Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mtambuzi na Ritz,

Hebu wekeni hilo la waasisi wa TANU sawa,

hapo kuna list mbili, ambazo tunaweza kuzicombine na kuifanya kuwa ni list moja,
kwa mtazamo wangu mimi naona kuna

1) Waasisi wa TANU ambao list ni ndefu sana (Mtambuzi list+ Ritz List+ others from different provinces/Regions) kwa maana kama TANU iliasisiwa kutoka TAA na TAA ni chama kilichokuwa kimepanuka na kina wawakilishi kwenye mikoa mingi tu inakuwaje wale Viongozi wa TAA wa province/Regions wasiwe waasisi wa TANU? Hiyo list ya Ritz ni ya wanachama waandamizi (Viongozi?) wa TAA ambao automatically wakawa ndio waasisi wa TANU kutoka MZIZIMA, lakini Tabora, MWanza, Kilimanjaro nk pia kulikuwa na viongozi wa TAA ambao waliazimia na walikubali TAA ife ili iwe TANU, HIVYO WAASISI WA TANU NI WENGI (Hao ndio nasema wamesahaulika)

2) List ya Mtambuzi, kwa mtazamo wangu ni list ya wawakilishi wa kila provinces/Kanda/Zone ambao ndio walikuja kwenye mkutano wa kuipitisha TANU kwa niaba ya wenzao, lakini haimaanishi kuwa wao ndio waasisi wa TANU pekeyao, inawezekana hiyo ndio official list kutoka TANU kwenda kwa serikali ya Mwingereza ikionyesha structure ya TANU na wawakilishi wa kila zone/Kanda na ilikuwa ni vigumu kumuweka kila mtu ndani ya ile first list

Huo ni mtazamo wangu tu nadhani wenye uelewa wanaweza kulifafanua na kuliweka hili vizuri
 
Kikubwa hapa bwana ritz ni kwamba Nyerere ndiye alikuwa kiongozi wa msafara kama Kikwete anavyokuwa katika misafara ya leo, whether kaenda na Membe, Muhongo, Sita, we care less;

Nachojua zaidi ni mwalimu aliongea nini line by line kwenye address yake to the UNO in November 1956 na pamoja na impact ya aliyoongea mwaka 1956 katika Tanganyika kama koloni, na Tanzania ya leo kama taifa huru kisiasa;

Vile vile nachojua ni kwamba safari ile ilifanikishwa na michango ya watanzania mbalimbali wahindi, weusi (kina rupia), wakristo, waislamu, wasiokuwa na dini zinazojulikana rasmi, ili mradi tu Mwalimu aende kufanikisha lengo husika;

Pia najua kwamba Chief Marealle alitumiwa na wakoloni kupotosha juhudi na malengo ya Mwalimu UNO;

Mwisho, nafahamu kwamba Elly Anangisye alikuwa ni Katibu Mkuu wa TANU Youth League wakati ule na alikuwepo kwenye ule msafara;

Mjadala wetu utakuwa na manufaa zaidi (kama taifa) iwapotutajikija zaidi katika issues, sio watu, misafara n.k; Tafadhali usiniulize katika safari ile wajumbe walilipwa posho kiasi gani kwani kwa mwendo wako, hili linaweza kuwa swali linalofuatia;

Hapo unaendeleza kuzuwa kama ulivyozuwa kuwa Nyerere 1954 ndio kaijuwa TAA.

Tanganyika haikuwa koloni mwaka 1956. Rudi kwa waalimu wako.
 
Nitachakachuaje historia ambayo inaeleza kwamba hao kumi na saba ni founders wa TANU?

Narudia tena kwamba unatakiwa kutuelimisha juu ya umuhimu wa hoja kwamba TANU iliasisiwa Burma ambalo lilikuwa ni koloni lingine, na sio Tanganyika ambayo nayo ilikuwa ni koloni lingine kwa mujibu wa mipaka ya Berlin Conference (1885)

Kwa hiyo huelewi unataka kujulishwa, msome kidogo Nyerere hapa:

Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili).

Nakukumbusha tena, post namba 3034 unaipita kama UDA lililojaa, vipi? inauma?
 
Zomba, Ritz, Mohamed Said:

Just out of curiosity na kidogo nje ya topic lakini ni muhimu in relative terms (not necessarily in aboslute terms):

Hivi mnafahamu ni wazee wangapi walifuatwa na Edwin Mtei miaka ya mwanzo ya tisini wakati anaanzisha Chadema? Kuna wale ambao alikuwa anakunywa nao kahawa na kashata na kuwahimiza juu ya umuhimu wa kuanzisha Chadema, wengi wakampuuzia, lakini leo hii baadhi yao ni mabingwa wa kujenga hoja kwamba walikuwa ni waasisi wa mawazo juu ya chama kipya na kwamba hawatambuliwi; Wapo wazee wengine pia ambao walidharau wazo la Mtei na Chadema miaka ile na sasa wanajuta lakini its too late, hivyo wakistaafu nao pia ndio wanaanza kupiga vijembe CCM kwamba haifai, huku pia wakijadili kwamba walihusika sana na Chadema lakini hawakupewa ushirikiano;

Hoja yangu ya msingi hapa ni kwamba ingawa historia inatueleza kwamba waasisi wa TANU ni wale kumi na saba, kuna uwezekano pia kwamba wapo wengine ambao hawakupewa heshima hiyo, lakini wapo wengine wengi zaidi wa kujisingizia kwani mkoloni alikamata sana watu kama kina Chifu Marealle n.k;

Mzee wa Magumashi - Komedi EATV ni bingwa wa kutufungua katika haya;
 
Kwa kujua au kutokujua, kwa makusudi au kwa bahati mbaya kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana kuhusu hasa ni akina nani waliodai Uhuru wa Taifa letu Tanganyika.

Upotoshaji hauishii hapo tu bali hata dhana halisi ya Maadhimisho yenyewe,Leo usikia wanasema nisherehe za Uhuru wa Tanzania Bara,

Hakuna nchi au taifa duniani linaloitwa- Tanzania Bara, halijapata kutokea na halitotokea katika uso wa dunia hii taifa au nchi iitwayo Tanzania Bara.

Muunganano wa Tanganyika na Zanziber ni mfano wa kuigwa duniani, hakuna muungano wenye hadhi kinadharia na kivitendo dunia kama huu, Kila aliye muamini wa amani duniani na aupiganie kuulinda na kuuhuisha uwe na mafaa kwa wa Tanzania

Lakini muungano unaomeza taifa lingine na kubaka fikra za Watanganyika huku ukipuliza kwa dhihaka Wazanzibar haufai, yatupasa tuuhuishe mapema kabla mbongo za wahafidhina hazijamka na kushuhudia hasira ya Mtanganyika chini ya uvuli wa fikra za ccm mfilisi.

Sihubiri KUUVUNJA muungano huu murua bali, nahubiri uwepo wa Tanganyika na Zanzibar zenye kuwajibika kwa watu wao na uwepo Tanzania yenye kujikita Kimuungano.

Suala hili ni kama halina mantiki ya mageuzi ya mstakabali wa Mtanganyika, lakini aliye Mtanganyika anatambua mafaa ya matokeo ya hili.

Zanzibar ni nchi, yenye mamlaka kamili ya ndani, ina KATIBA, ina rais, ina jeshi, ina mahakama, ina bunge, ina makamu wa rais na zaidi ina makamu wa pili wa rais.

Je Tanganyika ipo wapi????? ilikufa ili iweje???

Vita baridi ilishaisha tunaitaka nchi yetu ikiwa na mipaka ileile.

CCM wamekuwa na kapropaganda kakidikteta kwa mtu yeyote azungumzia Muungano, huitwa mchochezi na zaidi MUHAINI.- Ni faida gani ccm mnzopata kwenye aina ya muungano huu?

Mimi nashauri mfumo wa serikali TATU ndiyo suluhu ya manunguniko ya wakaazi wa pande zote za muungano huu.

Na katika hili, historia ya wapigania uhuru wa nchi yetu iwekwe sawa, Inaamini kuwa wazee 17 kutoka pande zote za nchi yetu walishiriki kikamilifu kudai uhuru wetu kinyume na historia inavyopindishwa au kuaminishwa kwamba ni watu wa Kariakoo pekee walifanya hivyo.

Orodha ya waliodai uhuru wa Taifa hili ni kama ifuatavyo:

Julius Kambarage Nyerere, Ali Sykes, Lameck Makaranga, Gosbert Milinga, Gelmandus Pacha, Joseph Kimalando, Japhet Kirilo, Abubakar Ilanga, Saadan Kandoro, Suleiman Kitwara, Kisunguta Kabara, Chewa Said Chewa, Dosa Aziz, Patrick Kunambi, Joseph Kasela Mbantu, John Rupia, Abdulah Sykes

Kama kuna yeyote niliyemsahau naomba masahihisho wanamnakasha wenzangu!

Yericko Nyerere,

Naona unapingana na Mzee wako hebu msome hapo juu anachokuambia Wazee wa Dar es Salaam. Anasema mwenye kwanza Wazee wa Dar es Salaam baadaye sehemu zingine za Tanganyika. Wewe unasema wapigania uhuru wapo 17 tu.

Sijui wewe na Mzee wako tumuamini nani?
 
Last edited by a moderator:
Unapingana na Nyerere? amma kweli huelewi:

Unajuwa Nyerere alikuwa Makerere mwaka gani na haya chini ni maneno ya nani?

Sijakujibu hili kwa vile unatoka nje ya mstari; Nyerere kuwa Makerere katika kipindi hicho haina maana kwamba alikuwa na mahusiano na TAA; Na nimefafanua hili, kama una hoja mbadala, ilete hapa, sio kuuliza maswali kwa jambo ambalo nimeshalifanyia ufafanuzi;

Bado hutaifut hiyo kauli yako ya mwaka 1954? nakuongeza na hii:

Hiyo wala usihangaike kuitafuta, ipo post # 1 ya nyuzi hii hii na ilibandikwa na mwenzako, hapo inakuwa amma Yericko Nyerere kazuwa au wewe umezuwa au Julius Nyerere kazuwa. Utajaza.

Halafu wewe huyo huyo ndiye uliingia kwa papara na makeke na kuniambia mimi historia ya nchi yangu siijui? wewe uijuayo nakuuliza, kiko wapi? hapachakachuliki hapa.

Alichobandika Yericko sicho ninacho jadili mimi - ya yericko ni yake, na yangu ni yangu na ni kwa mujibu wa historia ya Tanzania kama nilivyoisoma; Vinginevyo iwapo ni suala la Nyerere kuzungumzia TAA akiwa kiongozi wa TANU, Kikwete anazungumzia TANU akiwa kiongozi wa CCM n.k;
 
ritz na zomba, hoja zangu nyingi mnazikimbia lakini ni mabingwa wa kukumbushia hoja zenu ambazo ufafanuzi wangu upo bayana;
 
Zomba, Ritz, Mohamed Said:

Just out of curiosity na kidogo nje ya topic lakini ni muhimu in relative terms (not necessarily in aboslute terms):

Hivi mnafahamu ni wazee wangapi walifuatwa na Edwin Mtei miaka ya mwanzo ya tisini wakati anaanzisha Chadema? Kuna wale ambao alikuwa anakunywa nao kahawa na kashata na kuwahimiza juu ya umuhimu wa kuanzisha Chadema, wengi wakampuuzia, lakini leo hii baadhi yao ni mabingwa wa kujenga hoja kwamba walikuwa ni waasisi wa mawazo juu ya chama kipya na kwamba hawatambuliwi; Wapo wazee wengine pia ambao walidharau wazo la Mtei na Chadema miaka ile na sasa wanajuta lakini its too late, hivyo wakistaafu nao pia ndio wanaanza kupiga vijembe CCM kwamba haifai, huku pia wakijadili kwamba walihusika sana na Chadema lakini hawakupewa ushirikiano;

Hoja yangu ya msingi hapa ni kwamba ingawa historia inatueleza kwamba waasisi wa TANU ni wale kumi na saba, kuna uwezekano pia kwamba wapo wengine ambao hawakupewa heshima hiyo, lakini wapo wengine wengi zaidi wa kujisingizia kwani mkoloni alikamata sana watu kama kina Chifu Marealle n.k;

Mzee wa Magumashi - Komedi EATV ni bingwa wa kutufungua katika haya;
Hicho ndicho kilichopo kwa baadhi ya wanaolalamika/wanaowawakilisha kulalamika
 
Amma kweli, hivi wewe hujui kuwa chadema ilianzishwa IKULU, kama ilivyo kwa vyama vingine vyote wakati huo? kama ulivyosema its out of topic. Hiyo ni kukupa darsa tu, vyama vyote vilianzishwa IKULU, ukipenda pokea usipopenda acha, hii siyo topic tunayoijadili hapa.
 
ritz na zomba, hoja zangu nyingi mnazikimbia lakini ni mabingwa wa kukumbushia hoja zenu ambazo ufafanuzi wangu upo bayana;

Bado hujajibu 3034, na hakuna hoja yako ambayo tunaikimbia kwa sababu zote ni zile zile walizokuja nazo wenzako, zinatokea kivukoni, ulipoanza tu nilikwambia hilo.
 
Hata nguruwe ni kiumbe hata wewe ni kiumbe ambae pia nimeharamishiwa kukula au wewe ni halali kuliwa?

Umeshajiuiza kabla ya kubatizwa ulikuwa dini gani? au na nguruwe umeshambatiza?
Bahati nzuri sana, mimi si muislam wala mkristo....I am an adent ATHEIST, so i am not troubled with your dogmatism.
 
Unajaribu lakini huwezi. Nnakuhakikishia, hakuna awezae kutetea maovu. Husutwi na nafsi yako?
Kwahiyo unatakaje, tuendelee kulalamika tu au tufanye nini?. Unataka kuniaminisha kuwa hatuwezi, sikubaliani na wewe. Siwezi kusutwa na nafsi yangu katika jambo ninalo liamini. Na wewe naamini nafsi yako haikusuti kwa kuamini kuwa hatuwezi.
 
Ritz & Zomba:

All being said and done kwamab sijui huyu alihusishwa na uasisi wa TANU, yule aliachwa, wale walikuwa key katika kulipatia taifa letu uhuru, Je: huo uhuru uliopatikana tunaitumiaje tukiwa Ikulu au Lumumba - wakati wa Nyerere vis a vis Marais waliomfuatia? Je, tunajenga national integration and unity au disintegration and disunity? je tunajali uadilifu na kutumikia wananchi au ufisadi na kutumikia miradi yetu na familia zetu?

Mwisho wa siku, mjadala ukikosa kugusa masuala haya utakuwa ni mjadala usio na maana;
 
Zomba, Ritz, Mohamed Said:

Just out of curiosity na kidogo nje ya topic lakini ni muhimu in relative terms (not necessarily in aboslute terms):

Hivi mnafahamu ni wazee wangapi walifuatwa na Edwin Mtei miaka ya mwanzo ya tisini wakati anaanzisha Chadema? Kuna wale ambao alikuwa anakunywa nao kahawa na kashata na kuwahimiza juu ya umuhimu wa kuanzisha Chadema, wengi wakampuuzia, lakini leo hii baadhi yao ni mabingwa wa kujenga hoja kwamba walikuwa ni waasisi wa mawazo juu ya chama kipya na kwamba hawatambuliwi; Wapo wazee wengine pia ambao walidharau wazo la Mtei na Chadema miaka ile na sasa wanajuta lakini its too late, hivyo wakistaafu nao pia ndio wanaanza kupiga vijembe CCM kwamba haifai, huku pia wakijadili kwamba walihusika sana na Chadema lakini hawakupewa ushirikiano;

Hoja yangu ya msingi hapa ni kwamba ingawa historia inatueleza kwamba waasisi wa TANU ni wale kumi na saba, kuna uwezekano pia kwamba wapo wengine ambao hawakupewa heshima hiyo, lakini wapo wengine wengi zaidi wa kujisingizia kwani mkoloni alikamata sana watu kama kina Chifu Marealle n.k;

Mzee wa Magumashi - Komedi EATV ni bingwa wa kutufungua katika haya;

Mtambuzi,

Hebu msome Nyerere hapo juu kwenye maandishi ya blue halafu jisome ulichoandika nadhani jibu utalipata. Mungu amekupa akili na ufahamu wa kupima mambo tumia fikra zako wakati mwingine.
 
Last edited by a moderator:
Sijakujibu hili kwa vile unatoka nje ya mstari; Nyerere kuwa Makerere katika kipindi hicho haina maana kwamba alikuwa na mahusiano na TAA; Na nimefafanua hili, kama una hoja mbadala, ilete hapa, sio kuuliza maswali kwa jambo ambalo nimeshalifanyia ufafanuzi;

Alichobandika Yericko sicho ninacho jadili mimi - ya yericko ni yake, na yangu ni yangu na ni kwa mujibu wa historia ya Tanzania kama nilivyoisoma; Vinginevyo iwapo ni suala la Nyerere kuzungumzia TAA akiwa kiongozi wa TANU, Kikwete anazungumzia TANU akiwa kiongozi wa CCM n.k;

Naona mnaanza kukataana maandiko yenu, nilikwambia, bado u mdogo katika haya mambo usije kwa pupa.

Sijatoka nje ya mstari nimekunukuu kwa kuwekea rangi nyekundu kwenye maandiko yako na nikakubandikia bandiko lililopo post #1 la Yericko Nyerere analomnukuu hotuba ya Nyerere.

Sasa hapo unasema kuwa Nyerere muongo? maana hayo maandiko Yericko anamnukuu Nyerere, au unasema Yericko muongo? au unasema wewe hujui ulichokiandika?

Kwa hiyo amma wewe unampinga Nyerere au unakataa maandiko ya Yericko? ikiwa wote hao unakataa maandiko yao na pia una maana kuwa huamini kama hayo ni maneno ya Nyerere. Kwa hilo, hapo utakuwa umetimiza ule usemi wako, kuwa kiwango chako sikuwezi. Hicho ni kiwango cha hali ya juu cha kuukimbia ukweli na kushindwa utu hata wa kukiri kuwa ulikosea, kuna mjadala hapo?
 
Last edited by a moderator:
Bado hujajibu 3034, na hakuna hoja yako ambayo tunaikimbia kwa sababu zote ni zile zile walizokuja nazo wenzako, zinatokea kivukoni, ulipoanza tu nilikwambia hilo.

basi una tatizo ambalo sijui nikusaidiaje, kwani pengine unahitaji kujibiwa kwamba nguo zinakauka kwenye jua, lakini ukijibiwa kwamba zinakauka pasipokuwa na mvua, unachanganyikiwa; Nimejibu hoja zako zote, lakini wewe haujajibu na sioni haja ya kukuambia ni post namba 2, 3, 4, 5, kwani wanaosoma na kufuatilia wanaona kinachoendelea and thast what matters to huu mjadala the most;
 
Yericko Nyerere,

Naona unapingana na Mzee wako hebu msome hapo juu anachokuambia Wazee wa Dar es Salaam. Anasema mwenye kwanza Wazee wa Dar es Salaam baadaye sehemu zingine za Tanganyika. Wewe unasema wapigania uhuru wapo 17 tu.

Sijui wewe na Mzee wako tumuamini nani?
Yasome tena hayo majina na mantiki ya hoja yangu
 
Last edited by a moderator:
Mchambuzi,

Inaingia akili mweka hazina wa mwanzo wa TANU mwaka 1954 Idd Faiz Mafongo ambaye alikuwa anasafiri mpaka Tanga kukusanya pesa Nyerere aende UNO sio muasisi wa TANU.
 
Last edited by a moderator:
Zomba:

This is in regards to bandiko lako namba so and so ambalo nimekuambia nilishajadili kwa nama nyingine

Kwa hiyo mimi nikawa katibu wa katawi ka TAA hapo Makerere. Niliporudi Tabora na kuanza kufundisha pale St. Marys (sasa inaitwa Sekondari ya Milambo), nikachaguliwa katibu wa TAA wa jimbo ambalo makao yake makuu yalikuwa Tabora. Ulipofanyika mkutano wa TAA mjini Dar es Salaam, nilihudhuria nikiwa mjumbe kutoka Tabora.

Kwa hiyo nilikuwa naijua Tanganyika African Association. Nilipokuwa ninaondoka kwenda Ulaya kusoma, nilikuwa nimeishaonja shughuli za TAA. Sasa niliporudi, baada ya kukaa Pugu siku chache, nikaja mjini Dar es Salaam. Nikauliza nani wanaongoza TAA? Nikaambiwa kuna jamaa mmoja anaitwa Abdul Sykes. Sasa ni marehemu. Abdul ndiye alikuwa katibu wakati huo.

Katika hoja mbili hizi, kipi hasa ambacho sijakijadili huko nyuma? Mimi ni mwanachama wa CCM na ningeweza kuwa Katibu wa tawi ninapoishi lakini kwa mfano - kuyumba kwa uongozi wa chama huko juu hakumaanishi kwamba na mimi nina mkono; Hii ndio hoja yangu ya msingi kwamba - Nyerere hakuwa na mahusiano yenye such influence na TAA, ni baadae ndio taratibu uwezo wake ukaanza kuonekana kama nilivyojadili na akazidi kupewa nafasi na hatimaye kupewa fursa ya kuandika vision, objectives za katiba ya TAA upya ili izae TANU na yeye sasa ndio awe Rais wake.
 
Back
Top Bottom