi wa Mara ndio walioongoza DARUSO na ku-earn respect za wenzao kwa vipajji vyao vya uongozi na ushupavu wao na kutokuwa waoga ku-confront admin. Uliza Mzumbe na SUA hayo hayo. Pick any college of higher learning hapa TZ. Sasa wote hawa walibebwa na ukabila? Mpaka sasa Barubaru, majina yao always yapo kwenye wasemaji wa wanafunzi wakati wa migomo na dharura ya vyuoni. Fuatilia kuanzia leo.

Uki-google orodha ya askari wa King African Rifles (East Africa brigade) waliozikwa hapo Fayid Memorial Graves (Misri) idadi ya waliozikwa hapo kutoka mkoa wa Mara itakutia machozi kama huna chuki nao. Waingereza na hata Wajerumani waliwa-recruit kwa wingi alongside wahehe na wanyamwezi kwa kujua jambo fulani ambalo sina haja ya kulitaja. Please give the devil HIS due. Warioba earned his position.
 
Last edited by a moderator:
Ritz, Mohamed Said, Kadogoo, gombesugu, Barubaru, THE BIG SHOW,
Niambieni kama mmewahi kusikia Rais/Mwenyekiti wa TANU tangu inaanza hadi kufutika kwake mbali na Mwalimu.

Wilcard,

Ndugu yangu mimi binafsi hilo suala kujibu naogopa maana mimi si Mwanahistoria na wala jawabu lake sina. Naomba unisamehe sana na nina hakika patatokea ndugu zetu wengine labda watatujuza,au tumwachie Sheikh Mohammed Said atakujuza nina hakika.

Ahsanta kwa kunipa hishma ya kuniuliza swali.
 

Naren; Let me be honest here. FGM has been part and parcel of my tribal custom (kuria). Boy and girls all went to circumsion ceremonies (still do). It is only recent that we are now confronting medical opposition. That it makes delivery of babies risky and increases maternal deaths. Though i doubt if the high areas with maternal deaths in this country are only associated with female circumsion and not malaria or anaemia. These anti FGM efforts are well funded by western NGOs. The irony is nobody opposes when it comes to "v.....a" revitalization now on the rise in europe though the damage done in the latter is bigger. Ohhhhhhhhhhhhhhh!!!!!! No, the king is not naked. He is dressed.
 
Last edited by a moderator:
WildCard,

Kabla mimi sijakujibu labda nikuulize kwanza unauliza au unataka kujua au unapinga hakuna mtu yeyote ambaye alikuwa na vyeo ivyo TANU tofauti na Nyerere.
Nitakuwa nimejijibu nikikujibu hili. Nijibu tu ulivyolielewa swali langu.
 
marekani waliivamia iraqi kwa kudai saddam alikuwa na silaha za maangamizi! matokeo yake wamepeleka makampuni yao ya mafuta ili wanufaike na mafuta ya iraqi! baada ya kumnyonga saddam wamegawa silaha kwa makundi ya kidini leo wairaqi wanachinjana wenyewe kwa wenyewe!
Kilicho wafanya wamarekani wavamie Iraq ni hicho cha mafuta na wewe mwenyewe umejijibu. hawaku wavamia kwasababu ni waislamu, au wanataka kuupinga uislamu, ingekuwa hivyo wangevamia indonesia basi au Bangladesh.

Wairaq walikuwa wanuana wenyewe kwa wenyewe before hata wamerkani hawajwavamia. sadam aliwaua wakurdish kama ana aliki nzuri.. wote hawa waislamu wenzake..

baada ya hapo wameivamia libya kwa kusaidia uasi ili wanufaike na mafuta yao na baada ya gaddafi kuuwawa leo libya haina usalama kwa sababu ya uvamizi wa nchi za kikristo!
Libya walianza revort wenyewe ndani ya nchi, Gadaffi was killed by Fellow Libyani, tena kama kuku.

hata useme kama Americans walichochoea kujipa moyo but those that carried the act walikuwa waislamu wenzie na walibya wenziwe, na walikuwa wana celebrate baada ya kumuua. do you think walikuwa na chuki nao kwasababu si muislamu safi au????

Mbona huzungumzii wamarekani kushirikiana kwenye Intelligence na Libya, kupeleka watu kuteswa tena waislamu wenzao. Abdel Hakim Belhaj, leader of the Libyan Islamic Fighting Group alikamatwa na wamarekani na akapelekwa Libya na kuwa tortured for six Years, juzi tu hapa kashinda kesi kwa settlement ya Pound 3B...

Unazungumzua vuguvugu la mapinduzi na nchi zenye waislamu wengi, ambapo wamarekani wapo pale for their own interest. not because wanuchukia uislamu.

mbona hauzungumzii Syria, ambapo Falme za kiarabu wanaongoza katika kuchangia waaasi na kuwatambua. ila wangefanya wamarekani ungesema wanawadhulumu waislamu. au Huzungumzii Bharain uprising pia..??

Like i told you Kadogoo,

Ninasema wewe ni mdini kwasababu kila kitu no matter how small or big it is, unakiangalia kidini.. kimefanyika kwasababu mimi au wewe ni dini nyingine... not any other reason. Hutaki hata kujaribu kuumiza akili na kujaribu kufikiria any other scenario, kiasi kwamba inapotokea Mtu wa dini yako anafanya jambo usilopenda na linakinzana na madai yako, utalifumbia macho au utatoka mapovu kulijustify.

Yani wewe hata leo hii, hata ukiwa unapita bara barani kwa bahati mbaya ukagongana na mtu kibega alaf ukagundua yule mtu ni Mkristo au dini si ya kwako, utasema amekugonga kwasababu wewe ni Muislamu.

Wahindu wanagombana kila siku na waislamu wao, waislamu wengi wanapatikana Gujirati, wanapata shida na wahindu mbona you dont acuse them?
 
Mwalimu na TANU ni kama unavyoiona Azam na Bakhresa. Mwalimu aliweka rekodi ya kuiasisi TANU, kuwa kiongozi wake Mkuu wa KWANZA, kuwa kiongozi wake mkuu PEKEE na kuwa kiongozi wake mkuu wa MWISHO. Historia ya chama hiki itabaki hivo milele. Hakuna wa kuibadili.
 
Wickama,

..kama lijitu lina zali zake na Wamarekani na linatafutwa basi tusikubali kulipa hifadhi.

..zaidi, hawa jamaa wakianza kumtafuta mtu basi uwezekano mkubwa kuna kitu amekifanya, or he is about kukifanya.

Jokakuu; Uko very right. unajua vita wakati mwingine ni akili kuliko mabavu.
 
Last edited by a moderator:
Naona bado unazunguka kwenye kichuguu kama nguchiro tupe ushahidi wa hao viongozi na majina yao hizi links sijawaona viongozi wakuu wa dini kutoka Misri wakiruhusu ukeketeji, usichanganye mila za watu na Uislam.
Basi, bwana Ritz,
Yaishe!
Egypt hawakeketi wanawake. Manake nimeishafananishwa na Nguchiro.
Hebu rejea kwenye hoja ya Barubaru , kwamba sehemu zilizotamalaki uislam, wamestaarabika, they don't do this or that. Wewe unakuja na suala la mila za sehemu zitofautishwe na uislam. Kwani umeambiwa sehemu zenye waislam hazina mila zao? Who is kidding who here? If you can't see the contradictions in here, then no wonder you can't see contradictions kwenye histohisia tunayojadili hapa..
 
Last edited by a moderator:
gombesugu,

..hawa wazee wako wa Tanga wao walishiriki harakati za uhuru??

..je, Mohamed Said amewataja katika kitabu chake?

..Mohamed hakupaswa kurekebisha "historia ya Kivukoni" kwa kuandika "historia ya Kariakoo/Gerezani" halafu adai ndiyo historia ya Tanganyika.

JokaKuu,

Nafurahi kukusikia ndugu yangu.

Kuhusu hayo mengine ulosema ya Sheikh Mohammed,haina neno ndo maana tupo hapa ili kupata "kinagaubaga",na nahisi yeye mwenyewe anakusikiza.

Binafsi sina kabisa chuki na Nyerere japo mambo mengi saana alofanya wakati wa utawala wake sikubaliani nayo asilani na kwa sababu zangu madhubuti. Lakini Mzazi wangu alitumikia saana ile Serikali ya Nyerere kwenye ngazi nyeti tu, na Andrew Nyerere ni mmojawapo wa marafiki zake vipenzi.

Nafurahi kukujulisha kuwa Wazee wetu woote tangia Unguja,Tanga na Mzizima piawalishughulika pita kiasi na hizo harakati.

Najua wewe ni Al Watan ukihitaji nitaku-inbox jina la Mzee wangu lakini italazim baada ya hapo nijitoe hapa Jf!?ahaha!!

Wazee wetu kawataja japo ni kiduchu mno,la sivyo ingemlazim ajaze kurasa. Na mimi sitathubutu kulalama ati kwanini hujamtaja babu yangu fulani?ahaha!! Itakua ni kinyume na maadili nilolelewa nayo na pia nilojifunza masomoni.

Ahsanta.
 
Ngongo,
Naona vibaya kuja na maneno ambayo kwa wengine yanachoma.
Kwa ajili hii nitasema kitu kimoja tu.

Kama ni kutaka kusema kuwa Nyerere alisimama kwa miguu yake
mwenyewe alipofika Dar es Salaam na hakuwa muhitaji hii si kweli.

Hayo ya umaarufu kabla ya kutoka UNO Machi 1955 wala sitatia neno.

Ila jiulize kipi kilichofanya Tanzania ya leo impe Abdu na Ally Sykes medali
baada ya miaka 50 ya uhuru?

Kipi kikubwa walichofanya?

Ni katika jaribu la kuwaridhisha wale walioamini histohisia yako. Abdulwahid Sykes alistahili nishani kwa mchango wake katika uhuru kama vile wengine ambao hawakupatiwa nishani hizo. Hakuna mtu anayeweza kupuuza mchango wa Abdulwahid Sykes au kuukweza kupita ulivyostahili kulinganisha na wengine ambao nao kwa zamu na nafasi zao walichangia katika harakati za Uhuru.
 
Wazee wetu kawataja japo ni kiduchu mno,la sivyo ingemlazim ajaze kurasa. Na mimi sitathubutu kulalama ati kwanini hujamtaja babu yangu fulani?ahaha!! Itakua ni kinyume na maadili nilolelewa nayo na pia nilojifunza masomoni.

Ahsanta.

Unaposema "Wazee wetu" ni lazima uwe muwazi sana. Mohammed Said anapozungumzia 'wazee wangu' anamaanisha wazee wake wa Kiislamu. Hamaanishi Wazee waliochangia katika harakati za Uhuru bila kuangalia dini zao. Na anapozungumzia "wazee wangu" hamaanishi wazee wote wa Dar na mchango wao la hasha; anazungumzia wale wazee wa Kariakoo tena wale Waislamu tu. Nyerere kwenye hotuba yake hapo juu aliposema "wazee wetu" alikuwa more inclusive than Mohammed Said.

Sijui wewe unapozungumzia "Wazee wetu" unafuata mfano wa Nyerere (kwamba wote wazee wetu - wa Kiislamu na Kikristu nawenye imani za jadi) au uko kwenye mstari wa Mohammed Said kuwa wazee "wenu" ni wale wazee wa Kiislamu tu katika jamii uliyokulia?
 


..Mohamed hakupaswa kurekebisha "historia ya Kivukoni" kwa kuandika "historia ya Kariakoo/Gerezani" halafu adai ndiyo historia ya Tanganyika.

Naam! lakini siyo hivyo tu; ni kuiandika histohisia hiyo ya Kivukoni akitumia dini kuelezea matukio ambayo hayakuwa ya kidini huku akikebeki dini za wale wasio Waislamu na kudunisha mchango wao. Mashujaa wake katika hili simulizi lake jipya ni Waislamu watupu.
 
gombesugu,

..asante, asante.

..tukishajuana kwa majina na familia zetu basi hata kuambizana ukweli kwa staili ya JF kutakwisha.

..unajua kule mtaani kuna watu wakitaka kukupa ukweli wako lazima kwanza waenda kilabuni kunywa bia mbili tatu. wanasema kuondoa nishai.

..sasa sisi hapa Jamii Forums hatulazimiki kufanya hivyo, majina ya bandia ndiyo kazi yake. Yanasaidi kuondoa nishai.

..halafu ukishataja familia yako, watatokea vichwa maji in the heat of the debate wakakushambulia na kuhusisha wasiohusika.

..mimi nakusihi uendelee kutumia jina lako la gombesugu.
 
Last edited by a moderator:
Barubaru,
Katika ibra za Allah ni mambo kama haya ya Abdu Sykes na Nyerere na urafiki wao.

TANU chama alichokiasisi Abdu kikaja kuwa mbele kumkana muasisi wake.
Leo zaidi ya miaka 60 tuko hapa tunabishana na wakati mwingine kutukanana.

Abdul hakuasisi TANU; tafadhali bana.
 
Mundungus Fletcher;

Usiume ume neno na kuwa na kigugumizi juu ya vita vya Wamarekani dhidi ya Uislamu. Hembu jiulize, kwanini hawaivamii Korea ya Kaskazini au Zimbabwe? unafikiri nchi hizi zingekuwa za Kiislamu zingebaki hivi mpaka leo bila ya kuvamiwa?

What kind of reasoning is this? Malaysia siyo nchi ya Kiislamu? Indonesia? Uturuki? Morocco? Saudia? Qatar? Oman? UAE? kote huko wamevamiwa na Wamarekani?
 
Unaposema "Wazee wetu" ni lazima uwe muwazi sana. Mohammed Said anapozungumzia 'wazee wangu' anamaanisha wazee wake wa Kiislamu. Hamaanishi Wazee waliochangia katika harakati za Uhuru bila kuangalia dini zao. Na anapozungumzia "wazee wangu" hamaanishi wazee wote wa Dar na mchango wao la hasha; anazungumzia wale wazee wa Kariakoo tena wale Waislamu tu. Nyerere kwenye hotuba yake hapo juu aliposema "wazee wetu" alikuwa more inclusive than Mohammed Said.

Sijui wewe unapozungumzia "Wazee wetu" unafuata mfano wa Nyerere (kwamba wote wazee wetu - wa Kiislamu na Kikristu nawenye imani za jadi) au uko kwenye mstari wa Mohammed Said kuwa wazee "wenu" ni wale wazee wa Kiislamu tu katika jamii uliyokulia?

Mwanakijiji,

Try to be positive ndugu yangu kipenzi na punguza dhana.

Kwani wewe unaposikia mtu akisema Wazee wetu unafikiri anamaanisha nini? Au nini tafsiri ya Wazee wetu ndani ya ubongo wako au kwenye Kamusi ya Kiswahili Sanifu?

Mbona unaanza kunitupia shutuma za Sheikh Mohammed Said?Lakini haina neno maana najua mwenyewe anakusikiliza kwa utuvu!ahaha!!
Hata kama hatukubaliani na hoja za Sheikh Mohammed Said,lazim tukubali kuwa huyu ndugu yetu ni mahiri na ametufunza mengi hapa tulokua hatuyajui. Mfano nagundua hata Mag3,nae siku hizi anatumia neno Wazee Wetu.

Nimeshajieleza saana tangia nimengia hapa jamvini,mimi si mdini na wala sibagui yeyote.

Ahsanta na tuendelee na mnakasha.
 
Naam! lakini siyo hivyo tu; ni kuiandika histohisia hiyo ya Kivukoni akitumia dini kuelezea matukio ambayo hayakuwa ya kidini huku akikebeki dini za wale wasio Waislamu na kudunisha mchango wao. Mashujaa wake katika hili simulizi lake jipya ni Waislamu watupu.

MKJJ,

..Abdulwahid Sykes ni rafiki kipenzi wa Baba yake Mohamed Said.

..sasa wakati mwingine wasomaji inabidi tumuelewe na tumvumilie anapoandika kuhusu maisha ya ndugu zake.

..kwa upande mwingine lazima tumkubali Mohamed Said kwamba he is a good writer and storyteller.

NB:

..tatizo lake ni UDINI, na kujaribu kwa kila hali kumdunisha Mwalimu Nyerere.

..Mohamed Said anadai katibu moja ya lectures zake wazungu walimuuliza: What about Nyerere??

..halafu yeye akajibu "about what"?? If I am not mistaken jibu hilo lilizua kicheko.

..sasa kwa jinsi ninavyoelewa wazungu, huo ulikuwa ni mtego, na Mohamed Said alinasa. Right there walimgundua kuwa ni mwandishi mwenye donge/grudge fulani na Mwalimu Nyerere.

cc: Mag3, gombesugu, Nguruvi3, Jasusi, Wickama
 
Last edited by a moderator:
gombesugu,

..asante, asante.

..tukishajuana kwa majina na familia zetu basi hata kuambizana ukweli kwa staili ya JF kutakwisha.

..unajua kule mtaani kuna watu wakitaka kukupa ukweli wako lazima kwanza waenda kilabuni kunywa bia mbili tatu. wanasema kuondoa nishai.

..sasa sisi hapa Jamii Forums hatulazimiki kufanya hivyo, majina ya bandia ndiyo kazi yake. Yanasaidi kuondoa nishai.

..halafu ukishataja familia yako, watatokea vichwa maji in the heat of the debate wakakushambulia na kuhusisha wasiohusika.

..mimi nakusihi uendelee kutumia jina lako la gombesugu.

JokaKuu,

Nakubali kabisa ndugu yangu yoote usemayo!ahahaha!!

Juzi nilijaribu kumshauri Wifey,kuwa nataka nikabidilishe jina niitwe Gombesugu,akacheka saana na akasema family yake na ofisini watashindwa kutamka Mrs.Gombesugu!ahahaha!! Kwa hilo ni kweli ndugu yangu nafuata ushauri wako hapa jamvini ni Gombesugu tu.

Umetaja mambo ya Kilabuni,umenikumbukusha mkasa fulani nilipokua mduchu.

Nakumbuka zamani tulikwenda pale Mzumbe kumtembelea Uncle wetu alikua akisoma. Akatupeleka kututembeza nje ya chuo na rafiki zake fulani. Japo yeye alikua hanywi wala havuti lakini tulipitia kilabuni kumsalim rafiki yake mwanafunzi mwenzie. Ghafla naona watu wengi lakini woote wamevaa suruali ambazo huku chini zimefungwa na mipira madhubuti. Mimi na dada yangu, japo tulikua wadogo mno lakini njiani tulimhoji Uncle yetu,ndo akatuambia yakuwa wale watu wapo pale ati wanastarehe na zile suruali zao kufungwa namna ile ni kuzuia haja kubwa isimwagike chini na wapate stara mpaka wakirejea makwao ndo wake zao wakawavue suruali, kuwafulia na kuwakogesha kama watoto wadogo!ahahah!!

Ahsantani na mbaki salama hapa jamvini ndugu zangu,sisi soote ni Wamoja na tupendane na kushikamana kwa dhati.
 
Back
Top Bottom