Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mzee mohamedi acha mbwembwe maswali umepewa huyajibu mzee mbona longolongo nyingi! kalale kama umechoka kesho utayajibu.

quote_icon.png
By Yericko Nyerere

Kwanza nikupongeze mkuu, na nikupe pole kwani mjadala wewe unachukua karibu wiki ya tatu sasa,

Nimeamua kuuleta hapa peupe kwakuwa kule mjadala huu ulijificha chini ya Tamko la maaskofu, lakini hapa tunapata uwanja mpana wakujadiliana kwa hoja kile ukiitacho historia upande wa pili na kile nikiitacho mimi kuwa ni uchochezi na uhaini.

Nikirudi kwenye majibu ya maswali yangu, Jibu lako la kwanza tu linakutoa kwenye maana ya ulichoandika!

Mfano: Unasema,

"Nimeathirika kwa kuona wazee wangu hawamo katika historia kwa hiyo hawatakuwamo katika kumbukumbu kama mashujaa wazalendo waliopigana kuung'oa ukoloni Tanganyika".

Hii inakupa nguvu ya kusema ni historia ya uhuru upande wapili?

Unataka kukiambia kizazi hiki kuwa kila aliyesikia au kuhisi mzazi wake alishiriki katika uhuru wa nchi hii na hayumo kwenye historia aje na kitabu na kukiita historia mpya ya UHURU na kubeza vingine kikiwemo chako?

Katika majibu yako unajichanganya sana, mara useme ni historia ya uhuru upande wa pili, mara histori ya waislamu na sasa unasema ni historia ya wazee wako, Je sisi tusimamie wapi?

Weka sawa kwenye jibu la kwanza tu hapo ili twende mbele mkuu!

Mimi silali usingizi wa pono kwa hiyo hilo weka pembeni.
Niko ukumbini nina laptop.

Nikenda kulala nina tab mchagoni ukituma kitu inanipa taarifa...

Tuje kwenye maswali.
Ikiwa unataka nijibu kama unavyotaka wewe hilo hutolipata kwangu.

Nimejibu mengi sana humu na wewe ni shahidi.
Lakini siwezi kujibu hata kile nisichokijua.

Kuna post nyingine nazipuuza kwa kuwa hazina maana.

Ili tufanye mnakasha mzuri lazima twende pamoja.
Nishakuasa lakini hukunisikiza.
 
VIPI ile mutiny ya wanajeshi 1964-wazee wako walihusika au ni maneno ya mtaani

Hiki kisa ntakueleza Insha Allah nikitulia.

Babu yangu Salum Abdallah wakati ule wa maasi alikuwa Mwenyekiti wa Tanganyika Railway African Union (TRAU).
Kassanga Tumbo alikuwa katibu.

Aliwekwa kizuizini.
Ndiyo kisa cha yeye kujitoa TANU na akakichukia chama alichosaidia kuaisisi hadi anaingia kaburini 1974.
 
Kwani wataalamu wa Kiswahili hapa hawaruhusiwi?

baada ya kusahihisha unaendelea kujibu hoja, wewe unafunga breki kana kwamba huelewi kinachoendelea.
umehamia hoja hii kutetea hoja zako dhidi ya zile za Yericko, badala ya kutetea hoja umegeuka mtaalam wa lugha, umepoteza dira.
 
Mohamedi Yericko na Jasusi na sisi wengine tunasubiri ujibu hoja au haya ndiyo majibu ya hoja za yericko mzee?

Nadhani hapo juu umedadavuliwa vya kutosha katika sakata la Baraza la Mitihani kwamba limekua kama PAROKIA la Dini fulani, sasa kwa matokeo kama hayo yanayoendelea kutolewa na MOEVT, wewe ukiwa kama MKIRISTO na kwa mfano Baraza hilo lingelikua limesheheni Waislamu kama lilitapika Wakristo sasa; je kwa upande wako wewe ungejenga dhana gani? Na je kwa mfano ungelikua unalilalamikia Baraza hilo (ambalo lingekua limerundikiana Waislamu) kungekua kuna makosa?

Ingelikua upo makini katika kusoma hoja na majibu yanayotolewa usingelithubutu kuweka utumbo kama huu hapa!

Hivi ni nan mwenye madaraka ya juu kabisa katika hii nchi?na je ni dini gani?naye yumo kwa mfumo kristo?je haipendi dini yake?toeni hoja zenye mashiko,na sio kusema tu...wakati wa mauaji ya mwembechai, je IJP alikuwa nani?vurugu za mbagala,IJP ni dini gani?na kamanda wa mkoa je?hao wote mfumo kristo?vipi Iraq ,Nigeria,somalia,afganistan,Misri,Libya nk,kote huko ni mfumo kristo?
 
kaka unaweza kuwa mkubwa kwangu kiumri, uelewa wako unanipa mashaka
moja ya malalamiko ya mohamedi said ni kodi za watanzania kupewa wakristu kupitia mou, lakini siyo yeye tu hata wewe pia maudhui ya majadala kaka yanabeba maana moja tu dhulma dhidi ya waislam unapinga hoja hii? ukipinga nitakushangaa sana.

Sasa ilikuondoa utata na malalamiko kikwete alito fursa mpeleke MOU mpate hizo fedha mmesha andika proposal walau na mpo hatua gani kaka ? usilalamike tu wakati mnapewa fursa hamzitumii wenzenu wakisikia hivyo wanakesha kuandaa majalada na kutinga ikulu fasta sio kulalama.

MOU kaka pelekeni kikwete atawasaidia naamini wala stanii lakini chelewa yenu mwisho mambo yatabadilika. mmefikia wapi kaka?

Nakubaliana nawe kuwa uelewa wangu una mushkeli kwani hilo ni la kawaida lakini kwa uwelewa huohuo mdogo ninachofahamu kuwa hoja hapa ni Historia na kukataliwa kwa historia hiyo? Sasa hiyo MOU ndiyo inafuta ukweli wa historia hiyo? Kama uelewa ni kujaribu kufuta ukweli naamini uko mbele sana lakini uelewa wa mada yenyewe samahani mdogo wangu , wako ni mchache saaana.
Naona umekazania MOU wakati kumekuwepo na msururu wa "malalamiko" kama mnavyoyaita, sasa wewe kungangania MOU ndio kunafuta hayo mengine?
Na kwanini kama kwa kipindi cha miaka karibu 45 kundi moja linahodhi pato la Taifa na kunyamaza kimya huku ikieleweka kuwa ni haki ya wote?
 
Mpaka kieleweke,heshima ya kila kundi kama wananchi halisi wa nchi ipatikane.Mkate lazima uliwe kwa haki.Kodi ya watanzania lazima iwanufaishe watanzania wote.Hakuna iliye na thamani kubwa kuliko mwingine.Tuachane na mazoea kuwa tabia,dunia na hata watu wake sasa wamebadilika .Walikuwa hawaja soma lakini sasa wamesoma.

Propaganda ilizoelekeka na kuwa dira ya kuwakandamiza wengine,sasa hivi kuendeleza propaganda na upotoshaji ni kupoteza muda hakuna anayefuata,zaidi kwa anayezungumza au kuandika anajishushia hadhi yake mbele ya jamii makini.Ukweli siku zote utabaki kuwa ukweli.Na ukweli haukai pamoja na uwongo.Haki siku zote ni yenye kushinda.Vijana mashababi wametambua.Tutasoma historia yetu,tutawaelewa waliojitoa muhanga kwa ajili yetu.Hapa nilipo namalizia kukisoma kitabu cha Hussein B.A,(1905-1907),Jihadi kuu ya majimaji:Hitoria ya uislam pwani ya Azania,Sonafa Ltd,Dar salaam.

Asikudanganye mtu historia tamu.Siku zote anayezungumza ukweli anaonekana kama mchochezi.Ukweli lazima usemwe bila kutafuna maneno,huo ndio uhuru wa kujieleza bwana.Kuna kitabu kingine kinaitwa kwaheri uhuru kwaheri ukoloni,jamani vitabu hivi ni hazina iliyotukuka ya nchi yetu.Ukibahatika kuvisoma vitabu vya historia ya kweli vinavyoandikwa na waislam mfano Mohamed Said utagundua utofauti mkubwa na vitabu tulivyokuwa tunadanganywa vya shule.Jamani watu kwa kupenda sifa hata kwa harakati wasiyoshiriki.Sasa ona mwisho wa yote badala ya sifa ni aibu.
 
Umeuliza vema kama hujuwi umalenga wa Mohamedi ni wa kizushi kaka umekaa pabaya. MOU ameingolea, kodi ya watanzania ameiongelea kwa makanisa lakini kwa makusudi anakanusha na kuwapotosha wapambe wake pata maelezo hapo chin

post ya tare 4 #914

Ndugu yangu Balali unataka tuelewe kuwa hicho kilichopostiwa hapo ni dondoo ya hicho kitabu? Iwapo mjadala ulijivuta mpaka kuzungumziwa suwala la MOU haikuwa na maana kuwa hilo limo ndani ya Kitabu. Pengine ungenakili hiyo dondoo kutoka kwenye kitabu ili tuone nani mkweli.
 
Mimi silali usingizi wa pono kwa hiyo hilo weka pembeni.
Niko ukumbini nina laptop.

Nikenda kulala nina tab mchagoni ukituma kitu inanipa taarifa...

Tuje kwenye maswali.
Ikiwa unataka nijibu kama unavyotaka wewe hilo hutolipata kwangu.

Nimejibu mengi sana humu na wewe ni shahidi.
Lakini siwezi kujibu hata kile nisichokijua.

Kuna post nyingine nazipuuza kwa kuwa hazina maana.

Ili tufanye mnakasha mzuri lazima twende pamoja.
Nishakuasa lakini hukunisikiza.

Unazeeka vibaya...!
 
baada ya kusahihisha unaendelea kujibu hoja, wewe unafunga breki kana kwamba huelewi kinachoendelea.
umehamia hoja hii kutetea hoja zako dhidi ya zile za Yericko, badala ya kutetea hoja umegeuka mtaalam wa lugha, umepoteza dira.
Hukufata ushauri nilokupa ndiyo maana nami sioni kama iko tija ya mnakasha na mtu wa hulka kama yako.Samahani Nyerere ndiye hakusikiza ushauri wangu wa mjadala wenye heshima na adabu. Mie si wa staili yake. Wengi humu ukumbini wanalijua hilo kuwa huwa nina kawaida ya kuwapuuza watu kama hao na mfano wao.
 
Mkuu zile paper zinakaa pale kwa muda fulani baada ya kusahihishwa ili kutoa fursa ya watakaoona wameonewa mitihani yao irudiwe kuangaliwa upya. Hakuna sababu ya kulalamika. Mashehe/viongozi wenu hawaambii ukweli kwa sababu wana agenda yao. Hivi ni kwanini ulalamike unaonewa tu bila kwenda kuangalia kama unaonewa kweli au la? kuna jambo mnalitafuta...

Usifikiri waislam wanakurupuka tu waulize baraza wenyewe wanajua,waislam wangapi walifelishwa wakafuatilia wakajikuta wamefaulu,tena majibu yenyewe yanatolewa mpaka kwa kutishia kulipeleke mahakamani.Jamani waliodhulumiwa wameshituka na washabaini mbinu zote.Haya matokeo mabovu hatushangai kwani bado kigango hakijabadilika,na tutaendelea kupiga kelele kwa uwazi hata kwa siri mpaka haki ipatikane.Hatuwezi kukubali kufanywa wajinga kwenye nchi yetu sote.
 
Mohamedi Yericko na Jasusi na sisi wengine tunasubiri ujibu hoja au haya ndiyo majibu ya hoja za yericko mzee?

quote_icon.png
By Yericko Nyerere

Kwanza nikupongeze mkuu, na nikupe pole kwani mjadala wewe unachukua karibu wiki ya tatu sasa,

Nimeamua kuuleta hapa peupe kwakuwa kule mjadala huu ulijificha chini ya Tamko la maaskofu, lakini hapa tunapata uwanja mpana wakujadiliana kwa hoja kile ukiitacho historia upande wa pili na kile nikiitacho mimi kuwa ni uchochezi na uhaini.

Nikirudi kwenye majibu ya maswali yangu, Jibu lako la kwanza tu linakutoa kwenye maana ya ulichoandika!

Mfano: Unasema,

"Nimeathirika kwa kuona wazee wangu hawamo katika historia kwa hiyo hawatakuwamo katika kumbukumbu kama mashujaa wazalendo waliopigana kuung'oa ukoloni Tanganyika".

Hii inakupa nguvu ya kusema ni historia ya uhuru upande wapili?

Unataka kukiambia kizazi hiki kuwa kila aliyesikia au kuhisi mzazi wake alishiriki katika uhuru wa nchi hii na hayumo kwenye historia aje na kitabu na kukiita historia mpya ya UHURU na kubeza vingine kikiwemo chako?

Katika majibu yako unajichanganya sana, mara useme ni historia ya uhuru upande wa pili, mara histori ya waislamu na sasa unasema ni historia ya wazee wako, Je sisi tusimamie wapi?

Weka sawa kwenye jibu la kwanza tu hapo ili twende mbele mkuu!
Hapana jibu hilo ni mtu kaniuliza kuhusu maasi ya 1964. Imeingia hapo kwa makosa.

Bwana Nyerere nishampa jibu.
 
Bwana Mohamed Said nauliza tena, katika mijadala ya nyuma ulisema wapo wanaukombozi ambao uliweza kuwahojo akiwemo Baba yako,

Sasa ndugu, unaweza kututhibitishia sehemu ya mahojiano hayo kwa njia ya sauti ama video?Ikiwa ni ushahidi wa maandishi hauna mafaa kwetu kwakuwa wewe umeandika machapisho mengi kule Wikipedea na umekuwa uki copy na ku past hapa kama sehemu ya utetezi wa maandiko ya vitabu vyako.
 
Mpaka kieleweke,heshima ya kila kundi kama wananchi halisi wa nchi ipatikane.Mkate lazima uliwe kwa haki.Kodi ya watanzania lazima iwanufaishe watanzania wote.Hakuna iliye na thamani kubwa kuliko mwingine.Tuachane na mazoea kuwa tabia,dunia na hata watu wake sasa wamebadilika .Walikuwa hawaja soma lakini sasa wamesoma.

Propaganda ilizoelekeka na kuwa dira ya kuwakandamiza wengine,sasa hivi kuendeleza propaganda na upotoshaji ni kupoteza muda hakuna anayefuata,zaidi kwa anayezungumza au kuandika anajishushia hadhi yake mbele ya jamii makini.Ukweli siku zote utabaki kuwa ukweli.Na ukweli haukai pamoja na uwongo.Haki siku zote ni yenye kushinda.Vijana mashababi wametambua.Tutasoma historia yetu,tutawaelewa waliojitoa muhanga kwa ajili yetu.Hapa nilipo namalizia kukisoma kitabu cha Hussein B.A,(1905-1907),Jihadi kuu ya majimaji:Hitoria ya uislam pwani ya Azania,Sonafa Ltd,Dar salaam.

Asikudanganye mtu historia tamu.Siku zote anayezungumza ukweli anaonekana kama mchochezi.Ukweli lazima usemwe bila kutafuna maneno,huo ndio uhuru wa kujieleza bwana.Kuna kitabu kingine kinaitwa kwaheri uhuru kwaheri ukoloni,jamani vitabu hivi ni hazina iliyotukuka ya nchi yetu.Ukibahatika kuvisoma vitabu vya historia ya kweli vinavyoandikwa na waislam mfano Mohamed Said utagundua utofauti mkubwa na vitabu tulivyokuwa tunadanganywa vya shule.Jamani watu kwa kupenda sifa hata kwa harakati wasiyoshiriki.Sasa ona mwisho wa yote badala ya sifa ni aibu.
we kweli tutusa...unafikiri heshima huwa inakuja tu hivihivi? unafikiri hiyo keki ya taifa huwa unaila kwa kushinda unacheza bao? keki ya taifa ipo lakini kuila ni lazima uifanyie kazi...ndiyo maana wengine kama akina mengi na bakhresa wanakula mapande makubwa ya keki hiyohiyo ambayo mimi na wewe tanayo fursa pia ya kuila lakini tofauti wenzetu wanafanya kazi kwa bidii sana...huwa inanitia kichefuchefu nikisikia waislam wakitaka mgawanyo sawa wa keki ya taifa...laiti wangekuwa wanapinga jinsi mafisadi wanavyoifakamia hiyo keki ningewaelewa...
 
Hapana jibu hilo ni mtu kaniuliza kuhusu maasi ya 1964. Imeingia hapo kwa makosa.

Bwana Nyerere nishampa jibu.

Mkuu kuwa mkweli hujajibu istahilivyo. Nilikuomba uboreshe jibu lako lakini umevuruga mwendelezo wa majibu.
 
we kweli tutusa...unafikiri heshima huwa inakuja tu hivihivi? unafikiri hiyo keki ya taifa huwa unaila kwa kushinda unacheza bao? keki ya taifa ipo lakini kuila ni lazima uifanyie kazi...ndiyo maana wengine kama akina mengi na bakhresa wanakula mapande makubwa ya keki hiyohiyo ambayo mimi na wewe tanayo fursa pia ya kuila lakini tofauti wenzetu wanafanya kazi kwa bidii sana...huwa inanitia kichefuchefu nikisikia waislam wakitaka mgawanyo sawa wa keki ya taifa...laiti wangekuwa wanapinga jinsi mafisadi wanavyoifakamia hiyo keki ningewaelewa...
Sitaki kukurudishia tusi kwani si katika maadili yetu ya kiislam tunayofundishwa,matusi tuwaachie wenzetu mlio na vyuo vya matusi,but ukweli utabaki kuwa ni ukweli,tumewaelimisha na tunazidi kuwaelimisha waislam na sasa somo limeeleweka.Si muda mrefu ngoma itakuwa droo.
 
Kikwete si aliwaambia na nyie mpeleke ya kwenu?mmefikia wapi?na kama sio hiyo hapo,wewe ungetibiwa KCMC au Bugando?

"The Government shall provide financial asssistance to Church insituttions and shall seek financial assistance to Church run social services in its bilateral negotiations with foreign governments"

source:The Memorandum of Understanding between the Government of the United Republic of Tanzania and the Tanzania Episcopal Council (TEC) and the Christian Council of Tanzania-page 3

Majibu ya swali lako ni simple sana...hebu soma hapa chini:
Mkataba wa Kanisa na Serikali waanikwa

Na Mwandishi wetu, Raia Mwema,

Julai 22, 2009

Serikali ya Rais Jakaya Kikwete imezidi kuingiwa na misukosuko inayogusa waumini wa dini mbali mbali, na sasa kumeibuliwa hati ya makubaliano (MoU) ambayo Serikali iliingia na makanisa nchini. Makabuliano hayo yalikuwa hayafahamiki kwa Watanzania wengi.

Hati hiyo ya makubaliano, ambayo ilisainiwa na Serikali wakati wa utawala wa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, inaelezwa kuzipendelea zaidi taasisi za Kikristo zinazotoa huduma nchini.

Baadhi ya viongozi wa Kiisilamu nchini wameliambia Raia Mwema wiki hii kwamba mkataba kama huo waliouandaa ulipata kukataliwa na Serikali pamoja na kuwa ulifanana jkwa kila na huo.

Tayari mjadala wa serikali kujiingiza katika masuala ya dini unazidi kupamba moto ukihusisha uanzishwaji wa Mahakama ya Kadhi kwa ajili ya Waisilamu na kuwapo Waraka wa Kanisa Katoliki unaoelimisha waumini wake kuhusu uchaguzi.

Serikali uliutia rasmi hati ya makubaliano kati yake na Baraza la Wakristo Tanzania (CCT) na Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), huku serikali ikiwasilishwa na Edward Lowassa ambaye wakati huo alikuwa waziri mwandamizi.

Hati hiyo, ambayo Raia Mwema imepata nakala yake, iliandaliwa na Profesa Costa Mahalu aliokuwa Kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha dare s Salaam (UDSM).

Katika hati hiyo, iliyotiwa saini Februari 21, mwaka 1992, upande wa serikali uliwakilishwa na mmoja wa mawaziri wake waandamizi wa wakati huo.

Makubaliano hayo yalifanyika kwa kuzingatia mambo kadhaa, ambayo ni pamoja na hali ya uchumi nchini kutomudu kuiwezesha serikali kutoa huduma za elimu na afya kwa kiwango bora. Msingi mwingine wa makubaliano hayo ni makanisa kuhakikishiwa kuwa serikali itaweka mazingira mazuri kwao kutoa huduma za elimu na afya.

Makubaliano hayo yamegawanywa katika maeneo makubwa mawili, ambayo ni sekta ya elimu na afya na kila sekta ikiwa imetengenezewa bodi yake ndani ya mtandao wa makanisa kupitia CCT na TEC………….

……Hati hiyo pia inaeleza kuwa wajumbe wa kamisheni hiyo watatoka katika CCT na TEC na mashirika wafadhili na kwamba ni lazima shughuli zote ziendeshwe kwa mujibu wa sheria za nchi……..

………Vipengele vinavyoibana serikali katika hati hiyo ya makubaliano mbali na kutoa nafasi za mafunzo ya ualimu, ni pamoja na serikali kutotaifisha shule na taasisi za afya zinazomilikiwa na makanisa nchini.

Kiongiozi mmoja wa Kiisilamu aliyejitanbulisha kwa jina la Omar hassan, ameliambia Raia Mwema kwamba baada ya kuupata waraka wa makubaliano hayo kati ya Kanisa na Serikali, waliandaa waraka kwa ajili ya Baraza Kuu la Taasisi za Kiisilamu ambao ulikataliwa na Serikali.

‘Sisi tulichofanya ni kuandaa waraka kama huo kwa kunukuu kila kitu kama kilivyokuwa katika MoU yao na Kanisa, tukawapelekea wahusika wakatukatalia. Sasa tukasema kama ni suala la huduma na sisi tunazo shule na hospitali zinazoendeshwa na taasisi zetu, kwa nini tuymenyimwa," alisema Omar………..

……Kwa upande wake, Sheikh Khamis Mataka, ambaye alisema waraka huo ambao uliandaliwa kwa siri hautendi haki, na kwamba unapaswa kufutwa na serikali ili uandaliwe waraka unaozihusu dini zote.

"Ukiangalia sura ya mkataba una mapungufu makubwa sana kwani unatoa upendeleo wa upande mmoja kwa kuwapa fursa ya kufaidika na kutafutiwa pesa na serikali kwa ajili ya taasisi zao za kielimu na kiafya na kutenga nafasi za elimu kwa watumishi wa taasisi hizo kwa upendeleo," alisema.

Alisema anashangazwa na hoja kwamba uanzishwaji wa Mahakama ya Kadhi usuhusishwe na fedha za serikali wakati mahakama hiyo itakuwa inalenga kusaidia serikali kupunguza mzigo katika mahakama zake…….
 
baada ya kusahihisha unaendelea kujibu hoja, wewe unafunga breki kana kwamba huelewi kinachoendelea.
umehamia hoja hii kutetea hoja zako dhidi ya zile za Yericko, badala ya kutetea hoja umegeuka mtaalam wa lugha, umepoteza dira.

sita.jpg
 
"The Government shall provide financial asssistance to Church insituttions and shall seek financial assistance to Church run social services in its bilateral negotiations with foreign governments"

source:The Memorandum of Understanding between the Government of the United Republic of Tanzania and the Tanzania Episcopal Council (TEC) and the Christian Council of Tanzania-page 3

Majibu ya swali lako ni simple sana...hebu soma hapa chini:
Mkataba wa Kanisa na Serikali waanikwa

Na Mwandishi wetu, Raia Mwema,

Julai 22, 2009

Serikali ya Rais Jakaya Kikwete imezidi kuingiwa na misukosuko inayogusa waumini wa dini mbali mbali, na sasa kumeibuliwa hati ya makubaliano (MoU) ambayo Serikali iliingia na makanisa nchini. Makabuliano hayo yalikuwa hayafahamiki kwa Watanzania wengi.

Hati hiyo ya makubaliano, ambayo ilisainiwa na Serikali wakati wa utawala wa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, inaelezwa kuzipendelea zaidi taasisi za Kikristo zinazotoa huduma nchini.

Baadhi ya viongozi wa Kiisilamu nchini wameliambia Raia Mwema wiki hii kwamba mkataba kama huo waliouandaa ulipata kukataliwa na Serikali pamoja na kuwa ulifanana jkwa kila na huo.

Tayari mjadala wa serikali kujiingiza katika masuala ya dini unazidi kupamba moto ukihusisha uanzishwaji wa Mahakama ya Kadhi kwa ajili ya Waisilamu na kuwapo Waraka wa Kanisa Katoliki unaoelimisha waumini wake kuhusu uchaguzi.

Serikali uliutia rasmi hati ya makubaliano kati yake na Baraza la Wakristo Tanzania (CCT) na Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), huku serikali ikiwasilishwa na Edward Lowassa ambaye wakati huo alikuwa waziri mwandamizi.

Hati hiyo, ambayo Raia Mwema imepata nakala yake, iliandaliwa na Profesa Costa Mahalu aliokuwa Kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha dare s Salaam (UDSM).

Katika hati hiyo, iliyotiwa saini Februari 21, mwaka 1992, upande wa serikali uliwakilishwa na mmoja wa mawaziri wake waandamizi wa wakati huo.

Makubaliano hayo yalifanyika kwa kuzingatia mambo kadhaa, ambayo ni pamoja na hali ya uchumi nchini kutomudu kuiwezesha serikali kutoa huduma za elimu na afya kwa kiwango bora. Msingi mwingine wa makubaliano hayo ni makanisa kuhakikishiwa kuwa serikali itaweka mazingira mazuri kwao kutoa huduma za elimu na afya.

Makubaliano hayo yamegawanywa katika maeneo makubwa mawili, ambayo ni sekta ya elimu na afya na kila sekta ikiwa imetengenezewa bodi yake ndani ya mtandao wa makanisa kupitia CCT na TEC………….

……Hati hiyo pia inaeleza kuwa wajumbe wa kamisheni hiyo watatoka katika CCT na TEC na mashirika wafadhili na kwamba ni lazima shughuli zote ziendeshwe kwa mujibu wa sheria za nchi……..

………Vipengele vinavyoibana serikali katika hati hiyo ya makubaliano mbali na kutoa nafasi za mafunzo ya ualimu, ni pamoja na serikali kutotaifisha shule na taasisi za afya zinazomilikiwa na makanisa nchini.

Kiongiozi mmoja wa Kiisilamu aliyejitanbulisha kwa jina la Omar hassan, ameliambia Raia Mwema kwamba baada ya kuupata waraka wa makubaliano hayo kati ya Kanisa na Serikali, waliandaa waraka kwa ajili ya Baraza Kuu la Taasisi za Kiisilamu ambao ulikataliwa na Serikali.

‘Sisi tulichofanya ni kuandaa waraka kama huo kwa kunukuu kila kitu kama kilivyokuwa katika MoU yao na Kanisa, tukawapelekea wahusika wakatukatalia. Sasa tukasema kama ni suala la huduma na sisi tunazo shule na hospitali zinazoendeshwa na taasisi zetu, kwa nini tuymenyimwa,” alisema Omar………..

……Kwa upande wake, Sheikh Khamis Mataka, ambaye alisema waraka huo ambao uliandaliwa kwa siri hautendi haki, na kwamba unapaswa kufutwa na serikali ili uandaliwe waraka unaozihusu dini zote.

“Ukiangalia sura ya mkataba una mapungufu makubwa sana kwani unatoa upendeleo wa upande mmoja kwa kuwapa fursa ya kufaidika na kutafutiwa pesa na serikali kwa ajili ya taasisi zao za kielimu na kiafya na kutenga nafasi za elimu kwa watumishi wa taasisi hizo kwa upendeleo,” alisema.

Alisema anashangazwa na hoja kwamba uanzishwaji wa Mahakama ya Kadhi usuhusishwe na fedha za serikali wakati mahakama hiyo itakuwa inalenga kusaidia serikali kupunguza mzigo katika mahakama zake…….
Mkuu katika maelezo yangu yamsingi na katika maoni ya wadau hapo juu, hakuna aliyepinga uwepo wa MoU!

Na kwakukufafanulia tu ni kuwa serikali hapa kwenye MoU ilisimama kama mdhamini wakatika makanisa ya kiingia makubaliano na Ujerumani!
 
Back
Top Bottom