Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
- #1,781
Wakuonywa si Waislam wanaodhulumiwa.
Wakuonywa ni dhalim anae dhulumu.
Dhulma inaangamiza.
Unapotosha mada, anaelaumiwa si waislamu ndugu, bali ni Mohamed Said anaejificha kwenye mwamvuli wa uislamu.
Nikuulize jambo moja ndugu yangu, wewe tangu lini umekuwa sauti ya waislamu Tanzania?
Wakati huo tukikuuliza swali linalokwenda moja kwa moja na uislamu huo unadai sio muhadhiri wa kiislamu.
Lawama hizi zinakuangukia wewe kama Mohamed Said, usijikingie uislamu.