Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
-
- #1,781
Wakuonywa si Waislam wanaodhulumiwa.
Wakuonywa ni dhalim anae dhulumu.
Dhulma inaangamiza.
Yericko,
Mdogo wangu...
Basi inatosha.
Unapotosha mada, anaelaumiwa si waislamu ndugu, bali ni Mohamed Said anaejificha kwenye mwamvuli wa uislamu.
Nikuulize jambo moja ndugu yangu, wewe tangu lini umekuwa sauti ya waislamu Tanzania?
Wakati huo tukikuuliza swali linalokwenda moja kwa moja na uislamu huo unadai sio muhadhiri wa kiislamu.
Lawama hizi zinakuangukia wewe kama Mohamed Said, usijikingie uislamu.
TANU iliundwa tarehe 7.7.1954. Rais wa KWANZA wa TANU akawa Mwalimu kwa kuchaguliwa na waasisi wenzake. Hayo ya 1950 hayawezi kuthibitika wala kuwa historia. Hata wazo la kuunganisha TANU na ASP lilitolewa na Mwalimu mwaka 1975. CCM ikazaliwa 1977. Moja kati ya vitu vya kuchunga sana kwenye HISTORIA ni tarehe. Haibadiliki.
Abdu asingeamua peke yake kumweka Chifu Kidaha kwenye nafasi ile. Hilo kama lilikuwepo ni chaguo lake kama Mwalimu alivyokuwa amependa Salim Ahmed Salim awe Rais wa nchi hii mwaka 1985 na 1995.
Sawa lakini mimi nakueleza historia hiyo kama nilivyopokea kwa wazee wangu.
Huna lazima ya kukubali.
Waulize ndugu zangu Waislam.
Huyu Mohamed Said ni nani kwenu?
Wao ndiyo watakupa jibu.
Hakuna utakaloondoa au kufuta? Unadhani simulizi za wazee wako hawa zilikuwa sahihi kwa 100%? Kubali jambo moja; wazee wako hawa hawakutumwa na DINI yao kudai uhuru wa nchi hii na wala wao hawakuwahi kukutamkia hivo.Nikipata nafasi ya kukirejea kitabu nitaweka sura maalum ya nyaraka pamoja
na picha za TANU ambazo zipo mikononi mwa watu binafsi.
Vilevile nitaandika kwa kirefu jinsi nyaraka muhimu zilivyokuwa zinatoweka
Tanzania National Archives (TNA) na katika Maktaba ya CCM Dodoma. Nyaraka
khasa za kipindi kuanzia 1954 kuja nyuma.
Mwisho nitaeleza vitisho nilivyopata na kuendelea kupata kwa kuandika historia
mbadala na historia rasmi.
naitahadharisha jamii ya waswahili kuepuka uchochezi wako tu,
hutishiwi bali maonyo mtambuka!
Hakuna watu rahisi kwa sasa DUNIANI kuburuza na kudanganya kama WAISLAM. Ili mradi uwe na maneno makali dhidi ya UKRISTO na WAKRISTO kama Mwalimu.Waulize ndugu zangu Waislam.
Huyu Mohamed Said ni nani kwenu?
Wao ndiyo watakupa jibu.
[TABLE="class: cms_table_MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]In 1954, a quarter of a century later in the same building, 25 New Street, which he had helped to build through self-help, the new generation in Tanganyika was transforming the African Association which he had founded in 1929 into an open political party, the aim which was to prepare the people for independence.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kleist Sykes (1894 - 1949) was a Tanganyikan political activist. He helped formed the Tanganyika African Association.
Sykes was born in Pangani to father Sykes Mbuwane, a Zulu mercenary hired by the German Empire, and a Nyaturu mother. After his father died, Sykes moved with his godfather, Effendi Plantan, to Dar Es Salaam, and would later fight for the Germans in the First World War.[SUP][1][/SUP]
After the war, Sykes worked for the Tanganyika Railway. He met Dr. James Aggrey, Ghanaian teacher, who inspired Sykes to form the Tanganyika African Association (AA) in 1929, along with friends including Mzee bin Sudi, Cecil Matola, Suleiman Mjisu and Raikes Kusi. In the 1930s, AA members built the organization's headquarters at New Street, where the Tanganyika African National Union would later be created in 1954.[SUP][1][/SUP]
Sykes was the first African to join the Tanganyika Chamber of Commerce, and the second African to serve in colonial Dar es Salaam's Municipal Council.[SUP][1][/SUP]
Sykes had three sons, Abulwahid, Ally, and Abbas, would also have prominent careers in Tanzania.[SUP][1][/SUP]
Mbona tumeipokea historia ya Kivukoni College na
hakuna aliyevunjika mguu?
Hakuna watu rahisi kwa sasa DUNIANI kuburuza na kudanganya kama WAISLAM. Ili mradi uwe na maneno makali dhidi ya UKRISTO na WAKRISTO kama Mwalimu.