haya bwana emirates gold member wasafiri wote wakikujua uliyekuwa rafiki wa Masubo...
usidhani we kupenda baikoko basi wote ni wapenzi wa baikoko, wengine huko kwenye baikoko hata hatupo si wapenzi wa baikoko...
Ahsante sana na nimekuelewa. Niko hapa kujifunza na kuujua ukweli. Sipo hapa kwa hisia na akili za kidini dini.PainKiller; nashauri uwe na subira. Pana desturi isiyo rasmi ya kuwatisha wanaoingia kuchangaia hoja zao ili walazimike kuchague DINI gani wasimame kui-defend. Hapa tunajadili political issues za uchochezi. Sio dini. Unavyoswali na unakoswalia ni juu yako na aliyekuumba.
Kwa sasa hivi kuna kama kiji-break kwa vile maswali hususan ya ASP na Mapinduzi ya zenj yamekimbiwa. Sasa mwanajamvi mmoja kaamua kubandika kitabu humu kisomwe, kwa hiyo kuna kama break usishangae watu wana-boa boa na virungu vya hapa na pale lakini tutarudi tena.
Maswali yanayofuata ni mengi lakini ni pamoja tutataka watuambie nani alikuwa in-charge wa majeshi yaliyopindua serikali ya zenj wakati huo (ni mzenj au Mtanganyika)na discipline ya askari ilikuwa dhamana ya nani?
Phase two inakuja usikae mbali na wala usiogope. Hapa kila mtu kajaza username na anamiliki password yake. Hakuna mahali umejaza dini ili kupata access ya hii forum, kwa hiyo kuwa brave. Kuna ubabe wa form 1 and form 2 humu lakini ukigangamala yanapita mara moja.
Hopefully nimekusaidia.
naongelea ccm ya sasa sio ya kipindi kile kwasababu hata Dr alikuwa kule...Mbona unamtukana Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ambaye alianzisha CCM, kuwa ni Zezeta. Kwa hiyo unamuheshimu Dr Slaa peke yake pamoja na Chadema.
CC: gombesugu,
Waleykhum Salaam Al akhiy gombesugu
Usijali ndugu yangu,tunajaribu hivyo hivyo kubalance muda wa kujitafutia rizk na muda wa kukaa hapa kupata ilm,
Mwenyezimungu huwa kawaida yake ya kuiondosha elimu ni kuwachukuwa wale wenye ujuzi kwenye mgongo wa ardhi hii,
Sasa sisi tusipojipinda kuinyonya elimu hii kwa wenye nazo kama Moh Said hali ya kuwa bado tuko nao,siku Allah s.w akiwachukua tutakosa wa kumlaum zaid ya kuzilaum nafsi zetu,
Ndio kwa maana tunakesha hapa kumfuatilia hatua kwa hatua,hatutoki labda atoke yeye...
Masalaam...
Hivi Al Akhiy Ritz, una tatizo gani au kuna kaugonjwa kanatembea miongoni mwa ma Al Akhiy? Vipi kuhusu mwalimu wako anayedai waliofanikisha mapinduzi 1964 na kuunda Baraza la Mapinduzi walikuwa wasaliti wa Wazanzibar na Uislaam. Je anataka tuelewe kwamba mapinduzi yalikuwa haramu? Kwamba serikali ya Mapinduzi Zanzibar ni dhalimu? Kwamba hii nembo hapa chini si lolote, si chochote?
Ni Mohamed Said huyo huyo amewahi kudai humu ndani kwamba ni Waislaam ndio waliomtuma Sheikh Ilunga kuzunguka huku bara akipandikiza chuki na kuchochea mauaji ya viongozi wa dini zingine, je hii ya kuwatukana Wazanzibari walioukataa ukoloni wa Kiarabu, yeye katumwa na nani? Halafu wanatokea watu eti wanahoji tuhuma za uchochezi na dhihaka dhidi yake, tunazitoa wapi!
Al Akhiy Ritz nitakupa ushauri kidogo...kama unapokea simu unavyodai ingawa sina hakika wewe unapigiwa simu kama nani, waambie mmojawapo katika wanaokupigia simu ajiunge na JF kama verified user, majibu murua atayapata bila wasi wasi wowote.
mi sipo huko,hayo ni mambo yako sheikh wangu... mi na cheni wapi na wapi.Wapi nimekuambia napenda baikoko? Nimekuweka kwenye list ya baikoko nimeishakununulia na cheni upo hapo.
mi sipo huko,hayo ni mambo yako sheikh wangu... mi na cheni wapi na wapi.
Swali moja tu kwako gombesugu, kwa nini umempa like THE BIG SHOW? Kwa hiyo unakubaliana naye! I thought for one moment that you were better than this; If you preachee preachee, if you prayee prayee but not preachee prayee! Ha, ha, ha, haaa...mbavu zangu!
Najua hauwezi kukubali haya mambo huwa yanakwenda kwa siri, mbona wapenda kuvaa kikuu, ha haa ha walahi wanikosha mkuu wa chuo napenda chuo chako kisafi sana.
Cc.. gombesugu,
Mapovu ya nini mkuu? jaribu kukubali kukosolewa. kwani sio kweli kwamba "std English" huwa wanasema "If i were..." badala ya "If i was..." kama ulivyo andika wewe?
Sweet melody!Gwalihenzi,
Sometimes taking "no shit" involves bringing harm to another.
You are free to sing and dance as long as you entertain. I'm not trying to attack you,so please don't take it that way!
Ahsanta sana.
Shariff Ritz,
Don't bother others if they judge you,because they don't know who you are.
Dogs bark if they don't know the person!
Ahsanta.
Nimekuja, natoka Ulaya, tena masomoni. Muda mfupi tu jamaa hawa wakaniamini haraka sana katika muda wa miezi mitatu. Wakanichagua Rais wa TAA. Hapo ndipo nilianza shughuli mpya ya kuandika katiba ya TAA na kuipa madhumuni hasa ya shabaha ya kuleta uhuru
Nguruvi3 said:1. Nani aliandaa mapinduzi na nani alimuomba mwenzake msaada ni TANU au ASP
2. Je, mapinduzi ni halali au ni haram?
3. Viongozi waliofanya kazi na Nyerere kutoka zanzibar ni wasalaiti wa Uislam na vibaraka au ni wana mapinduzi?
4. Je, wazanzibar wanasherehekea mapinduzi kwa akili au ni uzumbukuku hasa tukijua yalilenga kuua Uislam kwa kupitia Nyerere?"
Duh zomba Roman Catholic ni wakristo wala sijawahi kusikia wakristo wa madhehebu mengine wakiwalalamikia waCatholic wenzao.
Facts zako zina walakin, rudia tena labda utakuja na jibu jipya.
Nimekuja, natoka Ulaya, tena masomoni. Muda mfupi tu jamaa hawa wakaniamini haraka sana – katika muda wa miezi mitatu. Wakanichagua Rais wa TAA. Hapo ndipo nilianza shughuli mpya ya kuandika katiba ya TAA na kuipa madhumuni hasa ya shabaha ya kuleta uhuru [/QUOTE]Mohamed Saida,
Historia ya AA,TAA na TANU huijui,
Wewe unajua vikundi vya walevi wa kariakoo tu ambao walijivika kilemba cha TAA
Sio kweli kuwa Mwalimu hakuandika katiba ya TAA-TANU na badala yake alinakili katiba ya chama cha ukombozi cha Ghana cha CPP,
Mimi hilo la kunakili ama kutonakili halina neno kwangu,
Hoja nikuwa Mwalimu Nyerere alipojiunga na TAA alikuta ni kikundi cha wanywa ghahawa na wacheza bao wasiokuwa na hata KATIBA tu,
Kilikuwa ni kikundi cha Walevi/wapenda starehe tu,
Mwalimu kalisema wazi katika hotuba yake ya muago hapa Dar kuwa alipojiunga alianza kukifufua chama na kuandika KATIBA na kukipa malengo/Ideology/Filosofia ya kudai UHURU,
Nitaomba ninukuu maneno yake hapa chini
Yericko,
Nafikiri kwa sasa Sheikh Mohammed Said itakuwa taabu kukujibu wewe direct kama mleta madai/shutuma dhidi yake.
Kwa sababu yeye ni Scholar/Historian na pia ana hishma na taadhima ilo kubwa mno ndani na nje ya nchi.
Amekuja hapa Jf na kuwa-verified na watu woote wanamjua yeye ni nani. Ndo maana unamuona yuko mindful na ethics,standard na procedure takriban zoote za kitaaluma. Tafauti na wahuni wengi hapa jamvini tunaowashuhudia kila kukicha wakimshambulia na kumkebehi tena wakiongozwa nawe binafsi!
Kwa kifupi,tatizo ni kuwa wewe binafsi kwa upande wako verification yako ina utata/fraudulently verification,ambapo sio tu ni Academic dishonesty but can also amount to criminality.
Kwa hiyo ili uwe/tuwe fair kwa Sheikh Mohammed Said,inalazim wewe binafsi uache kumuuliza maswali kwa sababu kama hizo nilizoziakinisha hapo juu ni kuwa credibility/reliability yako ina utata mwingi,na kumbuka wewe ndie mleta Thread/Mada hii...na kuanzia ni hapo kwenye hiyo cheating ulofanza hapa Jf ya Kuji-verify kama Yericko Julius Kambarage Nyerere,kumbe inabainika
si kweli!?
Kumbuka shutuma za "Uchochezi,Ugaidi na Uhaini" kama ni za kweli na zikibainika ni nzito mno. Kwa hiyo kwakuwa tupo hapa kubainisha yayo,inatulazim tufuate taratibu makhusus tena kwa uangalifu na umakini mwingi and leave no stone unturned!
Sheikh Mohammed,haitajiki ku-prove lolote/chochote...nyinyi/wewe ndo yatakiwa ubainishe hizo tuhuma zako kwa kina!!
Tafadhali naomba usitafute sympathy kutoka kwa jamaa/wafuasi zako hapa jamvini, yakuwa hii ni personal attack,la hasha!...huu ni ukweli wa kitaaluma na pia tunajaribu kuweka mambo sawa huku pia tukijaribu kuwa fair kwa Sheikh Mohammed Said.
Ahsanta.
Cc;Ritz,The Big Show