Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Wanakumbi,

Huyu hapa na katika wale ndugu zetu ambayo waongozwa na chuki dhidi ya Wazee wa Mzizima, hebu ngoja tudadavue bayana zake kiduchu.
Niliwahi sema wazi kuwa TANU ni chama cha kiislam(chama cha wasilam wa Dar) ambacho kilibahatika mpata Nyerere ambaye alikifanya kikawa na taswira ya kitaifa bila kuua usilam..Wengi hawakuelewa sana
Hapo juu ndugu yetu amekiri kuwa TANU kilikuwa chama cha Waislam, ha ha haaa, baada ya kukiri anajaribu kumtafutia nafasi Nyerere kuwa ndiyo aliifanya TANU kikawa na taswira ya kitaifa, wakati Nyerere kaanza siasa na wazee wa Dar es Salaam 1952, Wazee wa Dar es Salaam wameanza kufaamika kimataifa acha kitaifa wakati wa AA 1930 wakati Nyerere ana miaka 8 sembuse TANU soma chini hapa.
Hapa chini unaelezea habari za uongo kabisa kutokana na fikra zako.
Nyerere ali struggle sana kuweza balance udini uliokuwa unaibuka kila mara,....hao waislam na uzao wa km akina Ritz bado wana ndoto ya kuifanya CCM kurudi ktk dyanamics za TANU.
Nyerere asingeweza kufanya chochote alikuwa Mkirsto peke yake kama kungekuwa na udini asingeza hata kakaa pamoja na hawa wazee hebu msome chini hapa Nyerere mwenyewe.
Nadhani umeona Wazee walivyokuwa na mahaba na a Nyerere wakati wa harakati za uhuru.
Wanakumbi huyu ndugu yetu sijui kaipata wapi kuwa wakati wa harakati za uhuru wa Tanganyika nusu ya Watanzania walikuwa hawajuhi kiswahili, kwa hiyo unataka kutuambia Nyerere alikuwa anajua kuongea lugha zote za Tanzania, ha ha haaa...nadhani wanaukumbi mmeona hoja dhahifu za huyu ndugu yetu. soma chini hapa harakati za TANU Tanga.
Chini hapa angalia harakati za TANU Kenya.
 


Wewewewewewewewe
Wickama,
Kweli ni sahib wangu ahsante sana.

Basi ngoja nikupe kitu ni zaidi ya miaka 40 toka nimepiga ile nyimbo
''Things We Said Today'' lakini nakumbuka chords zake...

Opening G Minor, C Major, F kisha G.

Utamu uko kwenye hiyo opening kuna vamping kali sana ya George
Harrison.

Ahsante sana.
 
tunaomba hii kitu ifafanuliwe sisi wengine hatujaielewa,labda tuna matatizo ya lugha-aksante
 
tunaomba hii kitu ifafanuliwe sisi wengine hatujaielewa,labda tuna matatizo ya lugha-aksante

Son of Alaska,
Siye wewe peke yake usiyeelewa hii kitu. Yaani mapinduzi ya 1964 yalipindua uzalendo? Uzalendo ni nini? Kuwabagua waafrika weusi katika nchi yao wenyewe ni uzalendo? Kudumisha mfumo wa watwana na mabwana ni uzalendo? Sijaelewa kitu. Halafu Gamal Abdel Nasser aliyekuwa rafiki mkubwa wa Julius Nyerere aogopewe na Uingereza wakati huo huo Uingereza isimwogope Nyerere pia? Nasubiri ufafanuzi zaidi
 
tunaomba hii kitu ifafanuliwe sisi wengine hatujaielewa,labda tuna matatizo ya lugha-aksante

Son of Alaska,
Nilisema toka mwanzo.

Mmeyataka wenyewe.
Mbona ndiyo kwanza tunaanza safari?

Mara mshachoka?

Kuna course nilifanya zamani sana akinifundisha mwalimu Mholanzi:
''How to Read Difficult Passages.''

Tuliza akili na kama unaijua historia ya mapinduzi haitakuwa tabu.
Tabu itakufika kama umesoma historia za Wazungu.

Tayari nishaona propaganda za Wamishionari za Beit Ajaib nguzo zake
wamezikwa watumwa.

Jasusi anasema Waarabu wanawabagua Waafrika.
Ndiyo maana nilitulia tuliiii nakula faluda sitaki shida.

Niliyajua yatakayokuja.
Nyerere alimfunga Sheikh Ali Muhsin kwa miaka 10.

Hint: Jiulize kwa kosa lipi?
Ali Muhsin alipopata upenyo akatoroka nchi kavuka mpaka kwenda
Mombasa usiku wa manane peke yake kwa miguu akitokea Tanga wala
hana pasi ya kusafiria.

Kasaidiwa na Waislam kutoroka nchi.
 

Tarati taratibu taratibu!

Twende hatua kwa hatu!

Wenzetu wakiomba ufafanulie wala usitie kinyongo, wafanyie hisani tu bila mawaa!

Ndio uungwana wa mwafrika
 
Wamajamvi,hebu tuangalie kama maelezo hayo yanakidhi haja na kiu ya wasomaji

Kwanza unasema mapinduzi yalilenga kuondoa Uzalendo kwa wazanzibar uliokinzana na Uingereza na Tanganyika chini ya Nyerere(bold) kuonyesha kuwa yeye ni sehemu muhimu ya kuondoa uzalend.

Picha inayopatikana ni kuwa Nyerere ndiye kinara wa mapinduzi(rekodi)
Ukasema kwa mtazamo wa uingereza wakati huo, Zanzibar ingelikuwa chini ya ushawishi wa Misiri jambo ambalo lingehatarisha masiliahi ya uingereza na vibaraka wake Afrika Mashariki.

Kwa maneno mengine Uingereza haikuta kuiacha znz chini ya ushawishi wa misri ndiyo maana walimtumia kibaraka (puppet) kama Nyerere.(katika rekodi)

Ukasema Sheikh Mushin alimtuma mtu wakati akiwa jela kwenda kwa katibu wake ili wachane nyaraka alizotaka kuziwakilisha katika baraza baada ya ziara yake Misiri.

Mwisho ukasema kutoamini na kuyumba kwa msimamo kati ya uongozi wa ZNP-ZPP kuhusu uetgemezi kwa Misri au kutoamini kuwa Tanganyika ingeweza kuivamia znz ndiko kulikuwa anguko na znz haijaweza kusimama tena.

Kwa mtazamo huo, chini ya Sultan znz ilikuwa shwari na yenye uzalendo.
Umeshahu kuwa katika nchi za ukanda wetu znz ndiyo ilikuwa ya kwanza kufanya chaguzi zilizokuwa na matatizo.

Hassan Nassor Moyo, mwachama wa baraza la mapinduzi, oct 6 2012 akiwa bwawani alisema wazi kuwa mgogoro wa znz haukuanza baada ya mapinduzi au muungano, ulianza kuanzia miaka ya 1950.
Ni wakati huo Nyerere alikuwa hajawa rais.

Hoja zako pia zinashadidia mapinduzi yalichagizwa na Uingereza na Nyerere na wala ASP hawakuwa na mkono katika. Umesahau maneno ya A.Babu siku ya uhuru wa Zanzibar!!!
Mohamed akasema Karume alilala mtaani kwao siku ya mapinduzi kuonyesha kuwa alikuwa anungwa mkono na Nyerere

Hivyo ujumbe wa Mohamed kwa jamvi, Wazanzibar na dunia ni huu:

Kulikuwa na uzalendo mkubwa kabla ya mapinduzi na znz ilikuwa shwari.
Mapinduzi ilikuwa ni chagizo la Uingereza na Nyerere
Kwamba mapinduzi ya znz ni Haram
Walioshiriki mapinduzi hayo walifanya kitendo haram na hivyo wao ni madhalimu kama Uingereza na Nyerere
Walioshirkiana na Nyerere kama akina Moyo, Mwinyi, Natepe, Jumbe, Amour, Karume wote ni madhwalim
Kwamba,wznz hawapaswi kusherehekea mapinduzi kwasababu ni jambo la kidhalimu
Kwamba mauaji ya wznz yalisimamiwa na watu wa nje na hivyo Okello ndiye kiongozi wa kwanza wa znz
Kwamba yale aliyosema kuhusu Kassim Hanga huko nyuma sas anayakataa.

Mohamed Said, je, unathibitisha kuwa hayo niliyosema ndiyo uliyokusudia ili twende mbele na mnakasha?
 
Tarati taratibu taratibu!

Twende hatua kwa hatu!

Wenzetu wakiomba ufafanulie wala usitie kinyongo, wafanyie hisani tu bila mawaa!

Ndio uungwana wa mwafrika

Yericko,

Taratibu!?

We si unataka kusoma historia ya mapinduzi sasa nini tena aste aste.
Ushahemewa mara?

Tuendelee na darsa:


''For more than fifity years Zanzibaris have been driven by falsity which
have to large extent contributed to the infightings between Zanzibaris
thus effecting tranquility which is necessary for development which they
deserve.

Most books on the history of Zanzibar have not been written by Zanzibaris
and these books are full of malice and misinformation which create divisions
among the people on the basis of race emphasising on cruelty of of Arabs
without any proof on those allegations.''
 


Shariff Ritz,
Mie nilijipumzikia zangu na sababu najua hawa jamaa hawana moja walijualo
ukiondoa kuuliza maswali kama tuko Mkwajuni kwa Hakimu Nassoro Kiruka,

Basi angalau wawe na hiyo adabu ya kuuliza basi.
Wanauliza kama vile na wao ni wajuzi wa haya majambo.

Yericko ati anataka nisomeshe kwa spidi ya kinyonga.
Mwingine kajiibua na anajua mie simjibu anataka yakini kutoka kwangu.

Nawapa hii hapo chini iwashughulishe khasa kwa kuwa naona huu ni wakati
muafaka kwao kuyaelewa haya mambo.

Ati mimi nitapigwa mawe Zanzibar!:

''Mzee Abeid Amani Karume had great fear about Abdalla Kassim Hanga and his group.

If Hanga was able to plan the revolution with the help of Tanganyika and overthrow the
government in Zanzibar without involving him he too could be overthrown.

There was a big tug of war between Mzee Karume and Mwalimu Nyerere at the end of 1971
and the beginning of 1972.

According to reliable sources Mzee Aboud Jumbe wrote a letter and sent it to the mainland
with the aim of of wanting several matters to be reverted back to Zanzibar government.

Even before that there are several issues which the mainland had refused Zanzibar particularly
those which seem to interfere with sovereignty in Zanzibar.


Sorces says that Mzee Karume used to say on Nyerere "He has married us all and he now acts
like a husband in a house."

Karume and his team knew what Nyerere was up to and realised what he was doing to them.

In one of the most important early meetings between the Revolutionary Council and Tanzania
Cabinet in the mainland Nyerere chastised Zanzibar delegates like little kids and that called for
other means to confront him.

It was in 1971 or 1972 when Mzee Karume left Zanzibar with members of the Revolutionary Council
to go to and see Nyerere in Dar es Salaam with that letter written and signed by Mzee Aboud Jumbe
as Minister of State on union matters.

In the that meeting Mwalimu Nyerere asked: "Are these in this letter which you want? Mzee Karume
responded by telling him "Waulize hawa wanaume."

When asked all of them said "yes" three times.

Nyerere was very angry and he requested all the papers which were there to be collected and said
"the time for this is not yet ready!"

Mzee Karume replied: "Keep those papers and call us when the time comes!" Mzee Karume stood up
closed the meeting and returned to Zanzibar.


Mzee Karume went to Dar es Salaam with a strong delegation which had four proposals which had the
intention of giving back to Zanzibar its status as a country.

The letter which was signed by Mzee Jumbe wanted Zanzibar to have its own police force, Zanzibar
should share all ambassadorial positions on 50-50 basis in the Union between the Republic of Tanganyika
and Peoples Republic of Zanzibar.


There should be Zanzibar citizenship and Zanzibar should have its own currency.''
 

SITAKI kusomeshwa/kulishwa hayo uyaletayo bila kuhoji!

Nitayapokea kwa hoja sio kwa ngano!

Historia ya Zanzibar ninaifahamu wala haina mawaa kama unavyotaka kuuaminisha umma hapa!

Bandiko lako la kwanza linakinzana na kila msomaji hata awe hajawahi kuisoma popote historia ya Zanzibar!

Eti mapinduzi yale ya 1964 yakuwa ni HARAMU, kwamaana yaliondoa/yalifuta uzalendo na uhuru wa Wazanzibar chini ya Sultan???
 

Mohamed Said,

Along silence followed by mighty noise...ha haa haaa.

CC: gombesugu,
 
Last edited by a moderator:

Wanajamvi,

Kumekucha watu wanakula faluda huku wanashusha mipini...chezea Mohamed Said,

CC: Ami, Boko haram, gombesugu, Mshume Kiyate, THE BIG SHOW, Barubaru, HASANALIS, Spike Lee,
 
Last edited by a moderator:


Yericko,
Hii ni nchi huru.

Amini historia yako lakini usitubughudhi nasi tunaposomesha yetu.
Wala mimi sitakuuliza chochote katika hayo unayoamini.

Uhuru wa kuamini upendacho ni wako hakuna wa kukuzuia.
 

Sheikh Mohamed Said,

Refusing and wanting at the same time, taratibu usifunguke sana.

Wamevutwa kwenye mtego wa taa wamenasa. ha haa ha.
 
Last edited by a moderator:

Vipi maswali yameisha waambie tena wenzako wapange maswali mapya Sheikh Mohamed Said, habari ingine angalia sasa mnavyotia huruma ha haa ha.
 
Last edited by a moderator:

Vipi maswali yameisha waambie tena wenzako wapange maswali mapya Sheikh Mohamed Said, habari ingine angalia sasa mnavyotia huruma ha haa ha.
 
Last edited by a moderator:

Shariff Ritz,

Tuna wajibu kuwaeleza hawa ndugu zetu mambo yalivyokuwa.
Mohamed Said,
Hujajibu hoja yoyote

1. Ni nani alimuomba msaada mwenzake kati ya TANU na ASP?
2. Hujasema kama mapinduzi ni halali au ni haramu
3. Hujasema waliofanya kazi na Nyerere ni dhalimu wa uislam au ni wanampainduzi
3. Hujasema wazanzibar wanapshereheka mapinduzi wanasherehekea udhalm au mapinduzi halali.

Katika post niliyotuma awali nimeweka sawa maelezo yako na tafsiri ya kile kinachoweza kutokana na nayo.
Kwa kipande cha kitabu hujajibu hoja. Na badal yake umezidi kuleta hoja zingine za kutatanisha

Kama yupo yoyote katika jamvi aliyemwelewa Mohamed, basi maswali hayo atusadie.
 
Nimeweka hoja na majibu
Kama yupo alielewa maelezo haya kwa mujibu wa Mohamed hapo juu,tunaomba atusaidie kudadavua hoja kama zilivyoletwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…