Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Mohamed Said.
Shukrani,haya nayoyapata ni ya thamani sana.
Ilmu kubwa sana hii.
 
Last edited by a moderator:
The Big Show,
Kuna mtu nimemtaka radhi lakini hana uungwana sharti anichokonoe.
Mie sitamuopoa.

Anasema nyaraka zangu ni ''vikaratasi.''

Haha ....mzee naona umeamua kwenda mwendo hu😵ff course ni mimi ndie niliyeweka neno "Vikaratasi"..hasa vitu km risiti,ni vikaatasi tuu, km issue haihusu madai baadaye....kwanza kaandika yeye ,lazima atatunza copy.Na pia km Vice lazima apewe nakala.Ni haki yake kutunza km alazithamini au alitegemea kudai baadaye.

Sioni wapi haya yangekuwa "Leaks"


Ingekuwaje ningekuja mikono mitupu.
Haha naona umeamua kuambulia kitu..basi nakupongeza kwa kujitahidi hilo..

Jamaa Marekani na Ujerumani wameniomba niwafanyie nakala.
Si mbaya km wamekuomba ila ujue kuwa wenzetu wamefikia kuwa na "comparative studies" ya cultural,religous perspectives.Pengine wataka jua waafrica waliyatazamaje mambo na accounts zao kihistoria.Ila germans, british wana records nzuri sana za Africa.Na nyingi tuu zimeandikwa kwa uhasilia wa mambo.Kwani kwao kujidanganya si fani yao.Ila kudanganya wengine wanaweza fanya.

Ningekushauri pia uandike kuhusu Arabs brutalities..pengine ungeweza andika kitu cha kihistoria.
Leo hii watafiti wa historia ya uhuru wa Tanganyika wakifika
maktaba za huko wanazisoma.

Kuna wasomi na wasomi, wasomi wenye vichwa kuna clues wakiziona basi ,machale yatawacheza,na watatafuta alternative accounts.Wakati unafatuta historia kila source utaitafuta,ila somewhere utaanza eliminate, nyingine.

Vatican wana records nyingi sana,na wamezihifadhi kwa utaalamu wa hali ya juu,na mara zote zimekuwa zikiwatetea pale wazandika na wapika Historia wa makundi mengi,kuanzia dini pinzani, atheists, na wannabe historians novelists,na populists..etc.Wote kila siku wanagonga Vatican kujaribu fikia malengo yao kwa kuichafua.

Nashukuru ni kwamba hadi hapa kila reference mliyoileta ina kila kitu kinachohitajika kuzipangua hoja zenu.Kwa kupitia tafsiri potofu mzitoav ktk kile mkiletacho km ushahidi ,ndipo ninaposhawishika kusema HATA HISTORIA ZENU NA TAFITI ZENU MLIKOSEA MENGI SANA.Ila nguvu zilizotumika na kukosekana kwa critics kumepelekea usipate mawazo mbadala kabla ya kutoa version sahihi,ni kubwa sana.Hasa ikizingatiwa ni ktk kundi na kipindi watu wanajaribu elezea kurudi kwao nyuma km plot ya kundi lingine.Watu watasoma na wengi wataamini,na wengi watapotoka,ila hujaitende haki sanaa.Watakaoshtuka ni wale waliowahi soma account nyingine na kuwa na akii nyepesi kujiuliza maswali ya msingi.wengine ni wale wanaokujua jinsi unazi wa dini ulivyoipelekea akili yako yote kuegemea upande wa dini.Ni hofu yako na wengine kuweza geukia dini na matendo ya waislam km yanaruhusu mafanikio ya waislam kwa wingi wao.Si kuwa na bakhresa 5 wanaotisha na kuabudiwa kwa utajiri na zawadi ndogo ndogo za kupita watoazo.
 
Ahlan wahsalan The Big sow. Nakuomba kwana upumue, ubute subra halafu upunguze jwazba kwasababu zinakutoa katika Tarbiya al Islam. Mafunzo ya mnakasha yasema mlinganie mtu kwa hoja na si matusi.

Sijapuuzwa kwasababu ukinipuuza wewe akina Pain Killer na Mbagalans wananitafakar!
Sijapuuzwa kwasababu Mohamed katoka huko aliko, pamoja na ujio wake laiti kama ningelijua anakuja! kabla hajaondoka, basi ningemshauri kwanza ''avae nguo''.

Majibu aliyotoa hayakidhi tuhuma za Kipumbwi, mapinduzi au yatokanayo.
Ningelikuwa mwalimu na nasahihisha karatasi yake ningeshauri discontinuation.

Majibu hayawiana na maswali, reference ni siri yake hata kama kaandika mwenyewe.
Kaokota kikaratasi kakitupa jamvini ili watu wafyonze ilm, a! aa!
Si kila mmoja anaokota vitu jalalani wenye akili zao wanatafakari

Hata ninyi mnaosema mwapata darsa, hamuwezi kujibu mumebaki mkiporomosha mitusi kwa bidii.
Mohamed Said ameshindwa kutetea hoja za Kipumbwi, na amezusha yasiyokuwepo huo ni uchochezi na fitna.

Si mara moja au mbili!! ameshawahi kukwea ndege akiwa na mikoba kwenda kueleza asichokielewa japo amekiandika, leo anashindwaje kuweka mtandaoni fitna.
Kama hakuona haya kusimama mbele ya hadhra Ibadan chuoni ataona haya JF asikoenakana.

1. Nani aliyemuomba mwenzake msaada TANU au ASP?
Haiwezekani wamakonde wakipumbwi waondoke tu jioni moja kwa dau kwenda kumuondoa sultan. haaa!

2. Mapinduzi ya znz ni halali au ni haram?
Haiwezekani yawe ya Nyerere halafu leo waliodhulumiwa wayaenzi,jamani hata hili mnahitaji kufyonza ilm, real!

3. Wanamapinduzi ni wasaliti wa Uislam kwa kufanya kazi na dhwalim Nyerere?
Akina, Thabiti Kombo, Ali Hassan, Jumbe, Nasor Moyo na waliotangulia mbele ya haki.

4. Nafasi ya mzanibar katika mapinduzi ni ipi? hapa si Muhsin au Gamal! ni wazanzibar.

Namuomba mwenyezi akupe wewe na wenzio mnaotukana ustahamilivu, busara na hekma!
Muwe waja wake wenye kufanya mema na kukataa yaliyokatazwa.
Na hakika awape tarabiya al islama muwe mfano wa waislam wema kwa kauli, hekma na mlinganio
..............
 
Ushahidi kuwa TAAhaikuwa chama cha kisiasa ingawa kilikuja anza ingiza siasa ....."...barely finished...".Barely finnished ni kukuza tuu mambo...Tukirudi ktk tabia za Nyerere...Huyu Mzee/Kijana wa enzi hizo alikuwa book worm sijui ungempa notes gani alizozipenda au kuona umuhimu halafu ashindwe zisoma haraka na kwa utulivu.Hapo ndipo mapishi ya upotoshaji yalianza .

Hii ilikuwa kweli kwani nchi nzima palikuwa na vyama vya ushirika na kijamii tuu.Hapakuwa na vya kisiasa na hivyo siasa zilipitia huko.
Waliotoka makarere ndio hawa akina Nyerere na Si akina Abdulwahid ambao walishabweteka na walisubiri deal la vita tuu km ingebidi, na mara nyingi ni pale maslahi yao y akibiashara yakiguswa..hata Abushir alikuja juu baada ya biashara ya Utumwa kuguswa.Hapa contradiction zinaonekana.


Ni radicalism gani ilikuwa ktk Barua?Je ilikuwa na reaction gani kwa waingereza?

Na correspondense gani hiyo....kwani wenzetu vyama haviwezi wasiliana na mataifa ua vikundi hasimu na nchi yao.Pasipo kuwa na maslahi ya taifa.Na inawezekana kabisa Labour Party,ilikuwa ni alternative way ya waingereza kujua goals na shida za watanzania,bila ku compromise superiority yao, na baadaye watumie info kukabiliana na watanzania.
By the time wahindi walikuwa wameletwa wengi tuu na waingereza na india ilishakuwa ktk model itakayotumika Africa mashariki.
Na nikisoma hapa chini kuna clue nyingine ambayo haimtoi Nyerere ktk hiyo movement km central icon.


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752"] Ktk red, kuna clue za exceptinalism kwa Nyerere...Waingereza walijua Nyerere alikuwa mwanasiasa,na Tayari alikuwa anaungwa Mkono na wamissionary waliokuwa wakitaka Tanganyika huru.Ila walimwamini kuliko hao wengine.Walijuwa Nyerere alikuwa na akili timamu na alipenda usawa wa matabaka yote.Alikuwa ni mtu ambaye alishaonyesha peaceful ways.Na tayari waingereza walijua asingeweza kabisa chukua njia za Maumau.Tofauti na hao radicals niliokuuliza hapo juu.

By that Time Nyerere alishaaminika na camp zote,na pia alikuwalika na wale ambao walimchukia kwa dini yake,rangi yake ila walimkubali ktk haki atoayo, na msaada autoao n amajibu aliyokuwa nayo ktk mambo yaliyomzunguka.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752"] Hapa tayari kuna kaarufu kengine ka upotoshaji...Abdulwahid anasemwa km tajiri na funder wa projects.Nyerere naye anasema pia kuwa, wazee wengi walikuwa hawa tena hofu ya kupoteza kazi na walikuwa wafanya biashara.
Halafu hapa mnatulea habari zingine kuwa ali risk...ali risk nini wakati risk yenyewe tayari si applicable?Unless km alikuwa disperate sana kw ahiyo kazi halafu iwe ktk hatari ya kupotea.

Serikali haikumbana kwa vile hakuwa mwajiriwa wao ,ingawa kwa kiasi fulani wangeweza wabana wamissionary wamchomoe.

Nyerere hapa anaonekana kuwaudhi kanisa ambalo African politics zilijaa siasa za dini za kiislam,km za CUF leo ,kwa kuonyesha ukaribu hadi wakapoza imani naye.Hapa pana clue ingine,dhidi ya claims za waislam kuwa Nyerere alilifanyia kazi kanisa.Kwa miendeno yake ni wazi alionekana kuvuka mipaka.

He was giving in too much, hadi alipokuja fikia chukua shule na mahospital ili kuwaridhisha waislam ambao leo hii wamewekeza nguvu zao zote kunchafua,km adhabua ya kujichafua mbele ya wakristu na wavuja jasho wengine waliojenga miundombinu yao kwa ubora wa hali ya juu.Matakwa ya waislam kuendelezwa ili wakubali uhuru yakawa yametimilizwa,ila waislam bado hawajabadilika ikilinganishw ana wengine.Hata walionyang`anywa waliamua kimbia na muda si mrefu wakazidi walichony`anyang`anywa.




Abdul wahid hapa anaonekana hakuw ana kili timamu..kwani hakuwa amesoma parameters zake vyema.Na anaonekana kuwa na couse nyingine.Hakujua kuw awaingereza walikuwa na kazi ya kuandaa taifa na hawakuwa watu wa kukaa muda mrefu.Ingawa walikuwa wakijijiengea mazingira ya kusema bado

Nyerere aliona hilo na akajipanga kuwapiga bao,kwa kuwathibitishia mapema UN kuwa tupo tayari.Na alifanya mambo yake kwa taiming na akili sana.Kwa ujumla hao wengine hawakuwa na tofauti na magari au nyenzo ya kazi.Kwani kila kitu successful kilipangwa na Nyerere.Na hili lilionekan hata baadaya Uhuru.

Hotuba yake ya UN ilikuwa ni cutting edge.Aliwaacha members na fikra mbadala na huruma kwa wanamapinduzi wa Africa.Wakati waingereza hawakuwa na furaha tena.

Pengine Akin Sykes na Kyaruzi,wangesema km walimwandikia.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752"]
 
The Big Show,
Haya ndiyo maajabu ya Allah.

Leo zaidi ya miaka 50 toka tupate uhuru na zaidi ya nusu karne
toka historia ya kweli ya uhuru izikwe hii leo tuko hapa wazee
wetu wanajadiliwa JF kwa mapana na marefu.

Hakika haki siku zote itakuwa juu ya batili.
 
Nadhani ni kipindi waislam waliosoma wajribu tataua mambo bila kuingia dini yao ,au hata kutaka fanya mambo wakidhani dini itapa bigger share ya rewards.Ukiishikilia dini na vitu vya dunia vinavyopita,mara nyingi sana utalag behind.Waipelekapo dini ktk mahali wanapodhani ni pa Glory wanakwenda ifanya idhalilike.Mara nginyine tazameni mambo ktk sura yake halisi.

Kuna mambo Mengi ni survival for the fittest, na watu wana tamaduni,tabia na hulka binafsi ambazo huwafanya wafanikiwe,kirahisi sana.

Mfano ni Turkey na Iran, hawa wana mafanikio zaidi ya nchi nyingi za kiislam kwa vile wana factor nyingine zinazowatetea...kutokuwa waarabu.

Humu ndani tumejikuta hatuwezi jibu hoja bila taja uislam,kwa vile waislam wenyewe wanajaribu sana ufanya uislam uwe ni factor na si watu waliokuwa na imani ya kiislam na Kikristu ambao kwa pamoja wanakuja itwa watanzania.Kwaminajili hiyo hiyo nasi tunaona kuwa kumbe dini yao inaweza sema anguko lao.Ndipo tunaenda mbali na kuona kila viashiria kuwa uislam ni shida kwa waislam wenyewe hata ukitoa makafiri ktk ramani ya dunia.Tunaweza ona hata priorities walizozifuja.Ingawa pia pwani , mila yao pia ni tatizo inaweza elezeka kushuka kwao hata wakiwa na nafasi za bwerere..Na hii itathibitika soon JK akiondoka.mabadiliko madogo yatawaacha wengi masikini tena,labda wale waliowekeza ktk mifumo inayotegemea wengine kufanikisha.Kwani huko kutakuwa na watu tofauti wenye bidii na nature za kuwajibika na kufanikisha mambo.Hao watapata mgao .Ila pia wanaweza uza share zao baada ya mzunguko tena,migogoro ya familia km ya kdoi za nyumba inawasukuma kirahisi kuuza share na kutumbua hela.Mwshowe wanarudi walipotarajia.Tumeona wengi mijini wakilumbana na kuuza nyumba.

Nadhani mzee afunge mjadala,ajitahidi kusom alichoandika kwa makini na fikra zilizofunguka.Akiri hata kwa waislam wengine kuwa alichoandika si sahihi kihivyo,na pia ni ayake hakiuwa nzuri.Awape zawadi kwa kuandika kitabu kingine kinachowap amatumaini na njia mpya za kujikomboa.Awape mbinu za kujikombo akm mtu binafsi na kwa jamii nzima ya umma.Si lazima sana awabadili zombies wake akina Ritz,kwani hawa tayari wana permanent trauma.
 

Mzee MS; nahitaji msaada wa kujua kitu kimoja; Kabla ya kuwa TANU kuna WAKATI wowote; AA------>TAA walishajiandikisha rasmi kama chama cha SIASA kwa mamlaka husika? Au chama cha siasa ni kwenye mafaili yao tuuu?
 
Mzee MS; nahitaji msaada wa kujua kitu kimoja; Kabla ya kuwa TANU kuna WAKATI wowote; AA------>TAA walishajiandikisha rasmi kama chama cha SIASA kwa mamlaka husika? Au chama cha siasa ni kwenye mafaili yao tuuu?

Hili swali sijui km atalijibu kabisa au km atajibu kwa usahihi unaoutaka.
 

Kwanini mzee upende jidanganya na kuamini uongo huo kwa kiasi cha kudhani utakuwa kweli unapowafikia wengine?

"KWELI HAKI SIKU ZOTE ITAKUWA JUU YA BATILI" ila hapa hakuna haki iliyoguswa,ila ni dhana ambayo imepelekwa mbali kiais cha kuitwa haki PASIPO HAKI .Hapa mwenye kupora haki ni wewe na wenzio.Haki ya Nyerere..na sasa mnajikuta mnatakiwa muirudishe .Ni ngumu kwako ila tayari umeshaanza ona...hali halisi.wether unakubali aua lah..bado hutokuwa the same tena.Naamini hata ulichoandika sasa hivi utakuwa ukikibadili sana...na ulivyokwisha andika utakuwa ukivionea sana aibu.
 
Mzee MS; nahitaji msaada wa kujua kitu kimoja; Kabla ya kuwa TANU kuna WAKATI wowote; AA------>TAA walishajiandikisha rasmi kama chama cha SIASA kwa mamlaka husika? Au chama cha siasa ni kwenye mafaili yao tuuu?
Amefanikiwa kuzika hoja za Kipumbwi hadi atakapokutana na jamii ingine inayofyonza tu, hata hivyo lazima amejifunza jambo kubwa kuwa hadithi zake zinaji-contradict.

Amekata kata vipande vya vitabu ili kuuondoa umma katika katika hoja halisi aendelee kutaja majina ya watu bila logic za mtirirko wa matukio tukiambiwa ndiyo historia ya kweli.

Ameshindwa kutetea hoja za mapinduzi na hilo linabaki jeraha katika masimulizi yake.
Ninakuhakikishia hata rudia tena hadithi za Kipumbwi kama alivyokoma kuhusu ujio wa Nyerere, Sykes/Matola na AA.

Hili hatalijibu, nasi tunamwambia hoja za nyuma bado zinasimama kama zilivyo na zitaendelea kumwandama kama zimwi la Ibadan linavyomwandama kila uchao. Siku hizi Ibadan kimyaa! hataji hata katika sehemu alizohudhuria, ha ha ha ha

Hatalijibu kwasababu litamaliza ilm na wafyonzaji watazidi kuwa na wasisi.
Keshaondoa wasi wasi 200+K waliyokuwa nayo kuhusu maandiko yake isipokuwa wafyonzaji.

Mohamed, mapinduzi ya znz bado hujayatolea maelezo na sasa unaulizwa hilo hapo juu.
 
Mzee MS; nahitaji msaada wa kujua kitu kimoja; Kabla ya kuwa TANU kuna WAKATI wowote; AA------>TAA walishajiandikisha rasmi kama chama cha SIASA kwa mamlaka husika? Au chama cha siasa ni kwenye mafaili yao tuuu?

Wickama,

AA wala TAA hawakupata kujiandikisha kama chama cha siasa.
Hawakuwa chama cha siasa katika mafaili bali kwenye matendo yao.

Haya matendo yao ya kisiasa ndiyo yalifanya Waingereza watoe
Government Circular No. 5 na 6 kuzuia Waafrika katika ajira za
serikali wasijiingize katika siasa.
 

Mkuu nahitaji copy ya kitabu chako hicho..
Historia ya Uhuru upande wa Pili....
 
Mzee MS; nahitaji msaada wa kujua kitu kimoja; Kabla ya kuwa TANU kuna WAKATI wowote; AA------>TAA walishajiandikisha rasmi kama chama cha SIASA kwa mamlaka husika? Au chama cha siasa ni kwenye mafaili yao tuuu?

Nilimueleza kwa kifupi tu ndugu yangu Mohamed Said kuwa,

AA, TAA havikuwa vyama vya siasa,

TAA ilichukua mlengo wa siasa baada ya kushika madaraka kwa Julius Nyerere,

Hapo ilianza kuwa chama cha siasa kisheria kwamaana ya kuwa na KATIBA na kusajiriwa rasmi!

Mohamed Said anawadanganya sana watu hapa bila hata aibu,

Ajabu nikuwa watwana nao wanadanganyika,

Ukisoma hata hotuba hiyo inasema wazi kuwa miezi mitatu baada ya Mwalimu kuwa rais wa TAA alianza kuandika katiba!

Hii ni tafsiri tosha kuwa kumbe TAA haikuwa na KATIBA ya kisiasa zaidi kilikuwa kilinge cha soga za weusi tu!
 
Bado wafuatiliaji laki mbili na ushee katika mnakasha huu wanataka kujua kuwa:

1) TANU waliombwa kudhamini mapinduzi ya Zanzibar au walilazimisha kudhamini?

2) Mapinduzi ya Zanzibar ni HALALI au ni HARAMU?

3) Viongozi wa Zanzibar waliohudumu katika mapinduzi na serikali ya mapinduzi tangu enzi za mapinduzi hayo mpaka leo hii kama Mzee Karume, Mzee Mwinyi, Mzee Kombo, Mzee Moyo, nk ni wasaliti kwa Wazanzibar na ni vibaraka wa ukristo?

4) Kwanini Wazanzibar wanaadhimisha Mapinduzi ya Zanzibar kila Mwaka?

Ndugu Mohamed Said, usiyakimbie haya, Watanzania wanataka kujua toka kwako wewe bingwa wa historia ya Uhuru nchini!
 

Jee, umewahi kumsikia Mashado Plantan?
 


Kabisa Kabisa,
 
Kitabu kinaitwa Maisha na Nyakati za Abdulwahud Sykes.
Kinapatikana Tanzania Publishing House, Samora Avenue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…