Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mkuu nikushukuru kwa uvumilivu wako wakunisibiri nimalize ibada yangu takatifu,

Naamu nimesoma hayo maandishi unayodai ni ya Nyerere na Mzee Malima ambayo yamo katika andishi liitwalo

"Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes".

Majibu ya Nyerere yanaonyesha wazi alikana madai ya waislamu tena alikana kwakutumia vinasaba vya picha ya wanaukombozi kabisa,

Lakini wewe umerudia wimbo huohuo ambao ulishakanwa!

Hiyo ndiyo ''art'' ya uandishi.
Sijarudia kipande kile bure.

Nimekirudia ili wasiojua wajue.
Nyerere kwa hakika amekana.

Hiki ni kitu muhimu sana.
Hii inawapa fursa wasomaji wa kitabu changu kutafakari.

Kipi kilipitika hadi akawa sasa Nyerere anashutumiwa kuwa hawapendi Waislam?
Waislam hawa ambao yeye mwenyewe kawasifia?

Katika kitabu changu nikachukulia kutoka hapo na kueleza matokeo yaliyotokea
baada ya uhuru kupatikana 1961.

Kipi kilisababisha Nyerere akawa mbali na Abdu.
Akawa mbali na Sheikh Hassan bin Amir.
Akawa mbali na Titi Mohamed
Akawa mbali na Dk. Michael Lugazia
Akawa mbali na Dk. Wilbard Mwanjisi.
Akawa mbali na Bilali Rehani Waikela.
Akawa mbali na Baraza la Wazee wa TANU chini ya Mwenyekiti Idd Tulio.
Akawa mbali, akawa mbali akawa mbali...

Uchambuzi huu ndiyo ulokifanya kitabu hiki kiwe kitabu cha maana na kipendwe.

Acha lugha hizo zisizofaa za ''narudia wimbo'' wewe unajadiliana na mimi.
Ritz alikuonya mapema sana kuhusu mimi.

Hukuzingatia.
Ulidhani anafanya maskhara.

Haya niloandika yamevuruga akili ya wasomi wakubwa sana.
Hawakutosheka na mawasiliano ya email na simu.

Wamenialika kwao tuzungumze uso kwa uso.
Hakuna radio kubwa duniani VOA, BBC, DW, Sauti ya Iran nk ambazo mimi sijafanya mahojiano.

Kila mtafiti katika ''Islam and Politics'' kwa kipindi cha miaka 15 iliyopita hakamalishi utafiti wake sharti
aje Tanzania kunihoji.

Nakueleza haya si kwa nia ya kujisifu bali tupate kufahamiana.
Huenda ukawaidhika.

Ingia Radio Butiama ya ndugu yako Gunze sikiliza mahojiano yetu.
Hii radio iko Columbus Ohio, USA.

Imeanzishwa kwa ajili ya kumuenzi Baba wa Taifa.
 
yaani unachotakiwa wewe ni umuamini tu kama aya za maandiko matakatifu...wakija wanafiki wenzake wanaanza kumwagia sifa eti amwaga ushahidi wa kutosha...kinachosikitisha ni baadhi ya waislamu kumeza kila kila kitu bila kushirikisha ubongo wao linapokuja suala la dhulma ya kufikirika wanayofanyiwa waislamu na kanisa...

Wewe endelea kusikitika Mohamed Said, anaendelea kutoa darsa na watu wanazidi kuelewa kwa kiwango cha juu. Ulazimishwi kuamini sijui kinachokusikitisha ni nini.
 
Last edited by a moderator:
Siku zote mie nina utaratibu wangu ukiniuliza maswali ya kipuuzi lazima nikujibu majibu ya kipuuzi.

Wewe si mateka wa Dr Slaa kwa akili yako ilivyokuwa fupi unadhani Tanzania itatawaliwa na Padre.

Mkuu Ritz

Neno padri ni cheo katika kanisa katoliki na kwa imani ya wakatoliki padri haruhusiwi kuoa nasikitika kwanini umwite Dr W.P slaa padri wakati anamke/mchumba vyovyote?

b) Wewe ni mwislam vipi kujishughurisha na kanisa katoliki umepewa huo usemaji lini mkuu na mamlaka ya kuteuwa mapadri?

c) Yeye amekujibu vibaya nani? unataka kutuambia Dr W. P slaa ndiye aliyekujibu vibaya kama siyo yeye vipi umshabulie yeye?

Tanzania itatawaliwa na mtanzania yoyote awe mpagani, mkritu au mwislam kama ilivo sasa kwa kuzingatia uwezo wake.

Fahamu hakuna Cheo cha rais kama padri au shekhe kwenye katiba na katiba hairuhusu upuu huo.

Naomaba ufafanuzi mkuu wangu.
 
Hivi mfumo kristo ulishindikana vipi kwa nchi kama Algeria, Mali, Senegal, Zanzibar,..., zilizotawaliwa kikwelikweli na Wafaransa, Waingereza? Kwa nini mfumo huu uliwezekana kwa Tanganyika ambayo hata hivyo haikuwa koloni la Mwingereza?
 
MMohamed said

Umeandika hapo juu kuhusu mfumo kristu kwa bahati kuna mdau amekuuliza msomi wewe Kikwete aliwataka mpeleke MOU ya waaislam kwake.

1. Je mmefikia wapi kuhusu hilo? unaweza sasa kuufahamisha umma wa watanzania kwamba MOU ni haki kwa kila taasisi wakiwamo waislam.

2. kabla hujaposti lawama zako, ulifanya utafiti wowote kuhusiana na MOU ya wakristu, na nini ilikuwa matokeo yake?

3. Maswali hapo juu ndiyo nguzo ya mjadala huu kama ulivolalamika na kama Yericko alivoyawasilisha malalamiko yako, Je kwanini kwanza hujishughulishi na maswali ya msingi ambayo wewe ndiye muasisi kwa madai na kashifa nzito kwa hayati mwalimu nyerere , Mou nk unabaki kuzunguuka mbuyu kwanini?

Achakupesti maandishi yasioakisi maudhui ya maswali hapo juu amboyo ndiyo msingi hasa wa maada hii.ohamed

umeyaelewa maswali naomba majibu mzee ulichokiweka hapa chini hakijajibu maswali hayo hapo juu.

Ndugu yangu lugha za vitisho na kibri hazitatuondela matatizo yetu.

Wewe huna nguvu wala mamlaka ya kumfunga mtu sembuse mimi.
Nifungwe kwa kosa lipi?

Kwa kuandika kitabu cha historia na kueleza matatizo ya nchi yangu?
Hii post hapo chini nimemwekea mwenzako.

Najua ushaisoma lakini naiweka tena upate kutafakari.

''Hivi sasa kuna vitabu viwili vilivyoandikwa na Wakristo wenyewe vinavyothibitisha kuwa Wakristo wametumia nyadhifa zao katika serikali kuuhujumu Uislam na Waislam. Jan P van Bergen katika kitabu chake, ''Development and Religion in Tanzania,'' (1981) ametoboa siri kuhusu uadui aliokuwa nao Rais Mstaafu, Nyerere dhidi ya Uislam na Waislam.

Kitabu kinaeleza kwa ufasaha jinsi Nyerere wakati alipokuwa madarakani alivyokuwa akifanya mikutano ya siri na viongozi wa Kanisa kuweka mikakati ya kuupa nguvu Ukristo. Katika mikutano hiyo Nyerere aliwahakikishia viongozi wa Kanisa kuwa anaaunga mkono Ukristo.

Kitabu hicho kinaeleza jinsi Nyerere alivyotimiza ahadi yake hiyo kwa Kanisa kwa kuhakikisha kuwa anawapa Wakristo nafasi za juu katika serikali na chama.''

Naweza kukuwekea mifano mingi na rejea chungu nzima lakini kwa sasa toshe kwa hayo hapo juu. La kama unapenda kuniwekee mifano mingine nitaarifu nitakuwekea.

Hapa tuko katika kuelimishana ili sote tuwajue maadui wa taifa letu na tutafute njia ya kuondoa tatizo hili la udini. Kukemea peke yake hakutoshi.

Tuelewe kwanza chanzo cha udini na watu waliotufikisha hapa.
Baada ya kusoma ushamjua aliyekuwa muflisi?
 
Mohamed said

Umeandika hapo juu kuhusu mfumo kristu kwa bahati kuna mdau amekuuliza msomi wewe Kikwete aliwataka mpeleke MOU ya waaislam kwake.

1. Je mmefikia wapi kuhusu hilo? unaweza sasa kuufahamisha umma wa watanzania kwamba MOU ni haki kwa kila taasisi wakiwamo waislam.

2. kabla hujaposti lawama zako, ulifanya utafiti wowote kuhusiana na MOU ya wakristu, na nini ilikuwa matokeo yake?

3. Maswali hapo juu ndiyo nguzo ya mjadala huu kama ulivolalamika na kama Yericko alivoyawasilisha malalamiko yako, Je kwanini kwanza hujishughulishi na maswali ya msingi ambayo wewe ndiye muasisi kwa madai na kashifa nzito kwa hayati mwalimu nyerere , Mou nk unabaki kuzunguuka mbuyu kwanini?

Achakupesti maandishi yasioakisi maudhui ya maswali hapo juu amboyo ndiyo msingi hasa wa maada hii.

Ngoja nikufahamishe kitu.

Mimi ni Muislam wa kawaida wala sina cheo Bakwata.
Wala si ''alim'' kuwa naweza nikafutu mas' ala.

Wala Rais Kikwete hanifahamu.

Swali hilo ungelipeleka Bakwata ndipo mahali pake.
 
Amweleze nani? mwenzio anakashifu imani za watu wewe unashangilia

Bokoharam ujasili wa kuwaamulia na kuwasemea wakatoliki unatoka wapi? Nyinyi yanawahusu ya kanisani?

Naomba msaidie mwenzio kutufafanulia ili kesho mkitoa tamko tujuwe nanyinyi ni sehemu ya maamuzi ya kanisa.

waeereze mkuu

Neno padri ni cheo katika kanisa katoliki na kwa imani ya wakatoliki padri haruhusiwi kuoa nasikitika kwanini umwite Dr W.P slaa padri wakati anamke/mchumba vyovyote?

b) Wewe ni mwislam vipi kujishughurisha na kanisa katoliki umepewa huo usemaji lini mkuu na mamlaka ya kuteuwa mapadri?

c) Yeye amekujibu vibaya nani? unataka kutuambia Dr W. P slaa ndiye aliyekujibu vibaya kama siyo yeye vipi umshabulie yeye?

Tanzania itatawaliwa na mtanzania yoyote awe mpagani, mkritu au mwislam kama ilivo sasa kwa kuzingatia uwezo wake.

Fahamu hakuna Cheo cha rais kama padri au shekhe kwenye katiba na katiba hairuhusu upuu huo.

Naomaba ufafanuzi mkuu wangu.
 
Vita za UHURU kwa Tanganyika( haikuwa ikiitwa hivo, na sio ramani hii ya sasa) zilikoma mara tu baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia kumalizika. Mazungumzo kamili na Waingereza ya kurudishiwa madaraka yetu yalianza rasmi baada ya chama cha siasa cha kwanza kutambulika rasmi kuanzishwa tarehe 7.7.1954. AA na baadae TAA zilikuwa ni pressure groups za kawaida kabisa kama zilivyo NGO za sasa akina TAMWA, LHRC, Jukwaa la Katiba,...
 
Kwa bahati mbaya bwana Mohamed Said histori unayoisimamia umeiakisi kuanzia miaka ya 1950+ tu,

Hujajishughulisha kuutazama utawala wa kiingereza wala kuutazama upya utawala wa Kijerumani ambao ndio uliosimika misingi ya utawala na mifumo mingi ambayo leo tunaitumia!

Mjerumani mfumo wake wa utawala kwa ASILI ni wa kikristu na kwa Tanganyika walisimama hivyo bila kutetereka! (Yaani mfumo kristu 100%)

Akaja Muingereza na yeye mfumo wa utawala wake wa ASILI ni wakikristu!

Mwalimu Nyerere baada ya kukadhiwa mamlaka kamili ya kushika dola na Malkia wa Uingereza alianza mageuzi ya kubadili mfumo huo hasa mwanzini mwa 1964 baada ya kuunganisha nchi ya Tanganyika na Zanzibar na kuzaliwa kwa Tanzania!

Juhudi hizi zilikwenda na zinakwenda taratibu kwakupitia hatua kadhaa, kumbuka Mjerumani amekaa zaidi ya karne tatu akitumia mfumo kristu kutawala, Muingereza nae akaloweka karne kadhaa akitawala kwa mfumo huohuo,

Je ulitaka Julius Nyerere abadili mfumo huo kwa miaka 23 tu aliyotawala huku nchi ikitoka kwenye dimbwi la ukoloni?

Kazi aliyofanya mzee Nyerere ni kubwa na hakuchukua karne kadhaa kuumaliza mfumo uliodumu kwa mvua na mvua.

Japokuwa hakumaliza chembe za mfumo huu lakini kwangu naona ni zaidi ya 98% alimaliza, palipobaki waambata wake Mwinyi, Mkapa na Kikwete wanaweza kuumaliza!

Inakera kuona wewe Mohamed unarudisha nyuma juhudi za wanaukombozi wetu na kupandikiza chuki miongoni mwa dini hizi mbili!

Faida unayopata ni ndogo na niyakwako tu kuliko hatari inayolikumba taifa hivi leo!
 
MMohamed said

Umeandika hapo juu kuhusu mfumo kristu kwa bahati kuna mdau amekuuliza msomi wewe Kikwete aliwataka mpeleke MOU ya waaislam kwake.

1. Je mmefikia wapi kuhusu hilo? unaweza sasa kuufahamisha umma wa watanzania kwamba MOU ni haki kwa kila taasisi wakiwamo waislam.

2. kabla hujaposti lawama zako, ulifanya utafiti wowote kuhusiana na MOU ya wakristu, na nini ilikuwa matokeo yake?

3. Maswali hapo juu ndiyo nguzo ya mjadala huu kama ulivolalamika na kama Yericko alivoyawasilisha malalamiko yako, Je kwanini kwanza hujishughulishi na maswali ya msingi ambayo wewe ndiye muasisi kwa madai na kashifa nzito kwa hayati mwalimu nyerere , Mou nk unabaki kuzunguuka mbuyu kwanini?

Achakupesti maandishi yasioakisi maudhui ya maswali hapo juu amboyo ndiyo msingi hasa wa maada hii.ohamed

umeyaelewa maswali naomba majibu mzee ulichokiweka hapa chini hakijajibu maswali hayo hapo juu.

Sikukuwekea ili liwe jibu lako.
Nimeweka ili utafakari.

Nimeweka kuchokoza fikra zako.
Uihangaishe akili yako.

Usidhani mimi niko humu kujibu maswali.
La hasha.

Mimi niko humu kuwaelezeni nyie ndugu zangu yale ambayo hamkuwa mnayajua.
 
Huko tulishapita siku nyingi.

Sasa serikali inasema tuzungumze baina yetu.
Rejea hotuba ya rais Singida.

Tunakwenda katika majadiliano hivi sasa ili tukate mzizi wa fitna.
 
Vita za UHURU kwa Tanganyika( haikuwa ikiitwa hivo, na sio ramani hii ya sasa) zilikoma mara tu baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia kumalizika. Mazungumzo kamili na Waingereza ya kurudishiwa madaraka yetu yalianza rasmi baada ya chama cha siasa cha kwanza kutambulika rasmi kuanzishwa tarehe 7.7.1954. AA na baadae TAA zilikuwa ni pressure groups za kawaida kabisa kama zilivyo NGO za sasa akina TAMWA, LHRC, Jukwaa la Katiba,...

Wala mimi sitakupinga katika hayo ulosema.
Huo ndiyo usomi.

Kila mtu ana haki ya kuangalia jambo kwa mtazamo wake.
Baada ya hapo wasomaji ndiyo wanaamua.

Kitabu cha TANU kilichoandikwa na Chuo cha Kivukoni kipo pale lakini
hakuna hata msomi mmoja anaekifanyia rejea.

Fikra siku zote hupimwa na jamii.

Nakuwekea hapa chini jinsi Nyerere alivyobadili mawazo yake kuhusu TAA:

...Nyerere alipoandika barua kwa Gavana wa Tanganyika, Edward Twining tarehe 10 Agosti, 1953 alieleza kuwa TAA ni chama cha siasa.

Lakini baadae alibadili msimamo na kusema kuwa TAA kilikuwa chama cha starehe. Kauli hii ilitawala hotuba za Nyerere na maandishi yake kwa kipindi kirefu.

Katika miaka ya hivi karibuni amesikika akisema kuwa TAA kilikuwa ''chama cha siasa kisichokuwa na katiba ya siasa...
''

(Barua hii ya Nyerere imo katika nyaraka za Sykes).
 
Hata waziri/naibu wa elimu/wakurugenzi wote baraza la mitihani/necta/watungaji/wasahihishaji mitihani wote wangekuwa ni waislam, bado waislam mngeendelea kulalama kuna mfumo kristo. Mkristo hana sababu ya kulalamikia NECTA ukizingatia mitihani ipo pale karibu mwaka mzima baada ya kusahihishwa...kama umeonewa ni suala la kuappeal tu...
Mdahalo mpana, Udini uetawala na ukweli umejionesha. Hivi kama hkuna upendeleo inakuaje kuwa Wakiristo wanapasi viuri sana, lakini Walimu wa yuo vikuu wanalalamika kuwa wanafunzi wanaifika huko ni dhaifu kimasomo? Au ndio wale wanafunzi wakirsto wanaofuzu kwa sababa NECTA iko kwenye viganja vya kanisa.
Kwa kueleishwa hayo na kila sababu ya kutaka Zanzibar ijitawale kutoka kwa utawala dhalimu wa mfuo krito wa Tanganyika na kuwa huru.Ni jana nilikubuswa kuwa aliopinduwa Zanzibar na kusababbisha umwagaji mkubwa wa damu ya waislamu ni wakirsto WAkatoliki n kuongozwa na field marshall JOHN OKELLO na ENGEN
 
Hivi mfumo kristo ulishindikana vipi kwa nchi kama Algeria, Mali, Senegal, Zanzibar,..., zilizotawaliwa kikwelikweli na Wafaransa, Waingereza? Kwa nini mfumo huu uliwezekana kwa Tanganyika ambayo hata hivyo haikuwa koloni la Mwingereza?

Heshima kwako mkuu

Hakuna kitu kama hicho ni njaa za watu kutufarakanisha watanzania wao wanafaham kwa nini wanfanya hivyo
Mataifa ya bara la afrika umaskini umetamalaki kila kona wanapaswa watoke nje ya Tanzania wajionee nani anawatesa wakongo, wasomali syria nk......... kunamfumo kristo huko! jibu ni hapana. hata hapo malawi siyo pazuri huko zimbabwe ovyo kabisa

Ilikuweka sawa huu upotoshaji ndiyo sababu nikachukuwa somalia kama mfano wa nchi nyingine nyingi zenye matatizo tuusome mfumo wao wa utawala tuujadili kwanini wamefika hapo walipo nikasema tukimaliza tutahamia Syria alafu Libya nk ilikuweka mazigira mazuri kwa maana ya faireness. Hili walitaki kwasababu litavuruga malengo yao ambayo hakika sisi hatuyajui.

Hawawezi kutuingiza matatizoni, kama watanzania tutabakia kuwa watanzani bila kujali imani zetu makabila yetu au itikadi ya vyama vya kisiasa.
 
Soma hapa chini kisha jiulize nani anajitambulisha kwa udini?:

''Hivi sasa kuna vitabu viwili vilivyoandikwa na Wakristo wenyewe vinavyothibitisha kuwa Wakristo wametumia nyadhifa zao katika serikali kuuhujumu Uislam na Waislam. Jan P van Bergen katika kitabu chake, ''Development and Religion in Tanzania,'' (1981) ametoboa siri kuhusu uadui aliokuwa nao Rais Mstaafu, Nyerere dhidi ya Uislam na Waislam.

Kitabu kinaeleza kwa ufasaha jinsi Nyerere wakati alipokuwa madarakani alivyokuwa akifanya mikutano ya siri na viongozi wa Kanisa kuweka mikakati ya kuupa nguvu Ukristo. Katika mikutano hiyo Nyerere aliwahakikishia viongozi wa Kanisa kuwa anaaunga mkono Ukristo.

Kitabu hicho kinaeleza jinsi Nyerere alivyotimiza ahadi yake hiyo kwa Kanisa kwa kuhakikisha kuwa anawapa Wakristo nafasi za juu katika serikali na chama.''

Naweza kukuwekea mifano mingi na rejea chungu nzima lakini kwa sasa toshe kwa hayo hapo juu. La kama unapenda kuniwekee mifano mingine nitaarifu nitakuwekea.

Hapa tuko katika kuelimishana ili sote tuwajue maadui wa taifa letu na tutafute njia ya kuondoa tatizo hili la udini. Kukemea peke yake hakutoshi.

Tuelewe kwanza chanzo cha udini na watu waliotufikisha hapa.
Baada ya kusoma ushamjua aliyekuwa muflisi?
Tangu Mwalimu anakuwa Rais Tanganyika na baadae Tanzania hakwahi kuwa na makamu wa Rais mkristo. Akina Rashid unawaweka katika kundi gani la Waislam Mzee Mohamed Saidi?

Mwalimu amekuwa na mawaziri wakuu wawili Waislam safi kabisa akina Rashid na Salim. Mwalimu amekuwa na mkuu wa majeshi, maIGP Waislam. Mwalimu amekuwa na mawziri wengi tu Waislam. Mwalimu ameteua Wakurugenzi wa taasisi za umma wengi tu Waislam.

Mwisho kabisa Mwalimu alipong'atuka urais alimwachia Mwislam safi kabisa uRais wa NCHI hii.
 
Anayepaswa kuihagaisha akili ni wewe unayepotosha na kuchochea iliutafute majibu sahihi tujuwe umeelewa.

Rejea maswali mzee said tunaomaba majibu

Mohamed said

Umeandika hapo juu kuhusu mfumo kristu kwa bahati kuna mdau amekuuliza msomi wewe Kikwete aliwataka mpeleke MOU ya waaislam kwake.

1. Je mmefikia wapi kuhusu hilo? unaweza sasa kuufahamisha umma wa watanzania kwamba MOU ni haki kwa kila taasisi wakiwamo waislam.

2. kabla hujaposti lawama zako, ulifanya utafiti wowote kuhusiana na MOU ya wakristu, na nini ilikuwa matokeo yake?

3. Maswali hapo juu ndiyo nguzo ya mjadala huu kama ulivolalamika na kama Yericko alivoyawasilisha malalamiko yako, Je kwanini kwanza hujishughulishi na maswali ya msingi ambayo wewe ndiye muasisi kwa madai na kashifa nzito kwa hayati mwalimu nyerere , Mou nk unabaki kuzunguuka mbuyu kwanini?

Achakupesti maandishi yasioakisi maudhui ya maswali hapo juu amboyo ndiyo msingi hasa wa maada hii.ohamed

umeyaelewa maswali naomba majibu mzee ulichokiweka hapa chini hakijajibu maswali hayo hapo juu.

Sikukuwekea ili liwe jibu lako.
Nimeweka ili utafakari.

Nimeweka kuchokoza fikra zako.
Uihangaishe akili yako.

Usidhani mimi niko humu kujibu maswali.
La hasha.

Mimi niko humu kuwaelezeni nyie ndugu zangu yale ambayo hamkuwa mnayajua.
 
Huko tulishapita siku nyingi.

Sasa serikali inasema tuzungumze baina yetu.
Rejea hotuba ya rais Singida.

Tunakwenda katika majadiliano hivi sasa ili tukate mzizi wa fitna.

Ndugu yangu, jibu hoja usikwepe, serikali hiyohiyo unayoilalamikia kuwa imewadhulumu, leo unafuta matakwa yayo?

Mkuu rudi kwenye mstari ujibu hoja, sio kurukaruka mjadala ndugu yangu, unawayumbisha watazamaji/wasomaji wetu wanaopenda kuona taifa likisimama huru na la amani.
 
Wewe endelea kusikitika Mohamed Said, anaendelea kutoa darsa na watu wanazidi kuelewa kwa kiwango cha juu. Ulazimishwi kuamini sijui kinachokusikitisha ni nini.

Marehemu Sheikh Mohamed Ayub alikuwa akisema hii elimu ni amana na mwenyewe akijataka amana yake mpe.

Namshukuru Allah kwa kunipa hii hidaya.
Namshukuru mama yangu Bi Mwanaidi biti Mohamed aliyeninunulia kitabu sokoni tukiwa pamoja.

Nilikuwa na umri wa miaka 6 na akaanza kunisomesha hata sijakwenda shule.
Allah mkunjulie kaburi lake na lijaze nuru.

Amin.
 
Back
Top Bottom