Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kulia lia haitakusaidia hapa watu hawabishani ni hoja juu ya hoja, naona umekurupuka utadhani umefumaniwa.

Umehamaki bure mpaka hautaki mimi niishi Tanzania umenitafutia mpaka sehemu unataka kunipeleka nikaiishi kisa nimemjibu Mkirsto mwenzako.

Njoo na hoja hao uliowataja ndiyo unawaogopa na ndiyo wanakushikia akili yako wewe kweli bat.

Kama ni hoja kwa hoja, nakujuza kuwa hoja hizi hapa chini zimekosa majibu kutoka kwenu!

Kwa wanajamvi wote;

Ni muhimu sana maswali yaliyoulizwajuu ya Zenj na Mapinduzi yakajibiwa kwa usahihi stahiki ili tuweze kupata hatua ya kutufikisha kuona kama kweli mzee MS anafanya uchochezi kama Yericko alivyodai. Maswali viporo ni kama ifuatavyo;

1. NANI ALITANGULIA NA AGENDA YA KUMPINDUA SULTAN NA KUMUOMBA MWENZIE MSAADA?, NI TANU AU ASP?/ JEE ASP WALILAZIMISHWA MSAADA NA TANU?

Jibu la swali hili litajenga msingi wa umiliki wa MAPINDUZI. Tunahitaji majibu

2. Mapinduzi haya ni halali au haram? Yaani sababu wanazotoa ASP kuhusu wao kumpindua Sultani ni za KWELI/UONGO?

Hapa lazima ieleweke kuwa tunaposema halali tunaangalia sababu za kupindua siyo idadi za walipoteza maisha au mali. Ili kuziba nafasi ya kupotosha hapa ni kuwa tunapounga mkono NATO katika kumpiga Hitler (WW2) tunaangalia sababu za kuingia vitani, siyo idadi ya waliopoteza maisha pande zote za uhasama. Principle hiyo ndiyo tunaitumia kuuliza.

Majibu yalenge sababu za ASP sio hisia

Maswali ya Nguruvi;

3. Tuhuma zinazojengwa ni kuwa Nyerere alitumiwa na Kanisa ili kuihujumu zenj. Kitabu cha Kwaheri Uhuru.... na CIA report (100 days.....Zanzibar) zote zinaonyesha ASP wakitafuta na kupokea silaha toka serikali ya TANU kwa agenda yao wanayoijua.

SWALI; Wao ASP walikuwa vibaraka wa Kanisa lipi wakati wanayashughulikia haya tunayoyasoma

4. Kumeonyeshwa katika Kitabu (kwaheri Uhuru...) waZenj wakienda Kipumbwi wanafundishwa uaskari kisha wanarudikwao kusubiri. Hivyo pia wenziwao wa Kipumbwi.

SWALI; Nani alikuwa na dhamana ya askari wote (aina mbili) juu ya nidhamu yao kama askari walipokuwa Zenj kwenye hilo jukumu lao? Yaani kamanda-in-chief wao alikuwa nani wakiwa Zenj wakati wa mapinduzi?

Maswali mengine yatafuata. Tunataka kwanza haya yajibiwe ili tujue shutuma dhidi ya Rais wa Tanganyika dhamana yake kwa maisha ya wazenj wakati wa Mapinduzi haya kama yana MASHIKO.

cc Painkiller, Nguruvi, Mohammed Said, Mag3, Nanren, BigShow, Jasusi, Jokakuu, Sheikh Farid,Nicholas, Prishaz, Son of Alaska, Cool runnings, Spike Lee,Ritz,Kadogoo, Yericko, Mr Iron.
 
Haha haya bwana .. Ngoha niwaachie mbakasha wenu
 
Hahaha yani wewe upo kama sigara kali,

Umetoka kusema Mohamed Said asijibu hoja zetu ulizoita ni za "kipuuzi" lakini hapohapo unageuka nakuomba majibu ya maswali yako, sijui tukuweke kundi gani!

ha haa ha, Yericko Nyerere, na wewe kuna viporo vyako vinasubiri majibu, Wanaukumbi wanataka kujua ni kweli Nyerere ni baba yako mzazi?

Wanasubiri majina ya wale waasi waliopewa msamaha na Nyerere wengine kupewa vyeo na wengi kupelekwa kuwa mabalozi.
 
Last edited by a moderator:
Sheikh wangu sikujuwa NEWS za hii fani unazifuatilia !!!!!! Sio sweet Abdu tena? Haya baba kwa raha zako.

Nilikuwa nakuonesha matusi yako wapi kama ulivyo jitetea huko juu eti niteremshe "matusi".

Nadhani umeelewa vizuri sana kwa hizo posts na baada ya kumjuwa father Cunningham na baada ya kujijuwa wewe umetokea shule gani, ungebaki wewe kwa "sweet" Abdu na si kukimbilia hoja za "matusi" yasingekukuta.

Si unajuwa mabingwa wa matusi ni kina nani na vyanzo vyake nimekuwekea huko juu. Unalo?
 
ha haa ha, Yericko Nyerere, na wewe kuna viporo vyako vinasubiri majibu, Wanaukumbi wanataka kujua ni kweli Nyerere ni baba yako mzazi?

Wanasubiri majina ya wale waasi waliopewa msamaha na Nyerere wengine kupewa vyeo na wengi kupelekwa kuwa mabalozi.

Labda awe wa nje ya ndoa, maana watoto wa Mama Maria wamemkana humuhumu jamvini. Sasa hapo unaingia utakatifu katika uzinifu au ni uzinifu katika utakatifu? oopsss, uwenye heri?

Eehh Yericko Nyerere, ahsante sana kwa kuuujulisha ulimwengu kuwa Nyerere si mtakatifu wala si mwenye heri kama wengi watakavyo, na wewe ni ushahidi kamili.
 
Kama ni hoja kwa hoja, nakujuza kuwa hoja hizi hapa chini zimekosa majibu kutoka kwenu!

Sasa huo ndio ushahidi wako wa jikichwa la habari lisilo na mguu wala mikono?

Kijana kaa upewe darsa la kumjuwa vizuri baba'ko, inaonesha ulikuwa humjui, maana Msasani hujaishi na kina Andrew hawakutambui.
 
Kama ni hoja kwa hoja, nakujuza kuwa hoja hizi hapa chini zimekosa majibu kutoka kwenu!

Hakuna hoja kuna upuuzi tu hapo Mohamed Said, ajibu kila upuuzi na ukiona hawajibu hujue kawapuuza ajaanza leo ni kawaida yake.

Wewe ndiyo umeleta huu uzi na umesema Uchochezi wa Mohamed Said, unatakiwa uonyeshe huo uchochezi siyo kuleta tena maswali halafu mnataka huyo mnaoamuita mchochezi ajibu maswali yenu ya kipuuzi ili iweje? Onyesha uchochezi wa Mohamad Said, kama lijikichwa la habari hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
Wewe unaweza kuona ni maswali ya maana kumbe ya kipuuzi, moja ya tabia ya Mohamed Said, ni kuyapuuza maswali ya kipuuzi na hakuna adhabu kubwa kama kumpuuza muuliza maswali ya kipuuzi, haya kayafanya mara nyingi.
Ni vigezo vipi hutumiwa ili kutoa hukumu kuwa hili ni swali la kipuuzi au la? Swali linakuwa la kipuuzi kwa nani?
 
JF siyo sehemu ya porojo unapokuja na habari zako za mitaa ukiulizwa maswali sijui kama utajibu hebu jibu haya.

1) Hivi unajua kwa nini Nyerere alikuwa hawataki kabisa Lowassa na Malecela wapate nafasi ya kugombea urais wa Tanzania?

2) Hivi unajua kwa nini Nyerere alifanya juu chini Mkapa awe rais wa Tanzania, mpaka akajitolea kufanya kampeni Tanzania nzima?

3) Hivi unajua kwa nini Mtikila walikuwa hawapatani na Nyerere?

4) Hivi unajua kwa nini sasa hivi Lowassa anazunguka Makanisani kugawa pesa?
Kwanini haya yasiwe maswali ya kijinga na yakipuuzi kupita mpaka kwani hayana uhusiano wowote na mnakasha huu! Je maswali haya na majibu yake yatamuondoa Mohamed Said katika kashifa ya uchochezi?
 
Labda awe wa nje ya ndoa, maana watoto wa Mama Maria wamemkana humuhumu jamvini. Sasa hapo unaingia utakatifu katika uzinifu au ni uzinifu katika utakatifu? oopsss, uwenye heri?

Eehh Yericko Nyerere, ahsante sana kwa kuuujulisha ulimwengu kuwa Nyerere si mtakatifu wala si mwenye heri kama wengi watakavyo, na wewe ni ushahidi kamili.

Shariff zomba,

Ukipata wasaa tuwekee ile post ya Andre Nyerere alivyomkana Yericko...ha haa ha.
 
Last edited by a moderator:
Yericko,
Uongo pia si katika sifa zangu.
Nashukuru.

Kama sijui ndiyo sijui.
Nikijuacho hata kitabu naandika.

Wengi wamenifahamu kwa hivi.

Mzee wetu Moh Said tunakusihi ujibu maswali ili tuendelee kupata ilim na mnakasha usonge mbele.Ahsanta
 
Prishaz,
Nimekusikia sitojibu maswali yasomaana.

Hahahaa Mohamed unaudhihirishia umma kuwa wewe ni Mchochezi na Mhaini mkubwa,

Haya maswali unayaona hayana maaana?

Kwa wanajamvi wote;

Ni muhimu sana maswali yaliyoulizwajuu ya Zenj na Mapinduzi yakajibiwa kwa usahihi stahiki ili tuweze kupata hatua ya kutufikisha kuona kama kweli mzee MS anafanya uchochezi kama Yericko alivyodai. Maswali viporo ni kama ifuatavyo;

1. NANI ALITANGULIA NA AGENDA YA KUMPINDUA SULTAN NA KUMUOMBA MWENZIE MSAADA?, NI TANU AU ASP?/ JEE ASP WALILAZIMISHWA MSAADA NA TANU?

Jibu la swali hili litajenga msingi wa umiliki wa MAPINDUZI. Tunahitaji majibu

2. Mapinduzi haya ni halali au haram? Yaani sababu wanazotoa ASP kuhusu wao kumpindua Sultani ni za KWELI/UONGO?

Hapa lazima ieleweke kuwa tunaposema halali tunaangalia sababu za kupindua siyo idadi za walipoteza maisha au mali. Ili kuziba nafasi ya kupotosha hapa ni kuwa tunapounga mkono NATO katika kumpiga Hitler (WW2) tunaangalia sababu za kuingia vitani, siyo idadi ya waliopoteza maisha pande zote za uhasama. Principle hiyo ndiyo tunaitumia kuuliza.

Majibu yalenge sababu za ASP sio hisia

Maswali ya Nguruvi;

3. Tuhuma zinazojengwa ni kuwa Nyerere alitumiwa na Kanisa ili kuihujumu zenj. Kitabu cha Kwaheri Uhuru.... na CIA report (100 days.....Zanzibar) zote zinaonyesha ASP wakitafuta na kupokea silaha toka serikali ya TANU kwa agenda yao wanayoijua.

SWALI; Wao ASP walikuwa vibaraka wa Kanisa lipi wakati wanayashughulikia haya tunayoyasoma

4. Kumeonyeshwa katika Kitabu (kwaheri Uhuru...) waZenj wakienda Kipumbwi wanafundishwa uaskari kisha wanarudikwao kusubiri. Hivyo pia wenziwao wa Kipumbwi.

SWALI; Nani alikuwa na dhamana ya askari wote (aina mbili) juu ya nidhamu yao kama askari walipokuwa Zenj kwenye hilo jukumu lao? Yaani kamanda-in-chief wao alikuwa nani wakiwa Zenj wakati wa mapinduzi?

Maswali mengine yatafuata. Tunataka kwanza haya yajibiwe ili tujue shutuma dhidi ya Rais wa Tanganyika dhamana yake kwa maisha ya wazenj wakati wa Mapinduzi haya kama yana MASHIKO.

cc Painkiller, Nguruvi, Mohammed Said, Mag3, Nanren, BigShow, Jasusi, Jokakuu, Sheikh Farid,Nicholas, Prishaz, Son of Alaska, Cool runnings, Spike Lee,Ritz,Kadogoo, Yericko, Mr Iron.

Kwahiyo NGANO za kipata, mkunguni na nyamwezi ndio zinamaana sana kwa Watanzania?
 
Ha ha ha Son of Alaska hivi kweli unatarajia Mohamed Said atakujibu ha ha Mzee wetu wa Tandamti hana huo uwezo kazoea kusomesha wafyoza ilimu wasiokuwa na udadisi,wasiokuwa na uwezo wa kutafakari jambo na kuhoji,wanaopenda Tanganyika igawanyike kwa misingi ya dini na ukanda.

Sweet Ritz tafadhali mwambie MS atufanyie fwadila ya ilm,ukimya wake katika hili swala anatuacha katika limbo-historia ni ya kushare sasa kama ana plead 5th amendment,tunakosa ilm
1. Nani alimuomba mwenzake msaada wa mapinduzi kati ya TANU na ASP
2. Mapinduzi ni halali au ni haram
3. Kwanini wznz waendelee kuenzi mapinduzi haram ya Nyerere
4. Kwanini viongozi wa mapinduzi washirikiane na Nyerere aliyekwenda ''kuua'' ndugu zao
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa nakuonesha matusi yako wapi kama ulivyo jitetea huko juu eti niteremshe "matusi".

Nadhani umeelewa vizuri sana kwa hizo posts na baada ya kumjuwa father Cunningham na baada ya kujijuwa wewe umetokea shule gani, ungebaki wewe kwa "sweet" Abdu na si kukimbilia hoja za "matusi" yasingekukuta.

Si unajuwa mabingwa wa matusi ni kina nani na vyanzo vyake nimekuwekea huko juu. Unalo?

Wala hujatusi mtu Zomba umeeleza matukio. Dunia haina tusi jipya. Kina Ahlil Lut walikuwa na Pope au Seminaries?
 
Hapo ndiyo mnatakiwa mjifunze kwani ni kweli waprotestant, Mashahidi wa Yehova, wasabato nk hawakubalian na mafundisho ya kikatoliki. Wasabato wanakwenda mbali na kuiona catholic ni dini ya kishetani na papa ndiye lucifer mwenyewe. Lakini upinzani huu ni kiimani zaidi kuliko literal kama livyo kwa nyie ndugu zetu. Hutasikia hata siku moja eti wasabato wanalalamika kwa nini maraisi ni wakatoliki tuuu! au sijui necta mbona hakuna msabato. Au protestants kuhesabu mawaziri kwa imani zao kujua yupi mkatoliki na yupi protestant. Au shahidi wa Yehova kusingizia dhulma kutoka kwa wakatoliki sababu ya ugumu wa maisha. Au hao niliyowataja kuhoji utakatifu wa Nyerere wakati ni mambo yasiyowahusu.

Eneo hili hata hawa wachochezi akina Mwamedi wanashindwa kulielewa maana wanafikiri et ni haki ya wasio wakatoliki kulalama juu ya dominance ya ukatoliki katika serikali kitu ambacho ni utter non sense.

Ukikosa kufikiri inakuwa rahisi kuamini hata zile hoja za kimbumbumbu kuwa ooh Idd Amin alitandikwa et sababu ya dini yake au Sudani kusini wamejitenga kwa kuwa Mataifa ya magharibi yanauchukia uislamu. Vp kuhusu indonesia nchi yenye waislamu wengi duniani si wamejitenga na East Timor? haya mwageni konspirasi zenu za kidini kwenye hilo pia.
umesahau palestina na zanzibar
 
Back
Top Bottom