Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Siku zote mtu muongo anapoteza kumbukumbu.
Tangu tuanze mjadala huu sija KANUSHA wala KUKUBALi kile mnachokihoji na ambacho mngependa nyinyi niseme,
Hapa chini unajijibu mwenyewe.
Tuendelee kudadavua.

Andrew Nyerere ni kweli haya?
 
Andrew Nyerere,
Badala ya kumkana Yericko Nyerere ungemshukuru kwanza kwa namna anavyojitahidi kumlinda na kumtetea Mwalimu katika enzi hizi ambazo hata viongozi katika chama alichokiasisi yeye hakuna anayejitokeza kufanya hivo!

Nilidhani ungesema japo neno moja tu juu ya Mohamed Said, kati ya wengi humu wanaomshambulia Mwalimu kwa hadithi nyingi za kutunga ambazo zimeanza kuaminiwa na baadhi ya watu.

Watoto "rasmi" wa Mwalimu tunawafahamu. Hili lisikuhangaishe hata kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Siku zote mtu muongo anapoteza kumbukumbu.

Hapa chini unajijibu mwenyewe.

Tuendelee kudadavua.

Andrew Nyerere ni kweli haya?


Vema kabisa,
Twende nae hatua kwa hatua,kisha atupe sources za habari zake kama anavyomsumbua Moh Said,
Kisha tena tuhoji uhalali wa yeye kutumia hilo jina na kutumia lugha za matusi bila MODS KUMCHUKULIA HATUA STAHIKI,
TWENDE NAE HATUA KWA HATUA...
 
................Wasio Waislaam wanaujua Uislaam kuliko Waislaam !

Yaani Wasio madaktari wanajua udaktari kuliko madaktari !...........aiseeh !:heh:

Hiyo logic yako ...inaweza kuwa sahihi ktk baadhi ya mambo ....."Hata asiye jambazi , anaujua ubaya wa ujambazi kuliko jambazi".

Hukuoka vyema nilivyolisema labda tu extend kidogo......kuelewa ubaya wa "...zinaa...." watu hawakuuchagua...ila wazinzi wengi "hawajui hilo". Ajuaye ubaya wa uchawi .....hauchagui uchawi.....Aujuaye ubaya wa shetani si rafiki wa shetani.
 
Andrew Nyerere,
Badala ya kumkana Yericko Nyerere ungemshukuru kwanza kwa namna anavyojitahidi kumlinda na kumtetea Mwalimu katika enzi hizi ambazo hata viongozi katika chama alichokiasisi yeye hakuna anayejitokeza kufanya hivo!

Nilidhani ungesema japo neno moja tu juu ya Mohamed Said, kati ya wengi humu wanaomshambulia Mwalimu kwa hadithi nyingi za kutunga ambazo zimeanza kuaminiwa na baadhi ya watu.

Watoto "rasmi" wa Mwalimu tunawafahamu. Hili lisikuhangaishe hata kidogo.
 
Last edited by a moderator:


Kwanin umlazimishe kusema??
Yeye mwenyew ni mtu mzima na ana akili zake timamu,atapojiskia kuzungumza atazungumza..

"HAPO UNAPOSEMA YA KWAMBA WATOTO RASMI WA NYERERE UNAWFAHAM",,KWANIN SASA USITAKE KUJUA HUYU ANAEJINASIBISHA NA NASABA HII NAN HASA??

Hakuna anaemshambulia mwalimu nyerere humu hata mmoja,yan kuelezwa historia za wale ambao hawakuelezwa ndio kushambuliwa kwa mwalim nyerere??

Hoja yako ni nyepesi sana...
 

ha ha haa hata mie nimeshangaa mbereko kaka, pole ndugu yangu ndiyo mambo... tunakipiga Chamanzi unategemea nini?
 
i learned long time ago.,
Never to wrestle with A PIG,
YOU GET DIRTY,AND BESIDES THE PIG LIKES IT,
SO IN THIS VERY DAY WE PITA TUH,SINA MKUKI MIMI...

Huna tofauti na wenzio duniani kote.....hiyo ndiyo millipuko yenu...By the Way Pig anafanya zaidi 98% ya my favourite meals.
 
mkuu Yericko, cha msingi uwe na kapu lako tupu bila kuwa na hela mfukoni halafu ukiwa unaelekea sokoni...

Mbona ukikutana nae ni neema tupu, historia ndio inamnadi hivyo...
UKIFIKA pale mwembetogwa(present day fire) punde unapoingia barabara ya Swahili,utakutana na mshume kiatu,atakupa pesa nzuri-maana wewe umetoka nyumbani bila sent 5 mfukoni-ukitegemea njiani utakutana na msamaria mwema-haya mambo naona siku hizi hayapo AU gerezani yapo?????
 
Naona unampangia mtu mzima cha kusema hili akufuhishe wewe, jamaa anajiepusha na huu mjadala ni hekima kwake na familia yao. wana utaratibu maswala ya Mzee wao kuna msemaji wao Mzee Butiku.
 
Ritz,
Naomba unisaidie ndugu yangu,yale matusi ya Yericko yamefutwa,
Na mods wamekaa kimya hadi sasa,
Kwanin msumeno huu unakata upande mmoja??cc@Zomba
& gombesugu,

Whats going on??Sielewe kabisa unajua...
KWANIN YEYE HACHUKULIWI HATUA??
Mods wameyafuta kaka... ha haa haa.
 
By Yericko Nyerere

Nielewe mkuu, nimesema alikuwa mfadhiri wa Mwalimu Nyerere sio TANU.

Ndugu sio kila kitu utakifahamu katika historia ya nchi hii,
Mimi Mwalimu Nyerere kama Baba yangu mzazi, nakufahamisha tangu sasa kuwa Chifu Marealle alikuwa mfadhiri wa Mwalimu Nyerere (kiuchumi)

Alimnunulia gari, suti, na nauli alimpa ya kwenda umoja wa mataifa.

Si kila kitu kitawekwa katika simulizi.
 
The Big Show na Ritz,

Ninarudia kusema suala hilo si mahali pake hapa,

Nimetoa ufafanuzi kidogo hapo nyuma kuwa kwa yeyote anataka kunifahamu mimi kama Mods walivyonifahamu aje nilipo nimeweka kila kitu peupe mahali ninapopatikana!

Kwahali mnayokwenda nayo msije kulalamika kuwa Mods akawapa haki yenu ya likizo ya lazima!

Nawaomba zingatie sheria za jf,

Kihaiba mimi na nyinyi tunatofautia sana hapa jf,

Labda sifa za Verified member hamzijui!

Nawaomba achaneni na huo upuuzi, jadilini hoja ikiwa mnataka kukaa na kujifunza katika uzi huu!

Karibuni mihogo ya kuchoma na juisi ya parachichi hapa Posta baharini!
 
Hivi kweli ulihitaji kumfahamu Mshume Kiyate aliyepeleka maharage na mchicha nyumbani kwa Mwalimu kule Magomeni?
 


Hataki kuyakubali maneno yake hayo sheikh,

Anatukaribisha mihogo na juice za parachichi posta baharini,amesahau kuwa sisi ni wazee wa kashata na ghahawa??

Lakini kwa kias kikubwa ukweli upo wazi sasa,na watu washamfaham yeye ni nani kiuhalisia,

Kama ataendelea kung'ang'ania hiyo nasaba ni juu yake.
 

Ritz
NI JF GOLD MEMBER..!
CHAMBILACHO WEWE VERIFIED USER??
MODS WANAKUBEBA NA KUKUPA BACKUP ZISIZO NA TIJA,UKWELI TUMEUGUNDUA SASA..
 
Last edited by a moderator:
Siku zote mtu muongo anapoteza kumbukumbu.

Hapa chini unajijibu mwenyewe.

Tuendelee kudadavua.

Andrew Nyerere ni kweli haya?

Nilikuwa naongea na Joseph Butiku sasa hivi,na Mama Maria. Nimewauliza kuhusu huyu Yericko Nyerere. Hawamfahamu. Butiku amesema,watu wanajipa majina wanavyopenda; Adam Marwa ana mtoto wake mmoja tu,anaitwa Lumumba. Mimi[Butiku],mtoto wangu anaitwa Kaunda. Magige Nyerere ana mtoto anaitwa Moringe. Halafu Mama Maria akasema,Rose Nyerere ana mtoto anaitwa Luis Rwagasore,Mfalem wa Rwanda.
Kwa hiyo Butiku amesema huyu kijana kama angekuwa na namba ya simu,ningeweza kumtafuta,ili aweze kujieleza. Kwa hiyo nimempa Butiku namba ya simu ya Yericko Nyerere.
 

duh! Kamba zingine ni noma, yaani mtu unaenda sokoni bila hata senti tano ukiwa na kapu lako...

Sijui Mshume Kiyate yeye alikuwa anaelekea wapi wakakutana!!? Labda na mimi siku ninaweza nikawa sina kitu nikatembea kwenda kufuata mahitaji nitakutana na Ritz ataingiza mkono mfukoni... Dah! Sipati picha...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…