Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kuna mfuasi mmoja wa nyerere, anaitwa Mag3,

Anasema hao wazee wote walikuwa wasaidizi wa Nyerere.

Nguruvi3, yeye hataki kabisa kusikia majina ya hao wazee anawaita kina mwanameka.

huyo ndio kabisa, anaandika yeye na kujijibu yeye. Hakuna aliyetajwa na Mohamed Said zaidi ya nyerere ambae anamjua kabla ya kumsoma Mohamed Said.

Ukimwambia nyerere aliwekwa nyumbani kwa kina Sykes mtaa wa Stanley atakataa. Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Mkuu unaposema watu wameishiwa hoja basi jaribu kuonyesha ni wapi na wapi. Hoja nyingi zimetolewa hapa lakini ni Mohamed Said ndiyo ameshindwa kutoa majibu ya hoja hizo. Utakuwa na upungufu mkubwa sana kama hilo hulioni. Cha msingi ni na nyinyi mjaribu kumsisitizia mzee wetu atoe majibu ya hoja maana wengine akili zetu siyo za kushikiwa...hatuwezi kuamini tu kwa kuambiwa tuamini kama wewe na wenzako mnavyofanya. Kuwa mkweli bhana...

Wewe ni mfuasi wa Nyerere pamoja na Kanisa na adui mkubwa wa Uislam na Waislam. Akili zako ni za kushikiwa Nyerere kwako ni mtakatifu. Bora ungekaa kimya tu kuliko kujidhalilisha.

Nyie kwenu hawa wazee wazalendo hawana jema hata moja kila kitu Nyerere. Hata mitume wa Mungu walikuwa na wenzao ambao wanafanya nao kazi.
 
Mkuu unaposema watu wameishiwa hoja basi jaribu kuonyesha ni wapi na wapi. Hoja nyingi zimetolewa hapa lakini ni Mohamed Said ndiyo ameshindwa kutoa majibu ya hoja hizo. Utakuwa na upungufu mkubwa sana kama hilo hulioni. Cha msingi ni na nyinyi mjaribu kumsisitizia mzee wetu atoe majibu ya hoja maana wengine akili zetu siyo za kushikiwa...hatuwezi kuamini tu kwa kuambiwa tuamini kama wewe na wenzako mnavyofanya. Kuwa mkweli bhana.

......

Mohamed Said kisha Sema kama una maandiko anayaona hayana maana hakujibu, hayupo hapa kuutafuta mshindi, yupo hapa kuelezea historia ya wazee wa dar na jinsi walivyoasisi kudai Uhuru na jinsi walivyomkaribisha nyerere nyumbani kwao na jinsi jina la TANU lilipotokea, bado tu hujaelewa?

Wewe kabka ya kumsoma Mohamed Said ulijuwa kuwa fedha za kukamilisha safari ya nyerere kwenda umoja wa mataifa zilitokea Tanga na zililetwa kiufundi na kiujasiri mkubwa na Waislaam na kuwahadaa Askari wa muingereza? Nna uhakika ulikuwa hujuwi na mpaka sasa unakataa kuamini, kwa kuwa tu hukufundishwa hayo na wana historia wako. Kaa upate darsa, ujuwe ushujaa wa Waislaam. .

Na sasa wanaonesha ushujaa wao huko Kusini wakifata nyayo za wazee wao waliopigana vita ya jihad ya majimaji. Unaujuwa ukweli wa majimaji? Kama huujuwi mtafute Mohamed Said akudokezee utafaidika.
 
Ritz,

Hivi sasa mnakasha umepambika na ghadhabu.
Wachangiaji wanaingia ukumbini wamehamaki.

Hii inatoa umakini wa kujadiliana na matokeo yake
ni kutukanana.

Katika hali kama hii ni vigumu kupata tija yoyote.

Hata hivyo hapa tulipofika naamini kuna mengi ambayo
yalikuwa hayafahamiki sasa yako wazi.

Natulia kidogo hasira zipungue na wakishapoa na kuanza
kuandika kwa utulivu na heshima Insha Allah tutaendelea
na mnakasha.

Namshukuru sana Bwana Yaricko Nyerere kwa nyuzi hizi mbili.

Kwanza ile ya Maaskofu na hii yangu binafsi ya Uchochezi.
Kanifanyia ikhsani kubwa sana.

Kama si yeye nisingeweza kupata watu 22,000+ kunisikiliza.
Namshukuru sana.
 
mkuu kimsingi kitabu chako kimebebwa ta udini, hilo huwezi kulikana wala kulikwepa, hata waungaji mkono wako wote kwajicho la tatu wamebeba itikadi ya kidini zaidi.

tafadhali usitumezeshe maneno yako,na pia usituchagulie upande,kila mtu ana akili zake na hakuna anaeshawishiwa kwa hisia zozote isipokuwa kwa nguvu za hoja tuh,huu udini mnataka kuuleta nyie,niambie ni nani miongoni mwenu ambae kajipambanua ni christian anaafikiana na hoja za moh said?je anapigana crusade war?si ameridhika na hoja za upande huo?iweje wanaonekana ni muslims na wanakubaliana na hoja za moh said waonekane wanapigania jihad?hatuwez fika,pia mnakera mara nyingi mnatumia lugha za kejeli,uhuni na matusi kwa lengo la kumuudhi na kumfrustuate ndugu moh said ili mumtoe nje ya mstari na kumtoa maana,mara nyingi anawakwepa?
Hiyo ndiyo heshima ya mnakasha kama unavosema?
Haileti maana yoyote zaid zaid mnajishusha.
 
mohamed said kisha sema kama una maandiko anayaona hayana maana hakujibu, hayupo hapa kuutafuta mshindi, yupo hapa kuelezea historia ya wazee wa dar na jinsi walivyoasisi kudai uhuru na jinsi walivyomkaribisha nyerere nyumbani kwao na jinsi jina la tanu lilipotokea, bado tu hujaelewa?

Wewe kabka ya kumsoma mohamed said ulijuwa kuwa fedha za kukamilisha safari ya nyerere kwenda umoja wa mataifa zilitokea tanga na zililetwa kiufundi na kiujasiri mkubwa na waislaam na kuwahadaa askari wa muingereza? Nna uhakika ulikuwa hujuwi na mpaka sasa unakataa kuamini, kwa kuwa tu hukufundishwa hayo na wana historia wako. Kaa upate darsa, ujuwe ushujaa wa waislaam. .

Na sasa wanaonesha ushujaa wao huko kusini wakifata nyayo za wazee wao waliopigana vita ya jihad ya majimaji. Unaujuwa ukweli wa majimaji? Kama huujuwi mtafute mohamed said akudokezee utafaidika.

sawa sawa,ha hizi jazba zao ma ghazabu ni ishara ya kuishiwa hoja tuh,na hawajalazimishwa kukubali,na hatupo hapa kugombea tuzo au nishani flani baada ya kumalizika kwa mjadala huu,
kama na wao wanahisi wana mchango wao wa kuutoa,wakae chini waandike kitabu chao kuelezea wanachokijua wao,uwongo hufutwa kwa ukweli.,
wauandike sasa ukweli wanaoufaham wao.
 
Mohamed Said amefungua mlango katika kitabu chake wala ajasema kuwa ndiyo kitabu cha historia ya Tanganyika.

Ndiyo maana kwenye gamba la kitabu ameandika maneno haya.

"Historia iliyofichwa kuhusu harakati za Waislam dhidi ya Ukoloni wa Waingereza katika Tanganyika."

Kama kuna watu wenye habari zingine kuhusu wapigania uhuru wa Tanganyika ni vizuri wakaziandika tupate kuzisoma.

Mohamed Said kwa nafasi yake katufundisha mengi tunaitaji na wengine wafanye kama Mohamed Said.
 
mkuu unaposema watu wameishiwa hoja basi jaribu kuonyesha ni wapi na wapi. Hoja nyingi zimetolewa hapa lakini ni mohamed said ndiyo ameshindwa kutoa majibu ya hoja hizo. Utakuwa na upungufu mkubwa sana kama hilo hulioni. Cha msingi ni na nyinyi mjaribu kumsisitizia mzee wetu atoe majibu ya hoja maana wengine akili zetu siyo za kushikiwa...hatuwezi kuamini tu kwa kuambiwa tuamini kama wewe na wenzako mnavyofanya. Kuwa mkweli bhana...

tunaposema mmeishiwa hoja ni hapo mnapoamua kwa wazi wazi kutumia lugha za kejeli na dhihaka dhidi yake,na kuacha kwa makusudi kuegemea kwenye hoja zinazopaswa kuulizwa na kujibiwa.
 
mohamed said,
baada hoja kuwaishia kinachofanyika sasa ni kukutolea kauli za matusi na kejeli ili ujitoe kwenye munakasha.

Kiukweli wewe ni mvumilivu sana ili nakupa pongezi sana kuvumilia matusi.

Endelea kutoa darsa wala hakuna wa kukufukuza kwa maneno.

then ile hotuba vipi??
Wamegoma kuiweka?si waliahid hilo au wamekimbia moja kwa moja kama kawaida yao.
 
tafadhali usitumezeshe maneno yako,na pia usituchagulie upande,kila mtu ana akili zake na hakuna anaeshawishiwa kwa hisia zozote isipokuwa kwa nguvu za hoja tuh,huu udini mnataka kuuleta nyie,niambie ni nani miongoni mwenu ambae kajipambanua ni christian anaafikiana na hoja za moh said?je anapigana crusade war?si ameridhika na hoja za upande huo?iweje wanaonekana ni muslims na wanakubaliana na hoja za moh said waonekane wanapigania jihad?hatuwez fika,pia mnakera mara nyingi mnatumia lugha za kejeli,uhuni na matusi kwa lengo la kumuudhi na kumfrustuate ndugu moh said ili mumtoe nje ya mstari na kumtoa maana,mara nyingi anawakwepa?
Hiyo ndiyo heshima ya mnakasha kama unavosema?
Haileti maana yoyote zaid zaid mnajishusha.
Kwani kuna mtu amepinga hoja zote za Mohamed Said? Mimi binafsi kuna baadhi ya vitu nimejifunza humu. Kinachokera ni pale anapotakiwa atoe maelezo kwenye vitu ambavyo havileti logic halafu anashindwa na kubaki kusema hayuko humu kujibu maswali. Mara anasema watu wamehamaki. Wasihamaki kwanini wakati mzee wetu analeta dharau na kupuuzia hoja za msingi kabisa! Wewe hizi simulizi zake zote unaziamini tu bila kutafakari au umetafakari na kujiuliza maswali na baada ya kupata majibu ndiyo umeamini?
 
then ile hotuba vipi??
Wamegoma kuiweka?si waliahid hilo au wamekimbia moja kwa moja kama kawaida yao.
Kama ungetumia kigezo hicho cha hotuba basi ungeyafuta maandishi yote ya Mohamed Said. Maana ni angalau hata hiyo hotuba iliyowekwa kwa maandishi inaonyesha ushahidi fulani.
Mzee Mohamed Said amesema si mara moja, hahitaji kutoa ushahidi wa kimahakama, cha ajabu yeye mwenyewe na wafuasi wake wanataka ushahidi wa kimahakama. Hivi nyinyi watu hamjioni mapungufu yenu kweli?
 
Kwa hiyo kumbe mkiamua inawezekana!? Unaamini hii dhana ya kanisa kuwadhulumu waislam kama anavyosema mohamed said? Kama unaamini , inawezekanaje kanisa likashindwa kuwadhulumu waislam kwenye ujenzi wa kituo cha radio/television lakini liweze kwenye ujenzi wa vyuo?
Mkuu sweke 34
hapo kuna masilai ya watu wanaojua wanatudanganya badala ya kuwa chanzo cha mabadiliko wao wanatafuta wa kulaumiwa. Mbona Bagamoyo makanisa ya kale yapo yanazuia kujengwa kwa mashule na vyuo vya Waislamu lakini yanashindwa kuzuia ujenzi wa misikiti?
Ni Aibu kwetu kusubiri tufanyiwe kila kitu wakati uwezo tunao na tunaona wenzetu wakifanya. Kwani wao waweze wana nini na sisi tunashindwa kwanini?. Lakini Inshalah tumeanza na nawaomba wenye nia ya kutudhofisha waache.
 
Nguruvi3,

Unanisoma nusunusu.

Nimeeleza vizuri sana hapa ukumbini kuwa Abdu alinyamza kimya baada ya kugundua kuwa
Nyerere alitaka historia ya TANU iwe historia yake Nyerere peke yake.

Hii ilikuwa baada kuvurugika ule mradi wa kuandika historia uliokuwa ukishughulikiwa na Abdu
na Dr Klerruu pale New Street.

Abdu alianza historia kwa kumtaja baba yake alivyoasisi African Associationn 1929 na akaendelea
kuandika historia ya African Association inaelekea hadi kufika kwa Nyerere 1952 pale nyumbani kwake
Stanley Street.

Hii haikumfurahisha Nyerere maana alijiona kama vile kapewa kupiga fidla namba mbili wakati yeye alipenda
ndiye awe anaetajika.

Hebu soma haya maneno kutoka ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes...'':

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] The first serious attempt to record the history of TANU was done by none other than Abdulwahid himself.

When TANU captured state power from the British in 1961 and was in the first phase of consolidating itself as a mass party, it is said that Abdulwahid was asked by Julius Nyerere, then Prime Minister of the country, to record the history of the struggle of the Africans of Tanganyika against the British.

This, in essence, was to be the history of TANU.

To assist him in the research was the late Dr Wilbert Kleruu, recently returned from studies in the United States.

Abdulwahid occupied his former office at the TANU headquarters; the one which he had occupied in the 1950s when he was TAA President. Abdulwahid’s personal files, dairies and his late father’s papers dating back to the days of the formation of African Association in 1929 were made available to researchers for the first time as primary sources of information.

Abdulwahid’s version, analysis, presentation of facts and interpretation of forces at play which led to the rise of nationalism were, however, not acceptable to the TANU leadership. We shall see in the following pages reasons why Abdulwahid’s version of history could not be allowed to flourish.

Abdulwahid abandoned the assignment after being convinced that the new leadership in TANU was not really interested in documenting an authenticated history of Tanganyika but was interested in merely creating a personality cult for Nyerere.

Dr Kleruu went ahead with the research and completed the work.

This manuscript remains unpublished, at least in its original form.

The manuscript disappeared from Party archives and was published for the first time in 1971 under a different name after changes had been done by the ‘author’ on the original manuscript to prevent detection by the Party.

After the book was published, the Party silently tried to stop the second edition of the book from being published but failed.

The work has now been published several times.

The approach, style and analysis of the subject is not very much different from the book on TANU published in 1981 by the Party ideological college.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Baada ya Abdu kujiondoa katika ubishi wa nani kaasisi TANU akawa anawaeleza rafiki zake mmojawapo akiwa Ahmed Rashad Ali kuwa ''Ikiwa Nyerere alikuwa anataka sifa ya kuwa yeye ndiye muasisi wa TANU mwacheni.'' Na huu ukawa ndiyo msimamo wake hadi anaingia kaburini.

Mimi nilipokuja kusema kwa mara ya kwanza kuwa Abdu ndiye aliyeasisi TANU gazeti la Africa Events (March/April 1988) toleo zima lilikusanywa na kuchomwa moto.

Hii ndiyo tofauti wa ukimya wa Abdu na Nyerere.


Mkuu MS, mi huwa najiuliza maneno yako huwa unatoa wapi, Hiyo Hoja ya Nyerere kusema yeye ndio mwanzilishi pekee wa TANU sijuhi inaingiaje haya Chini ni maneno ya Nyerere katika hotuba yake ya kuaga wazee 1985

"Baada ya miezi 13, hapo 1954, tukaanzisha TANU. Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili)."
 
Kwani kuna mtu amepinga hoja zote za Mohamed Said? Mimi binafsi kuna baadhi ya vitu nimejifunza humu. Kinachokera ni pale anapotakiwa atoe maelezo kwenye vitu ambavyo havileti logic halafu anashindwa na kubaki kusema hayuko humu kujibu maswali. Mara anasema watu wamehamaki. Wasihamaki kwanini wakati mzee wetu analeta dharau na kupuuzia hoja za msingi kabisa! Wewe hizi simulizi zake zote unaziamini tu bila kutafakari au umetafakari na kujiuliza maswali na baada ya kupata majibu ndiyo umeamini?

Weka vyako vinavyoleta logic, kwani ni lazima Mohamed Said akujibu hata kama unaleta utumbo?
 
kwani kuna mtu amepinga hoja zote za mohamed said? Mimi binafsi kuna baadhi ya vitu nimejifunza humu. Kinachokera ni pale anapotakiwa atoe maelezo kwenye vitu ambavyo havileti logic halafu anashindwa na kubaki kusema hayuko humu kujibu maswali. Mara anasema watu wamehamaki. Wasihamaki kwanini wakati mzee wetu analeta dharau na kupuuzia hoja za msingi kabisa! Wewe hizi simulizi zake zote unaziamini tu bila kutafakari au umetafakari na kujiuliza maswali na baada ya kupata majibu ndiyo umeamini?

na ndio maana ya mjadala,kama wewe unavosema kuna vitu umejifunza kutoka kwake na vivo hivyo wengine tunavojfunza kutoka upande mwingine,si kila mtu alikuawa anafaham vyote hivo,ila kwa busara na uvumilivu mjadala huu utakuwa na mwisho mzuri kama ulivyoanzishwa,sasa kama kila mtu akianza kuleta kejeli kwa mwenzake tutafika mwisho?
Hatuamini kitu eti kwa kuwa moh said kasema la hasha,tunapima mantiki na uzito wa kile anachokisema kwanza.
 
Mkuu Pasco naunga mkono wazo lako niko tayari kuchangia,uandaliwe utaratibu wa haraka sana kuacha haya mambo ya kijinga yaendelee bila kufanyiwa kazi itakuwa ni dhambi kubwa kwa kizazi kijacho.

Mkuu Nguruvi3, kiukweli andiko la Mohamed Said ni Changamoto!, kuandika kitabu ni changamoto!.
Mara baada ya kifo cha Regia, baadhi ya wana jf, tulikutana pale British Council na tukaazimia kumuenzi kwa kuchapisha kitabu cha aliyoyapigania!. Hapo ndipo ilipozaliwa RMF.

Juzi wakati tunaadhimisha mwaka 1 wa kifo chake, nikitegemea kitabu kitazinduliwa, ndipo nikaelezwa na Mkuu Sanctus Mtsimbe, kitabu kimekwama kwa sababu hakuna funds, ilihitajika TZS 2,000,000 kuchapisha nakala 1000 za kwanza!.

Kiukweli nilisikitika na kujijutia nafsi yangu kwa sababu mimi ni mmoja wa wahusika, kama nilispend six figure kwenye msiba hadi mashishi, na kila mwaka ninaspend six figure as direct contri to support jf, tumeshindwaje ku raise TZS 2,000,000 ndani ya mwaka mzima!. Niliumia na kama mmoja wa waendeshaji wa kumbukumbu ile, niliiniate harambee na pale pale zilipatikana zaidi ya TZS 2,000,000!.

Hivyo hili suala na kuandika historia ya kweli, tukiamua, tunaweza!.
Nashauri, kwa vile Maalim Mohamed Said was "a man with a mission", na ame acomplish his mission for the past 15 years, tusiendelee kumbana humu, haisaidii zaidi ya kurefusha tuu huu mnakasha, lets be serious and do something positive as a counter measure!.

Kwa kuanzia liandaliwe tuu andiko dogo lenye kicha cha habari
Uwongo, Uzushi, Uchochezi na Upotoshaji wa Mohamed Said Dhidi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere.
Humo tuweke ile mistari ya uwongo na ushushi ya Mhamed Saidi along side ukweli halisi wa mambo kama hatua ya awali ya kumfunga mdomo, asiendelee kupotosha humu, ili upotoshaji na uchochezi wake aendelee nao huko kwenye mihadhara, not jf, not anymore!.
Pasco.
 
Last edited by a moderator:
Ritz,

Hivi sasa mnakasha umepambika na ghadhabu.
Wachangiaji wanaingia ukumbini wamehamaki.

Hii inatoa umakini wa kujadiliana na matokeo yake
ni kutukanana.

Katika hali kama hii ni vigumu kupata tija yoyote.

Hata hivyo hapa tulipofika naamini kuna mengi ambayo
yalikuwa hayafahamiki sasa yako wazi.

Natulia kidogo hasira zipungue na wakishapoa na kuanza
kuandika kwa utulivu na heshima Insha Allah tutaendelea
na mnakasha.

Namshukuru sana Bwana Yaricko Nyerere kwa nyuzi hizi mbili.

Kwanza ile ya Maaskofu na hii yangu binafsi ya Uchochezi.
Kanifanyia ikhsani kubwa sana.

Kama si yeye nisingeweza kupata watu 22,000+ kunisikiliza.
Namshukuru sana.

Unajijua kuwa wewe ni mjuvi?

Unatuthibitishiaje kuwa watu wote wanakusoma wewe tu?

Hivi wachangiaji wote hawanamaana kwa watazamaji hao 22,000 isipokuwa wewe tu
 
Nikiikumbuka Tanzania nakumbuka ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI WA CCM. Na wakti huo Mwenyekiti ni CCM ni Nyerere. Kwa kufikiri kidogo tu utaona huyu alikuwa Mungu mtu yaani zidiume fikra zake zote hata zikiwa za kuangamiza Taifa lake.


Kweli enzi za Nyerere tulijifunza na kuona mengi
 
Back
Top Bottom