Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

The Big Show,
Sasa tufanye nini na kitabu nishaandika na kinasomwa?

Mwalimu wangu Mohamed Said,

Hawa watu hata uwaandikie kitu gani hawatokaa waje kuamin wala kusadikisha maandiko yako,

Kama tunavojua wana maradhwi makubwa sana,tena yamekuwa DEDICATED KWAO..!

Lakin kwa kuwa kitabu kimeshaandikwa,tena kwa weledi wa hali ya juu sana na watu wanakisoma hapo hakuna la ziada,

Watu wenyewe wataamua wachague ukwei upi,madam kile cha kivukoni wanacho wanakisoma na hiki wanachosema cha uchochez wanacho na wanakisoma,pamoja na vingine vingi watavyokuwa wanavisoma mwisho wa siku wataamua ukwei upi wauchukue,na sio kwa shinikizo la watu wanaojivunia kuwa na u-JF SENIOR EXPERT MEMBER AU u-JF VERIFIED MEMBER,hilo halitawezekana hata kidogo,

Ama la wapinde mgongo kufanya utafit na waandike nao,kisha tuone nani atawasikiiza na kuwapa mialiko hata ya kwenda kufanya mijadala,

Wao wanadhani ni jambo rahis rahis...
 
Last edited by a moderator:

Wickama,
Nakupa privileged info. sasa usitake makubwa.

Ikiwa hutaki hidaya hii basi na tuanue jamvi...
 

The Big Show,
Wametosheka na zogo la jamvini.

Hawana hali ya kusimama kwenye ukumbi wa chuo kikuu Ulaya
au Marekani yuko peke yake na microphone na nyuso lukuki
zinamtazama kwanzawanajiuliza huyu Mwafrika kaja kwetu
kutuambia nini?

Aha! Kaandika kitabu kile tunachosoma katika Islam and Politics.
Ana saa moja na zaidi ya ku-rap huku akisikilizwa na mabingwa.

Wao ni wachezaji wa home ground timu yao haichezi ugenini.
 

Kaka mbona kina Mag3 wanaleta humu hotuba za Okello, haujasema kazichomua wapi teh teh teh, kaleta orodha ya mawaziri kawawekea dini tofauti haujasema kaichomoa wapi teh teh teh.
 

Wickama,
Mie Kizungu changu cha kubabia niandikie Kiswahili.
 
Oops....naona unajipa uhai bila hata aibu wala kujifikiria......wewe hayo madocument umeyaweka wapi...haapa umejitetetea kuwa ulipigiwa story na wazee wako..sijui ktk gahawa na mazungumzo ya majigambo au ktk mawaidha.Ila suala la documents..huwezi danganya mtu....ulichokiita madocumenti......tumeshuhudia ukisema "a copy", copy moja ambayo pia hujaweza thibitisha authenticity wala si copy abdul alinakiliwa km makamu?Nilikuwambia copy aliyopewa kiongozi binafsi si siri tena kwa wenzie na mwandishi...na hivyo haiwezi kuwa "Leak". Nakushangaaa sana public documents,tena nyingine zinaweza kuwa zilitupwa ktk dustbin bila hata kupitia ktk shredder,jamaa akaziweka ,unafanya kama vile ni ugunduzi wa karne,tena mnapiga tumba kuliko "waliogundua maandiko ya kale ya Biblia ktk Red Sea".

Napata shida sana kujua vipaumbele vyako, na thamani ya vitu unavyohifadhi....hata vichaa huona kila kitu ni valuable,hasa vitu vya Jalalani.Ila watu wengine huwa tunawashangaa,na wao wanatushaa kuwa tunashangaa mambo yao ya kawaida...na pengine wanajiuliza je wangefanya mamabo yao ajabu tungeshangaa vipi?

Nadhani its time ,utumie akili yako,kuandika mambo revolutionary kwa ajili ya waislam ili wajue ni wapi wanaweza tumia chochote chema ktk dini yao, ni vipi wanaweza kabiliana na maisha bila kuplay "victims" km wewe shujaa wao hapa.Unataka kuwa icon kwa wenzio,kuwa superstar..mgunduzi wa maficho ya Historia ya kweli,halafu huna hata ujasiri wa kutetea huo ugunduzi,kwa ushuhuda wako?Au kuna mkono wa mtu point zikakimbia...itakuwa ni hila za Yericko,Nguvuvi3....na Al Kafil mwenyewe mimi...mwenyewe ninayependa reset mind za watu..
 


Yericko,
Bora nikakuoga.

Si unajua sisi huwa tuna kazi nyingine na maji achilia mbali kuoga.
Sidhani kama utafurahi kama wewe ukiwa maji nitakufanya hivyo.
 

Umeishawahi kumsoma Dome Okochi Budohi?
 


Maajabu ya Musa,

Ati wengine wanasema ya kwamba toleo la nne halitapata wasomaji kwa kuwa credibility imepungua kwa kuwa wao wameindoa moja kwa moja hapa JF...

Ati watu waache kufuatilia ilm kisa wao wametoa kasoro zao nyingi humu jukwaani na kuthibitisha kwamba si chochote si lolote..!

Kweli??Jamii forum uwanja mdogo kama huu uwafanye watu dunian wapuuze utafiti wa kihistoria uliobobea??


Makubwa sana haya...
 
Huyu MS kwa sasa hawezi jitambu ila akija rudia haya mazungumzo atatamani asingeandika vitabu vya hovyo.Kwa vile alikuwa too naive ktk kijiwe chenye wana mihadhara ya "kabila" ya Ponda,t aliwahi ktk printing press ili wapenda dhulma wasijepoteza ushahidi wake.Pia critics na Reviewers ni wazandiki sana ktk macho na msikio ya MS kiasi kwamba akaona watambania ili mwanaharamu awahi na kupotosha ilim kubwa ya mzee.

Adrenaline mbaya sana, huku ni kula pweza ,karanga na Gahawa bila mpangilio ktk vijiwe huku sori zipigwazo ni za kufurahisha kuliko uhasilia...ni za kuliwaza failures kwa kuwaamabia kuwa miseries zao zina mkono wa mtu.MS angepunguza adrenaline angeweza subiri na kufanya tafiti n kutoa kitabu chenye maana...na chenye msaada kwa waislam wa tanzania ambao wametumika sana, na serikali, mashehe uchwara..waliotoka misikiti ya pembezoni.

Sasa mashehe wadanganye watu,waandishi km hawa wadanganye watu, serikali idanganye watu, maprof km Lipumba nao wafanganye watu, wazazi wadanganye watu, wafanya biashara km akina Manji wadanganye watu.......halafu watu hao ni walewale waislam...Jamani hawa jamaa wawahurumie.Sasa wawafundishe mafundisho ya matumaini na kujiamini ktk mema,waambie kuwa time haina reverse na kila dkk waitumie kujijenga kiimani,kujijenga kiuchumi, kuifanya dunia huru na salama kwa kila mtu.
 
Yericko,
Bora nikakuoga.

Si unajua sisi huwa tuna kazi nyingine na maji achilia mbali kuoga.
Sidhani kama utafurahi kama wewe ukiwa maji nitakufanya hivyo.



Naam,
Yana matumiz mengi sana,mfano mimi nayatumia kusugulia visigino vyangu kabla sijaenda kupata rakaa masjidi...

Pia mimi huwa situmii toilet paper kustanji stanji,nadhani maji yanahusika pia,

Bwana yericko tatizo huwa anaongea bila kuangalia mbali...
 
Umeishawahi kumsoma Dome Okochi Budohi?

kumbe mnafanana sana...kinana,JK,ponda, wewe, zomba and teh sort...unaniuliza maswali ya ndio hapana kwa kitu unachokihitaji ili ujitete?Ndio maana mkiambiwa ndio au hapana kinyume na matarajio mnaanza fujo.


Acha wehu kama wenzio ...andika utakalo na si kuleta maswali ya watoto kula kulala.hayo maswali huulizana marafiki wanapotaka suggest kitu kwa rafiki yake ambchao anaweza kataa au kubali bil akuumizana hisia zao.
 

Wanajamvi,


Hebu someni hizi tatu kama hazitoshi In Sha Allah nitaongeza:


This chapter was written with the help of a paper by Aisha Daisy Sykes presented as seminar paper at the University of Dar es Salaam in 1968.

Daisy wrote this paper with the assistance of her father Abdulwahid Sykes, from an original manuscript written by Kleist Sykes. Other information on Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika is from Tewa Said Tewa's unpublished manuscript, ‘A Probe In the History of Islam in Tanganyika'. Other information is from Ali Mwinyi Tambwe, secretary Al Jamiatul Islamiyya in the early 1940s.


Annual Report of the Secretary of Tanganyika African Association, 7 January, 1951. Sykes' Papers.

Joseph P. Kasella Bantu to the Honourable the Chief Secretary, 27 th April, 1954. Sykes' Papers.
 

ha haa haaa!! Walahi huwa nasikia burudani kusoma pumba zako, sasa Manji kaingiaje kwenye huu mnakasha.
 
SWEET Ritz sheikh wako anatukana-that does not sound good

Baby son napenda nywele zako Mashalaalah, katukana wapi? Hiyo tafsida katika lugha baraga, kama wewe unaona tusi basi ripoti kwa Mods sawa baby.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…