Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Cha kudebate tena hakuna kwani uovu wa Nyerere hata Mungu muumba wa mbingu na ardhi ametuonesha.Zali;Umejitahidi. Ni article nzuri. Sasa kwa vile katika posting yako ya #13365 umeonyesha tayari huyu Nyerere kapigwa laana hadi kufa kwa ukosefu wa kinga mwilini na tena polepole akipumulia mashine kama adhabu toka Mola wake, sasa tuna cha ku-debate tena hapa?
Halafu nasikia kaburi lake lilikuwa likitoa sauti za vitisho vya ajabu.Walinzi wa kaburi ile wiki ya mwanzo walitimua mbio kwa sauti mbaya sana kama ya mbwa
Woooooooooooooooooh!,Woooooooooooooooh!