Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Kama ni hoja kwa hoja, nakujuza kuwa hoja hizi hapa chini zimekosa majibu kutoka kwenu!

 

Haha haya bwana .. Ngoha niwaachie mbakasha wenu
 
Hahaha yani wewe upo kama sigara kali,

Umetoka kusema Mohamed Said asijibu hoja zetu ulizoita ni za "kipuuzi" lakini hapohapo unageuka nakuomba majibu ya maswali yako, sijui tukuweke kundi gani!

ha haa ha, Yericko Nyerere, na wewe kuna viporo vyako vinasubiri majibu, Wanaukumbi wanataka kujua ni kweli Nyerere ni baba yako mzazi?

Wanasubiri majina ya wale waasi waliopewa msamaha na Nyerere wengine kupewa vyeo na wengi kupelekwa kuwa mabalozi.
 
Last edited by a moderator:
Sheikh wangu sikujuwa NEWS za hii fani unazifuatilia !!!!!! Sio sweet Abdu tena? Haya baba kwa raha zako.

Nilikuwa nakuonesha matusi yako wapi kama ulivyo jitetea huko juu eti niteremshe "matusi".

Nadhani umeelewa vizuri sana kwa hizo posts na baada ya kumjuwa father Cunningham na baada ya kujijuwa wewe umetokea shule gani, ungebaki wewe kwa "sweet" Abdu na si kukimbilia hoja za "matusi" yasingekukuta.

Si unajuwa mabingwa wa matusi ni kina nani na vyanzo vyake nimekuwekea huko juu. Unalo?
 

Labda awe wa nje ya ndoa, maana watoto wa Mama Maria wamemkana humuhumu jamvini. Sasa hapo unaingia utakatifu katika uzinifu au ni uzinifu katika utakatifu? oopsss, uwenye heri?

Eehh Yericko Nyerere, ahsante sana kwa kuuujulisha ulimwengu kuwa Nyerere si mtakatifu wala si mwenye heri kama wengi watakavyo, na wewe ni ushahidi kamili.
 
Kama ni hoja kwa hoja, nakujuza kuwa hoja hizi hapa chini zimekosa majibu kutoka kwenu!

Sasa huo ndio ushahidi wako wa jikichwa la habari lisilo na mguu wala mikono?

Kijana kaa upewe darsa la kumjuwa vizuri baba'ko, inaonesha ulikuwa humjui, maana Msasani hujaishi na kina Andrew hawakutambui.
 
Kama ni hoja kwa hoja, nakujuza kuwa hoja hizi hapa chini zimekosa majibu kutoka kwenu!

Hakuna hoja kuna upuuzi tu hapo Mohamed Said, ajibu kila upuuzi na ukiona hawajibu hujue kawapuuza ajaanza leo ni kawaida yake.

Wewe ndiyo umeleta huu uzi na umesema Uchochezi wa Mohamed Said, unatakiwa uonyeshe huo uchochezi siyo kuleta tena maswali halafu mnataka huyo mnaoamuita mchochezi ajibu maswali yenu ya kipuuzi ili iweje? Onyesha uchochezi wa Mohamad Said, kama lijikichwa la habari hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
Wewe unaweza kuona ni maswali ya maana kumbe ya kipuuzi, moja ya tabia ya Mohamed Said, ni kuyapuuza maswali ya kipuuzi na hakuna adhabu kubwa kama kumpuuza muuliza maswali ya kipuuzi, haya kayafanya mara nyingi.
Ni vigezo vipi hutumiwa ili kutoa hukumu kuwa hili ni swali la kipuuzi au la? Swali linakuwa la kipuuzi kwa nani?
 
Kwanini haya yasiwe maswali ya kijinga na yakipuuzi kupita mpaka kwani hayana uhusiano wowote na mnakasha huu! Je maswali haya na majibu yake yatamuondoa Mohamed Said katika kashifa ya uchochezi?
 

Shariff zomba,

Ukipata wasaa tuwekee ile post ya Andre Nyerere alivyomkana Yericko...ha haa ha.
 
Last edited by a moderator:
Yericko,
Uongo pia si katika sifa zangu.
Nashukuru.

Kama sijui ndiyo sijui.
Nikijuacho hata kitabu naandika.

Wengi wamenifahamu kwa hivi.

Mzee wetu Moh Said tunakusihi ujibu maswali ili tuendelee kupata ilim na mnakasha usonge mbele.Ahsanta
 
Prishaz,
Nimekusikia sitojibu maswali yasomaana.

Hahahaa Mohamed unaudhihirishia umma kuwa wewe ni Mchochezi na Mhaini mkubwa,

Haya maswali unayaona hayana maaana?



Kwahiyo NGANO za kipata, mkunguni na nyamwezi ndio zinamaana sana kwa Watanzania?
 
Ha ha ha Son of Alaska hivi kweli unatarajia Mohamed Said atakujibu ha ha Mzee wetu wa Tandamti hana huo uwezo kazoea kusomesha wafyoza ilimu wasiokuwa na udadisi,wasiokuwa na uwezo wa kutafakari jambo na kuhoji,wanaopenda Tanganyika igawanyike kwa misingi ya dini na ukanda.

 
Last edited by a moderator:
Mzee wetu Moh Said tunakusihi ujibu maswali ili tuendelee kupata ilim na mnakasha usonge mbele.Ahsanta

Soma jikichwa la habari la huu uzi, uchochezi wa Mohamed Said.
 

Wala hujatusi mtu Zomba umeeleza matukio. Dunia haina tusi jipya. Kina Ahlil Lut walikuwa na Pope au Seminaries?
 
umesahau palestina na zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…