Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,357
Mtambuzi na Ritz,
Hebu wekeni hilo la waasisi wa TANU sawa,
hapo kuna list mbili, ambazo tunaweza kuzicombine na kuifanya kuwa ni list moja,
kwa mtazamo wangu mimi naona kuna
1) Waasisi wa TANU ambao list ni ndefu sana (Mtambuzi list+ Ritz List+ others from different provinces/Regions) kwa maana kama TANU iliasisiwa kutoka TAA na TAA ni chama kilichokuwa kimepanuka na kina wawakilishi kwenye mikoa mingi tu inakuwaje wale Viongozi wa TAA wa province/Regions wasiwe waasisi wa TANU? Hiyo list ya Ritz ni ya wanachama waandamizi (Viongozi?) wa TAA ambao automatically wakawa ndio waasisi wa TANU kutoka MZIZIMA, lakini Tabora, MWanza, Kilimanjaro nk pia kulikuwa na viongozi wa TAA ambao waliazimia na walikubali TAA ife ili iwe TANU, HIVYO WAASISI WA TANU NI WENGI (Hao ndio nasema wamesahaulika)
2) List ya Mtambuzi, kwa mtazamo wangu ni list ya wawakilishi wa kila provinces/Kanda/Zone ambao ndio walikuja kwenye mkutano wa kuipitisha TANU kwa niaba ya wenzao, lakini haimaanishi kuwa wao ndio waasisi wa TANU pekeyao, inawezekana hiyo ndio official list kutoka TANU kwenda kwa serikali ya Mwingereza ikionyesha structure ya TANU na wawakilishi wa kila zone/Kanda na ilikuwa ni vigumu kumuweka kila mtu ndani ya ile first list
Huo ni mtazamo wangu tu nadhani wenye uelewa wanaweza kulifafanua na kuliweka hili vizuri