Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Roman Catholics wangapi na wengineo wangapi kati ya wakiristo?
Sijui kama umeshajibiwa kwani huu mnakasha nimedandia tena katikati. Roman Catholic hapo ni wawili. Mwalimu na Kahama.
 
Nimepigiwa simu zaidi ya mara kumi familia ya Mzee Lawi Nangwanda Sijaona wanalalamika kuwa wamesoma JF kuwa mzee wao alikuwa Muslim wanakanusha wanasema hajawahi kuwa Muislam.

Mag3,

Waombe msamaha ndiyo uungwana.
Hivi Al Akhiy Ritz, una tatizo gani au kuna kaugonjwa kanatembea miongoni mwa ma Al Akhiy? Vipi kuhusu mwalimu wako anayedai waliofanikisha mapinduzi 1964 na kuunda Baraza la Mapinduzi walikuwa wasaliti wa Wazanzibar na Uislaam. Je anataka tuelewe kwamba mapinduzi yalikuwa haramu? Kwamba serikali ya Mapinduzi Zanzibar ni dhalimu? Kwamba hii nembo hapa chini si lolote, si chochote?

Ni Mohamed Said huyo huyo amewahi kudai humu ndani kwamba ni Waislaam ndio waliomtuma Sheikh Ilunga kuzunguka huku bara akipandikiza chuki na kuchochea mauaji ya viongozi wa dini zingine, je hii ya kuwatukana Wazanzibari walioukataa ukoloni wa Kiarabu, yeye katumwa na nani? Halafu wanatokea watu eti wanahoji tuhuma za uchochezi na dhihaka dhidi yake, tunazitoa wapi!

Al Akhiy Ritz nitakupa ushauri kidogo...kama unapokea simu unavyodai ingawa sina hakika wewe unapigiwa simu kama nani, waambie mmojawapo katika wanaokupigia simu ajiunge na JF kama verified user, majibu murua atayapata bila wasi wasi wowote.
 
Sheikh wangu kumbe wewe ni mtu mkubwa sana sheikh, tokea ubalozi wa uingereza wa kupe ile visa na yule jamaa mwingine kukosa hapo kweli al khiy nimekukubali...
MNYWA ghahawa kapewa visa.basi imekuwa kama milestone,every breathing soul atasimuliwa-kweli nimeamini our beloved country has a long walk to development-maana if trivial matters vinakuwa some sort of achievement then GOD help us
 
simu akupigie nani? mbona unapenda kuji elevate- ONCE u r nobody u always remain so
inamaana alipigiwa simu mara ya kwanza akatulia, mara ya pili akatulia tu mpaka zinafika kumi jamaa ametulia tu halafu zote zilikuwa zikimwelekeza amwambie mag3 aombe msamahama... alipoona zimezidi kumi ikabidi aje jf kutoa tamko kama alivyoagizwa...

duh! huyu jamaa ana kahawa nyingi...
 
....keh keh keh,kwi kwi kwi, teh teh jamani mbavu zangu! jamaaaaani mbavu sina!!

Mkuu wa chuo unaruhusu tuje na mikoba chuoni kwako! teh teh teh
 
MNYWA ghahawa kapewa visa.basi imekuwa kama milestone,every breathing soul atasimuliwa-kweli nimeamini our beloved country has a long walk to development-maana if trivial matters vinakuwa some sort of achievement then GOD help us
jamaa yaani huwa anatambia hiyo hiyo yote sababu jamaa ana inferiority complex nadhani ndio inamsumbua...
 
....keh keh keh,kwi kwi kwi, teh teh jamani mbavu zangu! jamaaaaani mbavu sina!!

Mkuu wa chuo unaruhusu tuje na mikoba chuoni kwako! teh teh teh
ha ha haaa, mkuu Nguruvi3 chuo changu kinaruhusu mikoba ya aina yote hata kama ya balozi alihutubia bunge inaruhusiwa pia

ila huku watu hawamezi ngano nzima nzima bila kuhoji lazima wahoji...
 
Last edited by a moderator:
ha ha haaa, mkuu Nguruvi3 chuo changu kinaruhusu mikoba ya aina yote hata kama ya balozi alihutubia bunge inaruhusiwa pia

ila huku watu hawamezi ngano nzima nzima bila kuhoji lazima wahoji...
chuoni kwako itabidi wanafunzi wafunzwe habari za saidi chamwenyewe,huyu alikuwa anaendesha baiskeli toka dar through lion infested forests mpaka rufiji yote kwa ajili ya TANU,lakini historia imemtupa kapuni
 
dah! sipati picha hicho kitabu kitakuwaje huo ukubwa utakuwaje tukiwaweka wote pamoja na kina shariff Attas kila walichokifanya duh!
 
dah! sipati picha hicho kitabu kitakuwaje huo ukubwa utakuwaje tukiwaweka wote pamoja na kina shariff Attas kila walichokifanya duh!
itabidi ziwe VOLUMES,maana kitabu pekee is too small kuwatosha wazee wa narungombe,kipata,new street,gerezani and what have you
 
itabidi ziwe VOLUMES,maana kitabu pekee is too small kuwatosha wazee wa narungombe,kipata,new street,gerezani and what have you
hapo upo sahihi maana kwa kitabu kitakuwa kikubwa sana lakini kwa volumes nadhani wote wanaweza wakaingia mpaka yule kinyozi aliyekuwa anawanyoa wapigania uhuru na wazee wa Kariakoo aliyekuwa mcheshi akijulikana maarufu kwa jina la MUINGEREZA nadhani ataingia...
 
PainKiller; nashauri uwe na subira. Pana desturi isiyo rasmi ya kuwatisha wanaoingia kuchangaia hoja zao ili walazimike kuchague DINI gani wasimame kui-defend. Hapa tunajadili political issues za uchochezi. Sio dini. Unavyoswali na unakoswalia ni juu yako na aliyekuumba.

Kwa sasa hivi kuna kama kiji-break kwa vile maswali hususan ya ASP na Mapinduzi ya zenj yamekimbiwa. Sasa mwanajamvi mmoja kaamua kubandika kitabu humu kisomwe, kwa hiyo kuna kama break usishangae watu wana-boa boa na virungu vya hapa na pale lakini tutarudi tena.

Maswali yanayofuata ni mengi lakini ni pamoja tutataka watuambie nani alikuwa in-charge wa majeshi yaliyopindua serikali ya zenj wakati huo (ni mzenj au Mtanganyika)na discipline ya askari ilikuwa dhamana ya nani?

Phase two inakuja usikae mbali na wala usiogope. Hapa kila mtu kajaza username na anamiliki password yake. Hakuna mahali umejaza dini ili kupata access ya hii forum, kwa hiyo kuwa brave. Kuna ubabe wa form 1 and form 2 humu lakini ukigangamala yanapita mara moja.

Hopefully nimekusaidia.
 
Mohamed Said, huko siku za nyuma katika mnakasha huuhuu uliwahi kuulizwa kama wakati wa kuandika kitabu chako hiki uliwahi kuzisoma katiba za TAA na TANU, ulikataa kwamba hukuona umhimu wa kupitia katiba hizo. Kwa maneno mengine wewe hujui kilichoandikwa kwenye hizo katiba. Sasa leo unakuja kutudanganya hapa kwamba unajua kuwa katiba ya TANU haikuandikwa na Nyerere bali ilinakiliwa kutoka CPP ya Nkurumah!
 
Mbona umepanic ghafla hakuna haja ya maneno mengi wanauliza tu kama unasema Mzee Lawi Nangwanda Sijaona alikuwa Muislam wanaomba uwatajie alikuwa anasali Msikiti gani hili jambo limeishaleta mgogoro mkubwa kwenye familia ya Lawi Nangwanda Sijaona.
 
Wanajamvi,
Katika kusherehekea miaka 50 ya uhuru gazeti la Mwanachi waliniomba niwaandikie
makala kueleza hali ilikuwaje wakati wa ukoloni wananchi walipokuwa wanapigania
uhuru wa Tanganyika.

Makala ilikuwa ndefu na yalichapwa kwa mwezi mzima wa December.

Kinyozi Muingereza alikuwa mtu maarufu Gerezani na mimi nikiwa mdogo ndiyo alikuwa
kinyozi wangu pamoja na watoto wengi.

Lakini inaelekea vitu kama hivi vinawakera baadhi ya watu na ndiyo kisa cha vijembe.
Namweka hapa Muingereza kinyozi wangu wanajamvi mumfahamu.

Hakika ule ulikuwa wakati wake na namshukuru Allah kuwa nilikuwapo wakati yale
yakitendeka:

Ukitoka nyumba ya Bi Mluguru sasa kabla hujakatiza Sikukuu Street mkono wa kulia kulikuwa na kinyozi aliyekuwa maarufu akiwanyoa watu wote wa Gerezani na kwengineko akijulikana kwa jina moja tu la Muingereza.

Muingereza alikuwa akinyoa chini ya mti na umuhimu wa mahali pale ilikuwa ni barza wakikutana watu kwa mazungumzo hasa nyakati za alasiri.

Hapa katika miaka ya 1950 mazungumzo yalikuwa siasa tu.

Leo Gavana Twining kasema hili, leo Nyerere kajibu vile, Bi Titi kawashambulia wakoloni, Mtemvu kafanya hiki na habari zote zilikuwa zikifika pale na kuwekwa uwanjani kwa mjadala.

Wakati gumzo likiendelea sauti ya mkasi wa Muingereza ulikuwa ikisikika ikila nywele katika kichwa kat, kat, kat...na yeye mwenyewe Muingereza alikuwa mtu wa vichekesho sana hakuwa nyuma katika kutupa neno hapa na pale kama vile, "Sikiiza bwana huyu Twining, Nyerere keshamtafutia mbeleko yake, atabebwa tu hana ujanja."

Hapo pembeni anaweza kuwa amekaa Abdulwahid, Dossa na jamaa wengine tena wamekalia gogo (maana kwa Mwingereza kulikuwa hakuna viti) lakini wote wakiunganishwa na mapenzi yao kwa TANU.

Baadae ilipokuja Congress kama chama cha upinzani wanachama wa Congress hawakukosa pale na barza sasa ikiwa imestawi hasa. Mijadala kati ya TANU na Congress kwa kawaida ilikuwa mikali hata kushinda ya Sunderland na Yanga.
 
MNYWA ghahawa kapewa visa.basi imekuwa kama milestone,every breathing soul atasimuliwa-kweli nimeamini our beloved country has a long walk to development-maana if trivial matters vinakuwa some sort of achievement then GOD help us

Kweli mimi mnywa kahawa tena mtoto wa kiswahili mwenye akili za Madrssa, mimi nimeanza kusafiri wewe bado upo kijijini kwenu ha haa haa unaona Status yangu JF ni Gold member vile vile ni Gold member Emirates Airlines wasafiri wenzangu wananielewa.

Sasa kauzu kama wewe utabaki unatoa maneno matupu sisi watoto wa kiswahili watu wa madrassa kwenda Ulaya, Marekani wala siyo issue.

gombesugu, Ami, Kadogoo,
 
Last edited by a moderator:
dah! sipati picha hicho kitabu kitakuwaje huo ukubwa utakuwaje tukiwaweka wote pamoja na kina shariff Attas kila walichokifanya duh!

Mkuu wa Chuo,
Nimeandika kitabu cha Abdu Sykes na pitia faharasha yake utawakuta
hao wazee wamo.

Hakiwekwi ''kila walichokifanya'' bali kinawekwa kile ambacho kina maana
katika historia ya kudai uhuru.

Shariff Abdallah Attas umuhimu wake unakuja kwa kuwa baada ya Abdu
kufariki mwaka 1968 mtu ambae alikuwa anaujua kwa undani uhusiano
kati ya Abdu Sykes na Nyerere katika kuunda TANU alikuwa yeye.

Pamoja na hayo alijua mengi sana katika siasa za 1950.
 
jamaa yaani huwa anatambia hiyo hiyo yote sababu jamaa ana inferiority complex nadhani ndio inamsumbua...

Mimi kujibishana na wewe najidhalilisha wewe humu huna unalolijua zaidi ya vitu viwili Chadema na Kanisa.

Wewe umeletwa JF kama mateka wa Dr Slaa pamoja na Kanisa basi, masikini ya Mungu nyie vijana mnatumika vibaya sana Chadema wakishawapa viroba vya Valeur mnapoteza kabisa uwezo wenu mpaka mnatia huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…