Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Yericko,

Mbona uliniandikia msg halafu ume-delete!?

Yaani mimi nafuata sharia halafu wewe unanifanzia intimidation zako za Mods!?...tafadhali tuheshimiane ndugu yangu.

Soma Post yangu kwa makini,mimi ndo nakufahamisha kanuni na taratibu za mambo! Acha kunitisha na mambo ya Jf.... onyesha ni lipi baya au bovu nilokwambia kwenye hiyo post yangu hapo!?...

Ahsanta sana.
 
Zingatia SHERIA za JF bila shuruti, ukilazimisha SHURUTI inakuangukia!

Yericko,
Mimi nimekuelezea kuanzia siku ya kwanza baba yako anakutana na Nyerere pale
Stanley Street/Sikukukuu.

Nimekutajia hadi mapenzi yalikuwapo baina ya shangazi yako Sophia na mumewe
Mbilinyi kwa Abdu Sykes.

Sikuishia hapo nimekueleza hadi ushoga wa Bi Mluguru biti Mussa na Bi Mugaya
ambae wewe ni bibi mzaa baba yako.

Nimekueleza mengi ya maisha ya zamani Dar es Salaam kati ya baba yako na
wazee wangu mmojawapo babu yangu Shariff Attas.

Haya ni mambo ya ndani kabisa.

Nimekuwekea hadi barua za baba yako ambazo hadi leo ziko katika majadala
ya Sykes na haya yote nimefanya ili unitambue kuwa mimi naijua historia hii.

Ijaza yangu kwako ni kebehi.

Inanishangaza sana hasa pale unapomkebehi Abdu Sykes rafiki kipenzi cha
baba yako.

Leo nataka nikupe hili moja ulifikiri.

Iweje nyaraka za baba yako ziwe mikononi mwa Abdu na ziwe katika hifadhi
hiyo sasa miaka 60.
 

Al Habiby gombesugu,

Nashukuru ndugu yangu jana sikulala kabisa, Mzee Lawi Nangwanda Sijaona, amezaliwa Novemba 24, 1928 Chiyanga katika eneo la sasa kijiji cha Mnyambe tarafa ya Chilangala, wilayani Newala ndipo alipobatizwa.

Mzee wa watu kasoma chuo cha mtakatifu Joseph Chidya baadaye kasoma chuo cha mtatakatifu Andrea.

Mag3, jitokeze uombe msamaha.
 
Last edited by a moderator:


Yericko,
Tahadhar kuna watazamaji 200,000 + wanakusoma.
Wewe ni mtoto wa Nyerere si kijana wa kawaida.

Adabu uoneshayo itavuma nyuma kwa wazee wako walivyokulea.
Sasa usiwatukanishe baba na mama yako.

Tunaweza tukajibizana kwa heshima bila jeuri na kuonesha kibri.
Allah akipenda utakuwa na umri mrefu na utakutana na watu wengi.

Adabu ndiyo kinga na silaha yako.
Mtu asifiwi kwa ujuvi.

Nakuwekea hapa jinsi nilivyoiandika TAA wakati Dk Kyaruzi na Abdu Sykes
wanachukua uongozi:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] TAA Political Subcommittee, 1951[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] No records exist which show that the African Association a clear official policy or programme on the country's political situation.

To understand the direction of African politics as they appeared at that time one need to observe the behaviour of the leadership and its reaction to different African problems.

Abdulwahid's first move was to form what was known as TAA Political Subcommittee [1] comprising himself as secretary; Sheikh Hassan bin Amir as the Mufti of Tanganyika; Dr Kyaruzi; Mwapachu; Said Chaurembo who was the liwali at Kariakoo local court; John Rupia and Stephen Mhando.

The task given to this committee was to deal with political issues in the country.

The creation of this committee was a turning point in the history of organised politics in colonial Tanganyika.

Throughout the entire twenty-one years of its existence, the African Association had functioned under a non-political constitution.

For the first time, in 1950, TAA under new leadership gave itself political status, not by changing the existing constitution, but by forming a political committee within the Association.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] The committee represented a diversity of interests and its members had different personal abilities and backgrounds.

Sheikh Hassan bin Amir, though originating from Zanzibar was the Mufti of Tanganyika and represented the dominant Muslim interests and the local political power base.

Behind him were all sheikhs, tariqa khalifas and the general Muslim community.

Thus were included the very few Muslim elite who, although not committed Muslims, recognised the power and force behind Muslim institutions.

Said Chaurembo represented the Zaramo tribesmen of Dar es Salaam and surrounding districts. John Rupia from Mission Quarter was rich African businessman and party financier.

He was also representative of old and outgoing leadership.

Stephen Mhando, a radical schoolteacher and outspoken Bondei from Muheza, represented the Makerere school.

Among the members of the committee Abdulwahid was the only person representing a multiplicity of interests.

He was one of the party financiers, a member of the TAA intelligentsia and a leading personality in Al Jamiatul Islamiyya; he and Mwapachu represented young Muslim modernists.

The TAA political subcommittee merged young and old leadership; allied old Muslim conservatives to young Muslim modernists on one hand and the Christian elite on the other.

It was the alliance that would lead to the defeat of British colonialism in Tanganyika.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Having established the political committee, Abdulwahid settled down to write to all TAA branches in the territory in order to revitalise them.

A major issue facing Abdulwahid and the political committee was the status of Tanganyika as a mandate territory.

Abdulwahid engaged Earle Seaton, a lawyer from Bermuda based in Moshi, and attached him to the committee to advise them on constitutional law and decolonisation of mandate territories under foreign rule.

The United Nations Trusteeship Council had already sent its first visiting mission to Tanganyika in 1948; but not much was gained from this mission.

The TAA headquarters in Dar es Salaam under Dr Kyaruzi and Abdulwahid with the backing of the political committee was now rising from its deep slumber.

What was now required were serious issues to stimulate the minds of the young intellectuals.

The TAA leadership did not have to look far.

These issues came in the form of the Constitutional Development Committee set up by Governor Edward Twining and the Meru land evictions.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[1] Annual Report of the Secretary of Tanganyika African Association, 7 January, 1951.
Sykes' Papers.
 

Nikweli umeeleza yote tena yote kabisa na sidhani kama umebakiza, maana mpaka sukari na chumvi alivyopewa umesema!

Lakini niseme wazi kuwa mimi nimesimama hapa kama mtanzania yeyote anapinga upotoshaji wa historia na kupandikiza chuki miongoni mwa NYOYO za Watanzania waliohuru kifkra!

NGANO zoooooote ulizozisimulia kimantiki hazina MASHIKO, kwakuwa hazisimami kwenye mizani ya historia ya NCHI!

Juu ya kile ukiitacho "NYARAKA za Mwalimu Nyerere"

Naomba niwaambie wanajamvi wenye weledi kuwa SIO nyaraka za mafaa kwa Mwalimu Nyerere, laiti zingekuwa na mafaa, leo zingekuwa chini ya hifadhi ya Mwalimu Nyerere!

Hapa tayari unataka kuwadanganya walimwengu kuwa Mwalimu Julius Nyerere "alimuogopa" Abdul Sykes mpaka kutelekeza nyaraka zake,

Huu ni Uzushi,Uchochezi,Ulaghai na Uhaini tunaousema hapa tangu january 12,2013,

Hivi huyo Mwalimu Nyerere unaetembea ukimtukana kila pembe ya dunia, na unaemtukana hata ukiwa usingizini kuwa alikuwa MDINI,DIKTETA, GHIRIBA,MFITINI nk, ndie aliyenyimwa NYARAKA ZAKE toka kwa Abdul Sykes?????

Uongo kuuunda ni rahisi sana lakini kuutetea ni vigumu sana!
 
Wanaukumbi, zaidi ya 200.000,

Nimepigiwa simu tena kutoka Canada familia ya Amir H. Jamal wanalalamika kuwa wamesoma jana JF baba yao amefutwa kwenye Uislam na kupewa dini ya Hinduist, wanakanusha wanasema Mzee wao alikuwa Muislam wanaomba waombwe radhi, Mag3, haya hapa chini maneno yako msije kusema nafanya "Spinning" kama kwaida yenu ha haa haa.
Amir H. Jamal (Indian & Hinduist) 3[SUP]rd[/SUP] Minister of State for Economic Planning in the Presidet's Office.
Wanaukumbi hebu hapa chini tumsome Mzee Amir H. Jamal.


[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH="class: n, colspan: 2, align: center"]Honourable
Amir Jamal
MP[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: lavender, colspan: 2, align: center"]Permanent Representative of Tanzania to the United Nations in Geneva[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]In office
1988–1993[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]President[/TH]
[TD]Ali Hassan Mwinyi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: lavender, colspan: 2, align: center"]Minister of Finance[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]In office
1980 – 1983
Prior terms: 1965-1972 / 75-77 / 79-80[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]President[/TH]
[TD]Julius Nyerere[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: lavender, colspan: 2, align: center"]Member of the Tanzanian Parliament[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Constituency[/TH]
[TD]Morogoro[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: lavender, colspan: 2, align: center"]Personal details[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Born[/TH]
[TD]c. 1921[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Died[/TH]
[TD]21 March 1995 (aged 73–74)
Vancouver, Canada[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Nationality[/TH]
[TD]Tanzanian[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Political party[/TH]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Other political
affiliations[/TH]
[TD]Tanganyika African National Union[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Spouse(s)[/TH]
[TD]Shasu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Children[/TH]
[TD]4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Religion[/TH]
[TD]Islam
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 

Hapana, sijawatukana/sitawatuka wazazi wangu/wetu waliopigania uhuru wa Taifa hili mahali popote pale duniani na ahera,

Nilichoelezea ni MLENGO wa chama walichokuwa wanakiishi kabla ya UJIO wa Mwalimu Nyerere ndani ya chama hicho (TAA),

Bila shaka umenisoma mzee!

Zingatia kuna maswali yapo mezani yanasubiri hekima zako mkuu!
 

Gombesugu,

Amin Amin Amin ndugu yangu.
Hapa si mahala pa sisi kupungua hata punje.

Hawa ndugu zetu wangelisikia haya tuwaambiayo wapi kama si katika hili
jamvi.

Hapa tumewafunza wengi mengi ambayo hawakuwa wanayajua.
Si kuwafunza historia tu bali hata utamaduni wa kwetu.

Wanashindwa kuelewa kwa nini Nyerere alikuwa hendi kula chakula
cha mchana peke yake kwa Abdu sharti aongozane na Shariff Attas.

Hawakuwa wanajua kwa nini katika mikutano ya TANU msemaji wa
kwanza alikuwa Sheikh Suleiman Takadir kisha ndiyo Nyerere apandishwe
kuhutubia.

Hawakuwa wanajua kuwa wazee wetu wakati wa kupigania uhuru kila khatua
lazima tawasul ifanywe.

Leo wanajua nini maana ya visomo.

Sasa yote haya wanayajua hata kama kuna wengine katika kuuona ukweli huu
historia hii imewanyong'onyeza na kuwatia unyonge.
 
Hapana, sijawatukana wazazi wangu wote waliopigania uhuru wa Taifa hili,

Nilichoelezea ni mlengo wa chama/kikundi walichokuwa wanaiishi tu,

Bila shaka umenisoma mzee!

Zingatia kuna maswali yapo mezani yanasubiri hekima zako mkuu!

Yericko,
Nimekuiwekea hapa kwa mukhtasari TAA ilikuwaje kabla ya baba yako.
Huna la kusema?

Ulikuwa unaufahamu uhusiano wa Seaton na Abdu Sykes.
Unajua ni Abdu ndiye aliyemjulisha Seaton kwa baba yako?

Unaujua mchango wa Seaton katika TANU?

Unajua baada ya msaada wake wote ule TANU ilirudisha
fadhila kwa Seaton baada ya uhuru?

Yericko,
Unatoa shingo unasema ati mimi siijui historia ya TAA/TANU...

Siko hapa kufanya ubishi mimi niko hapa kueleza yale ambayo
kwa kweli si wengi mlikuwamnayajua.

Nikikaa hapa kufanya ubishi watazamaji watatukimbia.
 





Muheshimiwa Nguruvi3,

Nashukuru ndugu yangu. Naona kuna stalemate fulani ambayo nakhis inasababishwa na upande wenu ambao wewe binafsi ndo Kiongozi wao Mkuu.

Tangia lini nyinyi mkawa na hishma,mapenzi au kuwathamini WaZanzibary!? Au kwa sababu hapa mnaona kuna agendas na propagandas zenu,ndo mnaleta hayo machozi ya mamba na zile "hekima/ujanja wa Mwalimu"!?

Mimi binafsi kwa sasa nina majambo/vijishughuli vya kibaruani. Kwa hiyo takujibu kiduchu tu.

Binafsi najua yakuwa hizo mnazoita "hoja"/"maswali" yenu takriban yoote;pana persuasive evidences kwenye maandiko mengi ya Sheikh Mohammed kuwa yamejibiwa kiundani tena Kitaaluma.

Kwa kuwa mpaka sasa hapajaonekana/kuthibitishwa "Ugaidi,uchochezi na uhaini" na Yericko&Co dhidi ya Sheikh Mohammed...ni muhimu pia tukaangalia upande wa pili wa shilingi hiyohiyo!?

Nakuwekea maswali hapa chini kiduchu,tafadhali nakuombeni wewe binafsi na wafuasi wako mtupatie majibu ya kina. Baada ya hapo nitajaribu kumsihi Sheikh Mohammed akupeni majibu kwa yale mlotaka na kulazimisha ati mjibiwe upya.

  • Tunaomba Mwanakijiji aje hapa jamvini/au nyinyi wenzie kututhibitshia kwa kina,na ikiwezekana kutuonyesha nyaraka zozote alizonazo anazozijua;yakuwa Sheikh Mohammed ni Recruiter wa Muslim Brotherhood kwa hapo Tanzania na anadhaminiwa na "Kigogo fulani wa Shirika la Umma"...kama yeye Mwanakijji alivyodai/anavyodai!?
  • Tunahitaji pia huyo huyo Mwanakijiji au nyinyi mtuthibitishie yakuwa Sheikh Mohammed Said ni Member wa Muslim Brotherhood na ana mipango ya kuleta Islamic Sharia hapo Tanzania!?
  • Mag3,aombe radhi rasmi hapa jamvini aukupitia kwa The Big Show-Mwana Mtwara,kwa Family ya Muheshimiwa Marehemu Lawi Nangwanda Sijaona kwa usumbufu wowote walioupata kutokana na zile khabar za uongo na uchochezi alizotoa huyo Mag3!?
  • Yericko Nyerere au nyinyi mkiweza kumsaidia atuthibitshie yakuwa;Rais Jakaya Kikwete ni ndie anayemkingia kifua Sheikh Mohammed Said ili afanye/aendeleze "uchochezi" hapo nchini kama alivyodai hivi karibuni. Kwa kifupi hizi ni tuhuma nyingine nzito saana,ambazo huyu Yericko anaendelea kuleta bila ya kuhojiwa na yeyote hapa jamvini!?
  • Yericko Nyerere;atutajie uhusiano wake au alionao na maslahi gani anapata yeye binafsi kutoka pale Amerikan Embassy D'Salaam!? Na je maslahi hayo yana uhusiano wowote au malipo ya yeye kuja kufungua huu uzi hapa Jamvini/Jf!? Je kuna watu/kikundi kinamtumia kuleta mfarakano hapo nchini!?...maana yeye binafsi alishatuambia yakuwa maofisa kadhaa wa State Depart walikwenda kumtafuta nyumbani kwake Mbutu. Pia ametujuza yakuwa haohao wa-Amerika ndo wafadhili wakubwa wa kitabu chake cha Khadith za Kigaidi(ambacho sisi soote tumekiona hapa jamvini,na wala hakistahili kuitwa kitabu,lakini wa-Amerika pamoja na akili zao nyingi wameamua kuacha yoote lakini kukifadhili tu!?).
  • Je Yericko alikua na maslahi gani kwa Taifa pale alipobeba mikoba ya wale maofisa wa Ubalozi wa-Amerika kwenda nao Dodoma ili kushinikiza ile "Sharia ya Ugaidi" ipitishwe hapo, harakaharaka tena bila ya minyambuo ya kina na kitaaluma kutoka kwa Wabunge wala Serikali yetu maskini!?
Najua Muheshimiwa Nguruvi3;unapenda saana kutaja "mikoba ya Ibadan" ili kuwafurahisha wafuasi wako watiifu na kumtafir Sheikh Mohammed.

Je umeshawahi kujiuliza ile mikoba alobebeshwa Yericko ya wale State Depart Officials kwenda nao Dodoma ili ku-Lobby ile "Sharia ya Ugaidi" ilikua ina nini ndani yake/imebeba kipi!?

Kwa hiyo mara nyingi kabla hujaleta ile kebehi ya mikoba ya Ibadan hapa jamvini;jiul;ize je na ile "mikoba ya Chamwino/Dodoma" nayo ilibeba nini,au huyo Yericko alibebeshwa nini kwenda Chamwino!?

Wewe binafsi na Wanajamvi wengi tunajua,yakuwa huyo Yericko hana uwezo wala Ilm(tafadhali hapa sisemi kwa kumbeza asilan!),ya kujua kiundani au kujadili inner workings za State Depart and nature of Amerikan Foreign Policy and its intent!?...sasa alidhirika vipi na kwa lipi mpaka kufikia yeye kuwa-support na kuwabebeba mikoba yao wale Manguli wa Uharamia the so called State Depart officials/Strategists mpaka kule Dodoma kwenda "kuwapasua vichwa" Wabunge wetu dhaifu maskini za Mungu!?

Kwa kifupi Muheshimiwa Nguruvi3;kwetu sisi kama ni Watanzania wenzenu hivyo vitu nilokutajia pia vinatusumbua kichwa, na pia hivyo kwetu sisi ndio Ugaidi,Uchochezi na Uhaini mkubwa kwa Taifa letu changa...unless kama tuna khitilafu ya tafsir ya hivyo vitu yaani Ugaidi,Uchochezi na Uhaini,na kama ni hivyo italazim tufungue Thread nyingine ili kujadili yayo kwa kina!?

Natumai ndugu yetu Pain Killer na Wana Mbagala wenzie,watajitahidi kuwa na Sabra kwa hizi rabsha kiduchu hapa barzani/jamvini!

Niwie radhi kwa huo uchechefu wangu kiduchu.

Ahsanta.

Cc;Shariff Ritz,Al Khalifa The Big Show,Sahib Al Maarifa Boko Haram,JokaKuu
 


Yericko,
Kipi kinakufanya wewe utumie neno ''alimuogopa'' huo uoga utokane na nini?

Unadhani kwa heshima ya Nyerere unaweza kuandika kitabu au umtukane
majukwaani na wewe ubaki na heshima yako?

Unanitia hata uvivu kukusomesha.

Yericko,
Husomesheki.
Hebu jifunze kwanza adabu ya mjadala.
 

Kwanza nikusihi mkuu unapoandika sema "BAA YETU" na sio "BABA YAKO"

Ukiona inakukereketa kuita BABA YETU basi sema Mwalimu Julius Kambarage Nyerere!

Ukisema "baba yako" unaninipa ubora mimi na kuwafanya wengine wasijibu

Mwalimu Nyerere ni Baba wa Watanzania wote wake kwa waume, wazee kwa vijana na watoto!
 




Shariff Ritz,

Unajua leo nimepata dhambi kiduchu,yaani mpaka Masjid ghafula nikakumbuka zile "simu za Mtwara"....ghalafu narejea tena hapa jamvini nakutana tena na "simu za Canada"!ahaha!!

Nionee huruma japo kiduchu nduguyo taniumiza yakhe kwa ucheko leo!ahaha!!

Wallahi,bayana zako daima ni zenye moto mwingi na wala hazikamatiki...hii ni mipini ya roho!

Hatujua ndugu yetu Mag3 maskini,itakua mpaka sasa anamalizia chupa ngapi za barcadi/Whisky ati "kuondoa" frustration...lakini akiamka tena asubuhi anaikuta mipini yako Shariff iko pale pale inamchungulia!ahaha!!

Ahsanta sana kwa kunijaalia W'end isokwisha unono wa vicheko. Mola takulipa fadhila zako Insha Allah!
 
Yericko Nyerere,

Pamoja na kejeli dhihaka dhidi ya Wazee wetu lakini Nyerere ambaye wewe unajinasibisha naye kama baba yako mzazi aliwaheshimu.
Historia ya AA,TAA na TANU huijui,

Wewe unajua vikundi vya walevi wa kariakoo tu ambao walijivika kilemba cha TAA
Baada ya wewe kuwatukana hawa Wazee hebu msome Nyerere hapa chini anavyowaelezea hawa wazee.
Wanaukumbi nadhani tumesoma Nyerere mwenyewe anavyowaelezea hawa Wazee ambao wanaitwa walevi hebu ngoja tuendelee kumsoma huyu Yericko amabaye anajinasibisha kuwa Nyerere ni baba yake mzazi lakini mtoto wa kwanza wa Kambarage Nyerere, Andrew Nyerere hamtambui.
Hoja nikuwa Mwalimu Nyerere alipojiunga na TAA alikuta ni kikundi cha wanywa ghahawa na wacheza bao wasiokuwa na hata KATIBA tu,

Kilikuwa ni kikundi cha Walevi/wapenda starehe tu,
Wanaukumbi hebu chini tumsome Nyerere mwenyewe anavyowaelezea hawa wanywa ghahawa na wacheza bao.
Wanaukumbi nadhani mmeona hawa wazee wanaoitwa walevi walivyokuwa wazalendo kwa mujibu wa Nyerere mwenyewe. tuendelee kumsoma Yericko hapa chini.
Kabla ya Mwalimu Nyerere kujiunga na kuchaguliwa kuwa Rais wa TAA hapo mwaka 1953, TAA ilikuwa na mlengo/Filosofia/Ideology gani?
Hapa unauliza suali dhahifu kabisa jibu lake anakujibu Nyerere hapa chini.
Sasa jiulize Nyerere alitaka kuanzisha chama cha siasa wakati yupo chuo wakamwambia tayari Tanganyika wameishaanzisha TAA, wakifuta chama chao waanzishe matawi sasa hawa Walevi nani aliwaandikia katiba ya TAA mpaka Nyerere mwenyewe akaamua kufuta chama chake, inamaana alikuwa hajuhi katiba ya TAA, wewe kila siku humu unasema muanzilishi wa chama cha AA Matola, ha haa haaa.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaa.... muereze arewee chezea mzee Mohamed Said tukisema tunafyonza ilm hatutanii haya yote tungejuaje mzee MS hapo umemshika pabaya wapare wanasema "umgura afande mdhuti"
 

Weeeeeeeee sisi sio wa hivyo tena usirudie tena! katika uislamu ni haramu kujinasibisha na baba ambae sio baba yako na nimeshakwambia siku nyingi komaaa namalizia na nukta.
 
Mzee Mohamed,Wazee wako, wapigania uhuru wa Tanganyika wa ukweli kisha Waislam waliosahaulika hakuna aliye hai akadai fidia kwa mkoloni kama wale wa MAUMAU-KENYA ambao watalipwa? Au upiganaji wao ulikuwa ni wa migahawani na kwenye vibanda vya biashara vya Kariakoo? Lile kabati la Abdu haliwezi kufidiwa?
 
TENA hii fidia iko nje nje. Out of court settlement- MS tafuta wazee hao wakachukue hela. AT least some good will come out of this
 
Yericko Nyerere,

Wewe ndiy unajitapa humu ukumbini kuwa Nyerere ni baba yako mzazi.

Ukisema "baba yako" unaninipa ubora mimi na kuwafanya wengine wasijibu
Hapa unajifanya kupunguza makalin baada ya kubanwa hapa chini unaendeleza majigambo, ha haa haa.
 
Weeeeeeeee sisi sio wa hivyo tena usirudie tena! katika uislamu ni haramu kujinasibisha na baba ambae sio baba yako na nimeshakwambia siku nyingi komaaa namalizia na nukta.
Boko haram,
Hii ndio tafsiri halisi ya jina lako hili:

Congregation and People of Tradition for Proselytism and Jihad[SUP][2][/SUP] (Arabic: جماعة اهل السنة للدعوة والجهاد Jamā'a Ahl al-sunnah li-da'wa wa al-jihād), better known by its Hausa name Boko Haram (pronounced [bōːkòː hàrâm], "Western education is sinful"),[SUP][[/SUP]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…