[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] MM,
Hujasema kweli.
Kitabu cha Nimtz kinaitwa ''Islam and Politics in East Africa'' kitabu hiki kinatokana na tasnifu yake, The Role of Sufi Order in Political Change, Ph. D Thesis,Indiana University, 1973.
Nimtz hakuandika historia ya TANU.
Nimtz yeye alijikita katika kutazama ushawishi wa Tariqa Qadiriyya katika siasa na ndiyo maana alikaa sana pale Bagamoyo kwa Sheikh Mohamed Ramiyya ambae kwa wakati ule ndiye alikuwa khalifa wa tariqa hiyo.
Ukweli ni kuwa kabla ya kitabu changu hakuna mwandishi aliyepata kuandika historia ya TANU kwa namna nilivyoandika mimi.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]