Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Swadakta Al Akhiy Mohd Saidi.

ndio maana nawarudisha katika hali ya kisomi kuwa wajadili hoja kwa maana kile alichoongea Balozi wa USA na alijibiwa nini full stop kwani mengine yote si msingi katika mnakasha huu.

maa salaam

Kwani kuna ubaya kujiunga tarehe 4 April 2013? Unachotakiwa wewe ni kujibu hoja nzito za Zali la Mentali,

Yaani, Ritz, ile post kwako unaona ni hoja! Umenisikitisha sana, ukiniambia ameta maoni yake nitaheshimu na ningekuona umezungumza jambo la maana sana.

Pale amemwaga chuki zake dhidi ya Nyerere tu, hakutoa sababu wala kueleza Nyerere alikosea wapi (na ni kweli ana makosa mengi tu na alishawahi kukiri), lakini kujiunga tu huu mwezi April na kuanza kusambaza chuki tu dhidi ya Nyerere na kumlaani tu,! Je, haitoshi kusema hicho ndicho kilimleta kwenye huu mnakasha?

Ritz, nadhani kutetea 'hoja' ya ndugu yetu Zali la Mentali, kwa viwango vyako it is too low.
 
Tutajie ambao si vibaraka.... tuwajue
 
Wewe unafahamu kabisa kwamba mimi nimejenga hoja ya kumwita Nyerere ama CHIZI au MNAFIKI kwa kutumia hotuba yake mwenyewe na ambayo imewekwa kwenye thread hii na muanzisha thread. Utasemaje ninamwaga chuki bila sababu? Niliamua kuanza na nyepesi nyepesi za kutumia ushahidi ambao umo humu humu na hautakuchukua dakika mbili kuumaliza kusoma ili kama wewe ni mvivu wa kusoma basi usipate shida kwani ushahidi umetolewa kwenye chanzo ambacho unakiamini na hautakuchukua mda kuupitia na kuweza kutoa hoja zako dhidi ya hoja zangu zilizojengwa kutoka kwenye ushahidi huo. Sasa kama hata ushahidi huu wa hapa kwa hapa na wa dakika mbili tu unakushinda unawezaje kuwa na guts za kusema kwamba sina ushahidi wowote ule na hoja ninazoziweka?
 
Tutajie ambao si vibaraka.... tuwajue

Wakati wa Nyerere wale ambao si vibaraka waliuawa na mataifa ya Magharibi kama kina Kwame Nkrumah, Patrice Lumumba n.k. Hawa vibaraka walilindwa na Mataifa hayo hayo ya Magharibi walipotaka kuondolewa madarakani na wananchi ambao waliona kabisa kwamba uhuru wao umepokonywa kupitia hawa viongozi vibaraka. Mapinduzi ya mwaka 1964 na jinsi ambavyo Waingereza walileta kikosi maalum cha makomandoo kulinda utawala wake dhalimu ni ushahidi tosha. Mapinduzi ya Zanzibar yalivyoweza kufanyika kwa kutumia vibaraka kutoka nchi za Kenya Uganda, Mozambique, etc ni ushahidi tosha kwamba kulikuwa na mkono mpana wa Kanisa kuwakusanya wapiganaji hawa kutoka sehemu mbalimbali za Africa ili kuja kufanikisha crusade yao Zanzibar. Ukweli kwamba Waingereza ndio walikuwa Protector wa Zanzibar wakati ule na hawakufanya lolote kuinusuru Zanzibar kwenye mapinduzi yale ya kikatili ni muendelezo wa ushahidi kwamba ulikuwa na baraka ya mataifa ya magharibi.
 
Mambo si Mambo..... Mzee Said anachanganya watu...

Lakini naona Barubaru haamini amini, kama kashaanza kumdoubt mzee Said..

Barubaru usichoke kutafuta na kujua ukweli...
 
Wimana,

Unataka kuniambia hujaona hoja za Zali la Mentali, ambazo zinaitaji majibu?
 
Last edited by a moderator:
Kama chuki zenyewe zinaanzia huku, hizi haziwezi kuwa na tiba. Utamchukia Mwalimu sio wewe tu, bali na vizazi vyako vitano vijavyo. Historia ndivyo ilivyo.
 
Mambo si Mambo..... Mzee Said anachanganya watu...

Lakini naona Barubaru haamini amini, kama kashaanza kumdoubt mzee Said..

Barubaru usichoke kutafuta na kujua ukweli...

Wakati unaanza kuchangia huu mnakasha ulisema wewe una upande lakini taratibu masiku yanavyokwenda kasi ukaona potelea mbali damu nzito kuliko maji acha ujimwage jamvini kutetea dini yako haa ha haa ha!
 
Kama chuki zenyewe zinaanzia huku, hizi haziwezi kuwa na tiba. Utamchukia Mwalimu sio wewe tu, bali na vizazi vyako vitano vijavyo. Historia ndivyo ilivyo.

Hivi nyinyi jamaa kwa nini mnakuwa na vichwa maji kiasi hiki? Kila mara nawaelezeni mje na hoja mnakuja mikono mitupu!!!!!!!!
Kanchi haka kaaaaaaaaaaaaaazi kwelikweli
 
Wakati unaanza kuchangia huu mnakasha ulisema wewe una upande lakini taratibu masiku yanavyokwenda kasi ukaona potelea mbali damu nzito kuliko maji acha ujimwage jamvini kutetea dini yako haa ha haa ha!

'Sisi' na 'wao'
na hii wameianzisha wao..
lakini ni raha iliyoje kuwa upande huu..,kama walivotaka wao..
 
Barubaru,
Kosa alilofanya mwandishi ni kutoa sweeping statement bila clarification. Alipaswa kutaja kama alihutubia wabunge wote kwenye ukumbi, jambo ambalo halikutokea. Kwa sentenso hiyo ameacha taswira kama balozi alihutubia wabunge wote.

Jasusi,

msingi mkubwa hapo ni kile alichoongea balozi na pahala alipoongelea na si watu waliokuwepa wakti huo. Kwani hapa kinachobishaniwa ni Ile paper ya Balozi hususan mada yake na yale majibu alojibiwa na Mohd Said na si vinginevyo.

Tusihukumu Kitabu kwa kuangalia jalada lake mkuu. Pole sana.

Lakin vipi Hivi ni kweli Nyerere alileta amani ambayo mnadumu nayo mpaka leo huko Tz?

Mambo si Mambo..... Mzee Said anachanganya watu...

Lakini naona Barubaru haamini amini, kama kashaanza kumdoubt mzee Said..

Barubaru usichoke kutafuta na kujua ukweli...

Nilipo Pigia mstari.

Nikweli kabisa nipo hapa kupata darsa na namshukuru sana Al Akhiy Mohd Said kwa darsa yake yenye dalili sio bla bla.

Vipi lakin mwenzangu Hivi kweli JKN ndie alieleta amani na upendo huko Tz?

Hilo swali hakuna wa kujibu ni mbini mzito.

Hata mimi nasubiri sana hilo jibu kuwa Nyerere alileta amani Tanzania.

Wanajamvi tunasubiri majibu yenu murua.
 
Last edited by a moderator:
Wakati unaanza kuchangia huu mnakasha ulisema wewe una upande lakini taratibu masiku yanavyokwenda kasi ukaona potelea mbali damu nzito kuliko maji acha ujimwage jamvini kutetea dini yako haa ha haa ha!
Ha ha ha ha... Uzuri JF records zipo kila ulosema

Naona hapa ulijisahau kuwa kama una upande...ha ha haa ha ha!! kweli JF kiboko.
 
Sio AMANI tu, bali hata sera zake nzuri za ELIMU, MUUNGANO zilikufanya usome vizuri tu kwa gharama zetu tukidhani wewe ni MTANZANIA mwenzetu kumbe....
 
Barubaru,

Hilo swali hakuna wa kujibu ni mbini mzito.

Hata mimi nasubiri sana hilo jibu kuwa Nyerere alileta amani Tanzania.

Wanajamvi tunasubiri majibu yenu murua.
Zipo thread za Mwalimu humu nyingi tu. Hili limejadiliwa sana huko. Ushahidi ni wazi. Ameondoka madarakani tukaanza chokochoko. Sasa hivi tunachinjana kabisa. Siri ilikuwa moja tu. Mwalimu aliapa kuilinda na kuitetea KATIBA ya JMT. Alifanya hivo kweli.

Mwalimu alichukia wizi, rushwa, uporaji wa rasilmali za nchi, udini, ukabila. Mwalimu aliongozwa na sheria za nchi. Pale alipopotoka alikiri hadharani, akarekebisha, akasonga mbele
 
Thread za nini mimi nataka utufahamisha Nyerere ndiyo ameleta amani Tanzania ambayo haikuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…