Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
-
- #1,861
Waliwezaje kuamua kwamba Kikwete ndiye mwislamu mwenzao na Prof. Lipumba sio?
Second, au the point here is waislamu ni wengi,ni zaidi ya 60% ya dini nyingine zote, na kwamba, waktristo walimpigia Dr. slaa na kura hazikutosha kwasababu hao wakrusto ni wachache sana.
Huyo ndo Mr. Researcher.
Jokakuu, kipande hicho tu kinajibu kila tuhuma dhidi ya Nyerere. Kawataja akina Sykes hata kusema wao ndio walibuni jina la TANU kabla. Kawataja akina Tambaza na Ramia ambao Mohamed anadai Nyerere aliwatupa.@Mohamed Said, Jasusi, Mzee Mwanakijiji, THE BIG SHOW,
..nimepata kipande cha hotuba ya Mwalimu wakati akiwaaga wazee wa D'Salaam.
..bahati mbaya sijapata hotuba nzima. sijui kama miongoni mwenu yuko aliye na hotuba nzima.
..ile mjadala uwe mzuri basi tuwe na utaratibu wa ku-quote the original source.
Jokakuu, kipande hicho tu kinajibu kila tuhuma dhidi ya Nyerere. Kawataja akina Sykes hata kusema wao ndio walibuni jina la TANU kabla. Kawataja akina Tambaza na Ramia ambao Mohamed anadai Nyerere aliwatupa.
Sijui atakuja na utetezi gani. Kila jambo amelieleza vizuri tena bila kuuma uma maneno.
Jokakuu, kipande hicho tu kinajibu kila tuhuma dhidi ya Nyerere. Kawataja akina Sykes hata kusema wao ndio walibuni jina la TANU kabla. Kawataja akina Tambaza na Ramia ambao Mohamed anadai Nyerere aliwatupa.
Sijui atakuja na utetezi gani. Kila jambo amelieleza vizuri tena bila kuuma uma maneno.
Mzee Wangu MOHAMED SAID SALAAM WALEIKUM, PILI SHIKAMOO.
MZEE WANGU NIMEFUATILIA KWA MUDA HII MADA, USIKU NA MCHANA, NDANI NA OFISINI.
NAOKUOMBA TU TUOMBE RADHI WATANZANIA, HII HOTUBA KAMA KWELI NI NDIO ALIYOISEMA MWALIMU WAKATI ANANG'ATUKA NI KWELI, BASI IMEJIBU TUHUMA NYINGI SANA AMBAZO ULIZITOA KUUSU YEYE, MFANO TU, KUWA MWALIMU HAKUKUMBUKA HATA CHEO CHA MAREHEMU ABDUL, IKIWA HILI LIKO WAZI, JE HIZO HOJA NYINGINE ULIZOJENGA KWA VIGEZO VYA KUADITHIWA NA WAZEE WAKO NI MANGAPI YAKUAMINIKA,
TUOMBE RADHI, WATANZANIA, SASA HIVI TUNAMPSUKO MKUBWA SANA, HOJA ZAKO NDIO ZIMEJENGA MSINGI WA MPASUKO. KAMA UNAWATOTO NA WAJUKUU BASI WAONEE HAYA HAO NA TANZANIA UNAYOWAACHIA.
Mohamed Said,where are you????unajua watu tumeacha kuangalia thread zote humu JF kupunguza distractions-mpaka hatma ya hii thread itakapojulikana!! staying silent unakuwa hututendei haki
Mkuu nikushukuru sana kwakkuleta hotuba hii inayotupa mongozo sasa wa nini cha kujadili kwa undani hizi ngano za Mohamed Said
Jokakuu, kipande hicho tu kinajibu kila tuhuma dhidi ya Nyerere. Kawataja akina Sykes hata kusema wao ndio walibuni jina la TANU kabla. Kawataja akina Tambaza na Ramia ambao Mohamed anadai Nyerere aliwatupa.
Sijui atakuja na utetezi gani. Kila jambo amelieleza vizuri tena bila kuuma uma maneno.
wengine tulizaliwa tulianza kujua au kuwa na ufahamu wakati wa awamu ya pili ila hii thread imetufundisha mengi ambayo tulikua hatuyajui.
Mohamed,
Ukinukuu uwongo kuthibitisha hoja zako na wewe unakuwa muwongo. Nimekwambia, na narudia tena, baba wa taifa amefariki bila kuwacha tovuti yake. Hiyo tovuti unayoisema na kuinukuu hakuianzisha Nyerere. In fact nitakaporudi Dar-es-Salaam nina mpango wa kuonana na wakuu wa Nyerere Foundation niwashauri waanzishe tovuti authentic ya Nyerere siyo hii bandia unayotuzungumzia hapa. Kwa hiyo ukiendelea kuinukuu tovuti hiyo ambayo unajua, na mimi najua, hyaijaanzishwa na Nyerere na haina baraka ya Nyerere Foundation au familia ya Nyerere unazidi kuendeleza uwongo.
Unaona hapa anavyosutwa Mohamed? Ametuambia katika hotuba hii Nyerere alisema hajui au hakujua Abdul alikuwa na cheo gani. And sometimes it makes me wonder, why didn't Mohamed attempt to get a word from Nyerere when he started writing his book? Was it bias, was it hatred? Angetuwekea quote kama hii kitabu chake kingekuwa more authentic and balanced. But no.
What a shame!
Kama unamchukulia kama binadamu basi ana mapungufu yake usimpe sifa ya mitume.
Mohamed Said,
Allah akupe maisha marefu watu wanakusoma na kujifunza historia kupitia mabandiko yako, watu zaidi ya 20,000 wanafuatilia huu munakasha jikite kuwasomesha hii historia.
Hotuba hiyo imebandikwa humu?