Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Jasusi,

Huyo mtu wako alikuwa na vigezo stahiki? Alikuwa amepitia mchakato wa uchaguzi? Kama alionewa kwasababu ya dini yake then you have a point. Umetaka mfano wa mahali mie kuna kijana aliitwa usaili wa kazi wizara ya fedha ana honours degree lakini waliochaguliwa yeye hakuwamo . IFM kuna wakuu wa faculty wote wakristo, wakurugenzi wote wakristo , wasaidizi wake wakristo je hakuna waislamu wanaofaa kuongoza?? Twende PPF mazingira ni hayo pia je is this a coincidence?
The answer to all your questions is yes. Na aliyemfanyia interview ni muislamu mwenzenu deputy kwa Dau. Ni yeye aliyemtaarifu mwajiriwa mtarajiwa kuwa amekataliwa na Dau kwa sababu ya dini yake.
 
Leo unajifanya hujui kinachoendelea katika taasisi za serikali za umma? Please msimsakame Dau anzeni kwanza ndio mnyooshe kidole Dau
Taratibu Mdondoaji, FYI, Raisi wetu na Jemadari Mkuu anaitwa Al Haj Dr. Jakaya Mrisho Kikwete na huu ni mwaka wake wa nane madarakani.
 
Last edited by a moderator:
Sio kujifanya. Kama kuna maovu mnayafahamu kwenye taasisi za serikali na za umma yaanikeni hapa. Mimi nimeanika ya Dau kwa sababu kuna mtu namfahamu alinyimwa kazi pale kwa Dau kuwaambia maafisa wake wa chini kuwa hatuajiri watu hawa.

Jasusi,

ha haa haaa!.

Cc.. Mzee Mwanakijiji, Nguruvi3,
 
Last edited by a moderator:
The answer to all your questions is yes. Na aliyemfanyia interview ni muislamu mwenzenu deputy kwa Dau. Ni yeye aliyemtaarifu mwajiriwa mtarajiwa kuwa amekataliwa na Dau kwa sababu ya dini yake.

Sasa mie niliulizia kuhusu yule kijana pale wizarani nikaambiwa alikataliwa kazi kisa alikuwa mswahili na ile kazi haikumuelekea akachaguliwa mwengine mwenye marks za chini kitaaluma. Sasa uswahili unapelekea ktk jibu moja mwislamu. Hakupa kwasababu ya uislamu wake
 
Jasusi,

Huyo mtu wako alikuwa na vigezo stahiki? Alikuwa amepitia mchakato wa uchaguzi? Kama alionewa kwasababu ya dini yake then you have a point. Umetaka mfano wa mahali mie kuna kijana aliitwa usaili wa kazi wizara ya fedha ana honours degree lakini waliochaguliwa yeye hakuwamo . IFM kuna wakuu wa faculty wote wakristo, wakurugenzi wote wakristo , wasaidizi wake wakristo je hakuna waislamu wanaofaa kuongoza?? Twende PPF mazingira ni hayo pia je is this a coincidence?

Wanajifanya hawajui ni nini 83/17
 
Ritz,

Kuna msemo unasema Nyani haoni .........

Mdondoaji,

Mashirika ya umma yapo zaidi ya 200 mengi yamejaa Wakisto watupu wao wanamuangalia Dau NSSF.

Juzi Mkristo alikuwa bosi TBS kafanya ufisadi wa kutisha Muhando wa Tanesco hakuna cha Chadema wala Mkirsto yeyote alipiga kelele.

Wao na Dau tu.
 
Wanadhani hizi ni zama za ujinga tutasahihishane hadi tuwe jamii inayoheshimiana. Mie binafsi siungi mkono ubaguzi wa kidini awe mwislamu au mkristo kwani uislamu unakataza kudhulumu na kudhulumiwa na hivyo basi inanikera nikiona waislamu wakidhulumiwa na pia nikiona wakristo wakidhulumiwa. Huo ndio uislamu unavyotaka
 
Hayo maneno kuna watu hawataki hata kuyasikia, ni kweli Uislam unakataza dhulma na unakataza kudhulumiwa.
 
Sasa mie niliulizia kuhusu yule kijana pale wizarani nikaambiwa alikataliwa kazi kisa alikuwa mswahili na ile kazi haikumuelekea akachaguliwa mwengine mwenye marks za chini kitaaluma. Sasa uswahili unapelekea ktk jibu moja mwislamu. Hakupa kwasababu ya uislamu wake

Mdondoaji
Hiyo ya kuwa kila mtu akiitwa mswahili basi maana yake ni muislam, ni tafsiri yako tu. Nakushangaa hata kwenye sakata la Makinda ulikuwa mkali sana hapa JF kwa kufikiri aliwananga waislam. Kwa taarifa yako tu ni kuwa hata sehemu zisizo na waislam, huo msemo upo "Emanuel bwana mswahili sana yule" au "Justin bwana ana mambo ya kiswahili". Hawa Emanuel na Justin hawawezi kudai kuwa wameitwa ni waislam. Hata mara nyingine tunaweza kum-refer mtu mweusi aliyeko Japan au Uingereza kama "mswahili mwenzetu" bila hata kufikiria dini anayoamini huyo mtu mweusi huko Japan au Uingereza. Sasa wewe iweje kama kijana wako kaambiwa "ana mambo ya kiswahili" ufikirie kuwa wana-refer uislam wake???
 
Hebu Nanren,

Tupatie definition ya Mswahili ni nani??
 
Sina definition rasmi ya mswahili. Siku moja nilikuwa na wamalawi kwenye conference na wakatu-refer watanzania wote kama waswahili- sidhani kama walimaanisha sisi ni waislam. Siku nyingine nimemsikia mtu akisema "Obama yule, mbona mswahili tu?" Siku nyingine nilikuwa mtaa wa mkendo pale Musoma. Ni hapo peke yake nilipomsikia mama mmoja akisema waswahili huku akimaanisha waislam. Mara nyingine nimewaskia watu wakimsema padre pekupeku (mzungu) pale morogoro "Yule padre mswahili tu, anaongea kiswahili kama sisi"
Na mara kadhaa mtu asiye muaminifu au asiye timiza ahadi au asiejali muda, wote hao nimeskia wakiitwa waswahili hata kama ni viongozi wa makanisa.

Je kwa hapo nitatoa definition gani ndugu yangu?

Inawezekana kijana wako alichelewa kwenye interview, jamaa wakasema ana mambo ya kiswahili, yeye akajishuku kuwa ni kwa sababu ya uislam wake.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna ushahidi wowote wa dhulma dhidi ya Waislamu Tanzania; zipo tuhuma zinazotolewa lakini hakuna mtu ambaye ameweza kuthibitisha uwepo wa dhulma. Watanzania wa dini zote wanapata matatizo yale yale kwenye ajira, elimu, maisha na waliofanikiwa nao wamefanikiwa katika dini zote.
 
Mimi kaka yangu mwenyewe nikimpigia simu anasema "wewe mswahili hujambo?"
 
Nimevutia sana na uzi huu! asante Sheikh Mohamed Saidi kwa hisani uliyowafanyia wapigania uhuru wa Tanganyika! nadhani Mzee Tewa saidi Tewa na wenzake huko waliko angalau watapata matumaini kuwa waliobaki nyuma yao wana waenzi! shukrani za pekee zikufikie MS popote ulipo na nakuomba uendelee kuandika vitabu vingi zaidi na hasa toleo la 4 la kitabu chako kitukufu!

Mimi kwa kuanza kuwaenzi nimeamua kutumia jina la Tewa saidi Tewa huyu nadhani alikuwa mpigania uhuru na miongoni mwa mawaziri wa Mwanzo wa Serikali ya Nyerere!
namkumbuka mzee huyu mimi nikiwa mdogo nilimuona pale Chuo kikuu nadhani mwaka 1991 ktk ukumbi wa nkrumah ktk mkutano mkubwa wa Waislamu waliokutana kujadili hatma ya Bakwata!

MS, nimesoma mahali umeandika Mufti wa pili alikuwa Salehe Masasi! jee, Hemedi Bin Jumaa alikuwa mufti wa ngapi? na ni kweli Mufti huyu alikuwa akilindwa na Waziri wa zamani Lyatonga Mrema kwa kuchanga fedha za Mkutano wa Bakwata?
 
Hakuna ushahidi wowote wa dhulma dhidi ya Waislamu Tanzania; zipo tuhuma zinazotolewa lakini hakuna mtu ambaye ameweza kuthibitisha uwepo wa dhulma. Watanzania wa dini zote wanapata matatizo yale yale kwenye ajira, elimu, maisha na waliofanikiwa nao wamefanikiwa katika dini zote.

Mzee Mwanakijiji

Ni hitimisho zuri na sahihi.
Yeyote atakayedai kuwa kuna dhulma dhidi ya waislam, hawezi kuleta ushahidi nje ya maandiko ya Moh Said, Njozi na vitabu vya akina Sivalon wanavyovitaja. Dhulma gani hiyo ambayo kuonekana kwake mpaka kwa vitabu tu? Tena vitabu vyenyewe vinmeandikwa "inasemekana..."

Kwenye maisha ya kawaida huku mtaani kila observation ina maelezo yake:
"Wahindi wengi wamefanikiwa biashara kwa sababu wana umoja na wanainuana kwenye mitaji".
"Fulani na fulani wana utajiri wa kurithi kutoka kwa babu yao ambaye alikuwa jambazi."
"Ukoo ule wanapenda shule na wamesoma sana"
"Wakinga, wapemba na Wachaga wanafanikiwa kibiashara"
"Wale jamaa hawathamini shule, wanapenda sana ufugaji na uwindaji"

Watu ninao wa-refer kwenye statements hizo wanaweza kuwa wa dini yoyote. Na sijawahi sikia kuwa fulani kafanikiwa kwa sababu ya ukristo wake au kashindwa maisha kwa sababu ya uislam wake.

Kwa kweli hakuna ushahidi wowote huku mtaani wa dhulma dhidi ya waislam. Shida na raha sote tunazipata. Waislam wanadhulmiwa kwenye maandiko tu ya Moh Said.
 
Soma kichwa cha hii mada. Mmekuja na ushahidi upi mpaka sasa?

Jee, huijui 83/17?

Sivalon.
 
Umewahi kumsoma John C. Sivalon?
 
Kuna kitu kimoja ambacho wanaolia "dhulma" wanadhani Watanzania hawakijui sana. Wakati wa Nyerere kama kuna kitu kilikuwa kinapigwa vita sana ni kile alichokiita "undugunization" yaani kwa neno la kimombo "nepotism". Tafsiri moja ya nepotism inasema ni "patronage bestowed or favoritism shown on the basis of family relationship, as in business and politics".

Sasa undugunization ulianza kwa kasi baada ya kuanza kuwa na kada ya watumishi wa umma wasomi ambao wameanza kushika nafasi. Kwa kiasi wale waliopata nafasi kidogo walianza kuwaingiza wana familia wao kwenye hizo ajira. Kama Baba alikuwa meneja wa Benki basi mtoto wake akigraduate naye anatafutiwa kazi benki; hii ilikuwa kweli kwenye polisi, na ilikuwa kweli kwenye ajira nyingi sana. Na kwa kadiri watu walivyozidi kupata nafasi za juu ndivyo nao walivyozidi kuwaingiza ndugu zao kwenye ajira na hawakufungwa na ofisi zao kwani waliweza kuwaunganisha na marafiki zao kwenye kada nyingine. Hivyo, mtu anaweza kuwa yuko Ikulu lakini mtoto au jamaa yake akaunganishwa kupata kazi Benki Kuu, au taasisi nyingine.

Lakini hili halikuishia tena kwenye undugu wa damu likawa limeingia hata kwenye undugu wa "kijiji kimoja"; ambapo hapa utakuta watu ambao wanatoka kijiji kimoja (hata kabila moja) wanadai undugu na kuombeana msaada. Hivyo, mtoto atatoka Tarime na kwenda kwa 'mjomba' Arusha ambaye ni afisa wa JWTZ ambaye atamtafuta kazi kujiunga na jeshi. Matokeo yake utakuta watu wa kabila moja nao wakiwa wamejazana sehemu fulani.

Huu undugunization ndio kwa kiasi kikubwa sana umekithiri na sijui kama kuna Mtanzania ambaye hana ndugu au jamaa aliyenufaika na kumfahamu mtu fulani. Lakini katika maana yake pana zaidi huu 'undugunization' ulifika hadi kwa marafiki. Watu waliosoma pamoja wanasaidiana na marafiki wanapeana nafasi na hata kwa watoto wao. Kwa mfano, mtu ambaye ni Mkristu mwenye tafiki Muislamu anaweza kuombwa na rafiki yake kumtafutia "binti" yake ajira na akafanya hivyo. Yule binti ataingia kwenye ajira na hakuna mtu ataweza kuona upendeleo kwa sababu aliyeingia ni Muislamu na kaingizwa na Mkristu (au kinyume chake).

Hili unaliona hata kwenye teuzi mbalimbali. Mtu Muislamu anaweza akamteua mtu Mkristu ambaye anaweza asiwe na uwezo sana lakini watu wasione "upendeleo" kwa sababu wamefungwa na kuangalia dini tu. Ukiniuliza mimi kitu kinachowanyima watu nafasi kuendelea katika ajira siyo "dini" hasa bali 'undugu" ambapo pamoja na nepotism sasa kuna 'cronyism' yaani 'the practice of favoring one's close friends, especially in political appointments.'

Mfano mzuri sana wa haya mawili ni nafasi za ajira kule BoT ambao tuliona majina ya watoto wa vigogo yakijazana na kupeana nafasi mbalimbali. Sidhani kama kuna mtu anaweza akasema wale walipewa upendeleo kwa sababu ya dini zao. Na hivi karibuni tumeona pia kwenye viwanja vilivyouzwa kule Kigamboni ambapo wanasiasa na watumishi wakubwa serikalini wamepewa viwanja hivyo kwa kufahamiana na wahusika.
 
Back
Top Bottom