Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
mzee Ms,
Kwanini sasa kwenye kitabu chako usiweke mambo sawa?
Kwani asilimia kubwa iwe misikitini uswahilini wanajuwa mwl kafundishwa kuvaa salawili na wazee wako. Na wewe unaandika hiyo historia inamaana hujawahi kusikia? kwanini usiliweke hili jambo kwenye maandishi yako?
Mgashi,
Usisikize maneno yasiyo na maana.
Kitabu unapoandika ni kuwa wewe
unachukuliwa ni mtu wa maana.
Ikiwa maudhui yako ni matusi na kashfa...
Hata ''publishers'' watakukwepa.
Ningeliandika upuuzi leo tusingekuwa hapa
JF tunajadili.
Nadhani umefahamu.