Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Wakuonywa si Waislam wanaodhulumiwa.
Wakuonywa ni dhalim anae dhulumu.

Dhulma inaangamiza.

Unapotosha mada, anaelaumiwa si waislamu ndugu, bali ni Mohamed Said anaejificha kwenye mwamvuli wa uislamu.

Nikuulize jambo moja ndugu yangu, wewe tangu lini umekuwa sauti ya waislamu Tanzania?

Wakati huo tukikuuliza swali linalokwenda moja kwa moja na uislamu huo unadai sio muhadhiri wa kiislamu.

Lawama hizi zinakuangukia wewe kama Mohamed Said, usijikingie uislamu.
 
Nikipata nafasi ya kukirejea kitabu nitaweka sura maalum ya nyaraka pamoja
na picha za TANU ambazo zipo mikononi mwa watu binafsi.

Vilevile nitaandika kwa kirefu jinsi nyaraka muhimu zilivyokuwa zinatoweka
Tanzania National Archives (TNA) na katika Maktaba ya CCM Dodoma. Nyaraka
khasa za kipindi kuanzia 1954 kuja nyuma.

Mwisho nitaeleza vitisho nilivyopata na kuendelea kupata kwa kuandika historia
mbadala na historia rasmi.
 
Sawa lakini mimi nakueleza historia hiyo kama nilivyopokea kwa wazee wangu.
Huna lazima ya kukubali.
 
Unapotosha mada, anaelaumiwa si waislamu ndugu, bali ni Mohamed Said anaejificha kwenye mwamvuli wa uislamu.

Nikuulize jambo moja ndugu yangu, wewe tangu lini umekuwa sauti ya waislamu Tanzania?

Wakati huo tukikuuliza swali linalokwenda moja kwa moja na uislamu huo unadai sio muhadhiri wa kiislamu.

Lawama hizi zinakuangukia wewe kama Mohamed Said, usijikingie uislamu.

Waulize ndugu zangu Waislam.
Huyu Mohamed Said ni nani kwenu?

Wao ndiyo watakupa jibu.
 
TANU iliundwa tarehe 7.7.1954. Rais wa KWANZA wa TANU akawa Mwalimu kwa kuchaguliwa na waasisi wenzake. Hayo ya 1950 hayawezi kuthibitika wala kuwa historia. Hata wazo la kuunganisha TANU na ASP lilitolewa na Mwalimu mwaka 1975. CCM ikazaliwa 1977. Moja kati ya vitu vya kuchunga sana kwenye HISTORIA ni tarehe. Haibadiliki.

Abdu asingeamua peke yake kumweka Chifu Kidaha kwenye nafasi ile. Hilo kama lilikuwepo ni chaguo lake kama Mwalimu alivyokuwa amependa Salim Ahmed Salim awe Rais wa nchi hii mwaka 1985 na 1995.

Upo sahihi kabisa mkuu,

Kinachonishangaza ndugu yetu Mohamed, anaweka mambo ya DHAHANIA na kuwa halisia bila nguvu ya hoja!
 
Sawa lakini mimi nakueleza historia hiyo kama nilivyopokea kwa wazee wangu.
Huna lazima ya kukubali.

Ni hatari sana mtu anaejiita mtafiti wa historia kupokea kwa mtu mmoja au watu wenye mlengo mmoja tu HABARI/TAARIFA za historia inayohusu watu milioni 45.5 na kuihalalisha kama ilivyo bila upembuzi yakinifu wa makundi yote yenye mtazamo chanya na hasi!
 
Waulize ndugu zangu Waislam.
Huyu Mohamed Said ni nani kwenu?

Wao ndiyo watakupa jibu.

Ndugu zako waislamu wenyenye ni kama hawa akina Ritz, The big show, kichwangumu na wengine?

Kama ni hawa wala siumizi kichwa kuwauliza!

Tuendelee kuchambua ngano zako mkuu japo hupendezwi tukiita "NGANO" wakati ndio uhalisia stahiki.
 
Kweli lakini tafadhali niulize mswali ya maana.

Maswali ambayo yanachochea fikra na ninapojibu
ukumbi unaburudika na unaelimika.
 
Nikipata nafasi ya kukirejea kitabu nitaweka sura maalum ya nyaraka pamoja
na picha za TANU ambazo zipo mikononi mwa watu binafsi.

Vilevile nitaandika kwa kirefu jinsi nyaraka muhimu zilivyokuwa zinatoweka
Tanzania National Archives (TNA) na katika Maktaba ya CCM Dodoma. Nyaraka
khasa za kipindi kuanzia 1954 kuja nyuma.

Mwisho nitaeleza vitisho nilivyopata na kuendelea kupata kwa kuandika historia
mbadala na historia rasmi.
Hakuna utakaloondoa au kufuta? Unadhani simulizi za wazee wako hawa zilikuwa sahihi kwa 100%? Kubali jambo moja; wazee wako hawa hawakutumwa na DINI yao kudai uhuru wa nchi hii na wala wao hawakuwahi kukutamkia hivo.
 
Una uhuru wa kunidhihaki upendavyo.
Sina uwezo wa kukuzuia.

Lakini wapo watu wanatusikiza.
Hawa ndiyo wanaonishughulisha mimi.

Nikiandika nawakusudia hawa kama watu
wanaopitisha hukumu kwa yale ninayosema.

Napokea pongezi nyingi sana.
 
Waulize ndugu zangu Waislam.
Huyu Mohamed Said ni nani kwenu?

Wao ndiyo watakupa jibu.
Hakuna watu rahisi kwa sasa DUNIANI kuburuza na kudanganya kama WAISLAM. Ili mradi uwe na maneno makali dhidi ya UKRISTO na WAKRISTO kama Mwalimu.
 
[TABLE="class: cms_table_MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]In 1954, a quarter of a century later in the same building, 25 New Street, which he had helped to build through self-help, the new generation in Tanganyika was transforming the African Association which he had founded in 1929 into an open political party, the aim which was to prepare the people for independence.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Kleist Sykes (1894 - 1949) was a Tanganyikan political activist. He helped formed the Tanganyika African Association.
Sykes was born in Pangani to father Sykes Mbuwane, a Zulu mercenary hired by the German Empire, and a Nyaturu mother. After his father died, Sykes moved with his godfather, Effendi Plantan, to Dar Es Salaam, and would later fight for the Germans in the First World War.[SUP][1][/SUP]
After the war, Sykes worked for the Tanganyika Railway. He met Dr. James Aggrey, Ghanaian teacher, who inspired Sykes to form the Tanganyika African Association (AA) in 1929, along with friends including Mzee bin Sudi, Cecil Matola, Suleiman Mjisu and Raikes Kusi. In the 1930s, AA members built the organization's headquarters at New Street, where the Tanganyika African National Union would later be created in 1954.[SUP][1][/SUP]
Sykes was the first African to join the Tanganyika Chamber of Commerce, and the second African to serve in colonial Dar es Salaam's Municipal Council.[SUP][1][/SUP]
Sykes had three sons, Abulwahid, Ally, and Abbas, would also have prominent careers in Tanzania.[SUP][1][/SUP]

Kama Yogi Berra alivyosema " it is deja vu all over again." Mohamed Said ni mpotoshaji. Mohamed Said ni fanatic. Kwa mtu anayejivunia kutafuta ukweli, hypotheses yake inabebwa na simulizi za wazee wake na maandishi ya mtu mmoja. Kwa mtafuta ukweli hii haiwezekani.Sivalon si Mungu. Sivalon si pekee aliyeandika historia ya nchi yetu. Itakuwaje maandishi yake yanageuzwa mstahafu?

Mohamed Said amewatuhumu wengi kwa kumvisha kofia ya uasisi Mwalimu Nyerere peke yake. Lakini yeye anageuka na kumvisha Kleist Sykes peke yake kofia ya uasisi wa A.A. Akisahau conveniently mchango wa mmisheni wa kighana, mchango wa mmisheni Cecil na wengine. Wakati yeye anataka tuamini kuwa ni waislamu ndio walikuwa wahimili wakubwa wa mapambano dhidi ya dhalimu wa wakoloni, anasahau kuwa mpambano ulishika moto Aru Meru, kitovu cha umisheni. Anataka kutuambia kuwa ni wazee wake wa Gerezani ndio waliotuletea uhuru, akisahau tena conveniently kuwa idadi kubwa ya watanganyika waliishi nje ya Dar es Salaam na bila TANU kukubalika na wao, hakuna kitu ambacho kingefanikiwa. Anasahau mchango wa wakina Bhoke Munanka, wakina Oscar Kambona, Mwakangale, Mwanjisi, Eliufoo na wengine wengi ambao bila wao kujitoa na kuwahamasisha wasukuma, wanyakyusa, wachaga n.k. hamna kitu ambacho wazee wake wa Gerezani wangeweza kufanikiwa. Wakina Sykes walitambua hilo. Wao na wenzao walijitanguliza utanganyika wao kwanza mbele ya uislamu wao (tofauti na Mohamed Said) na kukubali kuongozwa na mtu ambaye atakubalika Tanganyika nzima na si mission quarter. Yote haya anayajua. Lakini kwa vile ni fanatic anayaweka pembeni kutanguliza ajenda yake. Kinachosikikitisha ni kuwa wako watu ambao wako gullible enough kukubali kila anachosema bila kutafakari. Ni mtu hatari.

Amandla........
 
Mbona tumeipokea historia ya Kivukoni College na
hakuna aliyevunjika mguu?

Hakuna aliyekupokea kwakusema kipo imara kwa 100%, tuliwashauri wakihuishe tukiamini kinamapungufu.

Lakini wewe umekuja na kuharibu zaidi badala ya kuboresha!

Umelipa kisasi jambo ambalo hata kuruani inakataza!
 
Nihukumu kama unisomavyo humu.
Nikizungumza ni hivi hivi.

Kama unaona kuna ukali ni bahati mbaya
kwako.
 
Hayo unayosema yote nimeyaandika katika kitabu changu.

Kama unacho pitia faharasha (index) utayakuta.

Nimemweleza Bhoke, Eliufoo nk.

Nimemweleza Dr Wilbard Mwanjisi akiwa kiongozi wa TAGSA 1950.

Angalia kitabu utamkuta na najua mengi kuhusu Dr Mwanjisi hadi
ugomvi wake na Nyerere ulopelekea Dr Mwanjisi kukimbia nchi.

Mdogo wake Dr Mwanjisi Rowland Mwanjisi alipokisoma kitabu na
kumkuta kaka yake alifurahi sana na alinitumia salamu.

Ndiyo nasema wakati mwingine angalau mtu achukue muda wa kutalii
kabla hajaandika.

Katika madras maalim akitusisitizia sana kutalii yaani kupitia vitabu kabla
mtu hujazungumza.

Pokeeni ushauri huu.
 
Back
Top Bottom