Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Haiwezekani mambo yote zikiwemo data za tafiti uziweka hapa halafu namba za mitihani ziwe siri! not at all and no one can buy it! Hili wamefanya utafiti wanafunzi wako na hakuna aliye na jibu.
Huna jibu wala usisubiri wizara. By the way unatakiwa umwambie Kikwete ajibu kama ulivyomtuhumu na kumpaka matope Nyerere. Hili hatutakuacha hadi utakapolitolea jibu. Tutasiama na ukweli ni uongo ulioshamiri na kutukuka.

Mohamed, Malik alipewa deportation na kile kitu kinachmkataza kukanyaga ardh

Nguruvi,

Inawezekana kuwa mimi ni ''dull'' kidogo.

Wakati mwingine sikuelewi khasa ni nini
unasema.

Ukiona niko kimya usichukulie nimekupuuza.

Nitakuwekea Insha Allah hapa jinsi serikali inavyotumia
polisi na sheria nyingine kuulinda ukristo na kuukandamiza
Uislam.

Nina paper ''The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat'' hii pp
niliitoa Chuo Kikuu Cha Johannesburg na Islamic Propagation
Centre International, Durban mwaka 2006.
 
Soma hizo bold uone jinsi Kanisa linavyotegemea serikali kulinda imani yake:

It was a South African Indian, Sheikh Ahmed Deedat who for the first time brought this powerful knowledge to the attention of common Muslims.[1]

In 1981 Sheikh Deedat was invited in Zanzibar to participate in a seminar organised by MSAUD.

After the seminar Sheikh Deedat was invited to Dares Salaam to deliver public lectures on the unity of the message of God to mankind.

Sheikh Deedat delivered two lectures one at the Adult Education Centre and the other at the Diamond Jubilee Hall.

In these two lectures Deedat talkedon Islam in the Bible.

In the lectures Sheikh Deedat attacked the Christian belief in trinity, crucifixion and eternal sin.

After the first lecture at the Adult Education Centre which Sheikh Deedat impressed his audience with his command of English and knowledge of the Bible and Qur’an, there was conversions. Some Christians reverted back to Islam.

Those Christians in theaudience who were not convinced went to their clergy with very pertinent questions which unfortunately the Church could not provide convincing answers to them.
Overnight Deedat’s presence in Dar es Salaam caused concern to the Church particularly when it was learnt that some Christians embraced Islam onthe spot.

The Christian Lobby worked overtime and by morning a letter from the Church was delivered to BAKWATA which requested them to stop Sheikh Deedat’slectures.

It is said that Church leaders met in an impromptu meeting andseveral options on how to sort out Sheikh Deedat were discussed.

The first option was to deport him to South Africa as a prohibited immigrant..

At thattime during apartheid South Africans were not allowed into Tanzania.

If that is not possible the second option was for BAKWATA to allow his lectures to continue but Sheikh Deedat’s lectures should be confined to the mosque. If that is not possible and Sheikh Deedat has to deliver public lectures he should be restrained from attacking the basic teachings of Christianity and be told to confine himself to Islamics.

Theletter to BAKWATA reiterated and emphasised the many years of peacefulco-existence between Muslims and Christians.

In 1981 BAKWATA had ceased to be an arm of the Christian Lobby. Theorganisation was under the tutelage of Warsha. The letter was ignored.

When Sheikh Deedat went to pay courtesy call to the Vice-President Aboud Jumbe athis official residence, the subject of the letter from the Church requestingfor Sheikh Deedat to be restrained was brought up.

Sheikh Deedat was scheduledto speak at the Diamond Jubilee Hall that evening.

Aboud Jumbe told Sheikh Deedat who was accompanied with his hosts, members of the MSAUD that he was notinvited to Tanzania to strengthen Christianity. That evening Sheikh Deedat addressed a capacity crowd at the Diamond Jubilee Hall and without mercy Sheikh Deedat took his audience through a lecture showing glaring inconsistencies in the Bible.

He appealed to Christians to use their common sense and see theuniversality of the message of Islam which did not begin with Muhammad SAW butwith Adam AS and was passed down through prophets among them Jesus Christ.

When Sheikh Deedat left the country he left Christianity dented and confidence amongMuslims on their religion strengthened. As a parting shot Sheikh Deedat toldMuslims in Tanzania not to keep the message to themselves, Muslims he said,have a duty to Allah to deliver his message to those still living in darkness.

This challenge was taken up and it was then that the country came torealise that it had Muslim Bible scholars of high repute.

Among them were Sheikh Abubakar Mwilima, Ngariba Mussa Fundi and Kawemba Mohammed Ali,originating from Kigoma and both of them former students of Sheikh MussaHussein.

These two were the pioneers of open air preaching- mihadhara in Tanzania, the movement whichis responsible for converting thousands of Tanzania Christians to Islam.

This campaign did not end in open air preaching, it also moved to electronic andprint media.

Video cassettes were made and books published.
[2] In notime the movement spread in the whole country through audio and videocassettes.

This wave coincided with the recession of the Church in Europe andthe fad by Christian theologians and scholars themselves doubting theauthenticity of the Bible.

The introduction of these seemingly anti-church ideas to Tanzania wasfully manipulated by Muslims as a weapon to undermine and humble the Church.

Study groups began to spring up in many towns producing Muslim Bible experts.

At first the Church thought it could meet fire with fire, but when it attemptedto confront the Bible preachers on their own ground it soon realised that asMuslims were arguing, there were lot inconsistencies which they had not been aware before existing in the Bible.

And it was obvious to them that God cannot make mistakes or he will cease to be God.

Errors are human traits.

The Churchhad to retreat and seek another way to silence Muslim Bible scholars.

This innovation of Muslim Bible scholars preaching Islam through the Bible inevitably became a thorn in the flesh of Christianity and Mwinyi’s government.

The Church decided to use the weapon it controlled - the goverment.

President Mwinyi wasrequested by the Church to stop Muslim open air preachers.

Mwinyi took up thecue from the Church and in many of his speeches he warned on the dangers of“defamatory preaching by Muslims.”

[1] The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (Paper Presented at International Symposium onIslamic Civilisation in Southern Africa, University of Johannesburg 1 - 3September, 2006 (the paper was also presented at Islamic Propagation Centre International, Durban).

[2] See Ngariba Mussa Fundi naKawemba Mohammed Ali, Uislam katikaBiblia, Al Khayria Press, Zanzibar.(This work has been translated into English, Islam in the Bible).
 
Nguruvi,

Sielewi kwa sababu zipi umekazania kuwa Sheikh Malik alipata ''deportation.''
Hii si khabari mpya.

Waislam wote tunalijua hili ni maarufu kama vile tunavyojua Shariff Hussein Badawy, Sayyid
Ahmed Badawiy maarufu kwa jina la Mwinyibaba, Sheikh Hassan bin Amir walifujuzwa nchini.

Hakika yote usemayo hata mie nimesadikisha kuwa ni kweli.
Hujasema nani alitoa amri ya kufukuzwa. Najua kuwa linakukera sana lakini ndio ukweli kuwa alipewa deportation. Swali ni kuwa deportation ilikuwa kwa sababu gani.

Umezungumzia sana deportation ya sheikh Amir, hili umelificha ficha hadi tulipolileta. Tunajua kuna unachokwepa weka wazi kila kitu. Deportation and person non grata kwa Malik!
 
Mohamed sina sababu ya kusoma bold za maneno yako.
Kwanza tafiti zako hazina kiwango chochote cha utafiti. Source of data na kuondoa sehemu ya study kunaifanya inakosa maana nzima. Halafu data zako haionyeshi wanafunzi wangapi walifaulu na kunyimwa nafasi za kuingia chuo.

Kama Kilwa wamefunga shule definite statistics za mwaka 2011/12 zitaonyesha upungufu kwa wanafunzi waliotoka kilwa kujiunga na elimua ya juu achilia mbali sekondari.

Mohamed, hapa si mahali pa kutupa data za uani. Kuna watu wamefanya research nadhani wengi hawana mbavu sasa hivi. Hii ni absolute professional abuse!
 
Samahani natoka nje ya mada, kwakuwa Mohamed Said ni verified user mimi ningeomba mwenye picha yake atuwekee hapa, sometime a photo can speak thousand language than words.

Wewe unamuita Mohamed Said Mwehu ana akili ndogo halafu unataka picha yake mtu kama mwehu si unampuuza tu.
 
Nguruvi,

Inawezekana kuwa mimi ni ''dull'' kidogo.

Wakati mwingine sikuelewi khasa ni nini
unasema.

Ukiona niko kimya usichukulie nimekupuuza.

Nitakuwekea Insha Allah hapa jinsi serikali inavyotumia
polisi na sheria nyingine kuulinda ukristo na kuukandamiza
Uislam.

Nina paper ''The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat'' hii pp
niliitoa Chuo Kikuu Cha Johannesburg na Islamic Propagation
Centre International,
Durban mwaka 2006.
Mohamedi Said unaweza kunitafsiria hapo nilibold na red? kimsingi nahitaji ilmu maana hilo neno linatumiwa kwenye vyama vya siasa na matumizi yake nayaona.
 
Hujasema nani alitoa amri ya kufukuzwa. Najua kuwa linakukera sana lakini ndio ukweli kuwa alipewa deportation. Swali ni kuwa deportation ilikuwa kwa sababu gani.

Umezungumzia sana deportation ya sheikh Amir, hili umelificha ficha hadi tulipolileta. Tunajua kuna unachokwepa weka wazi kila kitu. Deportation and person non grata kwa Malik!

Nguruvi,

Sikuzungumza deportation ya Sheikh Malik kwa kuwa hapakuwa na haja.
Haja sasa ipo tunalizungumza.

Umesema kweli kabisa hakika roho uliniuma sana kwa mwalimu wangu
kufukuzwa.

Kuhusu ''deportation'' ya sheikh usifanya haraka sijamaliza darsa utasoma
yote hapa jamvini.

Unajua Nguruvi wewe hujapita chuoni kama nilivyopita mimi na hii ndiyo
advantage yangu kubwa kwenu nyote.

Si unaona ninavyoshusha paper baada ya paper na paper ambazo nimezitoa
kwenye viwanja vya uhakika.

Maalim Haruna kanifunza adab ya majadiliano na kanifunza ukweli katika
mnakasha.

Ukiwa na vitu hivi unawavuta watazamaji.
Insha Allah tunakimbilia 100,000.

Unadhani nini kinawavuta hawa?
Wanamfuata nani?
 
Wanamfuta nani?
Mohamed paper unazoshusha hazina maana. Nina ushahidi na ngoja nivute nyuzi halafu umma uone jinsi unavyopigwa shule JF hadi unabadili data.
 
Mohamed paper unazoshusha hazina maana. Nina ushahidi na ngoja nivute nyuzi halafu umma uone jinsi unavyopigwa shule JF hadi unabadili data.

Nguruvi,

Hakika nami nakuunga mkono.
Hazina maana yoyote.

Soma shika njia wende zako.
 
Mohamedi Said unaweza kunitafsiria hapo nilibold na red? kimsingi nahitaji ilmu maana hilo neno linatumiwa kwenye vyama vya siasa na matumizi yake nayaona.

Matola,

Mimi Kizungu changu cha matata.
Tuwaombe wajuzi watusaidie.
 
Kumbe hapa tunaongea na mwehu mimi nilidhani ni mtu na akili zake, labda mniambie tu kuna Mungu na kuna Allah hawa ni tofauti ndio naweza kumuelewa huyu Mzee ambaye maishani mwangu sitamani kukutana na watu wenye akili ndogo kama hizi.

Unaomuomba mwehu akutafsirie?
 
Mohamed sina sababu ya kusoma bold za maneno yako.
Kwanza tafiti zako hazina kiwango chochote cha utafiti. Source of data na kuondoa sehemu ya study kunaifanya inakosa maana nzima. Halafu data zako haionyeshi wanafunzi wangapi walifaulu na kunyimwa nafasi za kuingia chuo.

Kama Kilwa wamefunga shule definite statistics za mwaka 2011/12 zitaonyesha upungufu kwa wanafunzi waliotoka kilwa kujiunga na elimua ya juu achilia mbali sekondari.

Mohamed, hapa si mahali pa kutupa data za uani. Kuna watu wamefanya research nadhani wengi hawana mbavu sasa hivi. Hii ni absolute professional abuse!

Nguruvi,
Nakuunga mkono hamna kitu humo ndugu yangu.

Jipitie na hamsini zako.
Zisikushughulishe data za uani.
 
. Warsha conducted a social research projectwhich no Muslim organisation had attempted before. It commissioned itseducationists to write a research paper to show why Muslim students werelagging behind in education.

It is important to get a glimpse of thosefindings:
[1]

Table 1:
Selection of Std. VII Pupils to Form I in Dar es Salaam Region 1978 to 1981
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Year[/TD]
[TD]Total Selected[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Muslims[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]% of Muslims Selected[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]1978[/TD]
[TD]956[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]216[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]23%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]1979[/TD]
[TD]903[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]194[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]22%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]1980[/TD]
[TD]1071[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]247[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]23%[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Source: Dar es Salaam City Council Department of Education

NB: In 1967 census Muslims in Dar es Salaam Region were 67% therefore the number of Muslim students in Dar es Salaam primary schools is greater than that of Christians.

This should have reflected in the selection.

Table 2: Religious Distribution University of Dar es Salaam 1971/72 and 1973/74
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]
Year
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
Muslim%
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
Non Muslim
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
Total
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]
1969/70
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
17
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
83
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
100
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]1971/72[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
13
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
87
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
100
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]
1972/73
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
14
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
86
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
100
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]1973/74[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
13
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
87
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
100
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]*1974/1975[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
0
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
0
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
0
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]1975/76[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
15
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
85
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
100
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]1976/77[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
0
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
0
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
0
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]1977/78[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
0
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
0
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
0
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]1978/79[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
14
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
86
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
100
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]
1979/80
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
14
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
86
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
100
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]**1980/81[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
11
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
89
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
100
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]**1981/82[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
16
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
84
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
100
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
* Official Statistics notavailable** Students selected forFaculty of Agriculture, Forestry and Veterinary Science and medicine not included.Source: 1969/70-1978/79 University of Dar es Salaam Students Directory. 1979/80-1981/82 DailyNews June 1979/1981.

Table3: ReligiousDistribution of University of Dar es Salaam 1971/72/73
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Year[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]% Muslim[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]%Christian[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Others[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Total[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]1971/72[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]13[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]86[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]1[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]1972/73[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]14[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]84[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]2[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]1973/74[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]13[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]79[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]8[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]100[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Wanajamvi someni na hii pia
University of Dar es Salaam Student Enrollment

YearChristiansMuslims
1985/8685%15%

[TD="width: 32%"] 1986/87 [/TD]
[TD="width: 36%"] 84% [/TD]
[TD="width: 32%"] 16% [/TD]

[TD="width: 32%"] 1988/89 [/TD]
[TD="width: 36%"] 82% [/TD]
[TD="width: 32%"] 18% [/TD]

[TD="width: 32%"] 1989/90 [/TD]
[TD="width: 36%"] 82% [/TD]
[TD="width: 32%"] 18% [/TD]
Source: Research Data
Table 6
Muslim and Christian Appointments in the Ministry of Education 1961-1989

PostMuslimChristian
Commissioners17
Directors631
Source: Research Data
Haya ndiyo yalikuwa maswali ya Nguruvi3

1. Hiyo study iliangalia enrollment kuanzia primary hadi secondary au iliangalia enrollemnt University tu

2. Kama ni University, study hiyo ilikuwa retrospective au progressive

3. Kama ilikuwa retrospective kwanini iliangalia kipindi cha miaka 5 (1985-1990)

4. Enrollment iliangalia Uislam na Ukristo,82% au 18% kwa kigezo gani ili kupata 100%

5. Je, foreign students na wale wasio katika Uislam na Ukristo waliingizwa katika kundi gani.
Na kama hawakuwa na kundi iliwezekanje kupata 100% (Hapa nina maana Budha, Hindu, Atheist, Pagans n.k
.)

6. Methodology gani ilitumika ili kuthibitisha kuwa Juma ni Mwislam na hawezi kuwa Mkristo. Zawadi ni mkristo na hawezi kuwa Mwislam.

7. Study hiyo ilionyesha ni wanafunzi wangapi waliachwa ili hali walikuwa na sifa na ni kigezo gani kilitumika kupata idadi hiyo

8.Idadi ya comminissioners iliyotajwa ni ya nafasi zipi za kitaifa. Je, Tanzania ina commissioner 8 kwa ujumla

9.Directors, ni directors wa nafasi zipi na je Tanzania ina Directors 37 kwa ujumla?

10. Ni nani au chombo gani kilichohusika na uteuzi huo wa commissioners na Directors!
Data zake za awali zilionyesha Waislam na Wakristo (angalia red Muslims)
Hizi za leo anaonyesha Muslims and Non Muslim(angalia red)

Hii maana yake ni kuwa baada ya kusoma swali namba 5(red) aligundua kuwa ukweli haupo katika data za awali.
Akajifungia gerezani leo amekuja na Muslims and Non Muslims.

Hata hivyo bado swali bado linambana. Kama ni Muslim Vs Non Muslim inakuwaje wakristo wabebe lawama za Non Muslims as whole.

Hapo ndipo tunasema JF si kidongo chekundu.
Someni hizo data vizuri kuna mambo hayapo kisayansi. Itachukua muda mtu kuona lakini ukweli ni kuwa something is wrong

Halafu hizo data ni za warsha a.k.a Mohamed zisizotaja faculty zingine kwasababu ambazo hazijulikani.
Kiutafiti limitation zilitakiwa zionyeshwe.

Data zimevurugwa ili kuwachanga watu kwa lengo tu la kutoa ushahidi usio na mantiki.

Sasa kwa muktadha huo unaweza kunishawishi niamini paper zako kweli. Not me!
 
Mohamed paper unazoshusha hazina maana. Nina ushahidi na ngoja nivute nyuzi halafu umma uone jinsi unavyopigwa shule JF hadi unabadili data.

Hazina maana kwako wengine wanachota Ilm kutoka kwa Mohamed Said.
 
Nguruvi,

Sikuzungumza deportation ya Sheikh Malik kwa kuwa hapakuwa na haja.
Haja sasa ipo tunalizungumza.

Umesema kweli kabisa hakika roho uliniuma sana kwa mwalimu wangu
kufukuzwa.

Kuhusu ''deportation'' ya sheikh usifanya haraka sijamaliza darsa utasoma
yote hapa jamvini.

Unajua Nguruvi wewe hujapita chuoni kama nilivyopita mimi na hii ndiyo
advantage yangu kubwa kwenu nyote.

Si unaona ninavyoshusha paper baada ya paper na paper ambazo nimezitoa
kwenye viwanja vya uhakika.

Maalim Haruna kanifunza adab ya majadiliano na kanifunza ukweli katika
mnakasha.

Ukiwa na vitu hivi unawavuta watazamaji.
Insha Allah tunakimbilia 100,000.

Unadhani nini kinawavuta hawa?
Wanamfuata nani?

Kwa Mbwembwe haujambo . Huitaji kusema watu 100000 wanakufuata, siye hadhira ndiyo tunajua.
Na wanapoandika wengine na wewe unakuwa sehemu ya hadhira.

Usiteswe na hofu ya kuonekana umeshindwa au kushinda wewe jibu hoja. Hapa ni kama upo kizi
mbani. Kwa wengine ambao hawakukujua kabla ya 2013 sasa watakujuwa na wengine wamekujua
wewe ni mtu wa namna gani na misheni zako.

Endelea kukaa JF sio tukujue (tumeshakujua) ila tufahamu zaidi kuhusu misheni zako ovu.
Na kwa bahati huwa unajisahau, bahati iliyoje!
 
Wanajamvi someni na hii pia
University of Dar es Salaam Student Enrollment

Year
Christians
Muslims
1985/86
85%
15%

[TD="width: 32%"] 1986/87
[/TD]
[TD="width: 36%"] 84%
[/TD]
[TD="width: 32%"] 16%
[/TD]

[TD="width: 32%"] 1988/89
[/TD]
[TD="width: 36%"] 82%
[/TD]
[TD="width: 32%"] 18%
[/TD]

[TD="width: 32%"] 1989/90
[/TD]
[TD="width: 36%"] 82%
[/TD]
[TD="width: 32%"] 18%
[/TD]
Source: Research Data
Table 6
Muslim and Christian Appointments in the Ministry of Education 1961-1989

Post
Muslim
Christian
Commissioners
1
7
Directors
6
31
Source: Research Data
Data zake za awali zilionyesha Waislam na Wakristo (angalia red Muslims)
Hizi za leo anaonyesha Muslims and Non Muslim(angalia red)

Hii maana yake ni kuwa baada ya kusoma swali namba 5(red) aligundua kuwa ukweli haupo katika data za awali.
Akajifungia gerezani leo amekuja na Muslims and Non Muslims.

Hata hivyo bado swali bado linambana. Kama ni Muslim Vs Non Muslim inakuwaje wakristo wabebe lawama za Non Muslims as whole.

Hapo ndipo tunasema JF si kidongo chekundu.

Sasa kwa muktadha huo unaweza kunishawishi niamini paper zako kweli. Not me!

Nguruvi,

Sijabadili chochote.
Niamini ndugu yangu.
 
Unaomuomba mwehu akutafsirie?
Kumbe mna vitengo vya Propaganda Islamic? kama kile cha Nape Nnauye kuzusha uongo kila kukicha? naomba nielimishe wewe, bado nashindwa kuamini kama kwenye dini kunahitajika Propaganda kama ninavyojuwa mimi maana halisi ya propaganda ni nini.
 
Mohamed paper unazoshusha hazina maana. Nina ushahidi na ngoja nivute nyuzi halafu umma uone jinsi unavyopigwa shule JF hadi unabadili data.

Nguruvi,

Sijabadili chochote.
Niamini ndugu yangu.

Kaka wakusomeshwa huwaoni?
 
Back
Top Bottom