Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Waislamu kazi yao ni kulialia tu kwamba wamedhulumiwa. Hata huko Somalia ambapo wapo zaidi ya 98% bado wanalialia tu kwamba wanadhulumiwa!!!
 
Mwanangu Yericko huna haja ya kuhangaika na huyu mgonjwa wa udini. Nadhani ni kwa vile humjui vizuri. Kwa tunaomjua huwa tunampuuza kwa vile tunajua tatizo lake. Mwenzetu anazeeka vibaya. Huwa haamini katika utanzania bali uislam. Who knows? Huenda wale wanaomtumia kutaka kutuvuruga wanamtaka afanye hivyo hadi kufikia kujikana na kujiona mwarabu zaidi ya Mtanzania. Ignore him for good he has nothing new except vitrols and inssanismadogmata.
 
Binafsi naona hoja zinazotolewa na huyu jamaa anayeitwa Mohamed ni kama kuna ukweli sana. Lakini tatizo kwanini wao wenyewe wanaikubali BAKWATA? Na pia kwanini waislamu wanakubali kutumika na CCM?
 
Bwana Mohamed Said nauliza tena, katika mijadala ya nyuma ulisema wapo wanaukombozi ambao uliweza kuwahojo akiwemo Baba yako,

Sasa ndugu, unaweza kututhibitishia sehemu ya mahojiano hayo kwa njia ya sauti ama video?Ikiwa ni ushahidi wa maandishi hauna mafaa kwetu kwakuwa wewe umeandika machapisho mengi kule Wikipedea na umekuwa uki copy na ku past hapa kama sehemu ya utetezi wa maandiko ya vitabu vyako.

Sijamhoji baba yangu.
Haya niliyoandika ni mambo ya wakati baba yangu akiishi katika zama hizo za 1920.

Mambo yanatokea anayaona kwa macho yake.
Mimi nikaja nikaishi katika nyakati hizo.

Bado unahitaji sauti na video ya umri mzima wa baba yangu na wangu?
Lakini kubwa wewe au yeyote yule hana lazima ya kuamini nilioyoandika katika kitabu changu.

Sihitaji kuthibitisha chochote kwa yeyote awaye yule.
Nithibitishe nini ili iwe nini na kutaka nini?

Kuwa baba yangu akimjua Abdu Sykes toka utoto na ujana wao walikuwa pamoja
pale Mtaa wa Kipata na walisoma darasa moja Al Jamiatul Islamiyya Muslim School?

Kuwa baba yangu alikuwa akijua kuwa Abdu alikuwa akaifanya mipango ya
kuunda TANU toka 1950 na akimdokeza mambo yalivyokuwa yanakwenda?

Kuwa baba yangu kajuana na Nyerere nyumbani kwa Abdu Mtaa wa Aggrey mwaka 1952?

Hivi vyote vilikuwa vitu vya kawaida sana.
Yote ni matokeo ya kawaida baina ya watu.

Laiti historia ingeliandikwa bila khiyana wala pasingekuwapo na haja ya kueleza historia hii.

Mimi hakika humu natoa mengi katika yale niliyoandika miaka mingi nyuma lakini sitoi katika Wikipedia.
Wikipedia hawana maandishi yangu.

Maandishi yangu yako kwenye mradi wa Dictionary of African Biographies (DAB), New York.
Huu ni mradi wa Oxford University Press, New York na Harvard.

Maandishi hayo siruhusiwi kuyachapa popote hadi mradi umekamilika.

Siko humu kutetea chochote kwani kitabu hicho kinasomwa sasa mwaka wa 15 si kitu kipya.
Bahati mbaya kwako kuwa wewe umekujakijua kitabu hiki leo.
 
Huyu Mzee anzeeka vibaya sana yaani baba yake kutokuwa kwenye historia ndo kinamuuma sana na kutaka kuleta mifarakano ya kidini?alafu anaonekana ni mtu anayependa sifa sana kwamba nimealikwa huku,kitabu changu kimesomwa huku,mambo mengi ili tu kutaka kualalisha udini wake na ndio vitu vinampa kichwa na kujiona yupo juu kumbe amewapata wazee wa madrasa tu,

Huwezi kumshawishi msomi mwenye akili timamu kwa hizo hadithi za Alfu lela Ulela,mimi bado na hautakuja kunishawishi na Baba yako hana umuhimu wa kuwa kwenye historia ya Taifa hili
 
Hukufata ushauri nilokupa ndiyo maana nami sioni kama iko tija ya mnakasha na mtu wa hulka kama yako.Samahani Nyerere ndiye hakusikiza ushauri wangu wa mjadala wenye heshima na adabu. Mie si wa staili yake. Wengi humu ukumbini wanalijua hilo kuwa huwa nina kawaida ya kuwapuuza watu kama hao na mfano wao.
Ukishindwa kujibu hoja eti hua unadai 'kupuuza' watu, hii ni tactic ya kitoto sana na wenye akili tushajua huna majibu.

Sihitaji kuthibitisha chochote kwa yeyote awaye yule.
Nithibitishe nini ili iwe nini na kutaka nini?
How self-defeating!
Wapo wanaosema unazeeka vibaya, lakini mimi nadhani ujivuni na uhafidhina wako umekiuka mipaka kiasi cha kuikanyaga busara yako ndogo ulionayo/
 
Mou Hii hii au nyingine?

Ni hiyohiyo mkuu,

Utashangaa kwanini inaonekana imesainiwa kati ya kanisa na serikali ya Tanzania.
Lakini jibu ni kuwa, kwakuwa makubaliano ya asili yalikuwa kati ya serikali ya kigeni (ujerumani) na kanisa, hivyo serikali ya ndani (Tanzania) ilisimama badala ya serikali ya kigeni na MoU ikasainiwa bila mawaa.

Hivyo kile waislamu wanachodai ni kodi ya watanzaia sio kweli, bali ni misaada kutoka serikali ya kigeni (ujerumani) inayokuja kupitia serikali ya Tanzania kama mdhamini wa MoU. Hili hata Mohamed Said analijua fika lakini hawaambii ukweli waislamu wenzie bali anawalisha sumu ya uasi na uhaini tu.

Bila shaka umenielewa mkuu wangu,
 
Ni hiyohiyo mkuu,

Utashangaa kwanini inaonekana imesainiwa kati ya kanisa na serikali ya Tanzania.
Lakini jibu ni kuwa, kwakuwa makubaliano ya asili yalikuwa kati ya serikali ya kigeni (ujerumani) na kanisa, hivyo serikali ya ndani (Tanzania) ilisimama badala ya serikali ya kigeni na MoU ikasainiwa bila mawaa.

Hivyo kile waislamu wanachodai ni kodi ya watanzaia sio kweli, bali ni misaada kutoka serikali ya kigeni (ujerumani) inayokuja kupitia serikali ya Tanzania kama mdhamini wa MoU. Hili hata Mohamed Said analijua fika lakini hawaambii ukweli waislamu wenzie bali anawalisha sumu ya uasi na uhaini tu.

Bila shaka umenielewa mkuu wangu,

Mohamed Said, kaishaeleza sana masuala ya MoU kabla wewe ujajiunga JF.
 
Last edited by a moderator:
ujinga ni kipaji mlichojaaliwa ndugu zanguni waislamu na ndo maana kila kitu mnaona mnaonewa na kusingizia ati mfumo kristo...kama kweli mnaelewa mbona hamtaji IDADI YA HOSPITALI NA VITUO VYA AFYA VINAVYOMILIKIWA na makanisa lakini vinahudumia watanzania wote pasi kujali dini au makabila yao, waislam hamna hata zahanati kubwa inayofahamika kitaifa halafu mnapigapiga kelele tu kama walevi, shule za sekondari nyingi na bora ni za makanisa ambako yawezekana hata hyo mzandiki mohamed ndo alikosomea lakini shule zinazomilikiwa na misikiti zinazalisha vilaza wengi wenye UDINI,INFERIORITY COMPLEX MBELE YA WATU WA MUNGU/WAKRISTO....acheni kueneza chuki na chokochoko za kidini nyie
 
Back
Top Bottom