Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Cha kudebate tena hakuna kwani uovu wa Nyerere hata Mungu muumba wa mbingu na ardhi ametuonesha.
Halafu nasikia kaburi lake lilikuwa likitoa sauti za vitisho vya ajabu.Walinzi wa kaburi ile wiki ya mwanzo walitimua mbio kwa sauti mbaya sana kama ya mbwa
Woooooooooooooooooh!,Woooooooooooooooh!
 
Hivi mlitaka kumwambia Nyerere nini? Mzee Bomani aliwahi kuniambia kwamba wote wale wanaomwita Nyerere haambiliki ni watu ambao walikuwa na uwoga wa kujenga hoja. Inaonekana na wewe ni mmoja wao. Nyerere alikuwa haburuzwi.
Na kama kutosikiliza kwa Nyerere ndio kumetuletea matatizo mbona miaka karibu 30 tangu aondoke mamlakani mambo Tanzania yamezidi kuwa mabaya? Jiulizeni ninyi mnaoambilika what has gone wrong?
 
Naona mnakasha umeshageuka kutoka wazee wa Gerezani hadi mapinduzi ya Zanzibar.
Wazee wa gerezani si umeona mwenyewe akina Nguruvi na Mwanakijiji walivyobwagwa chini baada ya kushindwa kuonesha uchochezi.Sasa wacha tuje kwa hayo mapinduzi naona mnakasha utanoga upya.Watazamaji watafika 300,000 InshaAllah.Labda wanamgambo wa Invisible wachoke.
 

Naona unazidi kujikoroga mwenyewe.

Mimi nimekupambanulia vizuri kabisa katika utawala wa mkoloni na syile yake ya gawa na utawale kwa kenya na Uganda alitumia ukabila kwa sababu kenya na uganda hawakuwa na makabila mengi. (kenya hawakuwa na makabila zaidi 11 na uganda makabila 13 nchi nzima.

Upande wa tanganyika ambao kwa wakti huo kulikuwa na makabila zaidi ya 85 alitumia UDINI yaani dini moja kuwa superior kuliko nyingine na hata kutumia resource za taifa kunufaisha dini moja kwa kujenga maskuli na mahospital ili aweze kutawala.

hebu nikuulize je uliwahi kusikia imeitishwa harambee kujenga hospital kama KCMC au Bugando au skuli kama Ilboru au Umbwe au Pugu sasa jiulize pesa hizo waliyoa wapi.

sasa sumu hiyo iliyopandwa wakti huo na kufukiwa na JKN kwa kipindi kirefu sana ndio sasa inawaka kwa kishindo.

nakushauri soma kitabu cha Dr Silvalon kinachoitwa Kanisa katoliki na siasa za Tz bara 1953 - 1985 utagundua mengi sana humo.
 
Zenj at last. Let me smell the karafuu. Ila posts zakeeeee, wenyewe so hot. Wanahitaji a deep breath. Lets move on. MS are you there?
 

Jasusi.

Waarabu tuna usemi mmoja IN ORDER TO BUILD SOMETHING STRONG, IT HELPS TO START WITH BEST AND POSSIBLE MATERIALS. Na waswahli wanasema kila kitu ni msingi. kama umeweka msingi mbovu hata ufanyeje huwezii jenga kitu imara.

Sasa wa TZ ndio mupo hapo msingi mboovu mliojengewa na JKN ndio huo unaowasibu mpaka leo.

Kuhusu mzee Bomani naona tusiongee mengi kwani namfahamu vizuri sana sana sitaongea mengi bali mpe salam zangu atakwambia mengi kuhusu Mimi. Muulize tu Hamza Yousuf (alizoea kuniita Mwarabu au Mznz) kisha utanieleza.

Pole ndugu yangu
 

Sijajikoroga vyovyote vile. Ni kweli Waingereza walitumia mtindo wa divide and rule kote East Afrika, Tanganyika included.
Kwa Tanganyika walitumia machifu na ndiyo sababu Nyerere alipiga marufuku uchifu kwa sababu alitaka kuwepo direct rule. Pia kuhusu makabila check facts zako. Uganda ina makabila 64 na Kenya makabila 52. Huwezi kusema hayo ni makabila machache hata kidogo, hata siku moja. Unasema Tanganyika tulikuwa na makabila 85? Mwaka gani? Yaani makabila yetu yaliongezeka baada ya uhuru? Tanzania imekuwa daima na makabila 127 or thereabouts na siyo 85 kama unavyodai. Udini walitaka kuuanzisha akina Takadir, Nyerere akawazima. Udini umerudishwa tena Tanzania katika uchaguzi wa 2010 pale Kikwete alipoona Chadema inazidi kupamba moto. Ilibidi wapite msikiti hadi msikiti wahimize waislamu wamchague muislamu mwenzao, Kikwete, na hli katuthibitishia hapa Mohamed. KCMC na Bugando zilijengwa na hela za wamishenari. Actually kuna wakati serikali ilitaifisha hospitali ya Bugando lakini kama kawaida yao wakashindwa kuiendesha. Ilibidi wawarudishie. Una swali jengine?
 
Kama ulimfahamu mzee Bomani hivi sasa ni marhemu.
 

Zali la Mentali ukitaka kuwa muongo mzuri jitahidi kutunza kumbukumbu. Naona kanuni hii wewe imekupita kisogoni. Kudhihilisha haya jaribu kurudia kusoma upumbavu wako hapo juu na huu uliopo hapa chini;

Gwalihenzi
kubishana na huyu mtu i sawa kumpigia mbuzi gitaa! Ukingalia kwa makini join date yake (April 2013) itakupa majibu yote, huyu ni Member aliyeshindwa hoja ila kwa aibu nha kwa kuogopa kuwa tutamshangaa kwa hoja zake dhaifu kupitia ID inayofahamika, ameamua kutafuta ID nyingine ili kuficha ujinga wake.
 
Asante mkuu kwa taarifa, basi namuachia mpuuzi mwenzie aendelee kumshukuru.
 
Heshima yako mzee MS; Usijali ndugu yangu. Jitahidi na wewe ubane mtu. Nikuachie muda utafute. Nikizidisha hapa sote wawili twaweza kuwa "zombies au brain dead" Jioni njema

Wickama,
Nifafanulie sielewi "kubana" umekusudia nini.

Wala sijafahamu mie nitafute kitu kipi.
 

Je kenya na Uganda hakukuwa na machifu?

Je unaweza nitajia makabila 20 tu ya kenya na 20 ya Uganda?

Je unaweza niambia Lugha ya taifa (local language)ya kenya na Uganda ni ipi?

Na kwanini lugha ya Taifa ya Tz ni kiswahili?

 
Jasusi,
Huijui histori ya TANU na mchango wa Sheikh Suleiman Takadir.
Mohamed,
Nimeisoma sana. Nimemsoma Judith Listowell na sasa nabukua John Illife. Kuna mahali baada ya Takadir kuvuliwa uongozi wa wazee wa TANU Listowell anasema Nyerere alionekana kuchukua uamuzi wa kidikteta. Nimeipata nukuu, ngoja nikumegee kidogo:\

"The Elders' Section indicated the great respect shown age in African society. A place had been created fore the wazee so that their traditional authority could be used within the party. Their first leader was Sheik Suleman Takadi; it was he who, nine months later, criticised at an elders' meeting the absence of Muslim candidates from the Tanu election list. It is revealing of both Nyerere's resentment of religious (and racial) partisanship, and of one of his rare dictatorial flashes that he promptly expelled the Sheik from the party. To this day (1965) Takadir complains, rightly, that this action was unconstitutional as only the elders could have dismissed him."
Judith Listowell, "The Making of Tanganyika," pages 303-304.

Mohamed, bado unashikilia kuwa sijui historia ya TANU?
 

Sizitaki mbichi hizi :A S shade:
 
Asante mkuu kwa taarifa, basi namuachia mpuuzi mwenzie aendelee kumshukuru.

Mtabaki kutukana tu kama vile mlivyozoea. Mbona nyinyi wote mna pattern hii ya kumbilia kutukana matusi mkishindwa kujibu hoja? Hivi ndivyo mnavofundishwa makanisani kwenu kwamba mtu akikushinda hoja mtukane ili isionekane kwamba umeshindwa kuhojiana naye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…