Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

MS kama kawaida yako mzee wangu nimeorodhesha hapo vitabu vitano na waandishi wake na vyote si riwaya. Dinesh D'souza au Glen Beck hawaandiki riwaya. Wewe ulipoona tu majina ya kina Musiba, Hammie Rajab na Shigongo tayari unataka kupindisha hoja. Hawa mm niliwataja kwa sababu ndiyo wanafahamika na watanzania wengi.

Na hao vijana wanaotaka kuandamana mimi niko pamoja nao, lakini tu wasisite kuleta ushahidi yakinifu wa namna gani NECTA inabagua kwa mgongo wa dini.

N,

Tusibishane kuhusu riwaya ni mtazamo tu pale ulipokichanganya
kitabu changu na hivyo vya riwaya.

Para yako ya mwisho ndiyo nzito.

Nitakumegea kuhusu NECTA.

Vimefanyika vikao kadhaa na yaliyokutikana yanafanyika NECTA
yanatisha.

Kikao cha mwisho hawakuruhusu mtu kutoka na karatasi yoyote
nje ya chumba cha mkutano.

Yote tunayosema Waislam ni kweli tupu.

Kinachofanyika sasa ni kujaribu kuwasihi Waislam wasizianike zile
hujma ati kwa maslahi ya umoja wetu.
 
N,

Tusibishane kuhusu riwaya ni mtazamo tu pale ulipokichanganya
kitabu changu na hivyo vya riwaya.

Para yako ya mwisho ndiyo nzito.

Nitakumegea kuhusu NECTA.

Vimefanyika vikao kadhaa ni yaliyokutikana yanafanyika NECTA
yanatisha.

Kikao cha mwisho hawakuruhusu mtu kutoka na karatasi yoyote
nje ya chumba cha mkutano.

Yote tunayosema Waislam ni kweli tupu.

Kinachofanyika sasa ni kujaribu kuwasihi Waislam wasizianike zile
hujma ati kwa maslahi ya umoja wetu.
Hicho kikao hawakuruhusu na watu kutoka na kumbukumbu ya kilichotokea ndani ya kikao nje ya chumba cha mkutano?
Mbona tunafanyana watoto wadogo? Hayo madai yapo wapi? Najua mara ya mwisho ulisema sasa NECTA wanashughulikia shule za kata kwa sababu zina waislam wengi. Weka ushahidi hapa watanzania wote wapate kuuona...
 
Unasema wazi kuwa uislamu ulikuwa ni mwiko kuuzungumzia, je ukristu ilikuwa ruksa kuuzungumzia?

Y,

Ukristo haujapata kuwa na tatizo na serikali kiasi kuhisi
Wakristo wanabanwa katika fursa za nchi kama elimu,
ajira nk.

Hii ikawa si tatizo.

Tatizo ni kwa Waislam.

Jambo hili likafanywa nyeti na likawa linaogopwa na kila mtu.

Katika historia yote ya TANU wakiogopa kumtaja Sheikh Suleiman
Takadir.

Wengi wenu mmekuja kumsikia kutoka kwangu.

Sheikh Mwilima alikuwa kavunja mwiko ulowekwa toka 1958.

Ndiyo maana ukumbi ulipigwa na butwaa na Nyerere na Sheikh
Mwilima wakatazamana kama majogoo wawili wanaotaka kupigana.

Kila mmoja wao alikuwa anajua uzito wa agenda ile.

Hapo ndipo Mwenyekiti alipoamua kuahirisha kikao...
 
Hicho kikao hawakuruhusu na watu kutoka na kumbukumbu ya kilichotokea ndani ya kikao nje ya chumba cha mkutano?
Mbona tunafanyana watoto wadogo? Hayo madai yapo wapi? Najua mara ya mwisho ulisema sasa NECTA wanashughulikia shule za kata kwa sababu zina waislam wengi. Weka ushahidi hapa watanzania wote wapate kuuona...

Nguruvi,

Simo humu kufanya ubishi.

Mimi naeleza mambo kwa upande wa Waislam
ili jamii ijue tuko wapi.

Ikiwa huamini wala si neno kwetu.

Wakati wa Waislam kutoa ushahidi utakapofika
Insha Allah tutatoa huo ushahidi kwa serikali na
Kanisa.
 
Y,

Ukristo haujapata kuwa na tatizo na serikali kiasi kuhisi
Wakristo wanabanwa katika fursa za nchi kama elimu,
ajira nk.

Hii ikawa si tatizo.

Tatizo ni kwa Waislam.

Jambo hili likafanywa nyeti na likawa linaogopwa na kila mtu.

Katika historia yote ya TANU wakiogopa kumtaja Sheikh Suleiman
Takadir.

Wengi wenu mmekuja kumsikia kutoka kwangu.

Sheikh Mwilima alikuwa kavunja mwiko ulowekwa toka 1958.

Ndiyo maana ukumbi ulipigwa na butwaa na Nyerere na Sheikh
Mwilima wakatazamana kama majogoo wawili wanaotaka kupigana.

Kila mmoja wao alikuwa anajua uzito wa agenda ile.

Hapo ndipo Mwenyekiti alipoamua kuahirisha kikao...

Mzee wangu mohamedi.
Tujuavyo, rais ni mtu mwenye madaraka makubwa sana, pia akiamua kuvunjilia mbali mtandao wowote anaweza.
Je, kipindi hiki cha utawala wa Kikwete, amefanya nini kuvunja huu mtandao wa 'mfumo kristo'?
 
Y,

Ukristo haujapata kuwa na tatizo na serikali kiasi kuhisi
Wakristo wanabanwa katika fursa za nchi kama elimu,
ajira nk.

Hii ikawa si tatizo.

Tatizo ni kwa Waislam.

Jambo hili likafanywa nyeti na likawa linaogopwa na kila mtu.

Katika historia yote ya TANU wakiogopa kumtaja Sheikh Suleiman
Takadir.

Wengi wenu mmekuja kumsikia kutoka kwangu.

Sheikh Mwilima alikuwa kavunja mwiko ulowekwa toka 1958.

Ndiyo maana ukumbi ulipigwa na butwaa na Nyerere na Sheikh
Mwilima wakatazamana kama majogoo wawili wanaotaka kupigana.

Kila mmoja wao alikuwa anajua uzito wa agenda ile.

Hapo ndipo Mwenyekiti alipoamua kuahirisha kikao...

Mzee nilikuwa naomba utueleze kidogo kuhusu BIAFRA na hapa ndio tutajua Nyerere alikuwa mdini au kwasababu ali support sana upande wa ibo na inasemekana walikuwa wakristo wengi YERICKO hapa akibisha ntamletea nimuonyeshe ZITTO KABWE alizungumzia hii issue
 
Nguruvi,

Simo humu kufanya ubishi.

Mimi naeleza mambo kwa upande wa Waislam
ili jamii ijue tuko wapi.

Ikiwa huamini wala si neno kwetu.

Wakati wa Waislam kutoa ushahidi utakapofika
Insha Allah tutatoa huo ushahidi kwa serikali na
Kanisa
.
Mimi siyo Nguruvi. Hao watoto wanaotaka kuandamana, mmewaonyesha ushahidi wa jinsi NECTA inavyowakandamiza waislam au wameambiwa tu maneno kama haya unayoyaandika hapa?
 
Hilo na mengineyo ni sababu kuu

Hizi sio?

The Minister of Home Affair has by command of the President (Julius Nyerere) declared the Tanzania Branch of the East African Muslims Welfare Society (EAMWS) and Tanzania Council of the East African Muslim Welfare Society to be unlawful societies under the provisions of section 6(1) of the Societies Ordinance. (The Standard, December 20, 1968).
 
Mimi siyo Nguruvi. Hao watoto wanaotaka kuandamana, mmewaonyesha ushahidi wa jinsi NECTA inavyowakandamiza waislam au wameambiwa tu maneno kama haya unayoyaandika hapa?

hujui kuna mtu alisimamishwa necta hilo hulioni?juzi bungeni ktk hoja binafsi zilizofutwa mojawapo ni ya NECTA
 
Mzee nilikuwa naomba utueleze kidogo kuhusu BIAFRA na hapa ndio tutajua Nyerere alikuwa mdini au kwasababu ali support sana upande wa ibo na inasemekana walikuwa wakristo wengi YERICKO hapa akibisha ntamletea nimuonyeshe ZITTO KABWE alizungumzia hii issue

hebu mlete hapa huyo zitto kabwe akizungumzia hiyo ishu ya biafra zote tupate kufaidika..
 
Y,

Ukristo haujapata kuwa na tatizo na serikali kiasi kuhisi
Wakristo wanabanwa katika fursa za nchi kama elimu,
ajira nk.

Hii ikawa si tatizo.

Tatizo ni kwa Waislam.

Jambo hili likafanywa nyeti na likawa linaogopwa na kila mtu.

Katika historia yote ya TANU wakiogopa kumtaja Sheikh Suleiman
Takadir.

Wengi wenu mmekuja kumsikia kutoka kwangu.

Sheikh Mwilima alikuwa kavunja mwiko ulowekwa toka 1958.

Ndiyo maana ukumbi ulipigwa na butwaa na Nyerere na Sheikh
Mwilima wakatazamana kama majogoo wawili wanaotaka kupigana.

Kila mmoja wao alikuwa anajua uzito wa agenda ile.

Hapo ndipo Mwenyekiti alipoamua kuahirisha kikao...

Mohamed hapa kuna jambo unalichanganya kwa makusudi tu ama hulielewi,

Je sababu za kuvunjwa kwa baraza la wazee la TANU mwaka 1963 ilikuwa ni kudhibiti uislamu na waislamu au ilikuwa ni kudhibiti uchanganyaji wa dini na siasa?

Unataka kutuhabarisha kuwa ukristu ulikuwa na mafungamano sahihi na serikali ya TANU isipokuwa Uislamu tu?
 
hata baba yangu alipigania uhuru lakini mbona hajulikani , mambo ya udini ni vitu hatari sana. tuwe makini na watu wanaoeneza udini.
 
Mzee nilikuwa naomba utueleze kidogo kuhusu BIAFRA na hapa ndio tutajua Nyerere alikuwa mdini au kwasababu ali support sana upande wa ibo na inasemekana walikuwa wakristo wengi YERICKO hapa akibisha ntamletea nimuonyeshe ZITTO KABWE alizungumzia hii issue

Mpaka usubiri mimi nibishe ndipo umlete Zitto?

Bahati mbaya sitabisha ila nitaleza kwa upande wangu jinsi ninavyojua juu ya mgogoro wa Biafra na nitajifunza mapya kutoka kwa Zitto Kabwe!
 
hata baba yangu alipigania uhuru lakini mbona hajulikani , mambo ya udini ni vitu hatari sana. tuwe makini na watu wanaoeneza udini.

Hilo ni jambo la msingi sana kuliepuka, tukisema kila mtu awepo kwenye historia sijui kama kuna yeyote atakaetaka kubaki
 
Mohamed hapa kuna jambo unalichanganya kwa makusudi tu ama hulielewi,

Je sababu za kuvunjwa kwa baraza la wazee la TANU mwaka 1963 ilikuwa ni kudhibiti uislamu na waislamu au ilikuwa ni kudhibiti uchanganyaji wa dini na siasa?

Unataka kutuhabarisha kuwa ukristu ulikuwa na mafungamano sahihi na serikali ya TANU isipokuwa Uislamu tu?

Yericko,

Soma kitabu changu utajifunza mengi hata kama itakuwa hukubaliani na mimi.
Majibu ya swali lako yamo humo.
 
hujui kuna mtu alisimamishwa necta hilo hulioni?juzi bungeni ktk hoja binafsi zilizofutwa mojawapo ni ya NECTA
Hilo la mtu kusimamishwa na kuchukuliwa hatua NECTA nalifahamu sana na waziri wa elimu Dr Shukuru Kawambwa ameshalitolea ufafanuzi. Hili la hoja binafsi bungeni kuhusu suala la NECTA kwangu mimi ni jipya...pengine ungewasaidia na wanaukumbi ambao hawajalisikia hili, ni mbunge gani aliyepeleka hoja binafsi kuhusu NECTA halafu ikazimwa?
 
Yericko,

Soma kitabu changu utajifunza mengi hata kama itakuwa hukubaliani na mimi.
Majibu ya swali lako yamo humo.
Nimekisoma ndiomaana nikaja ni hoja yakuwa wewe ni mchochezi na umewadhihaki wanaukombozi wetu!

Juu ya swali langu kwako ni kuwa kitabu chako hakijajibu, bali kimeweka hisia za mwandishi ambae ni wewe tu,

Hakuna unapotuthibitishia kuwa ukristu ulikuwa na mafungamano na TANU na Uislamu ulikuwa adui wa TANU!

Sio mbaya ukituthibitishia hapa jukwaani na wale ambao hawajakisoma kitabu chako wauone ukweli ulionao ndugu yangu Mohamed Said
 
Mimi siyo Nguruvi. Hao watoto wanaotaka kuandamana, mmewaonyesha ushahidi wa jinsi NECTA inavyowakandamiza waislam au wameambiwa tu maneno kama haya unayoyaandika hapa?

Sweke,

Hili ni tatizo kubwa tunalo.
Wala si kitu cha kufanya maskhara.

Ushahidi upo wa kutosha.
Hiki si kitu cha kufanyia maskhara.

Vitu kama hivi vinaangamiza taifa.
Ngoja tusubiri matokeo.
 
Hilo la mtu kusimamishwa na kuchukuliwa hatua NECTA nalifahamu sana na waziri wa elimu Dr Shukuru Kawambwa ameshalitolea ufafanuzi. Hili la hoja binafsi bungeni kuhusu suala la NECTA kwangu mimi ni jipya...pengine ungewasaidia na wanaukumbi ambao hawajalisikia hili, ni mbunge gani aliyepeleka hoja binafsi kuhusu NECTA halafu ikazimwa?

Labda anamaanisha ile hoja ya Nasari wa Chadema
 
Back
Top Bottom