Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ritz,

Baada ya Nyerere kupokea barua kutoka kwa waajiri wake
wamishionari kuwa achague moja kati ya mawili.

Achague kazi ya ualimu au siasa Nyerere alipeleka barua ile
kwa Clement Mtamila aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri
Kuu ya TANU.

Kikao kilifanyika nyumbani kwa Mzee Mtamila Mtaa wa Kipata
na Sikukuu.

Uamuzi ukapita kuwa Nyerere ajiuzulu kazi aajiriwe na TANU.

Nyerere alipojiuzulu kazi alikaa kwa muda nyumbani kwa Abdu.
Kisha Mzee Rupia ndipo akamtafutia nyumba Magomeni.

Ndiyo hiyo nyumba uliyoiona sasa Makumbusho.

Nashukuru sana Mohamed Said nimejifunza kitu...Hakika una vitu vingi sana nazidi kuchota.
 
Historia ya namna hii tuikubali tu yaishe. Wewe endelea kuwa "Authority" juu ya historia hii. Umesimuliwa peke yako hakuna namna ya kuzithibitisha simulizi hizi. Ulikosea sana kutotafuta KATIBA au miongozo ya AA, TAA, TANU na huenda hata katiba ya CCM haujapata kuiona!

Hivi wewe kinakushinda nini kuandika historia yako isiyo ya kusimuliwa na kinakushinda nini kuzitafuta hizo katiba?
 
WC,

Sijakosea chochote kuhusu kuitafuta katiba kwa kuwa sikuwa na shughulinayo.

Nimekaa Maktaba ya CCM Dodoma na katika orodha ya vitu nilivyokwenda kuvisaka
katiba haikuwapo katika orodha yangu.

Kama wewe unaona ina umuhimu itafute utujuvye.

Mimi sihitaji ithbati ya simulizi za baba yangu kutoka kwa yoyote.
Itakuwa kichekesho kuwa mimi nisimuamini baba yangu nije nimsikilize mpita njia.

Hivi kwa nini historia hii inakushughulisheni kiasi hiki?
Si inatosha nyie mkaipuuza?

Hili vipi linakushindeni?
Ulikosea Mzee Mohamed. Hivi swali kama hili utalijibu vipi: TAA ilianzishwa kwa madhumuni na malengo yapi? Utalijibu vipi swali hili bila kuiona katiba ya TAA? Simulizi za baadhi ya walioianzisha ni ushahidi tosha?

Historia hii inatushughulisha kwa kuwa unadai ni ya NCHI na TANU yetu. Au TANU ni mali ya wazee wako tu!
 
Waliweza kuishi na vyama hivi bila KATIBA? Tunataka katiba ili tujue kwa uhakika vyama hivi vilianzishwa kwa madhumuni, imani na malengo gani.

Ni muhimu pia pale unapokataa kuwa AA na TAA havikuwa vyama vya starehe katiba zao ziwe ndio ushahidi sio kitabu chako cha mwaka 1998! Ambacho kimejaa simulizi tu za watu ambao karibu wote ni marehemu.

WC,

Nashangaa vipi wewe katiba ya African Association unaidai kwangu.

Mie nakataa AA hakikuwa chama cha starehe.
Labda nikuulize swali dogo.

Hivi wewe ulitegemea waasisi wa African Association waseme kuwa
chama hiki ni cha siasa na madhumuni yake ni kuikomboa Tanganyika
kutoka kwa ukoloni wa Waingereza.

Hii ni mwaka 1929.
Hebu jitulize na fikiri kabla ya kuuliza maswali kama haya.

Haya na tujaalie kuwa African Association kilikuwa chama cha kupiga taarab
kwani hilo litaondoa zile kazi chama kilifanya hadi kuunda TANU mwaka 1954?

Narudia kukufahamisha tena.
Mimi sitaki ushahidi wa yoyote.

Nitake ushahidi kuthibitisha kitu gani?

Ikiwa unahisi mimi sijaandika kweli si na wewe uandike kitabu chenye kuonyesha
makosa ndani ya kitabu changu?

Unadhani kama mimi nisingejibu kitabu cha Kivukoni kwa kitabu leo tungekuwa hapa?
Andika.
 
Ulikosea Mzee Mohamed. Hivi swali kama hili utalijibu vipi: TAA ilianzishwa kwa madhumuni na malengo yapi? Utalijibu vipi swali hili bila kuiona katiba ya TAA? Simulizi za baadhi ya walioianzisha ni ushahidi tosha?

Historia hii inatushughulisha kwa kuwa unadai ni ya NCHI na TANU yetu. Au TANU ni mali ya wazee wako tu!

Msikilize muaisisi wa African Association anasema nini:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 601"] In 1929 Kleist and some close friends, namely, Mzee bin Sudi, a Manyema Ibrahim Hamis, a Nubi, Zibe Kidasi, Ali Said Mpima, Suleiman Majisu, Raikes Kusi, Rawson Watts and Cecil Matola founded the African Association.

Kleist was the founding secretary. At that time the Governor of Tanganyika was Sir Donald Cameron who was the administrator of the territory from 1925-1929.

Cameron was a liberal governor.
Kleist was known to Cameron.

Cameron established the first Legislative Council and Indirect Rule in Tanganyika.

This liberal attitude of his greatly helped in the formation of the African Association. But despite of this, the Association was warned not to indulge in politics.

When the African Association was formed, already there were in existence European and Asian Associations.

In the Legislative Council Africans were presented by a Catholic priest, Father Gibbons, who did not even live among Africans but at Minaki Mission outside Dar es Salaam.

Abdulwahid remembered his father telling him the reasons for forming the Association:

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]
''At that time there were two Associations existing. There was the European Association and the Indian Association. Both these were concerned with their own nationalities. But the Africans had no such Association to defend them. In the Legislative Council the Africans were represented by a white missionary named Father Gibbons, who worked at Minaki Mission several miles outside Dar es Salaam. But in reality this European did not establish any connections with the Africans whom he represented. For that reason the Africans, feeling unrepresented and having no Association similar to that of the Europeans and Asians for securing their rights, met and decided to form their own Association.''[1]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[1] Buruku, op. cit. p.101.
 
TANU imeanzishwa na WATANGANYIKA wengi. Wale wazee 17 akiwemo Abdu na Mwalimu walitusaidia kuiasisi bila kutumwa na DINI zao.

Tuwekee na katiba yao nadhani utakuwa unayo.
 
WC,

Nashangaa vipi wewe katiba ya African Association unaidai kwangu.

Mie nakataa AA hakikuwa chama cha starehe.
Labda nikuulize swali dogo.

Hivi wewe ulitegemea waasisi wa African Association waseme kuwa
chama hiki ni cha siasa na madhumuni yake ni kuikomboa Tanganyika
kutoka kwa ukoloni wa Waingereza.

Hii ni mwaka 1929.
Hebu jitulize na fikiri kabla ya kuuliza maswali kama haya.

Haya na tujaalie kuwa African Association kilikuwa chama cha kupiga taarab
kwani hilo litaondoa zile kazi chama kilifanya hadi kuunda TANU mwaka 1954?

Narudia kukufahamisha tena.
Mimi sitaki ushahidi wa yoyote.

Nitake ushahidi kuthibitisha kitu gani?

Ikiwa unahisi mimi sijaandika kweli si na wewe uandike kitabu chenye kuonyesha
makosa ndani ya kitabu changu?

Unadhani kama mimi nisingejibu kitabu cha Kivukoni kwa kitabu leo tungekuwa hapa?
Andika.
Ninachokukatalia mimi ni kuwa AA haikuwa TAA; na TAA haikuwa TANU kama ambavyo CCM sio TANU wala ASP. Kila chama kiliundwa kwa madhumuni, imani na malengo tofauti. Wewe unataka AA iwe ndio TAA iwe ndio TANU. Katiba za vyama hivi zinavitenganisha sana. UONGOZI pia ulikuwa tofauti sana. Nyakati pia zilikuwa tofauti.
 
we mzee ni hatari sana
yaani kila kitu unawaza udini
post zako lazima uweke sura ya udini
huna hoja wala unachokijua kuhusu tanganyika
unachopinga na kinachokuuma ni vile kuona wapo wengine
waliopigania uhuru ni waislamu
tumewaambia andikeni kitabu 'sahihi' kuhusu uhuru wa tanganyika
ikiwa haya anayoeleza Mohamed Said si sahihi
Twajua hamuwezi,acheni kelele na 'wivu wa kike'
wewe kaendelee kuandika zile hadithi zako
za mambo ya ******


Humtambulisi kama mwanamke wa Kiislamu... kwanini?




Huyu mama wa Kiislamu inaonekana alitoa mchango mkubwa kama wa Mshume Kiyeta lakini hata jina la mtaa halipo; maskini wa Mungu.




Duh; kumbe nilidhani wamesahauliwa Waislamu tu; kumbe wapo na wauza pombe waliotoa mchango mkubwa katika kuijenga TANU. Inabidi hawa nao wakumbukwe isije kuwa Nyerere alikuwa na jambo dhidi ya kinamama wauza pombe.
 
Last edited by a moderator:
Kama ni malumbano ya hoja na facts za uhakika,basi Mohamed Said kawafisha kifo kibaya sana,
Yan amefafanua kwa kila mwenye akili zake timamu hawezi kuona wapi kwenye uchochezi zaid ya kuelezwa kwa uhalisia ulivyo,
Kawafisha kifo kibaya sana cha hoja na ushahid wazi wazi kama hiki..

swaga sana.jpg
 
Nashukuru sana Mohamed Said nimejifunza kitu...Hakika una vitu vingi sana nazidi kuchota.

Ritz,

Si unaijua ile dua tukisomeshwa baada ya kumaliza juzuu Ama.
Dua hii imeandikwa mwisho wa juzuu: ''Rabi zid ilma...''

Maalim wangu Sheikh Haruna alikuwa akisema, ''Haya na huko
skuli vilevile utie bidii usome vyema unatalii vitabu vyako. Ilm
haiendi kwa mtu mvivu sharti upinde mgongo ndiyo utafanikiwa.
Ukifanikiwa katika ilm unakuwa rais. Nini maana ya rais? Unakuwa
mtawala katika ilm. Mas'ala yakija basi wewe unazungumza kwa
uhakika. Unakuwa mtawala pale mahali.''

Ndipo nilipojuwa kuwa rais si lazima utawale nchi. Ukitawala katika
fani unakuwa rais.

Allah awalipe kheri nyingi hawa walimu wetu.
Amin.
 
sawa!
haya tuambie wewe ilivyokuwa
na katiba zake zilitofautiana vipi na
nini madhumuni ya kuanzishwa chama kimoja baada ya kingine
Ninachokukatalia mimi ni kuwa AA haikuwa TAA; na TAA haikuwa TANU kama ambavyo CCM sio TANU wala ASP. Kila chama kiliundwa kwa madhumuni, imani na malengo tofauti. Wewe unataka AA iwe ndio TAA iwe ndio TANU. Katiba za vyama hivi zinavitenganisha sana. UONGOZI pia ulikuwa tofauti sana. Nyakati pia zilikuwa tofauti.
 
Mzee Said, kuna wakati ambapo Dossa Aziz na Mtevu walikuwa wanagombea wakiwa pande mbili tofauti? Naomba utusimilie kidogo kisa chao.
 
Ninachokukatalia mimi ni kuwa AA haikuwa TAA; na TAA haikuwa TANU kama ambavyo CCM sio TANU wala ASP. Kila chama kiliundwa kwa madhumuni, imani na malengo tofauti. Wewe unataka AA iwe ndio TAA iwe ndio TANU. Katiba za vyama hivi zinavitenganisha sana. UONGOZI pia ulikuwa tofauti sana. Nyakati pia zilikuwa tofauti.

WC,

Mimi nakusihi kitu kimoja.
Lete maswali uniulize hivi tutakwenda vyema na utafaidika na jamvi.

Usinijie na sura kuwa wewe ni mjuzi wa historia hii.

Sitazungumza TANU na ASP baada ya 1977 sina ujuzi mkubwa wa
vyama hivyo.

Nitazungumza kuhusu African Association (AA) na TAA.
Mwaka 1948 AA ilibadili jina na kuwa Tanganyika African Association.

Katiba haikubadilishwa katika kubadili jina.

Kutokana na haya maswali yako najua kuwa huijui historia ya uhuru
wa Tanganyika.
 
MM,

Usihangaishwe na Dossa na Mtemvu.
Mohamed Said atakuletea ngano tu.

sasa si tulikubaliana tena hakuna kejeli za namna hii? sijawahi kusema unayoandika ni ngano... unless wewe mwenyewe unaamini hivyo. Swali langu kwa kweli ni genuine. Nani alishinda baina ya hawa wawili na ilikuwa ni katika mazingira gani?
 
akusimulie nini?
nanyi mnadai ni mchochezi na mwandishi wa ngano?
Tatizo lenu ni jeuri,halafu hamjui
Mngetulia mngefaidika sana,
kuchamba kwingi........
Mzee Said, kuna wakati ambapo Dossa Aziz na Mtevu walikuwa wanagombea wakiwa pande mbili tofauti? Naomba utusimilie kidogo kisa chao.
 
Nashukuru sana Mohamed Said nimejifunza kitu...Hakika una vitu vingi sana nazidi kuchota.

Ritz,

Kisa kizima hiki hapa:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 601"] The speech in which Nyerere briefed the people about his trip to the United Nations was a milestone in the history Tanganyika.

Never before had the Africans of Tanganyika shown such enthusiasm and confidence in their future.

At Mnazi Mmoja grounds Nyerere told the jovial and attentive crowd that among the twelve nations which formed the Trusteeship Council, seven of them had consented that when the time for Tanganyika’s self-determination arrived, Africans should be given self-rule. In his address to the people, Nyerere emphasized TANU’s policy on relations between Africans and other peoples and warned TANU members who had begun to discriminate against other races.


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Nyerere, who since 1953 had been reluctant to take TANU leadership on a full-time basis, was completely overwhelmed by this show of support of the people.

It was now clear to him that his friend Abdulwahid, Ally, Dossa Aziz, Rupia and the entire TANU leadership including the Elders Council had paved the way for him to lead the struggle on their behalf. But Father Walsh and the missionary establishment at the St. Francis’ College, Pugu, saw it the other way.

The Christian establishment could no longer stand Nyerere on its teaching staff.

The same fate that had befallen other patriots like Dr Kyaruzi before him now faced Nyerere.

He was asked to choose either to remain a loyal servant of the church or to resign.

The church could not stand by and see him serving two masters.


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Nyerere brought this problem of intimidation to the attention of Clement Mtamila, the TANU Central Committee Chairman.

Mtamila called a meeting of the Central Committee at his house at Kipata Street (now Kleist Sykes Street) and the TANU executive debated on the problem.

Among members of the Central Committee apart from Rupia, Idd Faiz Mafongo were Bibi Titi Mohamed and Bibi Tatu Binti Mzee. [1]

The TANU Central Committee advised Nyerere to resign. On 23 rd March, 1955 Nyerere tendered his resignation.

It was in the afternoon when Nyerere came down to Dar es Salaam from Pugu, no longer a teacher.

It is said that soon after alighting from the bus he went straight to Abdulwahid’s office at Kariakoo Market to break the news to his friend. Nyerere stayed with Abdulwahid at his Stanley Street house, no. 78, and went back to his home village in Musoma soon afterwards.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[1] See correspondence in TNA/57/A.6/23.
 
Back
Top Bottom