Wakati mwingine sisi ndiyo huwa tunakuonea huruma ndugu yangu.Wakati mwingine hunijia huruma kwa kuwa mimi najua mengi katika haya
kupita hawa ninaojadiliananao.
Kuna habari nyingine huwa siona sababu ya kuziweka hapa na ni nyingi.
Nyerere si kama hakujibu.
Alikubali kuandika maisha yake na humo ataeleza upande wake wa historia.
Kazi hiyo alimpa Prof. Haroub Othman.
Hapo juu umesema Nyerere si kama hakujibu.
Haya turudi nyuma kidogo kabla sijapigwa ban. Angalia post yangu ya #823 kwenye uzi wa "Maaskofu wakemea udini na ukanda".
Niliquote hii kitu kutoka paper yako.
The late Prof. Haroub Othman after reading Sheikh Ali Muhsin's book Conflict and Harmony in Zanzibar and the writer's book The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 -1968 The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press, London 1998 and having come across hitherto unknown information on Nyerere was devastated because he was a great admirer of Nyerere as a patriot and a nationalist . The two books had painted him differently. Prof. Haroub confronted Nyerere and told him that the allegations in those two works have tarnished his image and he advised him to respond to them. Nyerere never did.
Linganisha hapo kwenye buluu halafu naomba unifafanulie labda mimi lugha inanichenga
