Kwani kuwa Washirika wa Marekani manake ni kuwa nchi imeacha kuwa nchi ya Kiislamu?
MM,
Hivi nchi ya Kiislamu huwa inaendeshwaje? hembu tupe darsa kabla hatujaendelea zaidi Mzee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuwa Washirika wa Marekani manake ni kuwa nchi imeacha kuwa nchi ya Kiislamu?
Kwa Kiingereza chako kizito na kizuri ulipaswa kujua kuwa kuhutubia Wabunge na kulihutubia Bunge ni vitu viwili tofauti kabisa. Humu JF inabidi uwe jasiri sana ukitaka kuongopa!
Wickama,
Uislam hakika umeeleza ubaya wa kusengenya na umetoa maana ya kusengenya.
Ukitaka habari kamili ya somo hilo rejea Riadh Salihin mlango wa kusengenya.
Hapo utapata maana yake kamili.
Kwa mukhtasari kusengenya ni kusema neno mwenyewe hayupo na akilisikia atakasirika.
Mimi nimeeleza historia na nimelileta hilo baada ya kubanwa kuhusu historia ya Abdu
Sykes.
Ama kuchuja...
Mengi sana sikuona lazima ya kuyaeleza si hapa wala katika kitabu.
Kadogoo ndugu yangu, punguza hisia na hofu zisizo na msingi. Maelezo ya Tundu Lisu hakika hukuyaelewa kwa kuwa akili yako yote umeiweka kwenye hisia kwamba waislam wanaonewa!MKUU WA CHUO;
Huyu hapa Tundu msikize anavyoshangaa Serikali kumkamata Lwakatare wakati yeye sio Muislamu! Lissu: Mwigulu na Ludovick ndio waliotengeneza video ya Lwakatare - YouTube
Wakati mwingine uwe unaandika kama mtu wa hadhi ya PhD. na wala sio mtu wa kawaida tu!unakuja na chuki zako badala ya uchambuzi wa kisomi! hebu basi tuletee hao wasiomi wakujiamini ambao Nyerere aliwatupa!
Boko, akili yako ni nyepesi mno! Profesa alishika nyadhifa mbali mbali mpaka kuwa waziri wa wizara mbalimbali, vipi udai alitupwa?Profesa KIGOMA ALLY MALIMA
Hivi hata kama kusoma hujui hata picha huelewi Tundu Lissu katoa mfano hivi nchi ikitaka kutawaliwa na waislamu waseme tutawapiga mabomu tuta waua huo mfano tuu huelewi watu gani ndio magaidi sisi wenye elimu ya madrasa tumeelewa wewe mwenye elimu dunia...Kadogoo ndugu yangu, punguza hisia na hofu zisizo na msingi. Maelezo ya Tundu Lisu hakika hukuyaelewa kwa kuwa akili yako yote umeiweka kwenye hisia kwamba waislam wanaonewa!
Boko, akili yako ni nyepesi mno! Profesa alishika nyadhifa mbali mbali mpaka kuwa waziri wa wizara mbalimbali, vipi udai alitupwa?
Na thats your story? haya bana sasa tutafanyaje...
London city hiyo-kama mnavyoibadili historia na huo mtaa ubadilisheni jina
![]()
Tukiwaita wajinga na akili zenu hazina akili sijui kwanini huwa mnakasirika na kutoa mapovu ati mmetukanwa. Sasa hebu soma huu ujinga wako hapa uone kama husitahili kuitwa mpumbavu!
Sasa hapo wewe hujatukana? au wewe ndio mwenye haki miliki ya kutoa lugha za kifedhuri na wengine wakikanusha mitusi yako hiyo waonekane wabaya? Na ulivyokosa akili ati unaamini hiyo mitusi yako dhidi ya Nyerere ni hoja ! shame on you and your embicile old man!
London city hiyo-kama mnavyoibadili historia na huo mtaa ubadilisheni jina
[/QUOT![]()
Sasa sisi picha itatusaidia nini??
Haya tumeona,lete zingine,,,
Profesa KIGOMA ALLY MALIMA
Taarifa nilizokuwa nazo zinasema na hapa nanukuu ''Addressing Members of
Parliament in Dodoma on the subject of ''Blood Money and Financing
Terrorism...''
Ukishaamua kuoga nao basi jiandae kutoka na tope! Hakika umenena.Inasikitisha sana, muda fulani leo wakati wa break kwenye kazi yangu nikakuta habari ya "Balozi kuhutubia bunge".
Nilishangaa sana, swali la kwanza kujiuliza ni kuwa Mwezi May huwa kuna kikao cha Bunge? Na kama kilikuwa
cha dharula ni kwa ajili ipi?
Nchi hii imekuwa na Wasomi wa ajabu sana. Yaani mtu hajui kutofuatisha kuhutubia bunge na kuongea/kujadiliana/Kutoa semina kwa Wabunge! na anaunga tela tu!
Kama kuhutubia Bunge ndiyo hiyo tafsiri yake Tanzani itakuwa imeingia kwenye orodha ya kitabu cha Guiness book of
records kwa Bunge lake kuhutubiwa na Watu wengi zaidi. Kwa harakaharaka kuna R. Dau, Said Mwema, Mkuu wa Kitengo cha madawa ya kulevya, Spika wa bunge la Kenya nk. Na kwa maana hiyo kila Kikao cha Bunge kuna mtu anakuja kuhutubia Bunge!! Tena wengine wanaomba (nalo ajabu mtu kuomba kuhutubia Bunge ukiacha Rais wa Tz).
Kwa wafuasi wa MS, muwe makini na Mzee wetu huyu, msimeze tu mtaingizwa chaka, anajua anachokifanya na kupinda. Sasa hivi anawaambia amesoma mahali!! FYI: Watu wa karibu zaidi kuhutubia Bunge ni Rais wa Tanzania JK na Waziri Mkuu wa Ireland mwaka 2006.
Sasa Mzee wangu unaona hatari ya kuoga na watoto mtoni na wewe umeshaupenda mto!!
Kadogoo ndugu yangu, punguza hisia na hofu zisizo na msingi. Maelezo ya Tundu Lisu hakika hukuyaelewa kwa kuwa akili yako yote umeiweka kwenye hisia kwamba waislam wanaonewa!
Dhambi ya kusema uongo ni kama ule wa mlevi wa pingu na kama unao mashabiki, kama hao hapo juu, kwa muda utaishi, utastawi na kunenepa, lakini mwisho wake, lahaula...hiyo harufu!
gombesugu, kama hata kwa jambo obvious kama hili ambalo linahitaji tu kuangalia hansard ya bunge Mohamed Said anathubutu kusema uongo, hebu fikiria yale yote anayodai kusimuliwa barazani mtaa wa Kipata! Cha kuhuzunisha wapo wanaomeza tu bila hata kutafuna...tarehe 15 May 2003 hapakuwepo na kikao cha bunge! Endeleeni kunywa pingu ila hakikisheni suruali zenu zimetiwa pingu watu wasije wakawakimbia!
Heshima yako Mzee MS. On the contrary sina cha kuhofu. Nahofu nini? Mzee MS, nimefundishwa kuwa kusengenya ni kuelezea watu wengine habari ya mtu kiasi kwamba mwenyewe isingemfurahisha au tuseme ngemuudhi, hata kama unachosema ni kweli. Wewe ndio umezungukwa na maustadh wazito wazito wanajua mambo haya. Waulize. Unasengenya sheikh wangu. Zisikudanganye "likes". Mimi siogopi kukwambia. Na hata marehemu Abdul angekuwako asingefurahishwa na tabia yako. Nyerere alikuwa mgeni wake. Ilikutosha kuishia hapo. Yupi alihamia chumba gani ilitakiwa yeye Nyerere aseme kama aliona ina manufaa sio Sykes wala wewe. Sykes hakulisema kwa vile alilijua kidini ni dhambi sheikh. Hayo uliyoyakomalia ya Ally kuhamishwa ampishe ni masengenyo baba yangu. Kwenda sokoni hana senti ya kununua chochote ni masimango ustadh na hayana uhusiano na muslim struggle against the british. Na hata kama uliambiwa, nini maana ya hekima ya kuchuja mambo MS? Bora anayekwambia ukweli. Nilishaweka hapa aya husika inayokataza kusengenya lakini naona gari yako iko kwenye over-drive. Uliiruka. Wachana na ma-book ya kina Mandela, wewe umeshajivalia uislamu katika kusimulia mada zako, lazima usimulie mambo ndani ya stara ya kiislamu.
London city hiyo-kama mnavyoibadili historia na huo mtaa ubadilisheni jina
![]()