University of Dar es Salaam Student Enrollment
| Year | Christians | Muslims |
| 1985/86 | 85% | 15% |
| | |
| | |
| | |
[TD="width: 32%"]
1986/87
[/TD]
[TD="width: 36%"]
84%
[/TD]
[TD="width: 32%"]
16%
[/TD]
[TD="width: 32%"]
1988/89
[/TD]
[TD="width: 36%"]
82%
[/TD]
[TD="width: 32%"]
18%
[/TD]
[TD="width: 32%"]
1989/90
[/TD]
[TD="width: 36%"]
82%
[/TD]
[TD="width: 32%"]
18%
[/TD]
Source: Research Data
Table 6
Muslim and Christian Appointments in the Ministry of Education 1961-1989
| Post | Muslim | Christian |
| Commissioners | 1 | 7 |
| Directors | 6 | 31 |
Source: Research Data
Haya ndiyo yalikuwa maswali ya Nguruvi3
1. Hiyo study iliangalia enrollment kuanzia primary hadi secondary au iliangalia enrollemnt University tu
2. Kama ni University, study hiyo ilikuwa retrospective au progressive
3. Kama ilikuwa retrospective kwanini iliangalia kipindi cha miaka 5 (1985-1990)
4. Enrollment iliangalia Uislam na Ukristo,82% au 18% kwa kigezo gani ili kupata 100%
5. Je, foreign students na wale wasio katika Uislam na Ukristo waliingizwa katika kundi gani.
Na kama hawakuwa na kundi iliwezekanje kupata 100% (Hapa nina maana Budha, Hindu, Atheist, Pagans n.k.)
6. Methodology gani ilitumika ili kuthibitisha kuwa Juma ni Mwislam na hawezi kuwa Mkristo. Zawadi ni mkristo na hawezi kuwa Mwislam.
7. Study hiyo ilionyesha ni wanafunzi wangapi waliachwa ili hali walikuwa na sifa na ni kigezo gani kilitumika kupata idadi hiyo
8.Idadi ya comminissioners iliyotajwa ni ya nafasi zipi za kitaifa. Je, Tanzania ina commissioner 8 kwa ujumla
9.Directors, ni directors wa nafasi zipi na je Tanzania ina Directors 37 kwa ujumla?
10. Ni nani au chombo gani kilichohusika na uteuzi huo wa commissioners na Directors!
Data zake za awali zilionyesha Waislam na Wakristo (angalia red Muslims)
Hizi za leo anaonyesha Muslims and Non Muslim(angalia red)
Hii maana yake ni kuwa baada ya kusoma swali namba 5(red) aligundua kuwa ukweli haupo katika data za awali.
Akajifungia gerezani leo amekuja na Muslims and Non Muslims.
Hata hivyo bado swali bado linambana. Kama ni Muslim Vs Non Muslim inakuwaje wakristo wabebe lawama za Non Muslims as whole.
Hapo ndipo tunasema JF si kidongo chekundu.
Someni hizo data vizuri kuna mambo hayapo kisayansi. Itachukua muda mtu kuona lakini ukweli ni kuwa something is wrong
Halafu hizo data ni za warsha a.k.a Mohamed zisizotaja faculty zingine kwasababu ambazo hazijulikani.
Kiutafiti limitation zilitakiwa zionyeshwe.
Data zimevurugwa ili kuwachanga watu kwa lengo tu la kutoa ushahidi usio na mantiki.
Sasa kwa muktadha huo unaweza kunishawishi niamini paper zako kweli. Not me!