Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kwa Kiingereza chako kizito na kizuri ulipaswa kujua kuwa kuhutubia Wabunge na kulihutubia Bunge ni vitu viwili tofauti kabisa. Humu JF inabidi uwe jasiri sana ukitaka kuongopa!

Wild Card,
Tujaalie ilikuwa semina ya wabunge na Balozi Robert Royall hakuhutubia Bunge.

Tatizo liko wapi?

Taarifa nilizokuwa nazo zinasema na hapa nanukuu ''Addressing Members of
Parliament in Dodoma on the subject of ''Blood Money and Financing
Terrorism...''

Sheikh wangu Maalim Haruna akiniasa kuwa siku zote nitakapokuwa katika
mnakasha basi azma yangu iwe kutoa ilm kwa yule mpinzani wangu na mimi
kuteka ilm kwake.

Maalim Haruna alikuwa akisema mjadala wa ubishi na kutaka kuoneshana nani
mjuzi zaidi hauna baraka bora usifanye.

Mie kama ingelikuwa ni semina ningelisema alihutubia semina ya Wabunge lakini
nyaraka nilizopitia wakati naandika ile paper zimesema kama nilivoonyesha hapo
juu katika bold.
 

Ni ukweli kabisa mzee MS uislamu haupendi msengenyaji na wewe huku msengenya Nyerere ulitoa kitabu akiwa hai lakini humu kwenye huu uzi kunawasengenyaji vibaya ushahidi wa aya ya wanaosengenya huu hapa na allah ametangaza uadui nao.
104:1to top

Sahih International
Woe to every scorner and mocker
 
Wakati mwingine uwe unaandika kama mtu wa hadhi ya PhD. na wala sio mtu wa kawaida tu!unakuja na chuki zako badala ya uchambuzi wa kisomi! hebu basi tuletee hao wasiomi wakujiamini ambao Nyerere aliwatupa!

Profesa KIGOMA ALLY MALIMA
 
Kadogoo ndugu yangu, punguza hisia na hofu zisizo na msingi. Maelezo ya Tundu Lisu hakika hukuyaelewa kwa kuwa akili yako yote umeiweka kwenye hisia kwamba waislam wanaonewa!
Hivi hata kama kusoma hujui hata picha huelewi Tundu Lissu katoa mfano hivi nchi ikitaka kutawaliwa na waislamu waseme tutawapiga mabomu tuta waua huo mfano tuu huelewi watu gani ndio magaidi sisi wenye elimu ya madrasa tumeelewa wewe mwenye elimu dunia...
 
Boko, akili yako ni nyepesi mno! Profesa alishika nyadhifa mbali mbali mpaka kuwa waziri wa wizara mbalimbali, vipi udai alitupwa?

Kwani kushika nyadhifa ndio hoja unamjua mtu anayeitwa ABDU JUMBE chunguza mambo yaliyo mkuta ndio utajua baba yako wa taifa alichokifanya kasome kitabu kinachoitwa THE PARTNERSHIP.
 
Na thats your story? haya bana sasa tutafanyaje...

MM,
Tutafanyaje? wewe huwezi kufanya au kubadilisha chochote! "THE NEW WORLD ORDER" aliyoitangaza Rais wa zamani Ronald Reagan ndiyo hiyo inayowatafuna Waislamu kila mahali kuanzia Guantanamo, Afganistani, Ulaya Mashariki, Mashariki ya kati hadi Afrika!
Wewe kama MM unachotakiwa kufanya ama uungane na Waislamu kusimamisha haki duniani au uwe na Adui wa Uislamu na Waislamu! Either you are with us or you are with the terrorists - YouTube
 
Inasikitisha sana, muda fulani leo wakati wa break kwenye kazi yangu nikakuta habari ya "Balozi kuhutubia bunge".
Nilishangaa sana, swali la kwanza kujiuliza ni kuwa Mwezi May huwa kuna kikao cha Bunge? Na kama kilikuwa
cha dharula ni kwa ajili ipi?

Nchi hii imekuwa na Wasomi wa ajabu sana. Yaani mtu hajui kutofuatisha kuhutubia bunge na kuongea/kujadiliana/Kutoa semina kwa Wabunge! na anaunga tela tu!

Kama kuhutubia Bunge ndiyo hiyo tafsiri yake Tanzani itakuwa imeingia kwenye orodha ya kitabu cha Guiness book of
records kwa Bunge lake kuhutubiwa na Watu wengi zaidi. Kwa harakaharaka kuna R. Dau, Said Mwema, Mkuu wa Kitengo cha madawa ya kulevya, Spika wa bunge la Kenya nk. Na kwa maana hiyo kila Kikao cha Bunge kuna mtu anakuja kuhutubia Bunge!! Tena wengine wanaomba (nalo ajabu mtu kuomba kuhutubia Bunge ukiacha Rais wa Tz).

Kwa wafuasi wa MS, muwe makini na Mzee wetu huyu, msimeze tu mtaingizwa chaka, anajua anachokifanya na kupinda. Sasa hivi anawaambia amesoma mahali!! FYI: Watu wa karibu zaidi kuhutubia Bunge ni Rais wa Tanzania JK na Waziri Mkuu wa Ireland mwaka 2006.

Sasa Mzee wangu unaona hatari ya kuoga na watoto mtoni na wewe umeshaupenda mto!!
 

Kuna tofauti kati ya kumtukana mtu na kumuelezea alivyo halisi. Mimi nimechambua hotuba yake na nikatoa hoja kuhalalisha kwamba ama alikuwa MNAFIKI au CHIZI. Hayo siyo matusi kwa sababu ndiyo taswira halisi inayochomoka kwenye hotuba yake. Sasa wewe kuniita Mpumbavu bila kufanya uchambuzi wowote wa hoja yangu ili upate uhalali wa kuniita mpumbavu baada ya kuchambua hoja yangu unakuwa huna uhalali wa kufanya hivyo. Unatumia vigezo gani kuniita mpumbavu wakati wewe umeshindwa kujibu hoja yangu?

Najua watu kama nyie mmekulia kwenye familia ambazo wazazi wenu kutukanana nyumbani ni kama sala hivyo sishangai kuamua kumtukana mtu ambaye huna ubavu wa kujadiliana naye. Hayo ni matatizo ya akili ya kawaida sana kwenye jamii hivyo sishangai.

Sasa narudia. Kutokana na hoja yangu niliyoijenga, Nyerere atakuwa ama MNAFIKI au CHIZI. NUKTA.
 
Taarifa nilizokuwa nazo zinasema na hapa nanukuu ''Addressing Members of
Parliament in Dodoma on the subject of ''Blood Money and Financing
Terrorism...''

Taarifa ulizokuwa nazo hazisemi 'addressing the Tanzanian Parliament". You are a master of the English language and I bet you know pretty well the difference between "addressing" and "address to". Hilo la kwanza laweza kutafsiriwa "alizungumza" au "kuzungumza" lakini la pili linachukuliwa kama 'hotuba' yaani a formal speech to an entity (Bunge, Baraza nk).

Kile unachokiita "chanzo" chako si kingine bali ni ripoti ya mwandishi wa habari Alfred Msangya ambaye aliandika hivi kama sehemu ya taarifa yake (UNAWEZA KUSOMA TAARIFA YOTE HAPA)
Addressing Members of Parliament in Dodoma on the subject of «Blood Money and Financing Terrorism», the US ambassador to Tanzania, Robert Royall said: «We are proud to be your partners in this effort and I am deeply grateful that you have given me this opportunity to advance some of my thoughts on the topic of financial crimes, and especially in the matter of money-laundering».

Sasa hicho alichosema Alfred siyo sawa na ulichowaambia watu wa Ibadan - ukipotosha kwa makusudi (kwa sababu nina uhakika unaijua vizuri lugha ya Kiingereza) kuwa:

Ignoring the feeling of Muslims the then United States Ambassador to Tanzania Robert Royall addressed the Tanzanian Parliament expressing his government's satisfaction in Tanzania'ssupport in its war against terrorists and pledged USD 100m in aid to East African governments to help combat terrorism.

Sasa Mzee Said wewe ndiye uliweka hiyo tafsiri kuwa Royall alihutubia Bunge; hakukuwa na kikao cha Bunge na hivyo madai yako kuwa (he) addressed the Tanzanian Parliament are unfounded, and they are absolutely resulting from your own fabrication - a tendency that you are fond of.

Lakini kinachonisumbua mimi zaidi ni kuwa katika kuandika historia hauko tayari kuangalia vyanzo vyako na kufanya independend review of facts; cross checking etc. Kusema kuwa Balozi wa Marekani alihutubia Bunge la Tanzania kulikuwa na lengo moja tu: kuonesha jinsi serikali ya Tanzania ilivyoinama mbele ya Wamarekani na Wamarekani wakafanya wanachotaka! Mpaka Tanzania inatoa nafasi kwa Balozi kuhutubia Bunge nina uhakika wasikilizaji wako kule Ibadan walishangazwa sana na kuishangaa Tanzania kumpa nafasi balozi kufanya hivyo. Ungesema ukweli kuwa kalikuwa ni ka semina kalikokuwa na wabunge wasiozidi sitini au hata kama wabunge wote lakini ni semina tu ya kawaida impact ya madai yako isingekuwa kubwa kihivyo na wewe kujikutuza kwa kuimbua Tanzania mbele ya jamii ya kimataifa.

Wanaokuita mchochezi wamekupa heshima tu; lakini kwa kweli wewe ni mchonganishi. Unawachonganisha Waislamu na Wakristu wa Tanzania tena ule uchonganishi mbaya sana. Tulipokuwa wadogo shuleni kulikuwa na watu wanaitwa wachonganishi. Kazi yao ilikuwa ni kuchukua maneno hapa na kuyapeleka kule na kuyachukua ya kule na kuyapeleka hapa na katika kufanya hivyo kubadilisha ukweli wake, kutia chumvi na hata kuondoa maneno mengine ilimradi watu wagombane. Watu wakipata hasira na kutaka kugombana wale wachonganishi ndio wanakuwa wa kwanza kushika mchanga mkononi na kuwaimbia "Puta"! zipigwe.

Lakini marafiki wakiamua kukaa pamoja na kuulizana wanayodaiwa kusema wakagundua mara moja kuwa yule mtu wa tatu ndiye aliyekuwa akiwafarakanisha basi marafiki hupatana na kumtenga au kumsuta yuule mchonganishi. Mohammed Said wewe si mwanahistoria; hupiiganii haki za Waislamu, hutetei maslahi ya Watanzania wote; wewe ni mchonganishi. Unawachonganisha ndugu zako kwa misingi ya dini. Unatengeneza historia na kuiremba na kuipeleka kwa Waislamu ikiwa inawachochea wachukie Wakristu; unakuja huku kwingine na kutuambia mazuri ya Waislamu na dhulma ambayo Wakristu wamewafanyia ndugu zao. Umekaa unasubiri.... makanisa yanachomwa... unasubiri... mauaji yanatokea... unasubiri... Watu wanaanza kunyimana vyumba vya kupanga kwa sababu ya dini... unasubiri... leo wapo baadhi ya Waislamu wakisikia jina la Nyerere linatajwa wanasema "amelaaniwa"..... unasubiri.... unasubiri uone uchonganishi wako utazaa nini.

Mzee Said, katika hili kubali umeelewa vibaya na utasahihisha huko mbeleni. Vinginevyo unatupa wengine kazi kubwa sana ya kusahihisha your historical errors and logical inconsistencies...
 
Ukishaamua kuoga nao basi jiandae kutoka na tope! Hakika umenena.
 
Kadogoo ndugu yangu, punguza hisia na hofu zisizo na msingi. Maelezo ya Tundu Lisu hakika hukuyaelewa kwa kuwa akili yako yote umeiweka kwenye hisia kwamba waislam wanaonewa!

Gwalihenzi;

Najua wewe umeelewa maelezo ya Lisu kupitia nguvu za ufunuo! mimi mswahili mla kashata na gahwa uwezo huo wa kumuelewa Lisu ntaupata wapi? sisi tunateswa na hisohisia tu!
 

Mag3
Sisi waislam.pombe kwetu ni haram.,
Kama umehamaki,kaa chini panda fundo kadhwaa za juice ya muwa,yetu sie tuachie sie..
 
Last edited by a moderator:


Mkuu kama hapo bado hajaelewa nadhani uishie hapo.
Kuna Binadamu ni wagumu kukubali kuwa wamekosea hata uimbe kwa lugha yoyote unayoijua!.
Kusema kweli nimekuwa msomaji wa mtanage huu toka mwanzo mpaka ulikofikia bila kutia neno.
 
London city hiyo-kama mnavyoibadili historia na huo mtaa ubadilisheni jina


Si jambo la ajabu Uingereza kumtukuza Nyerere kwani walikuwa wanamtumia kufanya crusade katika Africa. Mapinduzi ya Zanzibar yana mkono wao, Nyerere kuendelea kuwa Rais wa nchi hii kwa mabavu kuna mkono wao. Udicteta wa Nyerere kwa kiasi kikubwa sana umerutubishwa na mataifa ya magharibi na hasa Kanisa Katoliki.

Kati ya vibaraka wakubwa wa mataifa ya Magharibi waliotumika kuuwa maendeleo ya Wa Africa baada ya kupata Uhuru Nyerere ndie baba lao. Nchi hii itaendelea kusuasua kimaendeleo mpaka masalia ya utawala na mfumo aliouacha Nyerere utokomee kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…