Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Tumetoa ushahidi hapa kwamba Nyerere alikuwa ana report mpaka kwa viongozi wa Kanisa Katoliki Vatican kuwathibitishia kwamba Kazi waliyomtuma ya kuwapendelea Wakatoliki dhidi ya dini na madhehebu mengine yote ya dini ya Kikristo alikuwa anaifanya kikamilifu na akawatuma watu wapeleke ujumbe Vatican. Bila shaka wale waliotumwa na Nyerere walitumia kodi ya Watanzania wote kusafiri mpaka Vatican kupeleka ujumbe kutoka kwa Nyerere!!!!!!!!!!!

Sasa huoni kwamba Nyerere alivuka zaidi ya mpaka huo wa Africa Mashariki na akaunganisha mfumo Katoliki mpaka Vatican?

Zali; Hapa tayari nacheka. Haki ya Mungu, weweewewewe, Punguza moto. Fungua thread yake tutakaa tutazungumza. Punguza ukali ustadh. Tuko pamoja.
 
Unaijua It's all confusing huwezi kujua nani anasema nini kwasababu story zinabadilika with time and kind of conversation.

Ndio maana huwaita ''half baked wasomi'' kwasababu nao wameingia katika mkumbo wa hadithi za vijiweni like any othe illiterate in the street.

Naona umeamua kutukana matusi kutumia lugha ya Kiingereza (Illitereate) kwa sababu akili yako ya panzi inavyokutuma ni kwamba yatapunguza ukali wa matusi uliyoamua kutukana watu ukitumia lugha ya Kiingereza!!!!!!!!!!!!! Cha ajabu ni kwamba nyie ndio vinara wa kusema mmetukanwa hata neno Shanginghi likitumika wakati neno shangingi kwa asili yake hasa ni gali la kifahari!!!!!!

Sasa turudi kwenye mada yako. Joka kuu alishangaa kwa nini Songambele awe juu ya Mwinyi? Jasusi akamjibu kuonyesha kwamba ni kweli Songambele alikuwa juu ya Mwinyi. Sasa hawa mbona ukuwaweka kwenye kundi la "illiterate" badala yake ukaamua kuwa target Waislamu peke yao?

Ukishindwa kujibu hoja usitegemee kwamba utakuwa na uwezo wa kuzunguruka vichwa vya watu walewale ambao umeshindwa kujadiliana nao kwa hoja. Suluhu pekee ni wewe kujibu hoja zilizokuwepo mbele yako na sio kutafuta upenyo wa kisanii kutafuta uhalali wa wewe na washirika wako kuendelea na mjadala ambao technically mmeukimbia!!!!!!!
Hana lolote!
Huyu amekimbia mara nyingi tu.Angalia NYUMBA YA TANU
Hapa alikimbia baada ya kupewa DEFINITION YA MFUMO KRISTO
 
Tumetoa ushahidi hapa kwamba Nyerere alikuwa ana report mpaka kwa viongozi wa Kanisa Katoliki Vatican kuwathibitishia kwamba Kazi waliyomtuma ya kuwapendelea Wakatoliki dhidi ya dini na madhehebu mengine yote ya dini ya Kikristo alikuwa anaifanya kikamilifu na akawatuma watu wapeleke ujumbe Vatican. Bila shaka wale waliotumwa na Nyerere walitumia kodi ya Watanzania wote kusafiri mpaka Vatican kupeleka ujumbe kutoka kwa Nyerere!!!!!!!!!!!

Sasa huoni kwamba Nyerere alivuka zaidi ya mpaka huo wa Africa Mashariki na akaunganisha mfumo Katoliki mpaka Vatican?
Mwalimu ni mpana na mzito kumuelezea kuliko unavyofikiri. Angalia mifano hii michache:
-Akatuunganisha na Zanzibar ya WAISLAMU watupu( 99.9%)!
-Akafanyakazi kwa karibu na Waislam wengi tu kuanzia wapishi, wahudumu, madereva, viongozi ndani ya TANU/CCM, serikalini.
-Misikiti ilijengwa mingi tu enzi zake kuliko wakati mwingine wowote.
-Idadi ya Watanzania Waislam imeongezeka sana tangu mwaka 1954.
-Akajenga mahusiano mazuri tu na nchi za Kiislamu na Viongozi wa Waislam duniani akina Agha Khan.

Kwenye familia yake Mwalimu kijana wake mmoja kaoa binti wa Kiislam. Itoshe tu kusema kwamba kila mtu anayo haki ya kumjadili Mwalimu hivyo anavyoona inafaa. Kwa misukumo na agenda mbalimbali.
 
Tatizo la nyie mnaomwabudu Mohamed Said ni kwamba mmejinyima wenyewe uwezo wa kufikiri na kujenga hoja zenye mashiko, mnaishia kumshangilia Mohamed tu hata kama anasema uwongo wa kukithili. Imeoneshwa waziwazi hapa jamvini uwongo wa Mohamed... Mohamed anasema balozi wa Marekani aliwahi kulihutubia bunge, jambo ambalo sio kweli, akadai Kawawa alikuwa makamu wa raisi mwaka 1988, nalo halikuwa kweli, kwamba Warioba alipewa u waziri mkuu wakati alikuwa hajulikani, nalo hili imedhihilisha kwamba haikuwa kweli, Kwamba Malima ndie alieanzisha namba za mitihani NECTA, halikadharika haikuwa kweli. Tumwiteje mtu asie sema kweli kama sio muongo!

Hiyo inaondoa ukweli kwamba nyinyi mna matatizo ya ziada kwa kushindwa kujibu hoja?
 
Hiyo inaondoa ukweli kwamba nyinyi mna matatizo ya ziada kwa kushindwa kujibu hoja?

Zali kweli wewe ni kiboko huyu jamaa ameamua kukujibu bila kukuita mpumbavu dah mimi kama kudharauliwa nimedharauliwa sana haya bwana mkubwa endelea kupambana sisi tunabaki kama watazamaji.
 
Wickama,
Nimekuelewa.

Lugha inashabihiana na utamaduni.
Kuna wakati nilikuwa natumia usafiri wa ofisi na jamaa ofisini.

Hawa jamaa wote wanatoka bara.

Tunapita Kariakoo.
Nawaona jamaa zangu.

Katika mila zetu aliyepanda chombo ndiye aula zaidi kutoa salamu.
Mimi nikifanya hivyo lakini kwa sauti ya juu kidogo.

Nasema, ''Abdallah Hashim Asalaam Aleikum.''

Hawa jamaa zangu wananiuliza (wamekereka kidogo) ''Why are you
shouting?''

Nami nawajibu, ''I am not shouting that is how we salute each other
short of that I would be considered snobbish.''

Hawaelewi.

Basi mie nikawa nawaambia, ''Nyie maadam mmekuja kuishi huku kwetu
lazima mjifunze na mila zetu.''

Walikuwa hawapendi wakichomwa sana na maneno yangu na katika wale
wengine ni wakubwa zangu katika kazi.

Juu ya hayo mie si mtu wa kujidhalilisha na walikuwa wakisema sana nawapa
hii nawaambia, ''Haya ni mafunzo katufunza Mtume SAW.''

Ilikuwa raha sana.
Hawa jamaa hawatanisahau.

Walikuwa wakati mwingine wakisema, ''Mohamed sisi hatujapatapo kukutana na
Mswahili wa aina yako.''

Sasa sijui ile ilikuwa ''compliment'' au nini.

Wickama,
Mimi nimekuelewa na mimi nakuomba unielewe.

Al Akhiy Mohd Saidi.

Nami umenikumbusha jambo hapo. Unajua wakti nikiwa wizara ya Fedha JMTz ilikuwa kuna vihoja sana. Kwani ilikuwa wakti naingia pale getini nilikuwa nikitoa salaam kwa nguvu kabisa kwa wale walinzi na hata madereva kwa kusimama kabisa na kisha kuelekea ofisini kwangu. Nikisalimia wafagiaji na matarishi watu wote pale walikuwa wakishangaa.

Nakumbua siku moja nilikuwa naenda kwenye msiba wa Dereva mmoja wa pale wizarani ambaye alifiwa na mkewe. Hakika ilikuwa kituko kwani waliokwenda walikuwa ni madereva na walinzi tu na walistahajabu kuniona mimi sinior officer kuhudhuria maziko yale nakumbuka tulizika Mzenga- kisarawe.

hakika kulikuwa na matabaka sana ya waliosoma na wasiosoma na kwa kuwa wasiosoma wengi walikuwa ni waislam (yaani madereva, wafagiaji na matarishi) na wasomi wengi ni wenzetu basi ilikuwa ni aibu kubwa sana kumuona msomi wa kiislam anaungana na wenzake katika kutimiza Ibada zake za kila siku kama Swala 5 au hata ijumaa.

Kama mtapata kumbukumbu aulizwe Mzee Mtei nakumbuka niliwahi kutoka kwenye kikao cha chajke akiwa anaongea na wakuu wa Idara kisa nilikwenda kupata adhuhur na wakti wetu tulikuwa tunaswali msikiti ngazija (karibu na hindu mandal) natoka kule wizara ya fedha.

Kwangu mimi naona ilikuwa si neno kwanza waliniona mwarabu na pia nilikuwa natokea Znz. sasa ingekuwa kama natokea Bara ndio yale yaliokuwa yanasemwa kwa Mh Prof Kigoma Malima au Marhum swahib lmaahariifa Said Mdidi.

Kweli tumetoka mbaali mpaka kufikia leo Al Akhi Mohd Said umefanya kazi za ziada kuuelewesha umma.

Kwani mimi sioni ajabu hata kwa Rais Kikwete kuhudhuria maziko mbalimbali ya watu wa chini , kati na hata juu kidunia. Kwani ndio Sirka na tarbia za kiislam kama alivyoweza kufanya hivyo Rais Mwinyi na hizo tarbia hakuwa nazo Mkapa na Nyerere.

Poelni sana.

Mwalimu ni mpana na mzito kumuelezea kuliko unavyofikiri. Angalia mifano hii michache:
-Akatuunganisha na Zanzibar ya WAISLAMU watupu( 99.9%)!
-Akafanyakazi kwa karibu na Waislam wengi tu kuanzia wapishi, wahudumu, madereva, viongozi ndani ya TANU/CCM, serikalini.
-Misikiti ilijengwa mingi tu enzi zake kuliko wakati mwingine wowote.
-Idadi ya Watanzania Waislam imeongezeka sana tangu mwaka 1954.
-Akajenga mahusiano mazuri tu na nchi za Kiislamu na Viongozi wa Waislam duniani akina Agha Khan.

Kwenye familia yake Mwalimu kijana wake mmoja kaoa binti wa Kiislam. Itoshe tu kusema kwamba kila mtu anayo haki ya kumjadili Mwalimu hivyo anavyoona inafaa. Kwa misukumo na agenda mbalimbali.

Unajibu hoja gani kati ya ambazo nimeshaziweka mpaka sasa hivi? Quote hoja yangu yoyote kati ya ambazo nimeshaziweka kwenye mnakasha huu halafu uijibu ili tuone kama majibu yako yanajibu hoja niliyoitoa au la.
 
Mohamed,

Umeulizwa wew kama ulishawahi kubaguliwa kwasababu ya uasili wako wa bara, lakini unajibu kwakujiunganisha na udini,

Kulikoni mzee wangu? Kwanin usisimame kama swali lilivyo?
 
WAnaotaka kuzungumzia uhalali wa Mapinduzi ya Zanzibar walete hoja tuzungumze -anzisheni thread yenu tuwashushie hoja. Haijalishi nani aliongoza yale mapinduzi, yalikuwa halali na ya lazima na ambayo yasingeweza kuepukika. Kwa hapa tunajadili na tumeshaonesha vya kutosha tu kuwa Mohammed Said ni mchonganishi katika jamii ya Watanzania. Mnaotaka kuzungumza juu ya failures za Nyerere (ambazo mnaziona) zipo threads kadhaa hapa kachangieni maana tulishavunja hoja zenu zamani.

Kinachojadiliwa hapa na ambacho kimeweza kuonesha pasipo utata ni kuwa

a. Mohammed Said hajaandka historia; ametumia matukio ya historia kuelezea hisia zake dhidi ya Kanisa, Wakristu na hasa hasa dhidi ya Nyerere

b. Mohammed Said ameingiza dini katika harakati za kupigania Uhuru huku akitukuza na kuinua mchango wa wazee wetu Waislamu dhidi ya mchango wa Watanzania wengine wote.

c. Madai mengi ya Mohammed Said yanatokana na masimulizi amnbayo hayawezi kuthibitishwa; madai hayo hayawezi kusimamia uchunguzi wa kihistoria (historical scrutiny). Ni madai yanayotokana na hisia za mtoto aliyeumizwa baada ya kusimuliwa na wazee wake kuwa wazazi wake walionewa na Nyerere na yeye kaamini kabisa...

d. Maandishi mengi yamejaa hisia za kuchochea chuki baina ya Wakristu na Waislamu huku akijitahidi kuwaaminisha Waislamu kwua wameonewa na kudhulumiwa na ndugu zao Wakristu. Leo wapo vijana na labda wazee (na wengine tunawaona hapa) ambao wanaamini WAislamu wamedhulumiwa na hivyo wanadai "haki" yao.

Hapa ndipo mgogoro ulipo.

Mwanakijiji.

sasa naona hapa umefikia hitimisho kwa kufikia maamuzi.

Sasa inakuwaje mchezaji uwe ni wewe na refa unakuwa wewe mwenyewe tena?

Wengi tunataraji ulete uthibitisho wako na dalili za kupingana nae na wala sio mstari mmoja wa kukataa bila dalili.

Nakubaliana na maneno haya na Maalim Mohamed Said.
"Sheikh wangu kaniusia anasema,"Ingia katika mnakasha usome
au usomeshe. Usiingie kutafuta ubishi kwani ilm ya ubishi haina
baraka."

"

Pole sana.
 
Zali; Hapa tayari nacheka. Haki ya Mungu, weweewewewe, Punguza moto. Fungua thread yake tutakaa tutazungumza. Punguza ukali ustadh. Tuko pamoja.

Kwenye post yangu #13116 niliweka ushahidi huu ambao unadhihirisha kwamba Nyerere hakuishia Africa Mashariki tu bali aliunganisha Mfumo Katoliki mpaka Vatican. Haya ndiyo niliyoyazungumza ambayo mpaka sasa mnayakimbia kama kituo cha polisi kuyajibu:

Ni kweli wazee wa wakati ule hawakuwa wadini lakini Nyerere alikuwa mdini aliyekubuhu.

Ushahidi uliowekwa na muanzisha thread hii kwamba Askofu Maranta alikwenda kwa Sheikh Issa ili aone jinsi Kanisa linavyoweza kuingia rasmi kwenye kinyang'anyiro cha kudai uhuru hapo mwaka 1948 na kushauriwa ajiunge kwenye vyama vilivyopo ni dhahiri kwamba Sheikh Issa alikuwa analikalibisha Kanisa kwenye African Association ambapo Masheikhs walishajitambulisha na hicho chama tangu kinaanzishwa mwaka 1929. Na inaonekana hapa kwamba mipango ya Kanisa Katoliki kuanza mikakati ya kumpandikiza Nyerere kwenye TAA ilianza kusukwa hapa kwani Kanisa halikuwa na sababu yeyote ya msingi ya kutaka kuonana na Masheikhs kujadiliana nao jinsi gani Kanisa litaingia kwenye harakati za kudai uhuru wakati Kanisa lilishafanya uamuzi kwamba hawawezi kujiunga na vyama ambavyo havina wasomi. Haiingii akili kwenda kumuona mtu ambaye tayari umeshamuhukumu kwamba hafai!!!!

Nyeree alificha makucha yake ya udini uliokubuhu wakati wa zoezi zima la yeye kuingia kwenye kwenye Siasa kupitia TAA. Makucha yake alianza kuyaanika mara baada ya kufanikiwa kujipenyeza ndani ya TAA na hatimaye kupata Urais wa nchi. Ndipo hapo Nyerere aligeuka kuwa zaidi ya Mdini. Alikuwa Mmadhehebu wa hatari sana. Alianza kuweka mikakati ya kuwapendelea Wakatoliki dhidi ya dini zingine na madhehebu mengine ya Wakristo. Akaanza mikakati ya kuuuwa Uislam.

Kitabu cha Jan P. Van Bergen kilimnukuu Nyerere akisema maslahi ya kanisa lake (Roman) yanakuja kwanza na hatokwenda kinyume na kanisa lake.

Alipokufa Pope Yohana wa 23 bendera ya taifa ilipepea nusu mlingoti nchi nzima!
Kabla ya kifo chake Pope Yohana wa 23 alimletea Mheshimiwa Nyerere barua ya pongezi kwa kuupanua Ukristo- barua ambayo ilitiwa saini na Pope mwenyewe. Barua hiyo imetangazwa kwenye gazeti la Tanganyika Standard.

Gazeti la Reporter la Kenya la tarehe 20/6/1963 lilitangaza katika ukurasa wake wa mbele:
"KUIBADILI AFRIKA YA MASHARIKI KUWA KATIKA DINI YA ROMANI CATHOLIC".
Ndani ya gazeti hilo ukurasa wa 18 liliwataja waliopewa dhamana ya kufanikisha jambo hilo kuwa ni: Uganda - Kiwanuka, Kenya - Mboya na Tanganyika Mheshimiwa Nyerere.

Mwaka 1970 Nyerere aliwaalika Ikulu aliyekuwa Katibu Mkuu wa Tanzania Episcopal Conference Fr. Robert Rweyemamu na muwakilishi wa Papa Tanzania Mgr. Giovano Cerrano na Nyerere aliwaambia wageni wake alikuwa anafanya kila liwezekanalo katika mamlaka yake kuuimarisha Ukatoliki Tanzania. Aliwaomba pia waende kuwafahamisha ma bishops kwamba ameanzisha idara ya elimu ya siasa kwenye TANU na kwamba amemteua Mkristo Reverend kuwa mkuu wa idara hiyo sio kwa sababu ya uwezo wake katika siasa bali kwa sababu ya imani yake thabiti kwenye Ukristo. Jukumu lake ni kuongoza na kudhibiti muelekeo wa kisiasa wa chama. Aliwafahamisha vilevile kwamba katika Kamati Kuu ya Chama (NEC) wajumbe wawili ni Reverends. Alisema anaamini hiyo ndio njia nzuri ya kuhakikisha kwamba chama kinapata "watu" wazuri!!!!!! (van Bergen, 1981:333-336).

Si ajabu kutokana na agano lake hilo hapo juu kwamba Sivalon (1992:49) anaripoti kwamba katika mwaka huo huo aliotoa ahadi Wakatoliki walikuwa asilimia 70 ya asilimia 75 ya Wakristo wote waliochaguliwa kuwa wabunge. Kati ya wabunge 108 waliochaguliwa 5 walikuwa wanaamini kwenye dini zetu za asili, 23 walikuwa wanaamini kwenye Uislam, 24 walikuwa wanaamini katika madhehebu mengine ya Kikristo yasiyokuwa Katoliki na 56 walikuwa wanaamini katika Ukatoliki. Hivyo utaona Wakatoliki walikuwa zaidi ya nusu ya wabunge wote!!!!!!!!

Nyerere ndio mtu aliyetumika na Kanisa katika mikakati yao ya kuumaliza Uislam (Crusade). Hii inadhihirishwa na mpango wake wa kufanya mapinduzi Zanzibar kwa kumtumia mtu katili na mdini mwenzake Okello ili kuusambaratisha Uislamu ambapo zaidi ya watu 20,000 waliuawa kikatili na watu wasiopungua 200 walichomwa moto kwenye tanuri wakiwa hai!!!!!

Sasa unahitaji ushahidi gani zaidi?

Hakuna haja ya kufungua thread nyingine. Fuatilia ID yangu utakuta kila thread niliyoifungua JF wameifungia isijadiliwe. Mnataka nifungue nyingine ili nayo muifungie? Tutabanana hapa hapa mpaka kieleweke.
 
Mohamed,

Umeulizwa wew kama ulishawahi kubaguliwa kwasababu ya uasili wako wa bara, lakini unajibu kwakujiunganisha na udini,

Kulikoni mzee wangu? Kwanin usisimame kama swali lilivyo?

Wewe unahitaji ushahidi gani wa yeye au mtu mwingine yeyote ambaye sio Mkatoliki kubaguliwa na Nyerere zaidi ya huu hapa:

Mwaka 1970 Nyerere aliwaalika Ikulu aliyekuwa Katibu Mkuu wa Tanzania Episcopal Conference Fr. Robert Rweyemamu na muwakilishi wa Papa Tanzania Mgr. Giovano Cerrano na Nyerere aliwaambia wageni wake alikuwa anafanya kila liwezekanalo katika mamlaka yake kuuimarisha Ukatoliki Tanzania. Aliwaomba pia waende kuwafahamisha ma bishops kwamba ameanzisha idara ya elimu ya siasa kwenye TANU na kwamba amemteua Mkristo Reverend kuwa mkuu wa idara hiyo sio kwa sababu ya uwezo wake katika siasa bali kwa sababu ya imani yake thabiti kwenye Ukristo. Jukumu lake ni kuongoza na kudhibiti muelekeo wa kisiasa wa chama. Aliwafahamisha vilevile kwamba katika Kamati Kuu ya Chama (NEC) wajumbe wawili ni Reverends. Alisema anaamini hiyo ndio njia nzuri ya kuhakikisha kwamba chama kinapata "watu" wazuri!!!!!! (van Bergen, 1981:333-336).
 
Al Akhiy Mohd Saidi.

Nami umenikumbusha jambo hapo. Unajua wakti nikiwa wizara ya Fedha JMTz ilikuwa kuna vihoja sana. Kwani ilikuwa wakti naingia pale getini nilikuwa nikitoa salaam kwa nguvu kabisa kwa wale walinzi na hata madereva kwa kusimama kabisa na kisha kuelekea ofisini kwangu. Nikisalimia wafagiaji na matarishi watu wote pale walikuwa wakishangaa.

Nakumbua siku moja nilikuwa naenda kwenye msiba wa Dereva mmoja wa pale wizarani ambaye alifiwa na mkewe. Hakika ilikuwa kituko kwani waliokwenda walikuwa ni madereva na walinzi tu na walistahajabu kuniona mimi sinior officer kuhudhuria maziko yale nakumbuka tulizika Mzenga- kisarawe.

hakika kulikuwa na matabaka sana ya waliosoma na wasiosoma na kwa kuwa wasiosoma wengi walikuwa ni waislam (yaani madereva, wafagiaji na matarishi) na wasomi wengi ni wenzetu basi ilikuwa ni aibu kubwa sana kumuona msomi wa kiislam anaungana na wenzake katika kutimiza Ibada zake za kila siku kama Swala 5 au hata ijumaa.

Kama mtapata kumbukumbu aulizwe Mzee Mtei nakumbuka niliwahi kutoka kwenye kikao cha chajke akiwa anaongea na wakuu wa Idara kisa nilikwenda kupata adhuhur na wakti wetu tulikuwa tunaswali msikiti ngazija (karibu na hindu mandal) natoka kule wizara ya fedha.

Kwangu mimi naona ilikuwa si neno kwanza waliniona mwarabu na pia nilikuwa natokea Znz. sasa ingekuwa kama natokea Bara ndio yale yaliokuwa yanasemwa kwa Mh Prof Kigoma Malima au Marhum swahib lmaahariifa Said Mdidi.

Kweli tumetoka mbaali mpaka kufikia leo Al Akhi Mohd Said umefanya kazi za ziada kuuelewesha umma.

Kwani mimi sioni ajabu hata kwa Rais Kikwete kuhudhuria maziko mbalimbali ya watu wa chini , kati na hata juu kidunia. Kwani ndio Sirka na tarbia za kiislam kama alivyoweza kufanya hivyo Rais Mwinyi na hizo tarbia hakuwa nazo Mkapa na Nyerere.

Poelni sana.

Barubaru,

Hawa ndugu zetu uwa wanatudharau sana kuna siku nimekwenda ubalozi wa Uingereza kuchukuwa Viza nikakutana na jamaa yangu mkiristo ananiuliza watakupa kweli Viza wakati umevaa kanzu, mie nikacheka sana.

Yeye alikuwa dirisha la pili Ubalozi wa Holland cha kuchekesha yeye akanyimwa Viza makaratasi yake ayajakamilika.

Baadae napewa Viza yangu ninamuanga ananiambia wamekupa nikamwambia mie nimeanza kusafiri wakati wewe bado upo kijijini kwenu.
 
Last edited by a moderator:
Zali kweli wewe ni kiboko huyu jamaa ameamua kukujibu bila kukuita mpumbavu dah mimi kama kudharauliwa nimedharauliwa sana haya bwana mkubwa endelea kupambana sisi tunabaki kama watazamaji.
Sasa Boko haram unadai heshima ambayo hustahili! ukiandika mambo ya kijinga unatakawatu wakuite mwerevu?
 
mbona haoja zenyewe hatuzioni? Hivi manung'uniko na majungu ndio huitwa hoja?onesha hoja ambazo hazijajibiwa ni zipi hizo?

Gwalihenzi.

Mimi nafikiri ingekuwa busara kwako kutuonyesha hoja zilizojibiwa ili tukusaidie zile zisizojibiwa.

Pole sana.
 
Gwalihenzi.

Mimi nafikiri ingekuwa busara kwako kutuonyesha hoja zilizojibiwa ili tukusaidie zile zisizojibiwa.

Pole sana.
Barubaru, unanipa pole ya nini? mpe pole nduguyo Zali la mentali anayesema Nyerere ni CHIZI na kuiita hiyo ni hoja inayostahili kujibiwa!
 
Zali la Mentali,

Unamkumbuka Mtanganyika/Mtanzania yeyote aliyewahi kuwa Rais/Mwenyekiti wa TANU taifa hili mbali na Mwalimu?

WC,
TANU haikuwa na Rais bali ilikuwa na mwenyekiti.

Kipindi cha utawala wa Nyerere NENO RAIS halikuruhusiwa kutumiwa na mtu au taasisi yoyote zaidi yake yeye Tu. sio kama siku hizi kuna rais wa TFF, rais wa chama cha Basket ball,rais wa TEC etc.

Mwenyekiti wa TANU toka ilipoanzishwa mpaka kuvunjwa kwake alikuwa ni JK Nyerere.
Hiyo swifa yake na nyingine nyingi hata Huko Harare mtaa mkubwa kabisa kati kati ya mji wa harare (kama ilivyo Tz mtaa wa Samora Avenue) Unaitwa Julius Nyerere Avenue.

Tumswifu kwa swifa zake na tusitie ziada kwa kumpachika swifa ambazo hakuwa nazo na wala hakustahikhi kupewa.

Pole sana

Uchaguzi wa KWANZA wa viongozi wa TANU ulimchagua Mwalimu kuwa Rais wake wa KWANZA. Huu Uenyekiti ulikuja baadae sana. Uchaguzi huu ndio uliomwondoa Abdu Sykes kwenye "active politics" za TANU na kukiondoa chama rasmi mikononi mwa wazee wa Mohamed. Historia ni katili hivo wakati mwingine.
 
Back
Top Bottom